SHK.OTHMAN ASIMULIA ALIVYOTUKANWA NA KIJANA BARABARANI MATUSI MAKUBWAMAKUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / riyadhtvznz
    FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
    TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
    TH-cam: www.youtube.com/@RiyadhTvOnli...

ความคิดเห็น • 157

  • @user-pe1qv1sn5p
    @user-pe1qv1sn5p 3 วันที่ผ่านมา +1

    shekhe mwenye hakma zake masha Allah Masha Allah mungu akuzidishie hekma na busara na subra na imani nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @sidegrenade2043
    @sidegrenade2043 หลายเดือนก่อน +20

    ❤❤❤shekhe wangu kipenzi ❤❤mungu akujalie moyo uwo uwo unatuelimisha vijana ❤

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 หลายเดือนก่อน +8

    Ndio changamoto za dunia polesana shekh wetu❤❤❤

  • @user-jp4iv9ug4w
    @user-jp4iv9ug4w หลายเดือนก่อน +3

    Subhanallah mwenyezi mungu akufanyie wepes na akutangulie kwa kila hatua uipigayo Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @ibraimabubacar8417
    @ibraimabubacar8417 29 วันที่ผ่านมา +6

    Pole sana shekh Allah akuzidishie subra na uvumilivu shekh wetu😭😭😭😭😭😭

  • @ramadhanyusuf2401
    @ramadhanyusuf2401 หลายเดือนก่อน +16

    Othman Malim Allah amhifadhi namkubali sana hata hivi ni msufi lkini nimepita mkononi mwake

  • @user-pe8mh6uc8o
    @user-pe8mh6uc8o หลายเดือนก่อน +6

    Courage, confidence, communication, character, commitment

  • @user-zh1mf9mm8c
    @user-zh1mf9mm8c หลายเดือนก่อน +5

    Courage, confidence, communication, character and commitment

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy หลายเดือนก่อน +5

    Pole sana. Allah akupe subra na uvumilivu

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo หลายเดือนก่อน +5

    Masha Allah,,,, pole sn sheikh Othman Maalim

  • @SalimMohamed-o3j
    @SalimMohamed-o3j 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah akuhifa dhi shehe wetu

  • @hassanmparee
    @hassanmparee 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezimungu akupe umrii mrefu Bado twakupendaa

  • @mwanaidyamiiry3725
    @mwanaidyamiiry3725 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sheikh wetu Allah akufanyie wepes

  • @SalmaMasoud-ry4pg
    @SalmaMasoud-ry4pg หลายเดือนก่อน +2

    🇰🇪Allah akuzidishiee Maalim wangu nakupendaa sanaa❤

    • @user-xi4pd1yw7o
      @user-xi4pd1yw7o 23 วันที่ผ่านมา

      Mm ndo nammpenda zaidi nahisi km nammpenda zaidi peke yngu

  • @FatmaHaji-sf6xq
    @FatmaHaji-sf6xq หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana shehe wetu allha akuhifazi

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k หลายเดือนก่อน +7

    Sorry sheikh the guy may be sick madness.. very sorry you deserve better your the best sheikh..may Allah protect you. ❤❤❤

  • @kandellahramadan5794
    @kandellahramadan5794 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana sheikh, ALLAH akuhifadhi

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 หลายเดือนก่อน +9

    Vijana wenzangu tubadilike
    Tuwe na Subra hasa KWENYE NDIMI ZETU🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @omanmct135
    @omanmct135 หลายเดือนก่อน +2

    Subhanalllah

  • @user-hb6sg1sh1z
    @user-hb6sg1sh1z หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah ustaz

  • @user-rz1fr1ij7e
    @user-rz1fr1ij7e หลายเดือนก่อน +1

    Tunakupenda sheh wetu Mungu akubariki Kila hatua😊😊

  • @AmissaBIGIRIMANA
    @AmissaBIGIRIMANA หลายเดือนก่อน +1

    Shukran Sheikh Othman Mwalimu
    Hekima kubwa Sana
    Shukran Kiukweli

  • @user-vb9uc2en4c
    @user-vb9uc2en4c หลายเดือนก่อน +3

    Dah!!!kwakweli ili Jambo limeniuma sana.pole Sana ustadh wetu ni mapungu ya kibinadam yalio tokea na ishaALLAH m/mungu atuswameh makosa yetu yote ss na wazazi wetu Kwa ujumla

  • @khamishassan68
    @khamishassan68 หลายเดือนก่อน +3

    Story ya zamani lakini iko up to date sasa. Mashallah

  • @aminandurya
    @aminandurya หลายเดือนก่อน

    Pole ustaadh Mungu akuzidishie subr InshaAllah

  • @AllyAbdallah-jd9qj
    @AllyAbdallah-jd9qj หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kukupa moyo wakusamee shekhe wetu

  • @user-vg6gp3bz1f
    @user-vg6gp3bz1f หลายเดือนก่อน

    Subhanallah Allah akujaze Subra na ikhlaswi Shekh wetu

  • @user-og2pt2tm5q
    @user-og2pt2tm5q 9 วันที่ผ่านมา

    Mungu akujalie moyo wa subra inshaallah

  • @BLUBEENICE
    @BLUBEENICE หลายเดือนก่อน +1

    Subhana Allah

  • @AbdullahAlZaabi-on4tb
    @AbdullahAlZaabi-on4tb 3 วันที่ผ่านมา

    Pole.sana.shekhe.

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j 27 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah

  • @AdamYussuf-bd6sh
    @AdamYussuf-bd6sh วันที่ผ่านมา

    ukilelewa vizuri utajuwa utaishimu kila mtu na utakuwa na tabiya nzuri na hata elimu utachukuwa mahala pazuri wangapi twaona kwenye mtandao wanatukana mashekhe bila hata uoga.nini malezi mabovu na au kalelewa vizuri kaiga mambo ya siyo faa nimtihani sana allaah anamuongoza aliye kuwa tayari kuwa mzuri watabiya mwanzo wa kutoka kwa wazazi wake

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 26 วันที่ผ่านมา

    Pole shekh mungu akuzidishie subra

  • @ShabanMasigo
    @ShabanMasigo 11 วันที่ผ่านมา

    pole sana my shekh nakukubalii sanaa❤❤❤❤

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 หลายเดือนก่อน

    Ndivo walivyo waja pole sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @sheikhahmedahmed2296
    @sheikhahmedahmed2296 หลายเดือนก่อน +1

    SUBUHANALLAH

  • @mwanaherimatata8571
    @mwanaherimatata8571 หลายเดือนก่อน +5

    ALLAH AMJALIE PEPO SHEKH WETU

    • @user-xi4pd1yw7o
      @user-xi4pd1yw7o 23 วันที่ผ่านมา

      Ammin ya rabball allamin Kwa sote

  • @mrsab303
    @mrsab303 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah make easy for Inshaallah❤❤❤❤❤

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 หลายเดือนก่อน +6

    Hii tabia vijana au watu waache kutoa kauli chafu au matus kww watu hata kama kwel umekosea ila jifunzen kuwa na subra na usikimbilie kuhukumu wenda aliekukosea hakujua au bahat mbaya,
    Sasa kuna siku kijana huku alikuwa yupo na pikpik akawa anapishans gari fulan kwenye barabara ya vumbi sasa kuna mvua ikawa imenyesha kukawa na maji, kwa bahat mbaya ile gari ilikuwa speed ikarusha maji yakamrukia yule jama vibaya sana, sasa yule jama akachukia kile kitendo akaanza geuza akaanza kukimbizia ile gar had alipofika usawa wa mlango wa mbele akaanza kutoa matusi ile mbaya, kumbe mule ndan ya gar kuna mkuu wa wilaya bhn mbaya zaid ile gar ilikuwa na bendera sasa cjui yeye hakuona,
    Kilichofata 😂😂 alichukuliwa had polis, kufika pale kesi kumtolea lugha ya matusi mkuu wa wilaya alikaa lockup, badae akaanza kujitetea oh sikujua kama mkuu wa wilaya wakamuuliza kwahyo angekuwa hata kama si mkuu wa wilaya je kumtukana mtu tu inafaa? Ohh nisamehen hasira tu.
    Bas hiki kisa kinatufunza juu ya kujifunza kuzuia hasira zetu na kuomba sana kwa Allah hata kama utakutana na jambo la kukukera vipi bas Allah atujaalie hikima na subra sana, kwasababu hasira na ghadhabu madhara yake si mazur.

    • @user-xi4pd1yw7o
      @user-xi4pd1yw7o 23 วันที่ผ่านมา

      Shukran ndugu Kwa ukumbisho

  • @Saitvonlinetz
    @Saitvonlinetz หลายเดือนก่อน

    Pole sana sheikh wetu ❤❤❤❤

  • @user-jt9mk3ip8m
    @user-jt9mk3ip8m หลายเดือนก่อน +2

    Pole

  • @maimunahassan7126
    @maimunahassan7126 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atuongeze, msamehe Shkh Maalim Othman

  • @ahmedalbalushi6239
    @ahmedalbalushi6239 หลายเดือนก่อน +2

    Heshima ni muhimu na Tabia haibadiliki itakuwa anafanya hivo kwa wengine mpka kaona huyu ni nani ndio kaja chini , Allah awanusuru watoto wetu na wa wenzetu na tabia kama hizo

    • @user-xi4pd1yw7o
      @user-xi4pd1yw7o 23 วันที่ผ่านมา

      Ammina ya rabball allamin allahuma ammin

  • @MudyFaudhia-Games24
    @MudyFaudhia-Games24 27 วันที่ผ่านมา

    Pole shekh wangu nakukubali sana

  • @HamisiIsmail-w1g
    @HamisiIsmail-w1g 13 วันที่ผ่านมา

    pole Sana sheikh wangu kipenzi cha mimi

  • @user-wy7zl2vr6k
    @user-wy7zl2vr6k หลายเดือนก่อน +2

    Pole shekh wetu najua inavyouma hata mimi nilitukanwa sehemu ya kuuza viatu nilishika kiatu nikakiangalia nikajaribu hakikunipendeza nikamiacha mwenyeduka alinitukanasana mbeleza watu niliumiasana katokea shekh mmoja kasema ondoka usimrudushie mimi nikashukur nikaondoka ilaniliumia sana, kwa kweli tz maadili kwa wengine nimtihani, mimi naona hatawatu huko nje yanchi watu wakirudi tz wananunua vitu ambavyo tz vipo natena penginehukubei juu, watuwanasema bora ninunue kitu beijuu lakini cha uhakika na kauli zawauzaji nzuri,

  • @MuhajiSharafi
    @MuhajiSharafi 10 วันที่ผ่านมา

    Allah Akbar ❤❤❤

  • @user-pv2qn8qh9w
    @user-pv2qn8qh9w 15 วันที่ผ่านมา

    Pole sana sheikh

  • @SamiaGervase
    @SamiaGervase 23 วันที่ผ่านมา

    Allah akuzidishie moyo wa subira

  • @FatmaAlabri-lz2cw
    @FatmaAlabri-lz2cw 14 วันที่ผ่านมา

    Pole sana shekh wetu

  • @MohamedMohamed-nk8rt
    @MohamedMohamed-nk8rt 10 วันที่ผ่านมา

    Dah, jaman tuwe na akhlaq had tu nafikia hatua ya kutukana mashekhe, Dunia inaelekea wap sijui, pole Sana shekhe ndo life hiyo

  • @IdrisaAly
    @IdrisaAly 20 วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @AshuraHassan-hl4kq
    @AshuraHassan-hl4kq หลายเดือนก่อน

    Allha akupe moyo wa subra ivoivo shee wetu

  • @ShAMIMURASHIDI
    @ShAMIMURASHIDI 29 วันที่ผ่านมา +1

    Pole shekhe Wang 😢

  • @Saidy-eu1hc
    @Saidy-eu1hc หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ KWA ajili ya Allah

  • @athmansalim8388
    @athmansalim8388 28 วันที่ผ่านมา

    pole mwalimu wangu subra naiona kwako

  • @AlawAdam
    @AlawAdam หลายเดือนก่อน

    Pole mwalimu

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 15 วันที่ผ่านมา

    الله يحفظكم يارب العالمين

  • @SammyMwanzia-vb8dj
    @SammyMwanzia-vb8dj 22 วันที่ผ่านมา

    Shekh wetu ❤️❤️❤️❤️

  • @user-pe1qv1sn5p
    @user-pe1qv1sn5p 3 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mariammussa6152
    @mariammussa6152 15 วันที่ผ่านมา

    Ple sana shekh wetu ndio mitihan ya dunia😢😢😢😢

  • @user-ox3zp4he9d
    @user-ox3zp4he9d หลายเดือนก่อน

    Sisi tunakupenda kweli shekhe Allah akupe nguvu ya kutufunza am alaam

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 27 วันที่ผ่านมา +1

    Blind spot mbaya sana

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu. Akupe subira. Shekhe. Wetu. Changamoto. Hizi zipo nyingi. Allah atuongoze kwakweli

  • @ShamimHassan-qm1et
    @ShamimHassan-qm1et หลายเดือนก่อน +2

    Watu wamagar weng sijui kwann hawana mdomo mzur wanatoa tu maneno bila kufikiria

  • @mkongwekhamis4331
    @mkongwekhamis4331 หลายเดือนก่อน

    Msamehe sheikh Othman...... Na Allah amuongoze huyo kijana...

  • @annoldkimaro745
    @annoldkimaro745 15 วันที่ผ่านมา

    Ata kiongox akiteleza huwezi mtus Amtake radhii maalim then alete towba kwa Allah

  • @HamzaMohdNassor
    @HamzaMohdNassor 27 วันที่ผ่านมา

    Ah!

  • @user-gr3kq5vc5u
    @user-gr3kq5vc5u 21 วันที่ผ่านมา

    Congratulations to Apologies to sheikh Osman

  • @aminamaulid7371
    @aminamaulid7371 26 วันที่ผ่านมา

    Allah amsamehe huyo kijana na mbadilike pia sio sheikh tuu ila kutukana tukana tu hovyo.😢😢

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 28 วันที่ผ่านมา

    Allah azidi kupa sbra

  • @SleepyChocolateBonbons-ib6hv
    @SleepyChocolateBonbons-ib6hv หลายเดือนก่อน

    Pole sna shekh wang nakukubal sna ila nivzr ulivyo mpa asant bara baran makosa tumeumbia sisi binaadam haswa bara baran mm dereva ila nikimkosa mtu nampa asant na kumuomba samhn hat km kanikosa yy nimemkosa

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 หลายเดือนก่อน +29

    Kuweni na heshima mnapocomment ni mtu mkubwa uyu

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim หลายเดือนก่อน +1

      Watu hawana adabu na Wanazuoni saiv

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 หลายเดือนก่อน

      Mkubwa Mungu

    • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
      @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm หลายเดือนก่อน

      Huyu ni mwanazuoni naye ?​@@SoudShuraim

    • @Ahmedali-fb2dy
      @Ahmedali-fb2dy หลายเดือนก่อน

      Aliye mkubwa ni Allah pekee anafaa tu apewe heshima

    • @seifmsabah4384
      @seifmsabah4384 หลายเดือนก่อน

      @@jumakapilima7295 kwan Mungu mtu?

  • @fifo262
    @fifo262 9 วันที่ผ่านมา

    Ulimi ni mbaya sana

  • @salmamfaume1073
    @salmamfaume1073 15 วันที่ผ่านมา

    Ila vijana kuweni na khofu ya Allah dunia tutaiacha jamani acheni matusi

  • @AbrahmanRashid-ir3ov
    @AbrahmanRashid-ir3ov 29 วันที่ผ่านมา

    1:15

  • @LightLaulent
    @LightLaulent 27 วันที่ผ่านมา

    Sheikh me nahomba namba zako tu

  • @user-en5ng4sc2x
    @user-en5ng4sc2x หลายเดือนก่อน +2

    Wewe ulikuwepo walipochapwa? Au ndio nyie wakosefu watabia?

  • @Akhysayid
    @Akhysayid หลายเดือนก่อน

    Vijana wenzangu tuweni na respect na subra wakati tunapo tunapokuwa kila mahali leo katukanwa sh othman maalim siku nyengine utakuja kumtukan mzee wak au mkwe waking

  • @amneally4135
    @amneally4135 9 วันที่ผ่านมา

    Hakika. Sheikh

  • @AbrahmanRashid-ir3ov
    @AbrahmanRashid-ir3ov 29 วันที่ผ่านมา

    Pole sana ndo binaadam hao

  • @FarukuArry
    @FarukuArry 19 วันที่ผ่านมา

    Shekh dunia imeharibika ata unaye mzania anabusara kumbe amnZo

  • @naimamohamed2216
    @naimamohamed2216 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh othma tunao jua thamani yako ni sisi wabongo sijui kwanini unaishi Zanzibar hali ya kuwa wabongo tunakulilia ,,

    • @hemed4064
      @hemed4064 หลายเดือนก่อน

      Pole

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 หลายเดือนก่อน

    POLE SANA SHEIKH WETU KWA MITIHANI HIYO

  • @SleepyChocolateBonbons-ib6hv
    @SleepyChocolateBonbons-ib6hv หลายเดือนก่อน

    Daah jmn tuchunge limi zetu kwaio katukan haja jua km ni sheik othuman maalim kwaio wengin anatukan

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 หลายเดือนก่อน

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Inna lillah wa inna ilayhi rajiun. Hata kama angekuwa sio Sheikh. Ustarabu, adabu, utu na ubinadamu ni vitu muhimu sana. Nidhamu ya mtu ndio silaha yake. Hivi huyu alie tukana angependa mzazi wake atukanwe hivyo kweli jamani?

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 หลายเดือนก่อน +3

    Hii story ya zaman san weken story mpyaa

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 หลายเดือนก่อน +1

      Hoja stori ya zamani au kujifunza

    • @user-ye4iy8jy2z
      @user-ye4iy8jy2z หลายเดือนก่อน

      Tabia hata iwe ya zama za kale haibadiliki story hii unayosema ya zaman haishi thamani kitabia

  • @fatumatsopa5578
    @fatumatsopa5578 หลายเดือนก่อน

    Watu wa kutupa maneno ovyo ovy wengi ni majahil

  • @user-vr6qn2rr1d
    @user-vr6qn2rr1d หลายเดือนก่อน +1

    Mbuyu

  • @abiiajmi2399
    @abiiajmi2399 หลายเดือนก่อน

    Huyu achiwe tu sh wetu hekma na busara na flsafa ya kuongea ni jibu tosha mungu kampa neema

  • @adamh1751
    @adamh1751 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sheikh wa wapi? Chali Chali tu!

    • @saudaumar3354
      @saudaumar3354 หลายเดือนก่อน

      heshimu tafadhali kuuliza siujinga

    • @user-sx1xi4yb2z
      @user-sx1xi4yb2z 18 วันที่ผ่านมา

      Hujitambui wewe,,
      Muache kiongozi wetu

    • @adamh1751
      @adamh1751 18 วันที่ผ่านมา

      @@user-sx1xi4yb2z kiongozi wa nn?

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 หลายเดือนก่อน +1

    Tunataka story mpya eweshekh WA visa na Kwan kwenu kumtukana kiongozi sihalali?

    • @salehmussa9371
      @salehmussa9371 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani kunaubaya gani kuhadisia tabia zawatu hivisasa,
      Sidhani km unamuwazia mema huyu shekh,
      Acha husda.

    • @abdulmalik3030
      @abdulmalik3030 หลายเดือนก่อน +2

      Au ndio wewe ulomtusi sheikh sasa inakukera tarifa

    • @rashidsuleiman9253
      @rashidsuleiman9253 หลายเดือนก่อน

      weye ni jahili usiejua lolote ila fitna. visa havijaanza na Othman Maalim, visa vimo ndani ya Quran na katika hadithi za Mtume (SAW) kama hujui, na maisha yote ya bwana Mtume (SAW) ni kisa na visa. Na hata kuzaliwa kwako weye pia kumetokana na kisa mjinga mkubwa wee

    • @saudaumar3354
      @saudaumar3354 หลายเดือนก่อน

      maskini qur,an na hadithi nizilezile ispokuwa Bible zabadilika jina zuri maneno ziro.hikma nimuhimu

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
    @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm หลายเดือนก่อน

    Sheikh ana sauti ya hekma lkn anavitu vya kitwahuti hataki kujua mtume kafanya au hajafanya yeye anajiangalia utaalam wake tu .huyu ni shehe wa kuadhibiwa km kuna sheria za dini bidaa anaipenda kuliko kuvaa kwake kofia na kanzu

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      Mungu ndio mjuzi zaidi yako

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 หลายเดือนก่อน

      Mimi ni msuna lakini napenda sana kumsikiliza labda aongelee maulidi na dua za fatihh ndo nisisikilize lakini napataga faida sana kwake yeye kama anaijua haki afu haifati kwa maslahi yake atajua mwenyewe lakini usiache kusikiliza kisa ni msufu

    • @yasirhamisi1128
      @yasirhamisi1128 หลายเดือนก่อน

      Mshenz ww

    • @hemedzahor2002
      @hemedzahor2002 28 วันที่ผ่านมา

      Sikushauri utoe fatwa ww kuna uwezekano ww unaejiona upo sahihi ukaingia motoni yy akaingia peponi. Fata yako uyaweke sawa kabla ya kuhukumu wenzio

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 หลายเดือนก่อน +1

    watu sampuli yako wakati wa utawala wa sayyinah ummar walikuwa wa kicharazwa bakora,kila siku kuwatolea visa vya uwongo,hadith za alfu lela ulela!!

    • @africa7479
      @africa7479 หลายเดือนก่อน +6

      umefata nn hapa kama unajua hilo...au nawew anza kuelimisha basi kama unajua sana

    • @kugotwa004
      @kugotwa004 หลายเดือนก่อน +5

      Twakujua wewe huna akili vizur mbona ukacomment na upungufu wa akili yako jahil murakkabu

    • @omanmct135
      @omanmct135 หลายเดือนก่อน +1

      Subhanallllah

    • @mudiali4506
      @mudiali4506 หลายเดือนก่อน +3

      Kuwa n adabu we huyu nimtu htiramu

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i หลายเดือนก่อน +1

      Kuja hawa masheikh wengine wanaokosoa wezao utasema wao wamwkamilika huwa wanawadharau hawamashekh wengine mtu kakosea mfuate sasa hii kupigana maradi bila ya mvua inaleta tabia mbaya.

  • @SolomomAdams-pf5zy
    @SolomomAdams-pf5zy หลายเดือนก่อน

    NYAMA ZA WANAZUONI ZINA SUMU.
    NYAMA ZA WANAZUONI ZINA SUMU
    NYAMA ZA WANAZUONI ZINA SUMU