Sheikh Kutoka Burundi Awashushia Nyundo Masheikh Wanaotangaza Pete Za Majini Kuwapotosha Waislam

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ค. 2024
  • QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM TH-cam @QiblateinOnlineTv)
    🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
    INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
    FACEBOOK👉👉 profile.php?...
    TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com/creator-center

ความคิดเห็น • 164

  • @Assiya39
    @Assiya39 10 วันที่ผ่านมา +7

    Barakallahu fiyqih Sheikh shakuru umeongea maneno mazito yenye mazingatio 😊

  • @Zanha582
    @Zanha582 11 วันที่ผ่านมา +6

    Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka na atusamehe makosa yetu yoote

  • @azamomar9920
    @azamomar9920 11 วันที่ผ่านมา +5

    Allah akuhifadhi shekh akujalie umri mrefu wenye manufaa. Hakika umefikisha

  • @aishamumy8402
    @aishamumy8402 3 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah sheikh wetu,Allah akujalie afya njema na umri wenye kher uweze kutujuza🙏🙏🙏

  • @user-um8lt3vx3u
    @user-um8lt3vx3u 10 วันที่ผ่านมา +2

    Masha'Allah Allah akuhifadh na akujalie mwisho mwema inshaaAllah

  • @malikmasoud3190
    @malikmasoud3190 11 วันที่ผ่านมา +3

    Sheikh umeongea maneno mazuri sana , ma sha allah

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 14 วันที่ผ่านมา +11

    Mambo ya pete za majini ni ushirikina Allah atunusuru

  • @kisaujibabou9436
    @kisaujibabou9436 7 วันที่ผ่านมา +1

    Burudani nchi nambar moja kwa umaskini nambar moja kwa upendo mansha Allah tunarizika nakila Hali ushirikina upo ila hatuuamini hongera sana sheh wetu Abdul shakur imamu mku mskiti 17 nambar 11 buyenzi anatuhelimishaga kweli kweli Allah atujaaliye tuwe wene kuyafwata nakuyatekeleza

  • @user-tt4yv9zl7i
    @user-tt4yv9zl7i 12 วันที่ผ่านมา +3

    Allah akulipe heri sheikh wetu. Kua madha mazuri sana❤❤kaka yangu.Allah atupe muisho muema

  • @hassanmchengwa2950
    @hassanmchengwa2950 11 วันที่ผ่านมา +3

    Allahu Akbar, Allah atunusuru inshallah

  • @user-xb3nf9dq8k
    @user-xb3nf9dq8k 13 วันที่ผ่านมา +4

    Binafsi nimekuelewa sana Allah atufanyie wepesi sote kwa jumla

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akupe maisha marefu na ufunuo zaidi sheikh

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 10 วันที่ผ่านมา +2

    maashaallah shekh kemea wazushi hao wanaozuka kila kukicha

  • @imamumohamedmalina6995
    @imamumohamedmalina6995 14 วันที่ผ่านมา +7

    Allah akulipe kwa elimu hii

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 12 วันที่ผ่านมา +2

    Allah sheikh akulipe kheri nyingi sana umesema ukweli mashekhe njaa na washirikina wanapotosha sana watu Allah atuongoze

  • @sakinahassani1455
    @sakinahassani1455 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah MashaAllah shekh

  • @user-qv8uo3bc6o
    @user-qv8uo3bc6o 5 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah MashaAllah ALLAH HUAKBAR 💯

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu azirehemu roho ambazo haziwezi kubadilishwa au kuzaliwa mara ya pili
    Ee Mungu, wasamehe wale ambao tuliishi nao miaka ya kupendeza zaidi na ambao tulihisi tamaa kwao.
    Ee Mungu, tukusanye pamoja nao katika bustani za neema, Ee Mungu, uwasamehe walio wa thamani zaidi waliotoweka machoni pangu sikia sauti yao. Mungu airehemu kila nafsi inayopendwa na moyo wangu chini ya ardhi Nakula kiapo? idhini ya Mola wangu Mlezi, Ametakasika, na ulitukuze jina Lako, Uso wa Mtukufu, Mungu wangu, namaanisha, Ee Mungu, Ee Mungu, Ee Mungu, Ee Mungu, Ewe Uliye hai, Ewe Uliye hai , Ewe Mwenye nguvu, Mwenye nguvu, Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu, Mwenye kurehemu, katika kutimiza na kuamini kwa kiapo na maagano kwa hakika, agano ni la kuwajibika Mwenyezi Mungu mkiiamini, na mkataba wake mnapofanya mkataba nayo, na mmejifaradhishia nafsi zenu kuwa ni haki kwa yule mliyefunga naye mkataba na mkamuamini, wala msivunje viapo baada ya kuvithibitisha. Basi mkavunja viapo vyenu, na mkavivunjia uwongo, na mkavivunja Wallahi, Hakuvunja ahadi, na kiapo, ni wajibu kutoka kwa Mwenyezi Mungu .Enyi mlioamini, kwa nini mnasema msiyo yatenda? Ishara za mnafiki ni tatu: Na anapoahidi huvunja amana yake, na anapoaminiwa humfanyia khiyana walifanya ahadi na Mwenyezi Mungu, kwani miongoni mwao wapo walio kufa, na waliopoteza maisha yao. Hao ndio wanaongoja, na hawakufanya mabadiliko yoyote, ili Mwenyezi Mungu awalipe.

  • @user-nk3dp9cv9c
    @user-nk3dp9cv9c 15 วันที่ผ่านมา +22

    Upo sahihi sekhe, ila Kuna wengii watakupinga na kuyadharau maneno yako, hii kwasababu watu wengi hua tunajali nani kasema. Na sio nini kinasemwa, hii ndo shida ya Waislaam wa zama hizi tunajali watu sio maneno yanayotoka kinywan kwa mtuu

    • @the-homeboyztv2689
      @the-homeboyztv2689 14 วันที่ผ่านมา +1

      Shida imeingia katika uisilam, mashehe wasababisha kwaku sema wau wanagawa utajiri, baraka kuja ufanyewe dua

    • @user-nk3dp9cv9c
      @user-nk3dp9cv9c 14 วันที่ผ่านมา +1

      @@the-homeboyztv2689 🤣 Kama ni hivyo umaskin ingekua hakuna ,lkn ni upotoshaji ulotujaa viumbee, mtu hataki aende motion mwenyewe laazim awe na wafuasi

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 14 วันที่ผ่านมา +1

      Watanzania huwa wanaangalia MTU siyo NENO.

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 10 วันที่ผ่านมา

      Mbona mahubiri. Ya kikristo??? C ubatizwe?
      Usiwe na miunnngu mingine iila mimi Kutoka 20:1...
      ..

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 9 วันที่ผ่านมา


      NIKWELIIIII KBSAAAAAA

  • @hamisisaid-zz2ye
    @hamisisaid-zz2ye 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mashallah JazzakAllah kheir sheikh

  • @NdikumanaAmisdi
    @NdikumanaAmisdi 13 วันที่ผ่านมา +2

    Allaah akujaze kheri Sheikh wetu.

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 12 วันที่ผ่านมา +4

    Huyo shékh mshirikina laana za zimshukie ametudhalilisha waislamu

    • @Ibrahim-om2lu
      @Ibrahim-om2lu 3 วันที่ผ่านมา

      Haifai mtu kumlaani muislamu mwenzake

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 15 วันที่ผ่านมา +6

    Swadacta sheh nimekuelewa

  • @NassorNassor-p1i
    @NassorNassor-p1i 11 วันที่ผ่านมา +2

    Sahihi sheikh

  • @HassanGessan
    @HassanGessan 14 วันที่ผ่านมา +1

    maashallah sheikh ALLAH atuhifadhi

  • @maulideabdala3832
    @maulideabdala3832 12 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah
    Safi sana allah atunusuru wote. Kwa mambo ayo

  • @Abdoulnibigira
    @Abdoulnibigira 10 วันที่ผ่านมา +1

    Jazzakaallah kher

  • @Jigflou
    @Jigflou 7 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah, Allah azidi kukupa ujasiri waku kemeya Ayo mambo sheikh 🎉🎉❤

  • @salehbahovu9303
    @salehbahovu9303 4 วันที่ผ่านมา

    Sheikh yupo sahihi saana, Allah akuihifadhi in shaa Allah… ila naona sheikh na yeye ana pete zake 2 mikono yote miwili 😊

  • @AsdASD-xc3sw
    @AsdASD-xc3sw 12 วันที่ผ่านมา +2

    Kabisa 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @ayubumasudi8380
    @ayubumasudi8380 12 วันที่ผ่านมา +1

    Maashallah❤😂😂😂 Tabaraqallah imeenda iyoo😂

  • @NoraKedir
    @NoraKedir 3 วันที่ผ่านมา

    Barakallah fiki

  • @user-ds1cy3dc7z
    @user-ds1cy3dc7z 7 วันที่ผ่านมา

    Naam 😊Allah akuifadh Shkh Shkrn sana Kwa Dawa 👏🏼

  • @destineluna5768
    @destineluna5768 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah shekhe

  • @GamingLimbe
    @GamingLimbe 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah❤

  • @hemedyusuf8835
    @hemedyusuf8835 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mtihani wallah Allah atunusuru

  • @user-ej2hj4zr9y
    @user-ej2hj4zr9y 12 วันที่ผ่านมา +1

    Jazzakaallahu kheri 😂❤

  • @MunezeroIsmail
    @MunezeroIsmail 11 วันที่ผ่านมา +1

    Allah atulinde na mitihani hiyo

  • @brianaugust9737
    @brianaugust9737 6 วันที่ผ่านมา

    Sheikh, nimekuelewa sana, umenifungua vizur kuhusu pete na uislam, kumbe masheikh wengine wanaupotesha uislam na watu wanakaa kimya, mimi ni mkristo ila nimefurahia sana darasa lako leo

  • @KheyriHassani
    @KheyriHassani 14 วันที่ผ่านมา +2

    Sera moja tuu mashekhe wote akuna mabadiriko

  • @NahimanaMariamu
    @NahimanaMariamu 5 วันที่ผ่านมา

    Mansha Allah 🇧🇮

  • @ZainabHassan-hz4no
    @ZainabHassan-hz4no 11 วันที่ผ่านมา +1

    Alhamdullah wafundishe hap wanao tupotosha

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh unasema kweli na hawa masheke wanao jiita waumni wanafiq hawa waupotoa uislam mpaka wasio waislamu wana tukejeli Allah awaongoze hawa wanaojiita mashekh

  • @nelson-cd7fr
    @nelson-cd7fr 13 วันที่ผ่านมา +1

    Jazakumllahu kheiran

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 7 วันที่ผ่านมา

    Allah Akbar ujumbe mzitoooo

  • @user-ih4zi8ss9y
    @user-ih4zi8ss9y 8 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah
    Tabaraka Allah
    Jazaka Allah hkeir 🤲

  • @AthuuSainga
    @AthuuSainga 12 วันที่ผ่านมา +1

    Baaraqallahu fiiqa

  • @ZainabuIrakoze
    @ZainabuIrakoze 12 วันที่ผ่านมา +1

    Allah Akulipe Kwa mawaidha mazuri

  • @AmadeChafimBacar
    @AmadeChafimBacar 11 วันที่ผ่านมา +1

    Allah te abençoar shekh

  • @SultanSaid-js9yj
    @SultanSaid-js9yj 15 วันที่ผ่านมา +3

    Shukrani

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 14 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa wanafiki wameficha kufuru katika miyoo yao ndio mana wanamtangaza sheitwan baada ya kumtangaza allah subhana wataalah

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi na shangaa sana mnajua mtu anajinasibisha naushekh hamumuiti na kumnasihi akiendelea kukaidi mnamuwajibisha kwanini mashekhe wetu mnashindwa kumuonya kwani anababaisha mara mhadhir , muomba dua, mganga na kujifakhalisha kwa vijimali kufanya mambo ya lia. tumejifunza kutoka kwa Allah kupitia kwa Mtume wetu Muhammad na wema walio tangulia kumtegemea Allah lakini akuja mtu mpuuzi hana dalili ilio thibit ya kusemea uislam kama ana hati miliki ya kubadilisha uislamu namnamuangalia tu anaeneza ushirikina kwa kuwapaka mafuta wasio elewa tauhid pete haina jambo lingine zaidi ya pambo tu hamna bahati wala ulinzi vyote hivyo vinatoka kwa Allah Subhanallah Wataala tuamke tumtegemee Allah tuache matapeli wanao jinasibisha na dini yakimchongo mchongo. Allah atuongoze ktk dini yake Shekhe nakumshukulu kwa kuliongelea hilo ila naomba muliongezee kulisema zaidi na zaidi kwani wanaleta uenyeji ktk dini na UISLAM ni SUNNA na SUNNA ndio UISLAM

  • @latifanyari8912
    @latifanyari8912 9 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifadhi inshaallah na akujazie kwenye mizani yako siku ya hesabu

  • @AmadHassanRashid
    @AmadHassanRashid 8 วันที่ผ่านมา

    Allah hatie kherry kwenye helimu na kuwaongoza mashekhe kama haw lnshaalla

  • @omarynguhwe3961
    @omarynguhwe3961 6 วันที่ผ่านมา

    Sheikh umenigusa sana alhamdu li LLAH Rabil Ghalamiiyn

  • @hashiru_bayona
    @hashiru_bayona 10 วันที่ผ่านมา +1

    Jazaaka llahu khaira sheikh, Allah akuhifadhi

  • @user-dv4md3vi5u
    @user-dv4md3vi5u 15 วันที่ผ่านมา +3

    Shukran

  • @balkissMuhammad-sk1ic
    @balkissMuhammad-sk1ic 14 วันที่ผ่านมา +2

    Bismillah ❤

  • @ShemsaKeza-mo8wf
    @ShemsaKeza-mo8wf 12 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akulipe kwakufunguwa watu masho

  • @DjumaIssa-w8v
    @DjumaIssa-w8v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna watu hawa elewi kabisaa sikilizeni vizuri
    Haifaï kumushirikisha Allah nachochote
    Harizie hilo

  • @Gaddafi-knight
    @Gaddafi-knight 11 วันที่ผ่านมา +1

    Allahu Akbar

  • @husseinkudra-gp6gp
    @husseinkudra-gp6gp 9 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifadhi❤

  • @ShamiraMbululo
    @ShamiraMbululo 13 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akulipe

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 12 วันที่ผ่านมา +1

    allah sw akupekher

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 12 วันที่ผ่านมา +1

    Dr Sule anatutia aibu sana waislam ...... mungu ktk quran anasema tumuombe yeye na tumtegemee yeye , na yeye ndio anatulinda . Lkn Bro Sule anataka tutegemee pete . Quran haijasema tutegemee pete . Fuckin Sule . Mungu amuongoze aongoke .😢😢

    • @malikmasoud3190
      @malikmasoud3190 11 วันที่ผ่านมา

      Usihukumu kabla ujaukumiwa unaweza kuonyesha mahari ambapo sule amesema tutegemee Pete sio allah

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 11 วันที่ผ่านมา

      @@malikmasoud3190 mfuatilie.

    • @FaridaHamadi-p9d
      @FaridaHamadi-p9d 9 วันที่ผ่านมา

      We na we in Amana ujui au unajizima data, ​@@malikmasoud3190

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 14 วันที่ผ่านมา +2

    Diwani Mbogo Sulyman mnaaasikia hayaaaaa
    Acheni ushirikina someni dini

  • @harerimanaaisha7613
    @harerimanaaisha7613 9 วันที่ผ่านมา

    Mansha'Allah Mansha'Allah

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya 10 วันที่ผ่านมา

    Allahu Akbar mawaidha mazuri saana.

  • @the-homeboyztv2689
    @the-homeboyztv2689 14 วันที่ผ่านมา +3

    Hio ndio shida kubwa limekumba uisilam kwasasa watu waamin mashehe kuliko Allah, mashehe wagawa utajiri, baraka, huu ni ugojwa wakumbwa uisilam ( tafuteni dawa

  • @RévérienDusabe-w8z
    @RévérienDusabe-w8z 9 วันที่ผ่านมา

    Allah akulipe kila laheri

  • @user-yy2rk4wi3p
    @user-yy2rk4wi3p 14 วันที่ผ่านมา +1

    Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
    Wambie kbs

  • @FaridaHamadi-p9d
    @FaridaHamadi-p9d 9 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli, majisifu anawakashifu mashekh wasio na kipato yani daa sio yule wazamini ambae akiingia mskitini itoki saa iz akiingia mskitini watu waondoka aibu sana

  • @baqirmkilindi9369
    @baqirmkilindi9369 14 วันที่ผ่านมา +2

    Soma hiyo
    ان الله ابى ان يجري الأمور الا باسبابها

    • @Faharizuckerberg
      @Faharizuckerberg 14 วันที่ผ่านมา +1

      نعم، صحيح أن الله لا يهتم بالمصالح الشخصية

    • @sirlimomari2633
      @sirlimomari2633 11 วันที่ผ่านมา

      نعم، وما قصدك في ذلك

  • @amimwinni4829
    @amimwinni4829 10 วันที่ผ่านมา

    ALLAH AKBAR

  • @keidykudrat2533
    @keidykudrat2533 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli

  • @RamadhaniMsukuma
    @RamadhaniMsukuma 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nitaipataje namba ya sheikh huyu

  • @omaar5693
    @omaar5693 14 วันที่ผ่านมา +1

    jibuni kama mwaweza

  • @ShukranSaidi
    @ShukranSaidi 9 วันที่ผ่านมา

    Asant Abdl Shakur Wetu Wape vidongi vyao wa TZ😂😂😂😂

  • @sulekhan7119
    @sulekhan7119 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa duniani kama kuna watu niwanafki sana

  • @AliMsellem
    @AliMsellem 14 วันที่ผ่านมา +2

    Pete km Pete sio haramu wala shiriki ila pete Sasa watu wadanganywa tuu pete haina uwezo wowote

  • @wiseman7133
    @wiseman7133 14 วันที่ผ่านมา +1

    Naam

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 14 วันที่ผ่านมา +1

    Khaswah

  • @aishamukandanga6892
    @aishamukandanga6892 2 วันที่ผ่านมา

    Naaam

  • @user-xl3cd6iq2u
    @user-xl3cd6iq2u 12 วันที่ผ่านมา +1

    Maisha yaharaka matokeo nihayo

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 14 วันที่ผ่านมา +1

    Swadaktana. Umesema kweli.

  • @SangoAbdallah-cf2ld
    @SangoAbdallah-cf2ld 7 วันที่ผ่านมา

    Sheik pete haina matatizo,na kama inamatatizo? Mbona wewe unavaa? Tena istoshe kama kweeli tupe aya moja tu, Mungu kamkataza nabii suleiman kuvaa, kwa sababu pale ndo palokuwa nguvu fulani na uwezo alowezeshwa na Mungu, sasa kama elimu yako ndogo kaa kimya tu

  • @drsaeedherbs
    @drsaeedherbs 14 วันที่ผ่านมา +1

    Usiyoyajua wachananayo

  • @iradukundaideale2673
    @iradukundaideale2673 วันที่ผ่านมา

    Rakini chehe naizo Pete munavara siy o nzuri uzo

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanza nchekee maana sio kwa dongo hilo

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 11 วันที่ผ่านมา +1

    Dr sule yupo sawa majini na uislamu ni ndugu kwaiyo ndugu razima mshirikiane

  • @alphalungele-479
    @alphalungele-479 7 วันที่ผ่านมา

    Sasa Dini aikubali?

  • @hurulaainmalkiaaisha1508
    @hurulaainmalkiaaisha1508 7 วันที่ผ่านมา

    Naa mbona ww umevaa pete?

  • @abubakarinyangala5072
    @abubakarinyangala5072 15 วันที่ผ่านมา +1

    Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir
    Ta Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir
    Ma Shaa Allah❤😂😅

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan 14 วันที่ผ่านมา

      ALLAHUAKBAR Jazzaka'Allahu khairah..✊🏼✊🏼

    • @fatumarajabu1175
      @fatumarajabu1175 13 วันที่ผ่านมา

      Allahu Akbar

  • @drsaeedherbs
    @drsaeedherbs 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kuwa msomi wa dini sikwamba ndokuwa na elimu ya tiba

    • @negaboy497
      @negaboy497 13 วันที่ผ่านมา

      Watu hawajui kutofautisha kati ya tiba na shirki ndio shida

    • @nibiziasiya-gh3qd
      @nibiziasiya-gh3qd 12 วันที่ผ่านมา +1

      Tiba ipi ambao mwenyezimungu amesema mtumieni pete ili mtu apate kutibika ? Acheni ushirikina wa majini ,

    • @nibiziasiya-gh3qd
      @nibiziasiya-gh3qd 12 วันที่ผ่านมา

      Tiba kila mtu anaweza kutibu kutokana na karama uliopewa na mugu tiba, haiombi ushirikiano wa majini , hauna jini unaweza kutibu mtu bila usaidizi wa majini na akapona , mimi naweza kumsomea tu mtu maji nikatiya niya nimpa akanywa na akaja akanambia wewe ungeendeleatu kusomey watu , na unawez kuwa unajuwa dawa fulani ile ukimpa mtu anapona, bila jini wala pete , sasa hayo mambo huyo baba anataka kuja kujifananisha na ufalme wa nabii suleiman , apo amepotea , yule alipewa ufleme wakumiliki majini na pete na utajiri mkubwa , kutoka kwa Allah, basi tamaa zakidunia ndio zinawafanya waingie kutafuta pesa za majini, ipo siku mungu atawaaibisha wenye kumshiriikisha Allah na vingine kinyume na yy.

    • @negaboy497
      @negaboy497 12 วันที่ผ่านมา

      @@nibiziasiya-gh3qd Kutumia majini si sawa ila kuna vitu vingi mwenyezimungu ameviumba ni dawa na vinatibu, nachofahamu mimi jini msaada wake unakuwa na maagano ambayo inabidi ukufuru yeye ndio atoe msaada.

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 6 วันที่ผ่านมา

    ila nyie wanadamu wanapenda kudanganya

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 14 วันที่ผ่านมา +2

    Kuna mjinga anajiita Dr sule nawala yakuwa si doctor jitu moja jinga liongo pumbavu kafir kabisa ndio linalopotosha waislam na ujinga wake

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 14 วันที่ผ่านมา

      @@zaydamos874 kumuita kafiri hapo umekosea

    • @user-fg8mu3nl2d
      @user-fg8mu3nl2d 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@AmourAmour-ux3nmMshirikina ni mtuuu mbaya kuliko kafiri !

    • @SmadMohamed-fc5fn
      @SmadMohamed-fc5fn 13 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni mjinga tu akuna unalolijua soma dini usikulupuke na porojo za kijinga

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m 15 วันที่ผ่านมา +2

    Ukatorick huo tuna wafaham endeleeni kuwa pambania Kwa kuyasoma manene ya Allah na mtume wake wakati mna ahenda ilio nyumba ya paxia

  • @eagtkibangu124
    @eagtkibangu124 9 วันที่ผ่านมา

    Na wewe una Pete ngapi hapo mkononi

  • @BinthaSultan
    @BinthaSultan 11 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂
    Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh sasa sheikh unakata pete ila wewe vidole vyako vinegar pere mbili kulia kushoto tupe tafsiri ya hizo uloziva 😂😂😂😂 ila kuna pete nzuri na peta mbaya kwahivyo siyo pete zote nimbaya

    • @hassansaul7098
      @hassansaul7098 11 วันที่ผ่านมา +2

      Hajakataa kuvaa Pete, bali matendo yakuitegemea ile Pete kua itakupa kila ukitakacho, hilo ndio tatizo Sema ufahamu wako tu

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 14 วันที่ผ่านมา +1

    Na mimi nilikua na teswa na kazi nikasomewa ndua ni makosa