SAID MKOLA AMWAGA MACHOZI - "BWANGA KABEBWA, WAMEMTENGENEZEA USHINDI, IBRAHIM CLASS KAKOLEZA VITA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
  • SAID MKOLA AMWAGA MACHOZI - "BWANGA KABEBWA, WAMEMTENGENEZEA USHINDI, IBRAHIM CLASS KAKOLEZA VITA"
    PAMBANO la 'Dar Boxing Derby' limechezwa Juni 29, 2024 katika viwanja vya Posta jiijini Dar es Salaam.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 27

  • @user-on5vm6qs4c
    @user-on5vm6qs4c 3 วันที่ผ่านมา +1

    Usiingize simba yetu kwenye Upumbav wako😢😢😢

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hili pambano umepigwa mkola mm cna upande wowte!
    Round 1-3 ulipigwa
    Tound 4-6 ulipiga
    Round 7 umepigwa
    Na knock down referee alibance ww ulianguka hakuhesabia na yy alianguka hakuhesabıwa!
    Ila punch ya round ya 7 ilikuwa reall
    ndıo ılyekupotezea point lkn ıngekuwa droo!

  • @kenedysamwel9863
    @kenedysamwel9863 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanangu umepoteza kiuhalali kubali

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 3 วันที่ผ่านมา

    Toka zako umepigwa vzr tu boya wew

  • @justinemico1871
    @justinemico1871 4 วันที่ผ่านมา +1

    Umecheza kitoto sana, Yan kila saa unapigwa left hook na unapokea tu

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 2 วันที่ผ่านมา

    Umepoteza aisee wala haina utata wowote japo pambano lilikua la ushindani sana

  • @ShukuruJohn-g7v
    @ShukuruJohn-g7v วันที่ผ่านมา

    Wew nimshindi kikubwa tuombe marudiano 3:22

  • @sidearsenal666
    @sidearsenal666 3 วันที่ผ่านมา

    Class atakuuwa

  • @EmmanuelZenda-ji5gc
    @EmmanuelZenda-ji5gc 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hili pambano umepingwa mkuu umepiga ngumi nyingi hazina maana na unafocus na Ibra class kuliko pambano lako wewe ungeshinda kwanza alafu ndio umtake class ila kwa mchezo huo class haufiki ata round 5.

  • @paulmwangoka
    @paulmwangoka 4 วันที่ผ่านมา

    Mkola upo vizuli ila Kwa bwanga wewe bado Sana kubali matokeo majaji wapo sawa

  • @pilijafari1784
    @pilijafari1784 3 วันที่ผ่านมา

    Mnyonge mnyongen hawakumtendea haki

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 4 วันที่ผ่านมา

    Umepigwa bwana kubar uzidiwa ila humuwezi sifa itakua alizidiwa ndio maana alikua hanamfumo kazi ya kotakota

  • @allymwachipanga2486
    @allymwachipanga2486 3 วันที่ผ่านมา

    Nyie wanangu wote nawakubali kina saidi, mkola, bwanga, chino mpo vzr hii fight mkola ulikua unaongoza bwanga alikubali jab nyingi Sana kilichomsaidia ni ile panch ukayumba na ngumi raundi ya mwisho yakuvizia ilikuangusha km mtu kakusukuma lkn haikua ngumi nzito

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v 4 วันที่ผ่านมา

    Unapocheza hali unahisi kua hauna uungwaji mkono wa kutosha nje ya Ring.Unakosa kujiamini vya kutosha hivyo punguza malumbano na kambi kubwa katika Masumbwi.Ili kulinda uwezo wako na kuepusha mabifu yasiyo namaana

  • @ShukuruJohn-g7v
    @ShukuruJohn-g7v วันที่ผ่านมา

    Wew nimshindi kikubwa tuombe marudiano

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 4 วันที่ผ่านมา

    Acha kelele ww umechakazwa unge mzimesha bas ukachukua ushindi huweze bwanga kunyeshe kuwake ww mchumbatu

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 4 วันที่ผ่านมา +1

    Majaji hawako sawa kabisa
    Majaji ni watu wenye mipango fulani

  • @user-tz2ex3ho1d
    @user-tz2ex3ho1d 3 วันที่ผ่านมา

    Mbna kwenye ukweli kigugumiz knqzd wewe acha maneno umedundwa had aibu na kigugumiz chako unalia nn bweha wewe

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 4 วันที่ผ่านมา

    Ww mchumba Tu WA bwanga

  • @hilmialjahdhami9787
    @hilmialjahdhami9787 4 วันที่ผ่านมา

    Mkola umeonewa
    Hili pambano umeshinda

    • @athanasmgungusi9996
      @athanasmgungusi9996 3 วันที่ผ่านมา

      Sahihi ,amescore kuanzìa round 1 hadi ya 7 , na pia alimdondosha kw clean punch . Mkola kashinda

  • @user-ih7nl5nv3c
    @user-ih7nl5nv3c 4 วันที่ผ่านมา

    mkola umecheza vzur ila lefa kakuangusha

  • @ogenylaurent7961
    @ogenylaurent7961 4 วันที่ผ่านมา +1

    Said Bwanga kapigwa

  • @ronymichael6396
    @ronymichael6396 4 วันที่ผ่านมา +1

    Majaji miyeyusho

  • @ShukuruJohn-g7v
    @ShukuruJohn-g7v วันที่ผ่านมา

    Wew nimshindi kikubwa tuombe marudiano 3:22

  • @ShukuruJohn-g7v
    @ShukuruJohn-g7v วันที่ผ่านมา

    Wew nimshindi kikubwa tuombe marudiano