ความคิดเห็น •

  • @khadijasultani2295
    @khadijasultani2295 21 วันที่ผ่านมา

    Vita yakina wajina

  • @ramsohouse2838
    @ramsohouse2838 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kiukweli me namkubali saidi bwanga ila mkola kanifurahisha alivyoongea lakini kwa bwanga hatoboi

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 2 วันที่ผ่านมา

    Mwisho wa Siku umepigwa😅...kweli mdomo huponza mwili

  • @khadijasultani2295
    @khadijasultani2295 21 วันที่ผ่านมา

    Tunahamu ya kumuona mdose fighter kwenye runinga

  • @user-ze8hp1ls6t
    @user-ze8hp1ls6t 23 วันที่ผ่านมา +1

    Said mkola nimepend maneno yako lakin 29 kuchezea utachezea tyu said bwanga tumemtuma kazi na tunamuamin atafany kama tulivyomuagiza

  • @user-ze8hp1ls6t
    @user-ze8hp1ls6t 23 วันที่ผ่านมา

    Namna hiyo atuongei sana taarabu 😂😂tunatema sumu mikononi sio mdomoni