INASIKITISHA!- NILILIPWA 30,000/ ALINIDHARAU/NILIPANDA BODABODA KWENDA KWENYE PAMBANO/ NINAUZA KUKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.พ. 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #vitasa #masumbwi #mandonga
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 32

  • @abdurrahimjumbe-jc1uf
    @abdurrahimjumbe-jc1uf ปีที่แล้ว +4

    Well said keep it up...

  • @NiraSaire
    @NiraSaire ปีที่แล้ว +5

    Somba, you do your homeworks very well!! Presenters have a thing to learn from you. Congrats bro

  • @EvalistTokwa-lw8hf
    @EvalistTokwa-lw8hf 9 หลายเดือนก่อน

    💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥uko vizuli sana dogo nautakuwa no1 tanzania na aflika

  • @athumanimanzabay1894
    @athumanimanzabay1894 ปีที่แล้ว +1

    Said bwanga ww ni boxer real never give up,big up kwa walimu wako wamekujenga vizuri kwenye misingi ya boxer 👏🥊🙏

  • @jumajumanne4997
    @jumajumanne4997 ปีที่แล้ว +1

    Uyu dogo atari alimsumbua sana mwakyembe yupo vizuri 🥊💪🔥

  • @dmstvonline6608
    @dmstvonline6608 ปีที่แล้ว +2

    Very smart atafika mbali saaaana

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 2 วันที่ผ่านมา

    I like ur discipline said

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +3

    Hila boxing itakuja kuteki over tanzania
    One day na boxing watakuja kulipwa
    Mamilion mengi sanaa kwa kila pambano

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 ปีที่แล้ว +2

    Dogo yuko vzr balaaaa,
    Akaze atafika mbali

  • @oswardybenardy3373
    @oswardybenardy3373 ปีที่แล้ว +1

    Champion 🏆 ✊🏿

  • @jumasamatta7847
    @jumasamatta7847 ปีที่แล้ว +1

    Unajua mwanangu

  • @ezekieljolam4276
    @ezekieljolam4276 ปีที่แล้ว +3

    Nishabik yako mwamba toka nimekuona kwenye game yako mkuu

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Champion

  • @kizz_kido
    @kizz_kido ปีที่แล้ว +1

    Mzinga finest

  • @fadhilmwakea1259
    @fadhilmwakea1259 ปีที่แล้ว

    Safi sana kitu chakuzingatia ni mazoezi kwani umenikumbusha wakati nacheza nilikua kama Askari wa kukodiwa nikipewa pesa vitani unauwezo mkubwa mno

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 ปีที่แล้ว

    Nakuona kama mwakinyo una malengo mazuri sio kupiganatu ila kwa elufu 30😢 hata sindano tano za figo hupati mna waonea

  • @kizz_kido
    @kizz_kido ปีที่แล้ว +1

    👊👊

  • @kizz_kido
    @kizz_kido ปีที่แล้ว +1

    Maweeeeeee

  • @daudarajabu5822
    @daudarajabu5822 ปีที่แล้ว +1

    Mambondia wanaclinyingi sana bora yeye kaeleza ukwel wengine hawa semi kabsa nabado wanaumia .30 elfu unapigania kweli

  • @kizz_kido
    @kizz_kido ปีที่แล้ว +3

    Mafanikio hayaji ukikata tamaa, yenyewee yanamfata
    anayejituma sio kusukumwa na njaaa
    Side maweeeee
    Mwili mdogo
    Akili nyingiiiiii

  • @YashibuMketo-qi1dn
    @YashibuMketo-qi1dn ปีที่แล้ว

    Faza jitahidi utafika mbalisana, kiukweli unaweza.

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe ปีที่แล้ว +2

    Dogo anaupiga mwingi

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 ปีที่แล้ว

    Duuh huyu dogo noma

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu bondia ni hatarii

  • @NahodhaSeleman-ez3qu
    @NahodhaSeleman-ez3qu 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeona uwezo wako nimkubaa saaaan utafika mbali

  • @kizz_kido
    @kizz_kido ปีที่แล้ว +1

    Side bwanga

  • @jumasamatta7847
    @jumasamatta7847 ปีที่แล้ว +1

    Mbagala Kuna samatta WA mpira,na wewe utatuwakilisha ktk ngumi

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว

    Huyo dogo SAID BWANGA kama akiwa AMATEUR naziona MEDALI 🏅 Za DHAHABU MIKONONI MWAKE AKIZILETA TANZANIA
    (umri unamruhusu)

  • @aloyceshirima7539
    @aloyceshirima7539 ปีที่แล้ว

    Huu ndo uanamme

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dogo anarusha ngumi sio mchezo

  • @kizz_kido
    @kizz_kido ปีที่แล้ว

    👊👊