WALICHOKISEMA CHARLES TONDO na HAIDARY MCHANJO Baada ya PAMBANO LAO KUMALIZIKA kwa SARE...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @fadhilially7357
    @fadhilially7357 3 หลายเดือนก่อน +2

    UMEONYESHA NINI MSENGE WEWE TONDO KAPIGWA

  • @stephankimario7890
    @stephankimario7890 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unakauli za realy boxer big up

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bondia anaeweza kumsumbua Haydary ni mchanja yohana wa Tanga peke yake.Licha ya uzoefu wake haydary anajua ngumi.Dogo umepigwa na ukirudia atakupiga KO.Wewe umechipukia vizuri na majaji kuwalinda chipukizi ni jambo la sawa lkn usibweteke jinoe vizuri.

  • @mwaramipawa
    @mwaramipawa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haidary ni bondia mzuri lkni tondo kapigwa Kama punch begi

  • @FabianMkirikiti-fn9mb
    @FabianMkirikiti-fn9mb 3 หลายเดือนก่อน

    Charles we n bondia Bora sana pambana mwanang sijawahi kukufatilia nmeanza kukufatilia kwa ajil ya game yako hii nmependa sana safi sana tondo

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy 3 หลายเดือนก่อน

    Amepigwa bondia wenu

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy 3 หลายเดือนก่อน

    Umepigwa

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 3 หลายเดือนก่อน +1

    Majaji wanamatokeo yao mkononi ila Mchanjo gemu yako ile jana

  • @SwaumuHaji
    @SwaumuHaji 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mchacho kashinda acheni siasa

  • @geofreymwamakula7178
    @geofreymwamakula7178 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tondo kapigwa