Vita ya maneno ya mabondia Said Mkola, Said Bwanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Mabondia Said Mkola na Said Bwanga wamekutana ndani ya studio za Azam TV na kutunishiana misuli wenyewe kwa wenyewe huku kila mmoja akitamba kwa namna yake.

ความคิดเห็น • 13

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda Mkola ila Kwa Bwanga Umekwisha bro😅

  • @EbyakalaByagaluka
    @EbyakalaByagaluka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mkola umeyakanyaga😢

  • @abduryjumbe7447
    @abduryjumbe7447 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha mkola kapotea mapema 😂😂😂

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂ameyakanyanga said mkola

  • @sirduliy107
    @sirduliy107 3 หลายเดือนก่อน

    Kwenye maneno mkola tushampiga sasa waukae tukampige na ulingon

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 3 หลายเดือนก่อน

    Bwangaa muto msimzalau bwanga moto chini

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 3 หลายเดือนก่อน

    Mkola upunguze sana papara na usiweke akili yako kutegemea sana nguvu zako.Bali utumie Akili sana unacheza na bondia anaefikiria kufika mbali hivyo uwe makini sana

  • @saidchembera8669
    @saidchembera8669 3 หลายเดือนก่อน

    Bwanga mawe

  • @issamagambo1879
    @issamagambo1879 4 หลายเดือนก่อน

    Mkola hana maajabu kwa bwanga

    • @KambiAsso
      @KambiAsso 3 หลายเดือนก่อน

      Sikupingi damu yang

  • @geofreymwamakula7178
    @geofreymwamakula7178 4 หลายเดือนก่อน

    Pambano lini?

  • @AminJuma-fb2pn
    @AminJuma-fb2pn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pambano hili nampa mkola🥊🥊

    • @gunbizzo1970
      @gunbizzo1970 3 หลายเดือนก่อน

      Unamjua Bwanga 😂😂😂