VITASA | Said Mkola vs Said Bwanga (TKO) | Dar Boxing Derby 29/06/2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025
- Said Mkola amechezea TKO kutoka kwa Said Bwanga katika vita kati ya Mbagala na Manzese. Ilikuwa fight moja ya maana mno, raundi zote nane zikiwa na moto mkali, huku kila upande ukionja sakafu kabla ya raundi ya nane…
Tazama pambano zima, tazama TKO ilivyotokea
Lilikuwa ni pambano la saba katika mapambano ya utangulizi Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby uliofanyika Uwanja wa Posta, Kijitonyama Dar es Salaam.
Main Card ilikuwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.
#NyieHamuogopi #DarBoxingDerby #Vitasa
Said Bwanga Nimependa Boxing Yake Huyu Dogo Ni Full Package 🔥🔥
Champions ni mmoja tuuu Bwanga Mbagala finest na dada Yao sada Mkola tushamlamba
Bondia wangu sku zote ni bwanga mpeni sana shavu ana kitu 🔥 🙌🙌
Familia nakuona mbali sana BWANGA..KAZA KAKA AMINI ILO NATAKA YULE MTOTO WA KIZULU UMKALISHE AMINI FAMILIA
Chuma bwanga. Alilamba sakafu vzr 2
Big up sana Mkola punch ziko na unarusha mawe
Bwanga🎉🎉🎉❤❤ mkola bado Sana ww kanyonye
bwanga ni chanpioni
Raund 1mpaka ya2 kashinda mkola ya3 kashinda bwanga yanne mpaka 7 kashinda mkola ya8 kashinda mkola ila aliteza angalia kwamakini ngumu
Bwanga na mkola wote mabondia wazur
Bwanga kabebwa
Nice
Ize
Side Bwanga 💪
bwanga unatisha Sana nakupa BG up
Sawa Bwanga kashinda lakini refaree kazingua ili mtu ahesabiwe bas lazima aliemueka chini mwenzio arud kweny kona ndo refaree aanze ku count lakini Bwanga bado yuko hapo hapo araf refaree anahesabu hii sio Sawa kabisa
Bwanga kashinda kihalali kaza dogo utafika mbali unajuwa kajanja
Vijana wameonyesha ubora mkubwa sana
Aliyepata matokeo chanya amestahili
🥊
Said bwanga yuko anjua kam davis tank
tank unamjua vzr kaka
mshindi kapatikana kihalali toka mwanzo huu dogo alikuwa makini sana ,ila ni mabondia wazuri sana waendelee kukaza buti
Mkola kaonewa ushindi wa kwake
kweli hii ilikuwa derby maana sio mchezo
Mbagala boy wajna bwanga
Punguzeni Mahaba
CHAMPION
Bwanga mtu mbadi
Nyie mnao ongea mna mapenzi na Bwanga ila kachapika tu
Wewe hizo body panchi ndio kachapika, bwanga yeye alikua anascore kichwani tu
Kuna watu wengine hawajui ngumi wasikusubue bro@@athumanimakange9346
Ujui ngumi wewe akijifunze acha majungu
@@MmafiaMmojani kweli kabisa ana anachokijua uyo
Bwaaaaaaaaaanga
19:05
Huyu bwanga ndy wa madafu au mkola
Mechi drooo
Bwangaaaaaaaaaaaaa
Kushindwa sio rahisi na kutoa droo marufuku
Umepigwa
Bwanga AK 47
Saidi Mkola amedhulumiwa Kwani ameshinda round nyingi zaidi, round aliyoipoteza Ni hiyo aliyopata knock down basi Sasa iweje mshindi awe Saidi Bwanga? Mbona Kiduku alipigwa knock down na Dullah Mbabe round ya kwanza Kisha akashinda round zilizofuata na akapewa ushindi wake? Majaji Mungu anaeaona watu wanamwaga jasho hapo ulingoni mjue!!!
Washamba wamemdhurumu , hawa was waswahili ni shida sana . Mkola ameshinda very clean . Amescore kuanzia raundi ya 1 hadi ya 7
@@athanasmgungusi9996 mliangalia pambano tofauti na hili labda
Watazamaji wengi hamjui shiria ya ngumi hamuoni penat nyie mnaangalia bod mkola Bodo Hana nidham ya 32:59 mchezo yeye mwewe kadondoka mala mobili hasemi ajipange tena
Uyo mtot ndo anamhitaji ibra class ataxia uwanjani
Acha taarab ww kigugumiz
Watangazaji wasenge
Safi Bwanga aliangushwa Ila refa hahumuhesabia ola Saidi Bwanga ali
po muangusha Saidi Mkola kabla hata hajarudi kwenye Kona yake refa ameanza kumhesabia!!. Hii ni dhuluma, tunataka pambano hili na like la Nasib vs Choki yarudiwe. Semunyu....Semunyu...Semunyu .....turudishie haya mapambano mawili tafadhali.
😂😂😂kama hutaki dhulma ulitakiwa uongelee na raundi ya 3 Mkola alivyopelekwa chini nae hakuhesabiwa.
Jibizaneni mukumaliza tulieni sisi kazi tushamaliza
@@rogertuga007nikweli kabisa ata mkora akuhesabia haki bin hami😂😂
Nipo na wewe naunga mkono hoja
Ila azam max mnazingua sisi tulioko nje ya nchi tunapata tabu sana