Mungu akutie nguvu Mzee Maghembe. Nitakuombea!!!Siku zote nilikuwa napata shida kukuelewa haraka. Leo/Sasa ndo nimekuelewa haraka sana. UAMSHO huja na mimeguko kama hii, wala sio mambo mageni. Shida ya UAMSHO, huwezi kuuzima/kuuziia. ukijaribu kuuzuia tu ndo unapasua kabisa na kuusambaza!!!
Mimi siyo mkamilifu mbele za bwana wa majeshi hila huyu mchungaji ni mtu wa mungu hata kwa maneno tu.Mungu akuongoze daima utuombe na sisi tuwe wema tena
Mtumish wa mungu Wakiabudiwa ni mungu katika roho na kweli na sio TAG Magembe unaenda viwango Cha juu sasa Mungu mwenyewe atakuwa nawe hakika people are going to be blessed with your decision God bless you 🙏 mchungaji
Mungu atakulinda Baba achupazaye shingo yake atavunjika,Mungu atusaidie wanadamu Kwa kutokubali kuwa tunatakiwa mabadiliko ya kitabia,kitamaduni,kimahamuzi,nk katika ukamilifu wa Kristo Naamini katika utumishi wako Dhambi hatutakiwi kuionea haya kanisa la leo tuache uovu na kuukubali ukweli halisi kuwa tumekufa kiroho tukubali.
Amen uko sahihi mzee . Heri utoke tag wamekufa tunaona hata Mimi ninazaidi ya miaka 5 nimetoka . Hongera baba ponya nafasi yako YESU kiristo anarudi . Tag Dunia imejaa mwenye macho aone na masikio yakusikia uasikiee
MCH songs mbele nimeumia sn watoto wa wachungaji wanapotea dhambini ukiona mtoto wa MCH mwenzako anao moyo wa kumtumikia Mungu ni vzr umtie moyo nakuunga mkono baba na hongera sana Kwa mwanao Mimi naumia mno Kwa ajili ya wachungaji.
Baba Mchungqji, kweli kanisa linahitaji uamsho na siyo kujenga dini. Bwana Yesu akure mafunuo makubwa zaidi. I admire your speech and honesty. Natamani kuonana na wewe. Be blesed
Kahubiri Miaka 50, kipindi cha uzee wake katoa sababu tatu za kutoka...Aisee "makwazo ni kitu kibaya sana" Mungu atusaidie katika maisha yetu sote...tuwe watu wa mahojiano na kuuliza pale tusipoelewa.
Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akulinde, unapohubiri habari za kurudi kwa Yesu, uamsho na matengenezo ndiyo ujumbe wa sasa.
Hapo kwenye Uamsho mzee uko vizuri,Kiukweli Sasa hivi Tusipo angalia Makanisa yanaenda kufa Kiroho Maana hâta Ulaya yalianza hivihivi taratibu n'a mwisho pamehalibika sana mpaka ndoa za jinsia Moja zinafungwa Makanisani,
pole sana mzee wetu😢, mkulima yoyote anaemfuata yesu huku akiangalia na kugeuka nyuma hafai katika ufalme wake, nenda kamtumikie mungu kwa kadri Mungu alivyokutuma Tunakuombea sana Mungu akutie nguvu ....
Mungu akulinde baba mchungaji napenda sana unavyohubiri na kukaripia mimi najikuta natengeneza njia zangu. Mungu wa mbinguni akuonekania na akuangazie nuru za uso wako na kukupa fadhili na kukulinda siku zote za maisha yako
Mungu aliponye kabisa lake. Wengine wanahitaji heshima ya Dunia hii. Roho za watu zinapotea tunamuhutaji sana Mungu, Roho wa Mungu ndiye mwenye kanisa tusaidie.
Mmi niliishi bila mtoto from 2016 ndoa yangu ikavunjika alafu nikaoleka tena 2019 nikakaa bila mtoto on 2020 mwisho nikasema nitaokoka nikaanzaga kufwatilia mahubiri ya pastor harrison nganga let me tell you nyumba yangu nliishi kuskiza yye kwatv till today niyye tuwakati nimetulia namfwatiliaga on 2020 july nikashikamimba nanliamini akiomba nashika bible naomba nayye kwasahii mtoto anaelekea 4 years 2025 april date 19 wale walionfukuza kwandoa yakwanza wananipigia nirudi kwakijana wao after 10 years nahaiwezi jusahiniko nakwangu naniko namtoto wangu nanampenda sana anaitwa jeff nanaamini mungu atanibariki nawatoto wengine wengi 🙏🙏🙏🙏🙏 I HAVE MORE TO SAY BUT ALL IN ALL GOD IS MY strength Neema yabwana itoshee leo nahata milele🙏🙏🙏🙏
Oooh Yesu atunze amani ya moyo wako baba jamani huyo ni roho mt. Asema kweli magembe yupo kiroho watumishi tuache kumuhukumu ni kwamba mch hapendi dhambi kabisaaaaa Mungu akufiche kwa utukufu wake upo sahihi kilichokuondoa tag ni dhambiiiii❤
Baba uko sawaaaa, songa mbele Mzee wetu.Tunaitaka T.A.G ya zamani,Tunaona mzee.uthibitisho wa nini? Tunakufuata huko huko,twaja baba.Acha jengo lao twende zetu.
Hakika Mungu kakutenga na uovu, Tunakuombea ili nguvu na kazi yake ikatimiye kupitia wewe. Kwa kazi ya Mungu nadhani itakuwa ni mtu mpumbavu sanaaa akitaka watu wote wema na wenye utii kwa Mungu wawe TAG Mimi naona kazi ya madhehebu yenye mlengo wa kulihubiri Jina la kristo ni kuwafanya watu wote kuishi mapenzi ya Mungu popote walipo wala sio lazima wawe wa TAG Mzee Magembe your so so smart and honest man na hiyo ndiyo kazi ya mtumishi wa Mungu kufikia kiwango cha kujisema na kujikosoa mwenyewe, waachie biashara yao wewe endelea kutimza kazi ya wito wako katika Bwana maana umetusaidia wengi kutambua ukweli juu ya maisha yetu na kristo wala sio maisha yetu na TAG, KKKT, RC wala chochote. How wamekuletea zengwe kwa sababu unawaharibia biashara yao 🤣🤣🤣🤣 Wameshindwa. Ushauri wangu wala usijieleze sanaaa kimsingi wewe jielezeee milele juu ya kazi ya Bwana 🙏✊ Karikiwa kwa kibali kikuu katika kazi yako Mzee Magembe. 🙏
Ni kweli kanisa limekufa makanisani yamejaa mashindano ya fasheni, urembo, unenguaji na uchafu mwingine huwezi tofautisha fasheni za dunia na kanisani. Nipo na wewe nilimkiri Yesu mwaka 2020 kupitia mahubiri yako barikiwa sana naikubali misimamo yako lengo lako tufike mbinguni na siyo kupoteza muda.
Mtumishi wito wako na Mungu hakuna anaejua uliitwa kwajili ya nini yatende unayo ongozwa na roho wa Mungu ubarikiwe kwa kufanya maamuzi ya busala yanayo mpendeza Mungu
Ukahaba na ukomedi umejaa kwa walokole na udunia mwingi nawale wasio na roho wa Yesu ukihubiri kweli tu wewe umekuwa adui kwahiyo magembe hata hivyo umechelewa sana kutoka hongera pia hujachelewa
Makanisa now day ni kuwanayo makini sana huwezijua shetani anatumia maarifa kiasigani kwenye kivuli cha makanisa na ukizingatia ni nyakati za mwisho manabii wa uongo Mungu alishasema watakuwepo kilichopo Tujiandae kwa ujio wamarayapili wa Yesu kristo kuwachukua wale walioishika torati ya Mungu.
Baba hubiri Injir sio Dhehebu Mimi ni MT,A,G Wewe simamia Injiri kwa kuwa hatufiki mbinguni kwa madhehebu INJIRI IENDELEE MUNGU AKUBARIKI ZAID NILIKUFUATILIA NA NITAKUFUATILIA BABA
@@shonejuma3265 kumkosoa Mungu sio vizuri. Kumbuka ili uvae hereni ni lazima utoboe maskio. Mungu angetaka tuvae tungezaliwa teyari tuna matundu maskioni. Mbona pua hatukujitoboa tulikuta tayari pia zina matundu ya kupumulia. Wanawake huwa tunajikuta tunaakili kuliko Mungu ndo maana tuna makorokoro mengi ya kijunga tu
Zidi kuinena kweli ya Mungu mtumishi wa Mungu aliye hai. Injili ya kweli wengi hawipendi. Endelea kunyooosha kweli ya Mungu. Anayetaka kufika m inguni atakuupenda. Zidi kunyenyekea baba.
Watu wa Mungu bado wapo, nikweli mambo ambayo tunaoyana kanisani ni uzibitisho tosha kanisa limekufa. Na atutanyamaza kimya. Mungu akutunze mzee wetu
Mungu akutie nguvu Mzee Maghembe. Nitakuombea!!!Siku zote nilikuwa napata shida kukuelewa haraka. Leo/Sasa ndo nimekuelewa haraka sana. UAMSHO huja na mimeguko kama hii, wala sio mambo mageni. Shida ya UAMSHO, huwezi kuuzima/kuuziia. ukijaribu kuuzuia tu ndo unapasua kabisa na kuusambaza!!!
Chapa Kazi baba Angu, mbinguni hamna madhehebu thank God
ameni ameni ameni
For sure
Mungu anakujua mchungaji wangu! Hata wanadamu wasipokujua! Wewe ni Mtumishi wa kweli wa Mungu, hata wasio TAG wanakujua
Mimi siyo mkamilifu mbele za bwana wa majeshi hila huyu mchungaji ni mtu wa mungu hata kwa maneno tu.Mungu akuongoze daima utuombe na sisi tuwe wema tena
Limekufa baba na wanajua ila wanajizima data, barikiwa mtumishi na tunaenda woteee🔥🔥🔥🔥
Mtumish wa mungu
Wakiabudiwa ni mungu katika roho na kweli na sio TAG
Magembe unaenda viwango Cha juu sasa Mungu mwenyewe atakuwa nawe hakika people are going to be blessed with your decision
God bless you 🙏 mchungaji
Mungu✅ mungu ❌
ameni ameni ameni
Na mimi nimeona huyu mzee mafundisho ya ke ni ya SDA kabisa
@@ChanilaKitwima-zc6ko watu sijuwi hawasomi biblia ili waone Mungu mkubwa kwamba anaandikwa kwa Herufi kubwa😢
Wewe baba yangu unaekima za kimbingu,MUNGU akulinde siku zote za maisha yako.
❤❤❤❤❤ Mtumishi wa Mungu Hakika Mungu Akutetee Mchungaji Magembe
Uko Sahihi! Sasa hivi Mchungaji Anayekemea Dhambi Hapendwi
Kabisaaaa wanataka miujiza ya mwamposa t
Mmmmmmmmmmmmh!!!!!@@NuruAlly-pd3kc
Mungu akutunze mzee magembe siku zote simama kwenye ukweli
ameni ameni ameni
Mungu atakulinda Baba achupazaye shingo yake atavunjika,Mungu atusaidie wanadamu Kwa kutokubali kuwa tunatakiwa mabadiliko ya kitabia,kitamaduni,kimahamuzi,nk katika ukamilifu wa Kristo
Naamini katika utumishi wako
Dhambi hatutakiwi kuionea haya kanisa la leo tuache uovu na kuukubali ukweli halisi kuwa tumekufa kiroho tukubali.
Nimeumizwa sana Mungu akutiee nguvu baba. Tutakuombea
Pole mtumishi,Mungu Yuko pamoja nawe,adui anapiga sana kanisa,tag amkeni na mtubu, Yesu Kristo anakuja.😢
Wakristu Mungu aturehemu tu..Mzee Mungu akulinde..piga vita vyema na uvimalize salama.
Jamani tunaenda wapi huyo mtoka mbali uongozi utamshinda, huyu baba magembe yuko vizuri
ameni ameni ameni
The real servant of God. Yupo vizuri anayempinga huyu mzee ni wale wachumia tumbo
Mwenyez Mungu akutunze mtumishi wake endelea kuihubiri injili ya kweli.
Amen uko sahihi mzee . Heri utoke tag wamekufa tunaona hata Mimi ninazaidi ya miaka 5 nimetoka . Hongera baba ponya nafasi yako YESU kiristo anarudi . Tag Dunia imejaa mwenye macho aone na masikio yakusikia uasikiee
MUNGU AKUBARIKI sana BABA Mchungaji Moses MAGEMBE 🙏🏾
Ubarikiwe sana👏🏾👏🏾👏🏾 ENDELEA KUSEMA ……YESU ABATUDI🫡…..
MCH songs mbele nimeumia sn watoto wa wachungaji wanapotea dhambini ukiona mtoto wa MCH mwenzako anao moyo wa kumtumikia Mungu ni vzr umtie moyo nakuunga mkono baba na hongera sana Kwa mwanao Mimi naumia mno Kwa ajili ya wachungaji.
Baba Mchungqji, kweli kanisa linahitaji uamsho na siyo kujenga dini. Bwana Yesu akure mafunuo makubwa zaidi. I admire your speech and honesty. Natamani kuonana na wewe. Be blesed
ameni ameni ameni
The real servant of God, we are together 💪
Don't be worried my Pastor God is with you.
Kahubiri Miaka 50, kipindi cha uzee wake katoa sababu tatu za kutoka...Aisee "makwazo ni kitu kibaya sana" Mungu atusaidie katika maisha yetu sote...tuwe watu wa mahojiano na kuuliza pale tusipoelewa.
Ameongea kwa hekima kubwa,akili nyingi na maarifa👏👏🤝🤝🤝
Amen isaya 58:1 piga kelele usiache
Paza sauti yako kama Tsrumbeta uwahubiri watu wangu kosa lao na nyumba ya yakobo dhambi zao
Amina mtumishi siku hizi wasema ukweli wanapigwa vita hata mm nimetoka kwenye dhehebu langu.
Mungu atakuongoza kwa kila jambo mzee wetu katika kristo yesu ukweli lazima usemwe katika madhehebu ya kiroho👏👏👏 tena kazana ili ulete uhamsho tena
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nami nakuombea! Kaza mwendo!
Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akutangulie, Mungu akulinde, unapohubiri habari za kurudi kwa Yesu, uamsho na matengenezo ndiyo ujumbe wa sasa.
Hapo kwenye Uamsho mzee uko vizuri,Kiukweli Sasa hivi Tusipo angalia Makanisa yanaenda kufa Kiroho Maana hâta Ulaya yalianza hivihivi taratibu n'a mwisho pamehalibika sana mpaka ndoa za jinsia Moja zinafungwa Makanisani,
ukiona kuna uamsho ujue tayari makanisa yalishakufa siku nyingi sana na ndio maana Mungu ameleta uamsho ili kuamsha roho zilizokufa,
Baba upo vizuri simamia kile Mungu anakuongoza ni siku za mwisho ukweli huwa watu hawaupendi Yesu akulinde mzee
pole sana mzee wetu😢, mkulima yoyote anaemfuata yesu huku akiangalia na kugeuka nyuma hafai katika ufalme wake, nenda kamtumikie mungu kwa kadri Mungu alivyokutuma
Tunakuombea sana Mungu akutie nguvu ....
Nimependa ujumbe wako ukabarikiwe
Mungu akulinde baba mchungaji napenda sana unavyohubiri na kukaripia mimi najikuta natengeneza njia zangu. Mungu wa mbinguni akuonekania na akuangazie nuru za uso wako na kukupa fadhili na kukulinda siku zote za maisha yako
ameni ameni ameni
Amen ni bora kuitii sauti ya Mungu kuliko kumtii mwanadamu kila mtu ataukumiwa pekee yake
Hakuna sauti ya Mungu hapo
Mungu akutangulie baba na akusimamie
Mungu aendelee kukulinda na ukupe maisha marefu. Mungu akupe mwisho mzuri. Ubarikiwe, na endelea kupiga injili Baba.
Huyu mzee ni mtumishi wa Mungu wa kweli kabisa, Mungu akulinde baba yangu
Baba yetu fanya kazi ya Mungu aliyokuitia kuachana na Dini siyo kuasi Wala sio shida kikubwa timiza kusudi la Mungu alilokuitia.
Mungu aliponye kabisa lake.
Wengine wanahitaji heshima ya Dunia hii.
Roho za watu zinapotea tunamuhutaji sana Mungu, Roho wa Mungu ndiye mwenye kanisa tusaidie.
ameni ameni ameni
Mchungaji,, umebeba maono makubwa!! Mungu atakuinua kwa viwango vya juu!!
Barikiwa sana Baba mchungaji Mungu wa mbinguni anakujuwa katumike maana njia zake ni nyingi
Mmi niliishi bila mtoto from 2016 ndoa yangu ikavunjika alafu nikaoleka tena 2019 nikakaa bila mtoto on 2020 mwisho nikasema nitaokoka nikaanzaga kufwatilia mahubiri ya pastor harrison nganga let me tell you nyumba yangu nliishi kuskiza yye kwatv till today niyye tuwakati nimetulia namfwatiliaga on 2020 july nikashikamimba nanliamini akiomba nashika bible naomba nayye kwasahii mtoto anaelekea 4 years 2025 april date 19 wale walionfukuza kwandoa yakwanza wananipigia nirudi kwakijana wao after 10 years nahaiwezi jusahiniko nakwangu naniko namtoto wangu nanampenda sana anaitwa jeff nanaamini mungu atanibariki nawatoto wengine wengi
🙏🙏🙏🙏🙏 I HAVE MORE TO SAY BUT ALL IN ALL GOD IS MY strength
Neema yabwana itoshee leo nahata milele🙏🙏🙏🙏
Niombee my Dear! Mungu nikumbuke.
Mimiaoni yangu baba nilikuwa naomba unyamaze sàsa fanya KAZI baba nakusihi sanaaaaa imefanya jambo muhimu sana kuachana na tag
❤❤❤❤
Namshukuru Mungu wa mbinguni kwa ushuhuda wako, hakika ni wakutia nguvu na matumaini,
halleluia utukufu kwa Bwana Wamajeshi.
Hongera sana
Uko vizuri sana mtumishi want dgehebu halikupeleki mbinguni bali imani yako tuu.
Mungu aliye ndani yako akubariki sana mchungaji kamtumikie kwa amani na uaminifu mkubwa.
Njoo katoriki tupige neno maana tumechoka baba..
Nakukubali sanaaaaaa
Oooh Yesu atunze amani ya moyo wako baba jamani huyo ni roho mt. Asema kweli magembe yupo kiroho watumishi tuache kumuhukumu ni kwamba mch hapendi dhambi kabisaaaaa Mungu akufiche kwa utukufu wake upo sahihi kilichokuondoa tag ni dhambiiiii❤
Karibu kwenye Uislamu sasa, muda ndio huu, Mungu wa kweli wa Pekee anapatikana huku.
Anapatikana wapi dodoma au?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 usislam ni inchi gani? Ya wapi? Mbona Mungu yupo kila mahari😊
Yupo Mungu wa kweli na miungu ya uwongo, kama Zumaridi vile, hata Yesu kwa wanaye muabudu.
Baba uko sawaaaa, songa mbele Mzee wetu.Tunaitaka T.A.G ya zamani,Tunaona mzee.uthibitisho wa nini? Tunakufuata huko huko,twaja baba.Acha jengo lao twende zetu.
Huna nakupenda na nakuamini mch magembe mungu akubariki
Nimesikiliza kwa makin Sana ujembe wa Mch Magembe. Mungu anajambo kubwa Sana na wewe mchungaji Magembe
Hakika Mungu kakutenga na uovu, Tunakuombea ili nguvu na kazi yake ikatimiye kupitia wewe.
Kwa kazi ya Mungu nadhani itakuwa ni mtu mpumbavu sanaaa akitaka watu wote wema na wenye utii kwa Mungu wawe TAG Mimi naona kazi ya madhehebu yenye mlengo wa kulihubiri Jina la kristo ni kuwafanya watu wote kuishi mapenzi ya Mungu popote walipo wala sio lazima wawe wa TAG
Mzee Magembe your so so smart and honest man na hiyo ndiyo kazi ya mtumishi wa Mungu kufikia kiwango cha kujisema na kujikosoa mwenyewe, waachie biashara yao wewe endelea kutimza kazi ya wito wako katika Bwana maana umetusaidia wengi kutambua ukweli juu ya maisha yetu na kristo wala sio maisha yetu na TAG, KKKT, RC wala chochote.
How wamekuletea zengwe kwa sababu unawaharibia biashara yao 🤣🤣🤣🤣
Wameshindwa.
Ushauri wangu wala usijieleze sanaaa kimsingi wewe jielezeee milele juu ya kazi ya Bwana 🙏✊
Karikiwa kwa kibali kikuu katika kazi yako Mzee Magembe. 🙏
Huyu ndio mtu wakwanza kuondoka kwaamani ubarikiwe mzee❤❤
Ni kweli kanisa limekufa makanisani yamejaa mashindano ya fasheni, urembo, unenguaji na uchafu mwingine huwezi tofautisha fasheni za dunia na kanisani. Nipo na wewe nilimkiri Yesu mwaka 2020 kupitia mahubiri yako barikiwa sana naikubali misimamo yako lengo lako tufike mbinguni na siyo kupoteza muda.
Ameeeen Amen Twende kazi baba mbinguni hakuna dhehebu
Mungu wa mbinguni akutunze Mzee wangu❤
Amen amen kweli Kabisa Yesu yu karibu anarudi watu wajiandae waanze kufanya uamusho na Matengenezo i appreciate you so much ❤❤❤❤❤😢😢😢😢
Umefanya jambo jema sana 🙏🙏🙏
Aise mzee nakuelewa sana Yesu akutunze endeleza moto wa Mungu nahuko ulipo
Mbinguni hamna dhehebu piga kazi mzee Mungu akutetee
You have surprised me pastor and I have been following you and I just say it's well with you......
Eeeh YESU KRISTO !!! Simama na Mtumishi wako.
Babangu Mungu Yuko pamoja nawe, unahekima toka mbinguni.
Mzee wapishe vijana wapige mihela kwa jina la Yesu. Utapeli umezidi Yesu hataki
mimi ni miongoni mwa vijana wako pastor
A MAN OF GOD MAGEMBEE
Mungu akulinde mtumishi na umumtumikie mungu kwa moyo wako!!
Baba mimi ni mkatoliki ,ila nakupenda sana ,mafundisho yako yamenifungua sana yesu akutunze
@@anjelinamwinga Haleluya Haleluya ubarikiwe Tumtaje Mfalme wa Utukufu Yesu kwa herufi kubwa mpendwa
@@LucyKapinga-fg4dkkikubwa Umeielewa haya ni maanishi tu tena tumefundishwa na wazungu Hata jina lake halikushushwa kwa kiswahil
@@LucyKapinga-fg4dkAsante Kwa kunisaidia kuelimisha watu kuhusu hili
Namwona Mzee Kolola akiamka upya. Ubarikiwe baba
Mtumishi wito wako na Mungu hakuna anaejua uliitwa kwajili ya nini yatende unayo ongozwa na roho wa Mungu ubarikiwe kwa kufanya maamuzi ya busala yanayo mpendeza Mungu
Mungu akubaliki saana mzee and Merry Christmas and happy new year 🎉🎉🎉❤❤❤🙏🎄
Blessed the man of God, hakika una hekima itokayo kwa MUNGU.
Mtumishi Yesu anakuja Mungu amekwepusha ,na ibada ya sanamu,
Umefanya maamuzi sahihi mtumishi wa Mungu
Usiogope
Mungu uliye nae ni mkuu sana atakupigania
Babu uposahii ,ata bwanayesu alikataliwa, shetani ameivamia TAJ wao hawajaona MUNGU wambinguni akulinde kwa jina la Yesu kristo amina
sio TAJ ni TAG
Wew upo kanisa lipi ambalo halivamiwi na shetan
Ukahaba na ukomedi umejaa kwa walokole na udunia mwingi nawale wasio na roho wa Yesu ukihubiri kweli tu wewe umekuwa adui kwahiyo magembe hata hivyo umechelewa sana kutoka hongera pia hujachelewa
Saa nyingine Mungu anakuweka hapo mpaka mda anaotaka utoke ndio unatoka ukute alikuwa ajapata Ruhusa za Roho Mtakatifu
We ni msomi,na unamjua Mungu kwa upana na urefu, hakika tuna Amini umesimama katika kusudi la Mungu.
Kumjua Mungu ni Neema na sio usomi, angalia Yusufu alikua amesoma ? Au ni maarifa ya Mungu ndani yake. Ila Elimu tusiache ikaenda zake
Ubarikiwe mchungaji tuko pamoja uyasemayo ni kweli
Mungu akubaliki baba yangu fanya kazi ya Mungu bila kujali nani na nini anasema
Ubarikiwe kwa hekima ulio itumia yesu akulinde
Yesu✅ yesu❌
Mungu aendelee kukufanyia wepesi Baba.
Amen 🙏 Mungu akutie nguvu mtumishi
Songa mbele baba ukalitimize kusudi la Mungu aliloweka ndani yako.
Petro akasema imetupasa kumsikiliza Mungu na si wanadamu.
Chapa kazi baba. Natamaani niwe chini yako unilee kiroho.
Mungu akubaliki baba,unasema kweri ,sema yenye Mungu amekutuma baba ,sema,sema
Nabarikiwa sana na mahubiri yako baba Mimi naspoti kaulu yako kuwa kanisan limekufa tulivuokuwa sivyo kabisa
Ni kweli kanisa la sasa limekufa. Mungu atusaidie. Yanayofanyika ndani ta kanisa Mungu anajua
Songa mbele Mungu akusaidie tulikupenda san umetuacha huku tutakukumbuk huk
Makanisa now day ni kuwanayo makini sana huwezijua shetani anatumia maarifa kiasigani kwenye kivuli cha makanisa na ukizingatia ni nyakati za mwisho manabii wa uongo Mungu alishasema watakuwepo kilichopo Tujiandae kwa ujio wamarayapili wa Yesu kristo kuwachukua wale walioishika torati ya Mungu.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Endelea kuhubili kweli ya Mungu..!!
Hongera mtumishi wa BWANA tuko pamoja.kuihubiri injili ya kweli ya matengenezo MUNGU atupe kuweza,Amina
Fanya Kazi ya Bwana mtu wa Mungu, hao wanaotaka kugeuza Kanisa Mashamba yao kimaslai waache Wasijekuzima alichokiweka Mungu kwako
Mimi najua Yesu kristo anasema ktk marko yakua, aaminie na kubatizwa ataokoka. Sio ili uwe umeokoka basi uwe dhehebu fulani nooo. Tunapotoshana
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Moses M.
Gud baba tunakupenda sana kwa msimamo wako
Baba hubiri Injir sio Dhehebu Mimi ni MT,A,G Wewe simamia Injiri kwa kuwa hatufiki mbinguni kwa madhehebu INJIRI IENDELEE MUNGU AKUBARIKI ZAID NILIKUFUATILIA NA NITAKUFUATILIA BABA
MUNGU akulinde baba endelea kuubiri Kweli ya Mungu 🙏🏿
Umepiga penyew baba siku zote katika maisha ukweli unaumaa baba hao hawana mbingu yakukupeleka
Mtumishi wa Mungu Magembe kanisa lako wanawake wanavaa wigi herini kichwa wazi makucha bandia na kadhalika
Wapi imeandikwa usivae hereni na mawigi kwahiyo wewe huvai saa 😂😂acheni ujinga wa kutafsiri maandiko mnavyotaka nyiee
Ni kwasababu alikuwa TAG asingeweza kuwaambia waache wakati TAG wamekubaliana wasiwakataze wanawake. Ndo maana kajitoa
@ wapi biblia imekataza kuvaa urembo au mnasoma biblia na kutafsiri mnavyotaka
@@shonejuma3265 kumkosoa Mungu sio vizuri. Kumbuka ili uvae hereni ni lazima utoboe maskio. Mungu angetaka tuvae tungezaliwa teyari tuna matundu maskioni. Mbona pua hatukujitoboa tulikuta tayari pia zina matundu ya kupumulia. Wanawake huwa tunajikuta tunaakili kuliko Mungu ndo maana tuna makorokoro mengi ya kijunga tu
@@sarahmwasyoge1830kwahiyo mwanadamu aliumbwa na mavazi?
Hongera ni Baba wa mbinguni ame kutoa Baba Magembe ni mteule
Zidi kuinena kweli ya Mungu mtumishi wa Mungu aliye hai. Injili ya kweli wengi hawipendi. Endelea kunyooosha kweli ya Mungu. Anayetaka kufika m inguni atakuupenda. Zidi kunyenyekea baba.
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mzee njoo marekani makanisa yamekufa
Nenda ukapige kazi mzee wetu na Mungu atakutangulia