Hii ndio injili ninayopenda kusikiliza, injli za mafanikio ya kimwili zimenichosha, kwenye injili ya namna hii itanifanya niwe nakufuatilia sana mtumishi Bwana Yesu Kristo akuzidishie marifa yake
Si dans chaque pays on pouvait avoir 10 hommes de DIEU comme Moses Magembe la planète terre changerait a 70 % . Soi louer CHRIST d'avoir ces exceptions.
Mbona kama msabato huyu!!? anahubiri ujumbe wanaouhubiri wasabato kabisa, ni gomba za mama Ellen g White hizo!! Duh! Aisee kumbe kweli ya Mungu inabaki kuwa kweli tu, Barikiwa mchungaji endelea kula gombo hizo lisha na kondoo wa bwana hao Ipo siku watawakubari wasabato kuwa ndo waliobeba kweli ya Mungu
@@magenierick5939 Wamwabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli, kilichoandikwa na Mungu katika biblia kitafundishwa na kuwafikia watu bila kujali madhehebu yao
Kwa kila anayesikia mahubili kama haya mwenye ufahamu wa kutosha atajipambanua afahamu maneno ya manabii Yana nyakata ndio Sasa tuyatambue maneno ya yesu kristo na nyakati zetu tumutukuze mungu
Huyu Mchungaji amefika karibu na kiwango cha juu cha imani. Ubarikiwe sana. Mimi ni msabato naishi Canada, nimefarijika kuona kuwa Mungu ana watu wake wengi makanisa mengine. Majina ya makanisa ni label tu, SDA, AGT n.k kubwa ni imani iliyijengwa katika ukweli wa neno la Mungu. Pengine wewe ni wa kwanza kwa makanisa ya J2 kufundisha kwa usahihi hivi Daniel 7 (th-cam.com/video/6KWaWV8eY9o/w-d-xo.html). Mungu akuinue zaidi ili uinue na wengine wengi. Asante kutuongoza katika toba ya kweli.
Bwana yesu lisaidie kanisa lako tupitishe katika njia zako ili siku utakapo rudi kulichukua kanisa lako tuwepo, naomba ndugu zangu tuishi katika mapenzi ya mungu mana nyakati izi ni za mwisho kila mmoja amtafute mungu kwa bidii.
Nabarikiwa na Mungu kupitia huyu Baba tangu mwanzo wa kuokoka kwangu nimekua kwa haraka na kufikia kuwa ushemas na kupelekea kuja kuwa mchungaji msaidizi sijaona kama huyu
Namwomba Mungu ambariki na kuzidi ili awe mfano wa kuigwa katika kipindi hiki na kijacho kwa kumpenda kwangu nikapewa jina lake kuwa jina langu kanisan na mitaa wananiita mchungaji magembe
Hallelujah sifa na utukufu ni vyake Mungu YESU atusaidie tumuishie,asante sana baba kwa injili isiyo na kupepesa macho, injili ya kishujaa iletayo wokovu oooh Hallelujah
Hata mimi nimemkubali mafundisho yake yameniongezea Imani tunakiu sana kulijua neno la mungu mungu akutunze ili uendelee kumuhubiri kristu neno lake lisonge mbele na kuokolewa
Ubarikiwe sana Mchungaji, tunachunga ukweli kuusu sabato ya kweli ni ipi ijuma pili au Jumamosi, kwa sababu kuna Wakristo wanao sema siku alio fufuka Bwana wetu YESU KRISTO ndiyo sabato ya kweli, lakini tunavyo juwa sabato ya kweli ambayo iko katika Biblia ni siku ya juma mosi.
@@magenierick5939 Mchungaji ana hubiri Injili vizuri lakini kuusu sabato ya kweli ajawayi kusema. Mimi ni wa kanisa la PENTECOST lakini nilipo juwa ukweli kuusu siku ya juma mosi ndiyo sabato ya kweli nimekuwa huru. Ingekuwa vizuri sana wa chungaji waubirie watu ukweli kuusu sabato ya kweli.
@@jeanefelix70 wachungaji wengi wanatambua ukweli wa sabato ya kweli lkn wanapindisha maandiko au wanashindwa kuwambia waumini ukweli kuhofia watakosa ulaji. Ila Mungu azidi kuwafumbua watu macho ili wasome Biblia na kuielewa.
Un Niko mashariki DRC,ni ajabu kusikia mahubiri ya mzee Magembe, si ajabu hâta mahubiri Mises Kulola ninayezania kuwa baba yake,ilinibariki sana. Mungu akuongezea maisha
THIS IS THE TRUE MESSAGE THE WORLD SHOULD HEAR,PREPARING THE CHURCH FOR THE SECOND COMING OF JESUS, IAM BLESSED TO HEAR THIS MESSAGE. IAM GETTING YOU CLEAR FROM NAIROBI-KENYA
Bwana wetu YESU kristo asifiwe # ombi kwa kitengo cha habari tunaomba mtufikishie taarifa kwa baba mchungaji juu ya kufundisha vitabu vya ezekiel na zakaria
Thanks and be blessed Rev. Moses Magembe for reminding us of a true life of a believer living in the last days. Wish there was English version of this gospel. It is so powerful and very rare to be heard!
Hii ndio injili ninayopenda kusikiliza, injli za mafanikio ya kimwili zimenichosha, kwenye injili ya namna hii itanifanya niwe nakufuatilia sana mtumishi Bwana Yesu Kristo akuzidishie marifa yake
Injili za hela..sifatiliagi mimi kwangu ni kufanya kazi nakuwa makini kwa matumizi kama Mungu wakunibariki na anibariki kwa uwezo wake nakusudi lake
Amen
Huyu Mzee Ni noma,
@@geraldmakalala6091 umeona!! Yuko vizuri sana
@@ibrahimunyanda398 hapo umesema kweli mtumishi
Si dans chaque pays on pouvait avoir 10 hommes de DIEU comme Moses Magembe la planète terre changerait a 70 % . Soi louer CHRIST d'avoir ces exceptions.
Ameen
Hii ndo injili sasa Mungu akubariki na Mungu atusamehe,Ee Bwana tusaidie tusimame katika nafasi zetu
Kwakweli huyu Mzee amesoma biblia na ana ufahamu wa Hali ya juu. Mungu ampe maisha marefu.
Barikiwa
sana
Mbona kama msabato huyu!!? anahubiri ujumbe wanaouhubiri wasabato kabisa, ni gomba za mama Ellen g White hizo!! Duh! Aisee kumbe kweli ya Mungu inabaki kuwa kweli tu, Barikiwa mchungaji endelea kula gombo hizo lisha na kondoo wa bwana hao Ipo siku watawakubari wasabato kuwa ndo waliobeba kweli ya Mungu
@@magenierick5939
Wamwabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli, kilichoandikwa na Mungu katika biblia kitafundishwa na kuwafikia watu bila kujali madhehebu yao
Neno la Mungu linaposhuka halina dhehebu,
Kwa kila anayesikia mahubili kama haya mwenye ufahamu wa kutosha atajipambanua afahamu maneno ya manabii Yana nyakata ndio Sasa tuyatambue maneno ya yesu kristo na nyakati zetu tumutukuze mungu
Huna mamlaka ya kunizuia kumwabudu Mungu wang Barikiwa Pastor
Chuma hunoa chuma, Mungu amekuweka kwa wakati kama huu, uwe jasiri na moyo mkuu ukainene kweli yotee, tupo pamoja na wewe baba
Wakati upi wakati kitabu cha Daniel amekataa kusema ukweli uko wapi Daniel 7:24-25 mulize nini na nini kikibadilishwa hapo alipo fika hapo akahepa
@@jamesdavid4977 sema wewe unajua nn kwa habari ya maandiko hayo?
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Kweli Mungu yuko ndani yake, amenifundisha vitu vingi sana Mungu amtunze
Amina Asante Yesu kwa kumweka mtumishi wako kwetu sisi tunaoishi ktk siku hizi za mwisho.
Kwa Hakika roho mtakatifu amekushukia kuokoa watu wake Mungu akubariki sana, mchungaji, ee mwenyezi Mungu tuokoe
Huyu Mchungaji amefika karibu na kiwango cha juu cha imani. Ubarikiwe sana. Mimi ni msabato naishi Canada, nimefarijika kuona kuwa Mungu ana watu wake wengi makanisa mengine. Majina ya makanisa ni label tu, SDA, AGT n.k kubwa ni imani iliyijengwa katika ukweli wa neno la Mungu. Pengine wewe ni wa kwanza kwa makanisa ya J2 kufundisha kwa usahihi hivi Daniel 7 (th-cam.com/video/6KWaWV8eY9o/w-d-xo.html). Mungu akuinue zaidi ili uinue na wengine wengi. Asante kutuongoza katika toba ya kweli.
Hellow Mr joash
Mwenye mamsikio na asikie
Bwana yesu lisaidie kanisa lako tupitishe katika njia zako ili siku utakapo rudi kulichukua kanisa lako tuwepo, naomba ndugu zangu tuishi katika mapenzi ya mungu mana nyakati izi ni za mwisho kila mmoja amtafute mungu kwa bidii.
Ubarikiwe Kwa comment yako.
Amina
Ubalikiwe sana baba kwamaubili mazuli yanani fanya nimtafute mungu sana
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Barikiwa sana Baba na Mungu akuzidishe ijnili kama ya Mwnzo
Mafundisho haya kweli yatoka kwa MTUMISHI WA MUNGU aliye hai,, Ubarikiwe MTUMISHI🙏🙏
Mchungaji Moses ubarikiwe sana
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Powerful gospel Rev. Magembe......God want more people of your calliber
I love papa for u preachers learn us more and more and build us to depend in God.
Pastor. Maghembe. Mungu akubariki Sana. Hii injili isiyo ghoshiwa ndio dawa kwa kizazi hiki.
Nabarikiwa na Mungu kupitia huyu Baba tangu mwanzo wa kuokoka kwangu nimekua kwa haraka na kufikia kuwa ushemas na kupelekea kuja kuwa mchungaji msaidizi sijaona kama huyu
Namwomba Mungu ambariki na kuzidi ili awe mfano wa kuigwa katika kipindi hiki na kijacho kwa kumpenda kwangu nikapewa jina lake kuwa jina langu kanisan na mitaa wananiita mchungaji magembe
Muchungaji Mungu akubariki sana baba yetu kwa neno la uzima
Wow such a powerful man of God may u live long
Wengi wemegushineno la Bwana lakini wewe Yesu amekupa kusema kweli iliyo kuu hakika Bwana akutunza Baba Ameen. amekupab
Huyu mzee amevuviwa ukuu wa Mungu kuhubili injili kwa kanixa lote. Hakik habl NJEMA ya wokovu itahubiliwa katika mataifa na lugha na jamaa yot
Kweli mzee Magembe Mungu anakutumia kuokoa roho nyingi
Yesu Kristo!!!!..... Uta assemble kwa ajili ya shetani. Yesuuu nakutaka na nguvu zako
Hallelujah sifa na utukufu ni vyake Mungu YESU atusaidie tumuishie,asante sana baba kwa injili isiyo na kupepesa macho, injili ya kishujaa iletayo wokovu oooh Hallelujah
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Mungu akubariki mchukungaji Moses Magembe.
Amina baba ubalikiwe sana Mungu akupe myaka mingi ili tupoke vitu vingi zaidi!
Asante Mungu wetu kwa kutupa watumishi wa kutufundinda neno lako nasi tupate kuujua ufalme wako
God is still speaking today. God bless Rev Magembe. One of the few that still stands for the hard truth in these last days
Amen utunzwe na Yesu
Ni kweli kbsaaa Bwana amtie nguvu Daima
Kweli wewe ni mtumishi wa Mungu nitakufatilia hili niambukizwe na kilicho ndani yako Mungu nisaidie
Asante mtumishi wa Mungu kwa ujumbe huu, 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu Azidi kukubariki Baba...
Kwa Kutuhubiri Injili ya kweli isiyogoshiwa
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ajili ya mafundisho
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Wewe Mzee MUNGU anisaidie sana. Unajitahidi sana kusema ukweli.
Mungu ambaliki sana huyu mchungaji kwasababu ni chombo halisi cha Mungu na anatumika na Mungu kwelikweli Yesu amlinde na mabaya aumalize mwendo salama
Hongeraa Mtumishi kwa Neno lililo HAI!
Ubarikiwe mch magembe ,nimekuelewa kwa mafundisho yako.hakika tutashinda juu ya hili janga.
😢ubarikiw mze Moses magembe maana injili kama hii imepotea makanisan
Mbingu na nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe. Mwenye Sikio na asikie.
Asante Bwana Yesu kwa ujumbe huu.
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Hata mimi nimemkubali mafundisho yake yameniongezea Imani tunakiu sana kulijua neno la mungu mungu akutunze ili uendelee kumuhubiri kristu neno lake lisonge mbele na kuokolewa
Ubarikiwe sana Mchungaji, tunachunga ukweli kuusu sabato ya kweli ni ipi ijuma pili au Jumamosi, kwa sababu kuna Wakristo wanao sema siku alio fufuka Bwana wetu YESU KRISTO ndiyo sabato ya kweli, lakini tunavyo juwa sabato ya kweli ambayo iko katika Biblia ni siku ya juma mosi.
Great my sister
Mchungaji anakaribia kuwa msabato huyu maana mahubiri hayo na vitabu vya kisabato tupu.
@@magenierick5939 Mchungaji ana hubiri Injili vizuri lakini kuusu sabato ya kweli ajawayi kusema.
Mimi ni wa kanisa la PENTECOST lakini nilipo juwa ukweli kuusu siku ya juma mosi ndiyo sabato ya kweli nimekuwa huru.
Ingekuwa vizuri sana wa chungaji waubirie watu ukweli kuusu sabato ya kweli.
@@jeanefelix70 wachungaji wengi wanatambua ukweli wa sabato ya kweli lkn wanapindisha maandiko au wanashindwa kuwambia waumini ukweli kuhofia watakosa ulaji. Ila Mungu azidi kuwafumbua watu macho ili wasome Biblia na kuielewa.
Hujui maanayasabato,wewemarehemu sabatosiosiku,sabatonipumziko
ameni baba mchungaji ambaye haujachakachuliwa
Un Niko mashariki DRC,ni ajabu kusikia mahubiri ya mzee Magembe, si ajabu hâta mahubiri Mises Kulola ninayezania kuwa baba yake,ilinibariki sana. Mungu akuongezea maisha
Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Mchungaji mzee Moses ubarikiwe sana nayafurahia sana mafundisho ya Biblia unayo funza
THIS IS THE TRUE MESSAGE THE WORLD SHOULD HEAR,PREPARING THE CHURCH FOR THE SECOND COMING OF JESUS,
IAM BLESSED TO HEAR THIS MESSAGE.
IAM GETTING YOU CLEAR FROM NAIROBI-KENYA
Tumuombee huyu Mzee wetu.
Mchungaji.unaeleweka.sana.
Mungu akuongezee miaka.ya huduma mana.mko wachache sana
Pure Gospel. Am lucky to land here...Jesus is the real deal. Satan is a fooooool
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Mungu akubariki baba Moses magembe
Niinuliwe kiroho na kiimani kwa mahubiri yako baba moses
Mungu atusaidie tuishike kweli mch Mungu akubariki
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Baba mungu akuongeze umri wa kuishi, nimebarikiwa sana
Mungu wa mbinguni aendelee kukutunza
Mungu awabariki kwa neno la Mungu.
What a Gospel, what exegesis , My God, My God...Full flame of Fire! Glory to God.
Mungu turehemu
Ubarikiwe mtumishi, mm nakuelewa sana!
Yesu Tusaidie Kuridhika na kidogo tulichonacho zaidi ni kuutafuta Ufalme wako
This messenger of God is knowledgeable on the most difficult Scriptures.
May the hand of God protect and bless him.
Amina baba Mungu akubariki sanaaa na azidi kuongeza huduma yako tunabarikiwa sanaaa baba na najitahdi Sana kukufatilia baba
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Jesus My Lord Tupe Nguvu Ya Kupambana
hakika Mungu nimwema kutupa mabaki wake tujifunze kwake🙏🙏🙏🙏
Baba Mchungaji oooooh jamani Yesu tusaidie kanisa lako tuteteee babaaaas oh Lord Jesus
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Mafundisho adim sana! Ubarikiwe baba!
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Mungu akutiye nguvu mtumishi
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Bwana wetu YESU kristo asifiwe # ombi kwa kitengo cha habari tunaomba mtufikishie taarifa kwa baba mchungaji juu ya kufundisha vitabu vya ezekiel na zakaria
Asante sana mchungaji kuniamsha. Uongezewe mafuta ya kiroho
Hii ndio mafundisho ya kweli naya ufalme wa Mungu
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Be blessed Mtumishi wa Mungu Baba. Jina la Bwana Yesu lisifiweee.
MUNGU ni mwema ametupatia wahubiri wa Ukweli.Amina
Ujumbe huu unanibariki zaidi imenifuza jinsi ya kumgoja MUNGU......injili ya matengenezo........
Asante mzee umekuwa faida kwangu ubarikiwe na BWANA
Hakika huyu ni mchungaji ambae Mungu mwenyewe alijichagulia laiti kama tungepata hamusini iliyo kama yeye katika africa lazima inge badilina
Ubarikiwe Sana Baba, MUNGU atusaidie Sana
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Baba mchungaji Mungu akubariki San sana
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Ubarkiwe sana mtumish wa Mungu, maisha yko yawe marefu
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Mungu ambariki huyu mzee dah
Chuma unoa chuma Mungu wako anione maana ninahamu ya kumtumikia Mungu
Ubarikiwe mtumishi umifanya niongezeke sana
Kabisa baba nifatapo maubiri yako unanifanya kupanda viwango vya juu kbs, kwa heshima kubwa namwomba MUNGU akupe mwisho mzuri.
Sifa kwa MUNGU anakutumia baba.
Thanks and be blessed Rev. Moses Magembe for reminding us of a true life of a believer living in the last days. Wish there was English version of this gospel. It is so powerful and very rare to be heard!
Asante Mch.Magembe mhola ya seba Baba
Mzee hiki kipawa tuwambukize nasisi Ila kaz yako ni njema
Ubarikiwe mch magembe
Umeniguza baba askofu,barikiwa sana
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Mungu tuhurumie nautusaidie kupokea maasifa yatokayo kwako kupitia kinywa Cha mtumishi wako🙏🙏🙏
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Nabalikiwa sana n mahubili yako mtumishi wa mungu
Mungu akubaliki
Tupate wapi baba kama huyu!!?
BABA NAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YAKO, ASANTE MAANA SOMO HILI LIMENIINUA MUNGU AKUTUMIE APENDAVYO KTK ZAMA HIZI AMBAZO WATUMISHI WENGI WANATAFUTA VYAO.
JESUS CHRIST IS MY LORD FOR EVER
Baba Magembe ukweli ni Muhimu Mungu abariki neno lake, pia kanisa tuyaelewe maneno haya yanayonenwa turudi kwenye kweli
Ameeeeeeeeeeen Asante Yesu asanteeeeee baba
Kweli kabisa nyie ndo Viongozi watiifu kwa Mwenyezi Mungu wetu
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Adam bandari ww ni wale wa mafuta, chumvi na vitambaa nn! Mungu akusaidie akufunulie macho ya rohoni.
Ahssante sema tupone mtumishi wa mungu,❤
Waaoooh nabarikiwa sana na huduma yako 📖🙏 -Arusha
Huyu Mzee wetu anajitahidi sana tumuombee na tujiombee na sisi tuweze kuokolewa.
Ubarikiwe sana mtumishi
Da MUNGU ANIREHEMU NA ATUREHEMU VIJANA Maana nAhurumia VIJANA TUMEKUFA KABISAAA TUNAHITAJI MAOMBI YA HARAKA 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭MUNGU NISAIDIE
merci pour le message, je suis vraiement réveiulle,que Dieu benisse le paster mangembe ,
Tu dois te réveiller jusqu'à la fin du monde et tu dois aussi continuer de prier en pratiquant la vérité de parole de Dieu. Le temps du fin est proche