HIZI NDIZO SABABU ZA YESU KUTOKWENDA MAKKAH. SHEIKH HABIBU MAZINGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2020
  • Darasa ilitolewa na Sheikh Mazinge baada ya swala ya Ijumaa Msikiti wa Nuruyakin Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 6/11/2020, Sheikh mazinge alipatia nasha mbalimbali waumini baada ya swala ya ijumaa, na moja katika maswali mazito aliyoulizwa katika mihadhara yake ni swali hili, tazama hadi mwisho upate kuelimika, tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwa mwenye namba ya simu ya sheikh Mazinge naomba anitumie inshaallah .na sisi watu ea.mikoani tunataka kumchangia chochote kitakachokuwepo inshaallah 🙏

  • @selemanaman8340
    @selemanaman8340 3 ปีที่แล้ว +11

    Allah akbar mwenyezimungu atujaarie mwisho mwema na atufishe hali nakuwa ni waislaam🕌🕌🕌

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 ปีที่แล้ว +10

    Muda c mrefu Bwana Yesu atajidhihirisha tu

  • @kochantv8554
    @kochantv8554 3 ปีที่แล้ว +19

    Assalam aleykhum warahmatullah wabarakatuh... Namuomba Allah akuongoze katika utowaji wako wa dawa, namuomba Allah akurahisishie kazi zako ziwe zahisi.. kwako sheikh mazinge...naomba ukitoka safari yako nipate updates na mm inshaallah Ameeen.

  • @fatumahamis166
    @fatumahamis166 3 ปีที่แล้ว +6

    ,kwaza nimuombe mwenyezimungu msamaha pamoja na waislam wezang wote nilitoa kauli mby ile siku shehe wakimponda shehe ponda juu ya uchaguzi ila nimejua nilikosea maana hakuna kazi Bora kama yakumtumikia alla muumba ardhi na mbigu kwapamoja waislam wote tumuombe mungu amjalie shehe wetu afike slm arudi Salam kwaajili ya alla

  • @papiuskiongozi7126
    @papiuskiongozi7126 3 ปีที่แล้ว +1

    Jembe wewe nakukubari karibu burundi

  • @hamishemed9396
    @hamishemed9396 3 ปีที่แล้ว +13

    Allah akufanyie wepesi katika safari yako na akufanyie wepesi katika kuutetea uislam maswali utakayoulizwa katika huo mkutano Allah akupe wepesi kuyajibu kwa usahihi kabisa urudi na ushindi uwasilimishe mpaka mapadri

  • @paulduke6712

    Usikufe bilakubokea yesu na kubatuziwa 😂😂😂

  • @amadykassim
    @amadykassim ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali Mazinge ❤

  • @weezybwoy-rb5xl

    Tunahitaji Mazinge Urudi Burundi ufikishe ujumbe wa Allah S.W na huku mukoani Gitega tukuone

  • @abdoulkarenzo3138
    @abdoulkarenzo3138 3 ปีที่แล้ว +28

    Wenyeku mpenda sheikh wetu Mazinge like apa lakini mimi sijabahatika kukuona sheikh wangu Mazinge

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 3 ปีที่แล้ว +12

    Shekhe Othman Mazinge Allah(S.W) Akubariki na Aibariki safari yako uende salama na iwe yenye mafanikio IshaAllah, kwa kweli tunakupenda sana huku KENYA sisi waislam wenzako na tunakuombea urudi salama na vilevile Alla(S.W) Atujaalie tuwe pamoja na Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) katika Pepo Yake IshaAllah...

  • @LilyKangethe-hw2bw
    @LilyKangethe-hw2bw ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah Akuzidishie heri Inshallah...❤❤❤

  • @jojobrayan1551
    @jojobrayan1551 3 ปีที่แล้ว +15

    We real love you sheikh ,ManshaAllah 👏👏🇨🇦🇨🇦

  • @salimaomar9896
    @salimaomar9896 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaa Allah muwekeye Nuuru m zazi wa shekh Nourdini Kishikh katika Kaburi l'âne ALLAHUMMA Amiin

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 3 ปีที่แล้ว +101

    Karibu sana burundi 🇧🇮 Allah awafikishe salama awarudhishe salama na ushindi uwe wa waislam karam ya tauhid izagae urimwengu mzima🙏🏻

  • @habibaramadhani-xv2ed

    Ya Allah, Tunaomba ALLAH Akujalie.Uweze kutuwakilisha vizuri . Amiina.

  • @muswadiqmkufya1519
    @muswadiqmkufya1519 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akupe umri mrefu shekhe wetu tupate matunda yako

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 3 ปีที่แล้ว +37

    InshaALLAH mungu atakuwezesha uendapo na ushindi juu ya uislamu

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah masheikh WETU Allah atawalipa fungu lenu siku ya Hesabu Inshaallah 👏