MAJIBU JUU YA URONGO WA ALI ABUBAKAR || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • MAJIBU JUU YA URONGO WA ALI ABUBAKAR || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE

ความคิดเห็น • 142

  • @sibawaybakar6317
    @sibawaybakar6317 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah, sheikh, kwa kweli hawa mawahabi ni wapotoshaji tukae nao mbali.

  • @osmanmanbile9327
    @osmanmanbile9327 2 หลายเดือนก่อน +4

    Shukran ustadh muhsin bute mawahbaii elimu hawajui ni porojo2 na kupotosha watu

  • @abdurahmanabdallah2403
    @abdurahmanabdallah2403 2 หลายเดือนก่อน +3

    MASHALLAH ustadh mungu akubariki

  • @SugowFarah-up3db
    @SugowFarah-up3db 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikh Uthaimin رحمه الله تعالى lugha yake iko wazi kabisa kwamba muandamo wa mwezi wa Dhul-hijjah utazingatiwa ule wa Saudia hata kama itakhalifiana na miji mingine

    • @KomoraMohamed
      @KomoraMohamed 2 หลายเดือนก่อน

      Nynyi magaidi wadhani ni nani watafata bakini kwnye giza

    • @user-lo1uk8dp5f
      @user-lo1uk8dp5f 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo uthaimini maneno hayo ameyatoa wap kwakua uthaimini hakua mtume

  • @bukhariznz
    @bukhariznz หลายเดือนก่อน

    ولا تكونوا كالذين نسو الله فانساهم أنفسهم اولىك هم الفاسقون.
    او كما قال الله تبارك وتعالى.

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 2 หลายเดือนก่อน

    Shukran sheikh

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 2 หลายเดือนก่อน +4

    Shukran sana habeeb umeongea kwa ufaswaha mkubwa umeeleweka na msumari umeingia

  • @ahmedbadi5822
    @ahmedbadi5822 2 หลายเดือนก่อน

    MAA SHAA ALLAH USTADH UMEEKA MAMBO SAWA

  • @SalumKeya
    @SalumKeya 2 หลายเดือนก่อน

    Allah atuongoze fii dunia wal akhera

  • @ummulhussein
    @ummulhussein 2 หลายเดือนก่อน

    subhana allah 🙏🙌mola atupe tana buhi na kuzundukaa manake wakati huu umeisha tuspo zundukaa ss hatuna tamaa mbele badilikaa yani ndugu zangu walimu nyote maa ustadh🙏🙌🤭nshawahi kusema hili neno kumjibu ustadh izuu din kma nafurahika juu ya darsaa kuskiza badae huja maneno kitandawili khaswaa kupijilizwaa mm nasema tena leo mutaakaukaa kooo zenu na zilimi zitakuwa zimechokaa kusemaa boraa hyo wahabi muachane nae amekuja kwa fujo ss na kelele mola umuongoze yarabi🙏🙌🙏🙌ampee fahamu nzur ipo cku moja katika nlpo kua na kazi zanguu nkasema hzi vitu fulani bukhur za maulid alinicheka na kuliza ww wapenda maulid mkasema sanaa yy nkimuliza hakusema kituu kma aapenda hapendi lakin namjua vzur kma hapendi na shidàa hatki kushindwaa kabisaa kma yy ajua kila kituuu nguvuu ki hikmaa 😢🙏🙌namm thumaa wallah cjatetesha famly nanyinyi muwe mashahidi walimu huitwaa mbaya cna manaa cna akili cna hikmaa😢😢 leo namini nakubali kma dunia ina duwaraa marejeo angamani lakushangaza mbona amerudi kwa nguvuu awe yy na kijana wake ama famly yake mm ctaki kua fitnaa jina langu kutiwaa midomoni imeisha nayy inshallah atuliye kwa barka idhul hajjj awe makini na nyinyi walimu nfio mtamni yote nlosema ckuzushaa mm masalam jazakallah kherraa🙏🙌 usiku mwemaa

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

  • @Abdulrahman.84
    @Abdulrahman.84 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran wajazaka allahu kheir Habib tume kufahamu Kwa uziri sanaaa

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 หลายเดือนก่อน +2

    UMEWABOMOWA VIZURI SANA AKHIY,
    MUNGU AKUZIDISHIE ELIMU NA AKURUZUKU HIKMA NA MAARIFA YA ZIADA NA AUINUE UISILAMU JUU KUPITIA JUHUDI YAKO,AAAMIIIIN

  • @swalehmohamedwaziri7499
    @swalehmohamedwaziri7499 2 หลายเดือนก่อน +4

    Maa shallah
    Ni kweli nimeamini mawahabi ni wababaishaji

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 2 หลายเดือนก่อน +2

    ما شآء الله جزاك الله خيرًا
    ETI HOJA NI ALLAAH HUTEREMKA VIWANJA VYA ARAFA! SASA UKIENDA NAO SAMBAMBA NDO ALLAAH ATATEREMKA KENYA?!

  • @NMJAsaid
    @NMJAsaid 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shida muenu masufi ni warongo sanaaaaaa. Yaani mashekhe wenu wana uwezo wa kufufua maiti!!!

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nyny ni wakweli km maswahaba vile.,...

    • @musakibwana4596
      @musakibwana4596 24 วันที่ผ่านมา

      sio mada hiyo

    • @NMJAsaid
      @NMJAsaid 24 วันที่ผ่านมา

      Kwa ubishi hakuna kiboko ya masufi

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 2 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah

  • @user-hr9kb7ev1i
    @user-hr9kb7ev1i 2 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana,Allah akuzidishie ilmu na akubarikie ufahamu ndungu yetu

  • @HemedAbdullaSuleiman
    @HemedAbdullaSuleiman 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mawahabi kwenye Funga ya Arafa wamechemka

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Wanajidhalilisha live

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 2 หลายเดือนก่อน

    Dah miwahabi hailewi lugha wala haifahamu mashekhe zao wanapopoa tu wallah dah mie naona masufi dini wnaiyendea haki ukiwasikiliza mashekhe wa kisufi lazima ufaidike

  • @babuumohd4290
    @babuumohd4290 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashekhe wengi wakileo hamna mnachotupa katika dini zaidi ya kuikhtilafiana. Yani badala kuweka mikakati ya kuuregesha uislam katika uongozi kazi yenu nikuweka mijadala yakutafta hela mitandaoni

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mnachokifaham ni kusherehekea mazazi yayamtum muhamad s w w kama wakristo na ulivoanza kuzungumza sijakusikia unakosoa kwahivowewe hufai hatakusikilizwa nendeni muwe munaabudia maiti hiondo mnajua tu

  • @alimaalimahmad837
    @alimaalimahmad837 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa mawahabi tatizo lao hupenda kuruka ruka kama mabisi kwenye machine , hebu tulieni basi kwanza msome ...

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Unafurahisha kweli mkuu,

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa kabissa
    Mola akubariki shk Muhsin

  • @abasifadhiliswai9465
    @abasifadhiliswai9465 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh Ali Abubakar anaeleweka vzr sana, nyie hamjui mnamtumikia nani.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Hebu tufahamishe umemuelewwje Ali abubakar

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani mawahabi siku zote ni wanafunzi waliofeli so hapo kuna kibarua kwnye kuelewa na kusoma

    • @khalifaahmed5232
      @khalifaahmed5232 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂Uyu Ali ht asilaumiwe uyu hajasoma kabsaa Hana elimu ht robo hebu mchunguze xaidi yy afuata bendera sheikh akisema mskiti mwngn nayy ndio Mada yake ijuma ijao alafu mchunguze Tena akilemewa kabsaa huchukua vipande vipande vya masheikh akivikata na kukejeli na kudharau yaani uyu twamjua vzr sanaaaa elimu yako kasoma wapi na ikawaje kapewa mskiti ndio nasema uyu haesabiwi kabsaa afaa asijibiwe llte abweke tuu mpk achoke 😂😂😂

  • @SafiaHaji-fo3sl
    @SafiaHaji-fo3sl 2 หลายเดือนก่อน +1

    nyny mashekhe wacheni mambo ya mipasho uislamu munautia aibu nyny kwa nyny hamusemeshani

    • @binnagy1497
      @binnagy1497 2 หลายเดือนก่อน

      Very true,Hawa hawana sifa za mashekhe,wasanii tu

  • @swaffaa12020
    @swaffaa12020 2 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi kua wamekubali wao na mawahabi kisha aweka wazi kuwa maneno ya shkh uthaimeen yaweza kutupiliwa mbali maadamu ya mtume s.a.w yani hawa jamaa wapenda mizozo kushinda elimu

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 หลายเดือนก่อน

    Lete NONDO mpaka makhawaarij wa kiwahabi waelewe

  • @FarahJey
    @FarahJey 2 หลายเดือนก่อน +2

    Lini mulikubali hadithi?

  • @KhamisHabib
    @KhamisHabib 2 หลายเดือนก่อน +1

    Assalaamu alaikum naona ww sasa ndie unatudanganya maana hicho alichokisema nikiswahili na ww unasema kiswahili na sisi tunasikiliza kiswahili

  • @user-iz1er8vg7u
    @user-iz1er8vg7u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapenda fitna sasa 😭

  • @AbuuArqamtz
    @AbuuArqamtz 2 หลายเดือนก่อน

    1.Tarehe inakuwaje nyuma na mbele shekh, mbona hatuelewi? 2. Kwani kunanchi inapishana na nchi nyengine kwa kiasi cha masaa 24? 3. Au baina yetu na Suudia kwani kuna utofauti wa masaa mangapi? 4. Jawabu lako kwa Shekh Aly ni lipi kuhusu kauli hizo mbili za shekh, Ipi tufuate? 5. Kwani mashekhe maneno yao ni wahyi wakiongea hufaa kuhesabiwa moja kwa moja bila kufanyiwa utafiti, na ikiwa ni wahyi mbona ameleta maneno mawili la kupinga na lakukubali?

  • @hassanadan1001
    @hassanadan1001 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya msufi ni kufurahisha masharifu , hawasomi , mwisho ya masomo ya ni faslul saadis, kisha wanakuja kupumbaza wasiosoma , na kujifanya kujua lugha ya kiarabu saana.

  • @halimahussein6792
    @halimahussein6792 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi Haya majibizano ya wasomi mtandaoni itaisha lini, Tena mbaya Zaidi wengine hata hoja Na dalili hamna acheni basi

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wenye akili tunaelewa sheikh

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 2 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi ni waongo

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku หลายเดือนก่อน

    Masufi makhurafi mashia wote kimoja wazushi tuuu mbona hoja nyiiingi na hamna mashiko hoja zetu acheni uzushi muogopeni Allah haki ya kumcha

  • @HemedAbdullaSuleiman
    @HemedAbdullaSuleiman 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mawahabi uongo ndio itakadi yao... Yan wao kudanganya hawaoni tabu na kuna mijitu inaburuzwa tuu

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 2 หลายเดือนก่อน

      Swadakta Wallahi

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wacheni uzushi nyinyi. Sheikh Ali na Mohamd Bachu endeleeni kutuhubiria sunna na kukanyagakanyaga uzushi

    • @Dr-ubaida965
      @Dr-ubaida965 2 หลายเดือนก่อน

      Hao majaahili ndo mnaowategemea Duh Nyi Ovyo Kweli.

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh Ali abubak ar endelea kutuelimisha tunakuelewa laud and clear

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      Haha mawahabi majahili kweli. Sasa hop Ali abubakar umemuelewa nini

    • @MuniraRashid-sx3up
      @MuniraRashid-sx3up 2 หลายเดือนก่อน

      Jahili ni ww na wachawi wenzako

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 หลายเดือนก่อน

      @@MuniraRashid-sx3up Haha majahili wakiwahabi wamepoteza muelekeo. Ali Abubakar ni jahili kwasababu anaeleza maelezo ya sheikh wake bila kuyaelewa.huwo ni ujahili

  • @ShabanNyange
    @ShabanNyange 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa la MAWAHABI ni Uelewa Mbovu 😀

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Masufiiiiii munachekesha😂😂😂 sikiliza niwambiekitu mawahabi wanavofundisha wanaeleweka sana tutakosa kuwafata kivipi? Aya na hadidhi mbali mbali wanatoa natunaelewa nyinyitu ndohamuelew aya nahadidhi hamtow na hatutowafatilia kwasababu hizonimekutajia

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 2 หลายเดือนก่อน +3

    Makhurafi mna taabu uelewa wenu ndo mdogo subhanallah..
    Tena mwajiita Alhu sunnah wal jamaa.. 😂😂

    • @user-xb6tr5vq4b
      @user-xb6tr5vq4b 2 หลายเดือนก่อน

      Wanachekesha

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-xb6tr5vq4b
      Mtetee Wahabi mwenzio

  • @muhammad-o7f
    @muhammad-o7f หลายเดือนก่อน

    HUYO KIJANA AKASOME KUSOMA KIARABU KWANZA HAJUI HATA KUSOMA. ETI AMMA BINNISBATI... VUTA HIYO AMMAA MIIM INA ALIF (أمّا بالنسبة)

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 2 หลายเดือนก่อน

    HUWEZI ITETE BAATWIRI SHEKHE BORA KAA KIMYA

  • @idarusalwi7962
    @idarusalwi7962 2 หลายเดือนก่อน

    هذا ليس كاذبا بل مفتري على العلماء الأجلاء .

  • @user-lo1lb8qz4k
    @user-lo1lb8qz4k 2 หลายเดือนก่อน

    Kama huna lakunena afadhali ukanyamaa

  • @FarahJey
    @FarahJey 2 หลายเดือนก่อน

    Ikowa Allah anateremka kiwanja cha Arafa na siku ya arafa,basi na nyinyi sibitisheni kuwa Allah ateremka sikumbili ya arafa ya maka na arafa ya watu wa kenya au sehemu nyengine

  • @Sheikhmadaba-cm2hw
    @Sheikhmadaba-cm2hw 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 ally naona kaacha kutumia karatasi hahahahahaha

  • @issajuma910
    @issajuma910 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni mizozo fungeni kila mtu alivyofahmu wki wte mnalengo moja unautia uislam madowa

  • @user-uo1kc7en6i
    @user-uo1kc7en6i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Ali Abubakar ni mzito wa kuelewa yy na wnzake kina baschu

  • @salimseiban5478
    @salimseiban5478 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa mashkh wa kiwahabi. Hawana ilmu. Wana rukaruka tuu. Hii hoja Iko wazi. Ibada ya Eid UL adha imeanza miaka 2 hijria. Na ibada ya hijja imeanza miaka 9 hijria. Hizi ibada mbili ni mbali mbali

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Mm naona wanajidhalilisha tu masheikh wa kiwahabi

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 2 หลายเดือนก่อน

      Wahhab nnan,,,,? naomba kujua,,,,

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      @@YusufAli-gc9cu ni masheikh wanaofanya ubabaishaji kwenye yalio wazi, ukitaka kumjua sheikh wahabi ndio hyo Kuna zaidi?

    • @hassanadan1001
      @hassanadan1001 2 หลายเดือนก่อน

      Msome, muache kutegemea hawa vijana wa kisufi , they don't have any knowledge on diin , most of them never surpassed faslul saadis, they always debate to please their masters.

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 หลายเดือนก่อน

    Bibi aosja anasema
    ان عرفة يوم يعرف الاءمام
    Haikaka ya arafa ni ni siku atayotngaza imam
    Maneno haya bibi aisha alimwambia masuluk .masuluk .alitangulia kufunga arafa. Siku ambayo imam hajaitangaza kuwa ndo siku ya arafa.

  • @SafiaHaji-fo3sl
    @SafiaHaji-fo3sl 2 หลายเดือนก่อน

    wacheni mambo ya ujinga wa kulumbana kuna mambo meng ya kufundisha hamufundish mawaidha yenu ni mipasho tu

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni uzushi enyi watu wa bidaa rudini ktk njia sahihi aliyopo mtume na maswahaba zake

  • @idarusalwi7962
    @idarusalwi7962 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aslm alkm
    Huyu ni mbovu kabisaaa wala msimbuke naye huyu nikama kasuku Ufidhuli tu hana ilimu hata lugha haijui balgha hana nahwu na hikima hana....kama huyu hajibiwi.

  • @KomboShineni
    @KomboShineni 2 หลายเดือนก่อน +1

    kama yeye ni mrongo mbona ww hubainishi ss

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 หลายเดือนก่อน

    Masufi nynyi munatunga hadithi za uwono kumsingizia mtume. Nani atakuwa mwema kwenu ?

  • @user-iz1er8vg7u
    @user-iz1er8vg7u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe dio mrongo waitwa Nani waitwa watu warongo mrongo niwewe

    • @Dr-ubaida965
      @Dr-ubaida965 2 หลายเดือนก่อน

      Thibitisha bas

  • @allyhamza9969
    @allyhamza9969 2 หลายเดือนก่อน

    kuna yule sheik wa kisufi aliyesema kuwa shekhe lao alipokufa wakati wa kuoshwa alikuwa akijizungusha mwenyewqwe.na wakati wa kuzikwa alijitia mwenyewe mwana ndani.😂😂hakufanyiwa rudud zozote

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe huna hata ayamoja kwenye umbongowako nikutupu kwamaana hatujasikia ulichokikosoa kwahivo huna uwezo wakupambana nabachu au ali aboubakar kiukeliwewe nimjinga kaakimia kama masufi wenzio walivokakimiya una

  • @abasifadhiliswai9465
    @abasifadhiliswai9465 2 หลายเดือนก่อน

    Masufi acheni porojo

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 หลายเดือนก่อน

      Mwehu 😂😂😂

  • @FarahJey
    @FarahJey 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hivyo Arafa ya sahihi ni ile ambao Allah anateremke katika hio siku,wacheni ukhuraf wenu hebu sibitisheni kuwa Allah anateremka arafa ya maka na arafa nyengine

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 2 หลายเดือนก่อน

    KUMBE NA WEWE MPOTOSHAJI TU,YAANI KENYA NA SUUDIA HAKUNATOFAUTI KUBWA KTK MUDA NA SIKU LKN MNA TRH MBILI TOFAUTI??? KALENDA YA MATWARIQA NI WARONGO

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 2 หลายเดือนก่อน +2

    Acha polojo za ushi

  • @KhamisHabib
    @KhamisHabib 2 หลายเดือนก่อน

    Je ww unauhakika tarehe yako iko saw au ww yakwako ndio umekosea kwanini zipishane tarehe yako na ya Saudia

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 หลายเดือนก่อน

    Masufi zindueni musiwapoteze wat jiulize ikitokea mwezi mumetangulia kuuwona mwezi wa wa hijja na saudia ivi hihoyo arafa yenu mutaitangaza vipi mpaka waislam dunini wawaelewe?

  • @uiavajiwgav5441
    @uiavajiwgav5441 2 หลายเดือนก่อน

    Acha porojo kwani shafii malik hambal siwametafautiana nawote wamejitahidi zina balaa hizi zikhurafi zakupangwa line yambele kwenye maulidi

  • @khalidbinsunkar5409
    @khalidbinsunkar5409 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa kwa hawa mawahabi hawafahamu nuswuusw na masikitiko makubwa hata aq'waalul 3ulamaa zinawapiga chenga!!!!
    هداكم الله

  • @JifunzeKiarabu
    @JifunzeKiarabu 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Ali Abuu Bakri Hajui ata maana ya Wahabi

  • @alibadran438
    @alibadran438 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu atyy shekhe??Hahaha😂😂

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim 2 หลายเดือนก่อน

    Nendeni palestini mukapigane

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 4 วันที่ผ่านมา

    Mbumbumbu huyu yuwatafuta kiki,Masufi kama vipofu na viziwi hawaoni wala hawasikii

  • @TheAmadoni
    @TheAmadoni 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kila mtu ankua yuwa radd siku hizi, 😂😂😂 mazungumzo matupu bila dalil wala qauli yaku backup maneno yako...

  • @huseynmaitaya9002
    @huseynmaitaya9002 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndio huelewi ushahidi katuka hayo maneno kua wafuate saudi ni hapo alipo sema wadhaalika annal hijja makhusuusun bimakaanin muayyaanin , au kuna pengine panafaa hijja pasipo saudi , ama ndio kwenye kanisa la Abrah ibnul ashram 😂😂😂😂 pia kwapatikana hijjah

  • @idarusalwi7962
    @idarusalwi7962 2 หลายเดือนก่อน

    علي أ بو بكر صفر في كل العلوم.....لا في اللغة ولا في الفقه ولا في البلاغة ولا في كل شيء ،هذا ببّغاء فقط يحكي ماقاله زملاؤه.

  • @saidollaaddicted3700
    @saidollaaddicted3700 2 หลายเดือนก่อน

    SHEIKH ALI ABUBAKAR SI muongo bali watu wa twarik si waelew na nimadhuka nyiny na mwafwata hawaa za NAFSI so wale wadhuka wenzen ndo wanaon uko sahih kumb BUREE KABX

  • @hasani-mq6ei
    @hasani-mq6ei 2 หลายเดือนก่อน

    Achenyi kutuchanganya Sisi wenye elimu ndogo nyie mtumewajua ustadhi mapate washrikina badilikeni!

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน

    Ukiambiwa kwingine haizingatiwi unataka nini ingine? Haya wewe zingatia Cha kwako basi

  • @AdamYunus-qr3jm
    @AdamYunus-qr3jm 2 หลายเดือนก่อน

    شيخ فيه دليل واضح جدا أن كنت لاتفهم فاسكث يا هذا فتلك مصيبة

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 2 หลายเดือนก่อน

    hawa masuti ni wafwasi wa sheitani ni kupoteza watu tu kutegemea kaburi dance ya trabu

  • @osmanmanbile9327
    @osmanmanbile9327 2 หลายเดือนก่อน

    Namwapongeza waatu wetu wa ahlusun ahlu durud sufiyah marah mukanyage hawa mawahbii wakipotosha watu mubainishe haqii sabbau watu wa haqqq wakinyamasa يهتم اهل الباطل انهم علي الحق

    • @hassanadan1001
      @hassanadan1001 2 หลายเดือนก่อน

      Soma dini bro.

    • @osmanmanbile9327
      @osmanmanbile9327 2 หลายเดือนก่อน

      Mm nimesoma.ww wahabii ndio umesome😂😂😂

  • @user-zr1dv2tb5k
    @user-zr1dv2tb5k 2 หลายเดือนก่อน

    Wew ni jahill

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 2 หลายเดือนก่อน

      Sahihi husikiliza kwa moyo unasikiliza kwa masikio na ww Kwa kuwa ni muhabi hutaelewa anachokisema

  • @FarahJey
    @FarahJey 2 หลายเดือนก่อน

    Debe tupu huyu
    Ni kiis fadhwi

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah yani wahabi ni balaa wallah hani kukiri tu msimamo wa wengi ni kila mji na sajm yake kulingana na muandamo wake

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน +3

    Lakini usufi utaweza kuendelea bila uongo? Abdiqadir jeylani amerusha kiatu Iraq hadi Somalia 😂😂😂 ama amekimbiza malukul maut akarudisha roho ya maiti

    • @NuurulHudaa
      @NuurulHudaa 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kama unkosa la kusema kaa kimyaa usianze kutukana عulamaa wakubwa walotangulia

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 2 หลายเดือนก่อน

      Naona mada nyengine hii vp ya arafa imekushinda sio umeona huna point ndo waleta mada nyngine

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 2 หลายเดือนก่อน

      MPAKA UJUE HICHO NI NINI NDIO UTAJUA KUWEZEKANA KWAKE AU LA.
      SASA KWA MJINGA AINA YAKO SI AJABU KUYAONA HAYO KUWA HAYAWEZEKANI KWA SABABU YA UJINGA WAKO

    • @KhamisBakar-ge4sp
      @KhamisBakar-ge4sp 2 หลายเดือนก่อน

      Usitoke nje ya mada
      Nenda ukamsaidie Wahabi mwenzako kusoma kitabu

    • @KhamisBakar-ge4sp
      @KhamisBakar-ge4sp 2 หลายเดือนก่อน

      Masha Allah ❤❤

  • @user-hx2yq6xy2u
    @user-hx2yq6xy2u 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio mjinga kabisaa, yeye ndio hana ilimu.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi tuko tarehe 7 na kule wako tarehe 8 😂😂😂That's the biggest lie of the year. Sisi na Saudia tuko same time zone na hatupitani hata dakika moja. Eti 7 na 8 yani 24 hour mzima difference kisha kuna watu watakubali upotovu wa wazi kama hilo

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 2 หลายเดือนก่อน

      Bro wajua nyinyi kosa lenu hujiangalia nyinyi bila kujua kma kuna nchi zengine hapo ndo mnachemsha kuna watu hao mahujaj wakisimama wengine wamelala na yaani wengine wanaanza ile siku wengine washaitoka ile siku ndo maana maswali hamuezj jibu mkiulizwa

    • @NuurulHudaa
      @NuurulHudaa 2 หลายเดือนก่อน +2

      We wacha urongo wako, sisi na saudiya kwenye time ya gmt ndo tuko sawa ama kwenye solar time tuna tafauti ya saa nzima
      Nakumbuka miaka miwili mfululizo ilopita makkah waliswali eid saa kumi na mbili kamili ambapo kenya huwa hata ishraaq bado
      Usiangalie saa ya mkono ngalia time gani kwao jua huchomoza na time gani jua huzama, utapata kwamba jua saa zingine kwao lazama saa kumi na moja na nusu ambayo saa kumi na moja na nusu yao ndo saa kumi na moja na nusu yetu
      Yatakiwa uelewe, usiropokwe tu

    • @LASSUH4947
      @LASSUH4947 2 หลายเดือนก่อน

      @@NuurulHudaa waelewa kiswahili lkn bro yaani kumbe mpk kiswahili hujui kma mashekh wako wasivo jua kiarabu narudia tena nakwambia usijiangalie ww tu ww ni xw uko xw na makka time lkn kma loss angeless wako masaa kumi nyuma haya hao watafunga vp wawe xw na mahujjaj usiangalie ww tu bro jua kuna na wenzako wa nchi zengine

    • @mohamedrashid7864
      @mohamedrashid7864 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe wahabi Mohagure aliposema ustadh kuhusu sana na nane ni namna ya muandamo wa mwezi .pumbavu kabisa kichwa ngumu

    • @makenaOG
      @makenaOG 2 หลายเดือนก่อน

      Sawa lakini wajua saudi wameswali salatul idd saa ngapi

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 2 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 2 หลายเดือนก่อน

    Porojo tu watu wa twarika hamna lolote...