NIMEFURAHI NA WATU WA LAMU NA WA LAMU VISIWANI SHEIKH MUHAMMAD BACHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • #alhaajartvkenya #afyanajamii #livetv
    SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE
    Instagram: Alhaajartvkenya
    Twitter: Alhaajartvkenya
    Facebook: Alhaajartvkenya
    TH-cam: Alhaajartvkenya
    © Al Haajar TV Kenya 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wallah watu wanatengeneza Akheri yao simchezo wallah nimejikuta namm kama nipo kwenye hiko kikao chozi limenitoka wallah Biidhini llah Allah Awajaziye walipo punguza kwa walicho kituwa iwe ni isbabu ya kupata pepo ya Allah huko tuendako 😭😭😭😭😭

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni ishara watu wa huko wanapenda sunnah, Masha Allah tabarakallah

  • @Agnes-e1i
    @Agnes-e1i 2 หลายเดือนก่อน

    ALLAH akuhifadhi shekh tupo nawe InnshaaALLA

  • @MohamediNdwata
    @MohamediNdwata 2 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akuhifadhi Shekh Muhammad Bacho, ninakupenda kwa ajili ya Allah SW

  • @soffiscarlett9702
    @soffiscarlett9702 2 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah
    Umoja n upendo
    Allah aukamilishe kwa salama

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 2 หลายเดือนก่อน +3

    MAASSHAA ALLAH ALLAH awazidishia upendo watu walamu kwa sheikh wetu

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ni vizuri sasa umeona na umetambua ukarimu na wema wa watu wa Lamu na kama ulivyo sema sana sana Masharifu kwa hivyo wema hulipwa na wema In shaa Allah Mwenye Ezi Mungu akijaalia roho zikiwa hai mfungo sita ya karibia Masharifu wakikualika MAULID uhudhurie itakuwa umewafanyia wema mkubwa kama mgeni

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 2 หลายเดือนก่อน

      Wema hauhalalishi pombe.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน

      @@eddieeddie2755 wewe usilete mambo ya upuuzi hapa twazungumzia wema ktk Dini hatuzungumzi huo wema wako wa pombe wa matusi tunza ulimi wako usije ukakuleka pabaya, Mwenye Ezi Mungu ana majina الرحمن na الرحيم kwa hivo umemaanisha ktk haya majina mawili ya Mwenye Ezi Mungu wema wake haulilishi pombe, fikiriya mwanzo kabla kuzungumza upuzi usione ni sifa unapozungumza matusi

  • @khalidinassoro1363
    @khalidinassoro1363 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @zulfaali5630
    @zulfaali5630 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 2 หลายเดือนก่อน +4

    Allaah Atawalipa na Awape Afya
    Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah
    Neema hio.

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Masha allah mungu atuonyeshee hakii tuachea mizozo

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allaahu'Akbar

  • @AliIbrahim-lv5cq
    @AliIbrahim-lv5cq 2 หลายเดือนก่อน +3

    Alhamdhulillah 😢

  • @jamalsaid7475
    @jamalsaid7475 2 หลายเดือนก่อน +3

    Alhamdulillah JazakaAllaahu'khayran

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mmefanya jambo lamuhimusana Allah akulipen

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน +11

    Usijali utazidi kuona wema wa watu wa Lamu ni kwa sababu wamesoma Dini ki undani kabisa

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeh washakupenda kijana cha Zanzibar!!!

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน +4

    Shekh bachu tunakupenda kwajili ya Allah upo vzr shekh wetu, jadida mafuta kashindwa kujibu maswali yako kule anatoa audio kulalamika tuuh Ni kuzidiwa ilmu na hoja 😂😂 yani wale wameshindwa kwakweli ukisimama na hakki Allah atakusimamia pia kijana mdogo umewatoa jasho watu.

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 หลายเดือนก่อน

      Hao si masalafi ni Maslahi

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Khalid-mf3iu
      Kiwango cha elimu cha bacho ni kipi?

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 2 หลายเดือนก่อน

      @@abuuammar4924 cha hali ya juu mashallah ni tunu kwa watu wa Msa

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 2 หลายเดือนก่อน

    Million 1 ya Kenya kwa Tanzania nisawa nakiasigani kwa ajuwae jamani

  • @abuuammar4924
    @abuuammar4924 2 หลายเดือนก่อน

    Msikiti unaojengwa ni wa sunnah au ni vp?
    Masufi unawasifu lkn ulipokwenda Tanga pale mti mkavu ukaanza kuwaponda

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaa hapo Riadha uchukuwe elimu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdulkhalfan8586 maneno yako ni kweli kabisa akae hapo apate Elimu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน

      @@abdulkhalfan8586 maneno yako ni kweli kabisa akae hapo apate Elimu

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 2 หลายเดือนก่อน +1

      Riadha Mko n elimu gani😂

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน

      @@soffiscarlett9702 Riadha Elimu walonayo huo wema waloufanya ya tosha kukujulisha Elimu walonayo na kama wataka kujua zaidi wewe nenda hapo Riadha hatukuambi ukasome wewe nenda ukae nao tu utajua wana Elimu gani

    • @Agnes-e1i
      @Agnes-e1i 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mm nnamashaka na koment yako hii cjui km muislam ww

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 2 หลายเดือนก่อน

    Wwvbachu hueleweki uko wapi. Mara uko na madaruweshi mara masharifu. Ww ni majmaja kweli

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน

      @@Kzm-c9u Zanzibar ametolewa sasa ilibidi aje kwa wale wale akiwatuhumu ubaya na ameona walivyo mpokea kwa ukarimu na wema sasa ajue Masharifu ni watu aina gani kwa ujumla watu Lamu ni watu walobobeya ktk Elimu na kushika Tabia za Mtume S.A.W

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 2 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio humuelewi😂

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน

      @@soffiscarlett9702 mwanzo watu wengi walikuwa hawamuelewi ni mtu wa aina gani lkni sasa watu wengi sana washamuelewa mtu aina gani kutoka walipo shika PAKA na kuzungumza nae

    • @Agnes-e1i
      @Agnes-e1i 2 หลายเดือนก่อน

      Ww tulia hujaambiwa umuunge mkono SS tunae muelewa tupo nae

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 หลายเดือนก่อน

      @@Agnes-e1i ungelikuwa waenda kupiga goti kusoma mpaka sasa kwa sababu Elimu haina mwisho ungelikuwa ushamuelewa ajabu mpaka sasa mwasema mwamuelewa lkni bado hamujamuelewa

  • @adamh1751
    @adamh1751 2 หลายเดือนก่อน

    Ww masifa tu.

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ww usio n masifa umefanya Gani la maana 😂😂😂

    • @adamh1751
      @adamh1751 2 หลายเดือนก่อน

      @@soffiscarlett9702 we hujui masifa ni shirki ndogo? Na yaweza ikapelekea mtu hadi shirki kubwa? Ama ww shabiki tu huku..

    • @badrudindaud1087
      @badrudindaud1087 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@soffiscarlett9702swali zuri sana

  • @hassanhussein2422
    @hassanhussein2422 2 หลายเดือนก่อน

    Buree kapisa

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f 2 หลายเดือนก่อน +3

    MashaAllah

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah