Fred Msungu- Nguvu ya maamuzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 มี.ค. 2020
  • Mwanadamu amepewa heshima kubwa sana na Mungu ya kuumbwa tofauti na viumbe wote duniani.Kitu kikubwa kinachomtofautisha ni uwezo wake wa kufanya maamuzi na kupata matokeo ya kile alichokiamua
    Siri kubwa sana imefichika hapa , wengi kwa kutojua wamewalaumu watu juu ya hali zao lakini ukweli ni kwamba pamoja na mambo yote , mwanadamu ni matokeo ya maamuzi yake binafsi.Kwenye video hii utajifunza nguvu ya uamuzi na namna gani ya kuamua vyema.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 21