Muda Gani Sahihi Wa Kufanya Maamuzi (Timing) - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2019
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 33

  • @iddikhamis3309
    @iddikhamis3309 4 ปีที่แล้ว +13

    kama unamubaki huyu broo waka like, mm namkubali sana huyu broo

  • @davidtvonline6020
    @davidtvonline6020 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Kaka #Joel Binafsi Nakuelewaga Sana Coach wangu Lakin Pia Kuna Eneo Kama Mawili Naomba Unipe msaada Wako Zaidi,,,
    1=>Mimi Nafanya Kibarua Cha Kisajili Line Za Mitandao Kwa Kuzunguka Mitaani na Huu Ni Mwaka Wa Pili Sasa Na Nusu Je nina Sababu Ya Kutoka Kutafuta namna Nyingne Ya Kuongeza Kipato Pamoja Na Kuwa Katika Hi Kaz Sas Naona Mafanikio??
    2=>Eneo La Pili Ni Katika Mahusiano Nina Mahusiano Ambayo Kila Nikisema Nayagairisha Nitoke Nashindwa Kutoka Ile Hali Naona Kabisa Kama Haya Mahusiano Sitaweza Kuendlea Nayo ila Nashindwa Kabisa Kutoka Mwalim Wang Naomba Msaada nipo Kwenye Utata na Zaidi Nina Ndoto Kubwa Natamani Kuitimiza Naona Kama Bado Kuna Vitu Vinanivuta Shati,,, Nataman Kuwa Zaidi Ya Hapa Nilipo.. ASANTE COACH WANGU NINA IMANI MSAADA WAKO NI HATUA MPYA NA KUBWA SANA KWANGU,,,SEE YOU AT THE TOP🙏🏻🙏🏻🙏🏻😇😇

  • @29WavesTV
    @29WavesTV 4 ปีที่แล้ว +1

    Inapendeza sana maneno yaliyojaa hekima Joel! We are together!

  • @mahmodsaid8632
    @mahmodsaid8632 4 ปีที่แล้ว

    Daaa hongera sana kaka unatuelimisha mungu atakulipa

  • @jcomplext.v4409
    @jcomplext.v4409 4 ปีที่แล้ว +1

    kaka video nzuri ila sauti iko chini sana

  • @michaelkessy5740
    @michaelkessy5740 4 ปีที่แล้ว +2

    MR JOEL Nanauka Kwa Style hii mpya ya kuongea umekaa unakuwa unaongea Kwa kurelax sana hata ujumbe unafika kidogo kwa watu sio Ukiwa umesimama misisitizo,uwongeaji na hamsha hamsha na ubao unavyokuwa unaandika na maneno yanatokea ktk screen tunaona tupo Darasani kabisa na watu tunakuwa makini kupata ujumbe na ujumbe unafika vizuri Kwa watu...... Kama Fun au shabiki wa Channel hii Naomba badilisha muonekano nenda uwe wa dhamani...huu muonekano mpya unakuwa kama unasoma mwenyewe huku unaandika ktk daftari mwenyewe bila sisi kuona sio watu wote wanaosikiliza wanaupeo sawa

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 4 ปีที่แล้ว +1

      Eti mm nimependa style hii zaidi ,ila kila mtu na mtazamo wake.

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 ปีที่แล้ว

    Asante
    Kuwekeza kidogo kidogo nilikosea kwa kutaka kuwa na kias kikubwa zaidi cha pesa

  • @adelehridecosmas3404
    @adelehridecosmas3404 4 ปีที่แล้ว +2

    Nisaidie kaka nafanya biashara ya duka la vyakula lenye mtaji mdogo lakini lengo langu ni kuuza duka la ujenzi kinacho nikwamisha mtaji mdogo lakini lengo langu niuze ili la vyakula ndani ya mwaka tu naniache niuze la ujenzi maana laujenzi nilishauzaga la mtu miaka mitatu kwaiyo nimeipenda iyo biashara apo apo napenda sana biashara ya oteli iyo ndio passion yangu duka la ujenzi nimependea tu kipato cha haraka kama unawateja wa kutosha kiufupi linakupush araka

  • @helpers92
    @helpers92 4 ปีที่แล้ว

    Mda wote nipo nawe L.C joel,my next mentor

  • @joseefaidabutu7294
    @joseefaidabutu7294 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @hellenamakundi214
    @hellenamakundi214 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka najifunza mengi sana kutoka kwako

  • @msleny6767
    @msleny6767 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mentor, funzo zako kila siku haikosi kunipa challenge mpya
    Nashukuru sana🙏

  • @rukhychimbo793
    @rukhychimbo793 4 ปีที่แล้ว

    thx broo joel nanauka nakuelewa sana.wapil kucoment

  • @jamezmtungi5653
    @jamezmtungi5653 4 ปีที่แล้ว

    Thanks brother unaniinspire sana kila nikiangalia video clip zakoo

  • @savethemall8187
    @savethemall8187 4 ปีที่แล้ว

    Thanks so Much Brother Nanauka.I get something New in my mind.,Stay blessed brother.
    1st comment 🤔🤔

  • @mwajumayunus1108
    @mwajumayunus1108 4 ปีที่แล้ว

    Good teacher

  • @agathamichael8818
    @agathamichael8818 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka bado najifunza kutoka kwako

  • @crecensiaedward2364
    @crecensiaedward2364 4 ปีที่แล้ว

    asante brother tuko pamoja

  • @ramzayndemo192
    @ramzayndemo192 4 ปีที่แล้ว

    😇😇

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa mwalimu unaongea jambo ambalo hata mm limenichelewesha kwa kukosa timing

  • @joycemalongo9050
    @joycemalongo9050 4 ปีที่แล้ว

    Nice words of truth 🙏🙏🙏.

  • @musamatumla4868
    @musamatumla4868 4 ปีที่แล้ว

    Bg up my brother

  • @neemajerrymwaihojo2813
    @neemajerrymwaihojo2813 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa kaka

  • @abelbenedicto5392
    @abelbenedicto5392 4 ปีที่แล้ว

    Nothing to say but Thanks

  • @kassimmhamadi5449
    @kassimmhamadi5449 4 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 4 ปีที่แล้ว

    Tukopamoja mwalimu wangu

  • @stephahObimo
    @stephahObimo 4 ปีที่แล้ว

    Nipo pamoja nawewe mwalimu wangu sijutii kukufaham kiukweli

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 4 ปีที่แล้ว

    Mm ninamtaji wa said ya mln200 lkn mm bado nimwajirirwa nalipwa Mshahara lk7 kwa mwezi natamani kujiajiri mwenyewe ushauri wako Boss

  • @salmaoriginaloriginal6478
    @salmaoriginaloriginal6478 4 ปีที่แล้ว

    Mi kwenye mahusiano nliopo nataka kutoka lakn nakua mzto kuamua

  • @IlhaamMarshed
    @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

    Habari zenu wapendwa th-cam.com/video/TAfcV3vMhVw/w-d-xo.html jifunze mapishi