Pastor Fred Msungu - Finding your Call ( kuutafuta wito wako)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 มิ.ย. 2021
  • Kila mtu ni matokeo ya kusudi fulani la Mungu juu yake. Tunaishi kwasababu ya jambo moja tu, ambalo ndilo limetufanya tuzaliwe.
    Moja kati ya swali muhimu na gumu huwa ni mtu kujitambua yeye ni nani? Hasa kwa wale watu wenye uwezo wa kufanya vitu vingi ( mult talented)
    Video hii itakusaidia mambo kadhaa kuhusu kuujua wito wa maisha yako na kutembea Mahali ambapo Mungu alikukusudia uwepo.

ความคิดเห็น • 17

  • @winfridamauki146
    @winfridamauki146 ปีที่แล้ว +1

    Neema ya Mungu ikiwa juu yako inakufichua kokote ulipo halleluyah

  • @henesysolomon8196
    @henesysolomon8196 ปีที่แล้ว

    Mafundisho mazuri sana mtumishi nmekuelewa sana barikiwa sana

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 2 ปีที่แล้ว

    Dah ili somo limeniinua sana,.

  • @richarddavid9101
    @richarddavid9101 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor shalom. Nimebarikiwa sana na ujumbee. Naweza Pata muendelezo wa hili somo

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @josephmwambambale5700
    @josephmwambambale5700 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Ameni mpakwa mafuta wa Bwana nakuelewa zaidi pia Neema aliyo iachilia na Roho mtakatifu nafunguliwa kupitia mafundisho

  • @mamawadudu48
    @mamawadudu48 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana. Barikiwa zaidi

  • @Hedva255
    @Hedva255 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu kuniinua siyo lazima nifananie saaana,Neema Ya Mungu🙌🏻

  • @giftmollel7788
    @giftmollel7788 3 ปีที่แล้ว +1

    Pasta unapoo pitia hii comment mzee sijutii kufatiliaa hii ase 🙆🙆🙆

  • @happysanka9679
    @happysanka9679 ปีที่แล้ว +1

    Ameen🔥🔥🔥 MUNGU ni mwaminifu ✅

  • @Hedva255
    @Hedva255 3 ปีที่แล้ว +1

    Kutembea kwenye majira ambayo Mungu ameyakusudia🙌🏻

  • @elizambilinyi2880
    @elizambilinyi2880 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @dadajoy8684
    @dadajoy8684 3 ปีที่แล้ว +1

    🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @henesysolomon8196
    @henesysolomon8196 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @josephmwambambale5700
    @josephmwambambale5700 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameni Ameni mpakwa mafuta wa Bwana nakuelewa zaidi pia Neema aliyo iachilia na Roho mtakatifu nafunguliwa kupitia mafundisho

  • @Hedva255
    @Hedva255 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu kuniinua siyo lazima nifananie saaana,Neema Ya Mungu🙌🏻