ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Joel Nanauka:Fumbo la maamuzi binafsi(The Mystery of personal decisions)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2020
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 96

  • @christinen8291
    @christinen8291 4 ปีที่แล้ว +6

    Nilikuwa na million 5 peke yake na kiwanja mahali pazuli.
    Nikafanya maamuzi ya kujenga Pole Pole. Rafiki na family wakanichekaaa sana.
    Baada ya miaka 4 nikamaliza kujenga nyumba yangu nzuli ya kisasa. Sasa ivi kuna watu wanataka kuyinunua million 120 shillings

  • @annagloriaroman30
    @annagloriaroman30 3 หลายเดือนก่อน

    Wooow!!😭😭😭 Kaka Joel natamani nielezee ninalopitia Sasa ila naona TAYARI nimeshapata Mwanga na nimefanikiwa💯💯💯💯.....hongera sanaaa kuanzia leo na Milele wew n sehemu ya watu Muhimu sanaaa kwangu na Kwa vizazi vijavyo✍️📌🙏
    Ukuu wa Mungu ukazidi kutamalaki juu Yako na Uzidi kuwa sehemu ya watu wengiiii🙏🙏🙏🙏✍️

  • @nesterenock864
    @nesterenock864 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuweke ww baba

  • @jacksonmlula5281
    @jacksonmlula5281 4 ปีที่แล้ว +4

    Yaani kama nisipoagalia na kumsikiliza Joel kabla ya kazi zangu nakuw sijafanya kitu kabisa

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 ปีที่แล้ว

      Addicted!

  • @onesmosanga8408
    @onesmosanga8408 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakumbuka mwaka 2018 nilipo amua kujiajil kupitia ufugaji watu wengi waliniambia napotea lakin nilifanya maamuzi binafsi lakin saiz wanaona matunda yake.
    SEE YOU AT THE TOP

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 ปีที่แล้ว

    Nimechela kukufahamu Dear ALLAH akulinde Amin

  • @yohanageorgekika2240
    @yohanageorgekika2240 2 ปีที่แล้ว

    Umenipa bonge la elimu kaka Joel nashukuru sana 🙏

  • @evalineedwardsuzanne9862
    @evalineedwardsuzanne9862 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka umekuwa msaada mkubwa sana kwangu🙏🙏🙏🙏

  • @imanimwashiuya223
    @imanimwashiuya223 ปีที่แล้ว

    asante sana kaka kwamafu ndishomazur. ira kunakitu kimoja mimi nafanyakazi kunanguvu inanisukuma sana kwenda kufanyakazizangu. iraukimwa mbia bosi anasemasubirikindogo

  • @muznahmuznah8601
    @muznahmuznah8601 4 ปีที่แล้ว

    Nanauka ubarikiwe sana jana tu nimefanya maamuzi ya jambo lkn nimekua nikujiuliza km niko sahihi lkn kuna nafc unanambia niko sahihi na ww leo umesema tusiangalie watu wanaoje ama watasemaje ahsante sana

  • @merryhussen2775
    @merryhussen2775 4 ปีที่แล้ว

    Asante Kaka nitaendelea kunifunza zaidi kupitia mafundisho yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nathanieljonasi6385
    @nathanieljonasi6385 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana, kaka Joel

  • @estersamwel8169
    @estersamwel8169 3 ปีที่แล้ว +1

    Habar Nina swli he naweza kuuliza

  • @jacksonmlula5281
    @jacksonmlula5281 4 ปีที่แล้ว +3

    Yes Joel continue to give us mental treatment, I love your motivation speakings

  • @akatusyo9662
    @akatusyo9662 2 ปีที่แล้ว

    Umesema kweli kabisa
    Niliahirisha kupanda parachichi.naamua kupanda mashamba yamepanda bei.

  • @egonkasiano7822
    @egonkasiano7822 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka mungu akubaliki sana

  • @successnetwork480
    @successnetwork480 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa somo nzuri sana

  • @Africa.Athuman
    @Africa.Athuman 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu wangu asante mwanafunzi wako kutoka Burundi 🇧🇮 nimekuelewa

  • @estonebetson69
    @estonebetson69 3 ปีที่แล้ว

    Ahsantee kwa kunikumbusha

  • @zainabalothman5347
    @zainabalothman5347 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sn

  • @benjaminshou4046
    @benjaminshou4046 4 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa ujumbe mzur sana Mungu akubariki.....

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda saaaaaana

  • @mohamedmakungu1609
    @mohamedmakungu1609 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni kwelly nilifanya maamuz ya kujitegemea mwenyew watu weng walinipinga huna kaz utaishije mbona mapema sana tafuta hela kwanza yote yalikuwa maneno yao lakin mm sikuwasikiliza nilifanya vile nilivo amua asaivi wananikubari nashukuru kwa hilo jambo muhim sana umenikumbusha nasema ahsante

  • @seurykaaya1089
    @seurykaaya1089 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante brother unanitoa sehemu kwenda sehemu fulani

  • @cmmbungi1914
    @cmmbungi1914 4 ปีที่แล้ว

    Kiufupi nakuelewa sana

  • @wahomemartin
    @wahomemartin 4 ปีที่แล้ว

    Kamanda wa busara. Am proud kuwa your follower. Mola na akuzidishie kudura kutuchachawiza. Ustadh kutoka undugu Republic ya KE

  • @benardpaul1271
    @benardpaul1271 4 ปีที่แล้ว +1

    Pia mimi nilikuwa nataka kuwenda kuishi peke yangu kwanyumba lakini nilikuwa na uoga mingi watu wakiniambia ati kazi iki isha nitafanyaje lakini nika amua nika enda nikapata hata maisha sio ngumu nikaanza kuregret nikisema ninge amua mapema

    • @annagloriaroman30
      @annagloriaroman30 3 หลายเดือนก่อน

      @benardpaul1271....ninapitia wakati kama huu uliopitia😭😱😱..... comment Yako inanipa Moyo sanaaaa.... Mwenyezi Mungu anivushe kwenye hili🙏🙏🙏📌✍️

  • @njautv5225
    @njautv5225 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka kweli umenigusa wakati nafanya maamuzi binafsi marafiki zangu waliniona nitafeli but until now nipo na furaha,naishi ktk ndoto zangu ingawa bado sijafanikiwa ila naamini oneday yes

  • @barakagonzalve4147
    @barakagonzalve4147 3 ปีที่แล้ว

    your the best in did

  • @othmanmuhammad1650
    @othmanmuhammad1650 3 ปีที่แล้ว

    Fantastic flawless video, it's perfect ten.

  • @salomekombo6166
    @salomekombo6166 4 ปีที่แล้ว

    Tnx broo mung akuweke daima

  • @piuspuka5071
    @piuspuka5071 4 ปีที่แล้ว

    Asante ndugu,naunganisha somo lako la aina za ujasiri

  • @daniellepari4525
    @daniellepari4525 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana brother joeli kwa ushauri wako na mafunso pia mungu Akubariki sana 🤞

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 ปีที่แล้ว

    Shukran sana

  • @joowzeyboyjoowzee4474
    @joowzeyboyjoowzee4474 4 ปีที่แล้ว

    Balikiwa sana

  • @ahz6907
    @ahz6907 4 ปีที่แล้ว +2

    My monday food for thoughts. Thank u Joel , u are our star 🙏

    • @abdallahaloyce5291
      @abdallahaloyce5291 4 ปีที่แล้ว

      Naitwa ABDALLAH nipo familia ipo daar nafanya kazi kituo cha mafuta.Nitamani kujiajili ila kazi inamasilai lakini naishi maisha ya upweke na familia yangu iko mbali nifanyeje

  • @fratilupembe3479
    @fratilupembe3479 12 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉 impressive

  • @gagalebro9519
    @gagalebro9519 4 ปีที่แล้ว

    God bless you my professor

  • @thomasdamas4347
    @thomasdamas4347 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli... Bro Asante

  • @Craytos_Baraka
    @Craytos_Baraka 4 ปีที่แล้ว +1

    Adi leo nafikiriaa yaan hawa ambao wana dislike video za sir Joel sijui wanamaanisha nini au awaelewi😥😥

  • @kingnyamoma5696
    @kingnyamoma5696 4 ปีที่แล้ว +1

    See you at the top

  • @ramadhanrashidali7056
    @ramadhanrashidali7056 4 ปีที่แล้ว

    Hii mada siku nyingi nilikuwa naisubiri km umenijuiliya flan hv ndugu.....god bless u ....Endelea kutuelimisha 👏

  • @benardpaul1271
    @benardpaul1271 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana joel

  • @josephsimpamba8528
    @josephsimpamba8528 4 ปีที่แล้ว

    I always enjoy watching this channel

  • @emagorromo6418
    @emagorromo6418 4 ปีที่แล้ว

    thank brother nimekuelewa

  • @peterchikawe4284
    @peterchikawe4284 4 ปีที่แล้ว

    Good presentation

  • @mmbatizaji8075
    @mmbatizaji8075 4 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kaka, huu ndiyo Mda mwafaka kwangu kubadiri mtazamo wangu

  • @alhandhar6902
    @alhandhar6902 4 ปีที่แล้ว

    Joel Thank you brother. Umenifumbua macho na maneno yako naanza kuyafanyia kazi. Siku zote nimekua muoga kufanya maamuzi na ndio sas inanutesa

  • @mamadon2953
    @mamadon2953 4 ปีที่แล้ว

    Point taken.

  • @franknachimbinya7688
    @franknachimbinya7688 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kaka

  • @zamdasalumu9740
    @zamdasalumu9740 3 ปีที่แล้ว

    Touched me

  • @sayyidtawaqal1754
    @sayyidtawaqal1754 4 ปีที่แล้ว

    Thanks brother! ama kwahakika unatoa watu kwenye mashimo mungu akulinde!

  • @jackycute2047
    @jackycute2047 4 ปีที่แล้ว

    Kaka mungu akubaliki Sana kwa hili soma umenifanya kua mtu mpya kabisa kwenye maisha yangu

  • @jumatawfiq6443
    @jumatawfiq6443 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kaka binafsi nimekulewa.ubarikiwe sana

  • @mossespeter5724
    @mossespeter5724 3 ปีที่แล้ว

    Great

  • @farajmbilinyi6781
    @farajmbilinyi6781 4 ปีที่แล้ว

    unazungumza vitu vikubwa sana bro. umeniinspire kwa vitu vingi unavyo zungumza vimenibadilisha sanaa

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @the_white_43.
    @the_white_43. 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @bensontemu9356
    @bensontemu9356 2 ปีที่แล้ว

    Nimekusoma

  • @jacksonmlula5281
    @jacksonmlula5281 4 ปีที่แล้ว

    Yaani hii mada ni kubwa sana Joel , unaweza kuona ni ndogo unapoisikiliza tu kama wimbo ila kwa anayeielewa ni kubwa sana, mm nimeface kitu hiki maana kuna watu nlihis watanichkia ninapookoka nikawa nasita sita

    • @mohamedmwichande7448
      @mohamedmwichande7448 4 ปีที่แล้ว

      Nikikuangalia J siku naianza vizur endelea hvyohvyo bro

  • @kelvinmadyo64
    @kelvinmadyo64 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaah, Kuna maamuz ambayo nmewah kufany and nw nataman kuyafanya what can I do ili kuweza kutoyafanya tena nlihic si sahh kwa wakt ule bt nw nayaona n sahihi!!

  • @ericjonstz3120
    @ericjonstz3120 4 ปีที่แล้ว

    Nnikupilikana kaka

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 ปีที่แล้ว +1

    ,✨✨✨✨💪

  • @gagalebro9519
    @gagalebro9519 4 ปีที่แล้ว +1

    Your motivation remind me to be stables in my life and to know my position 👌

  • @t-moredigital3968
    @t-moredigital3968 4 ปีที่แล้ว +1

    Habari kaka....unaweza kujua km hayo ndo maamuz sahihi kufanya?

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    Mawalimu Mawalimu

  • @yusuphabinala4120
    @yusuphabinala4120 4 ปีที่แล้ว

    Hii kitu inanikuta mm daah

  • @sadysalim9212
    @sadysalim9212 2 ปีที่แล้ว

    Mm nlifanya maamuz namba 2 na nlitengwa na wengi ila baadae wakasema npo sahihi.

  • @makenesimon850
    @makenesimon850 3 ปีที่แล้ว

    Maamuzi nliyofanya yananigharimu Leo ikiwa nlichgua kitu kisichokuwa passion yangu, I need to know how can I be helped?

  • @abdallahaloyce5291
    @abdallahaloyce5291 4 ปีที่แล้ว

    Niliamua kufungua duka la nafaka baadae nikaacha

  • @mwasimichael4903
    @mwasimichael4903 4 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza vitu vingi kupitia ww

  • @mussamkubwa1641
    @mussamkubwa1641 3 ปีที่แล้ว

    Mr no ako naomb

  • @mamashemsasaid9483
    @mamashemsasaid9483 4 ปีที่แล้ว

    nikweli umesema yapo

  • @johnmwakipesile7126
    @johnmwakipesile7126 4 ปีที่แล้ว +2

    Kituh unachokifanya kina mchango mkubwa saana kwenye maisha ya watu na kina thamani kubwa saana zaidi ya unavyofikiri
    Binafsi nipo katika kipindi hicho , nina plan zangu binafsi amabzo nimeziandaa mwaka mmoja nyuma na nitaanz kuzitekeleza mwisho wa mwaka huu na kwa namna moja au nyingine zinannifanya niwe nje ya mfumo wa kuajiriwa , na kwa bahati mbaya department yetu niliyokua nikifanya kazi kampuni moja binafsi imepunguza wafanyakazi , na mmi ni mmoja wapo
    Imewaathiri saana wenzangu , ila kwa upande wangu haija ni athiri saana kwakua nilikua tayari nimejiwekea mikakati ya kuanza kufanya kazi zangu binafsi mwisho wa mwaka huu( kanuni za kifedha 50,30 & 20) zimenisaidia.
    Changamoto
    Kwenye familia nikijaribu kuwaeleza nni nataka kufanya nje ya mfumo wa kujiajiri asilimia 99 wanaamini napotea , ki ubinadamu Kuna muda unahisi Kama umebaki mwenyewe.
    Mpaka sasa kuna watu watatu ndio wanao niunga mkono ( rafiki yangu , binamu yangu na wewe Mr Joel kupitia motivation zako tofauti ikiwepo na hii video)
    Mungu azidi kukupa maarifa coz umekua msaada mkubwa saana , Trust me bro una mchango mkubwa saana kubadili maisha ya watu zaidi ya unavyofikiri. God bless you

  • @lovenesschingula3190
    @lovenesschingula3190 4 ปีที่แล้ว

    Upo sahihi maamuzi ya MTU yapo mikononi mwa MTU mwenyewe na nguvu ya maamuzi daima utoa matokeo+ tupo pa1 bro.

  • @mbeyamediatv
    @mbeyamediatv 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah hii hali ipo kwangu nashukr snaa kaka kuanzia sasa nitaffanya maamuzi sahihi kwangu

  • @adilymsyan9408
    @adilymsyan9408 4 ปีที่แล้ว

    Nikwel umesema

  • @homan_nkwama
    @homan_nkwama 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna wakati nilikwepa kufanya kazi ya ndugu tena ambae alichangia kiasi cha ada nilipokuwa masomoni kuisomea io professional sio kwasababu sikuhitaji, ila aikuwa sehemu au mkoa ambao nitaweza kujenga network ya kipaji changu (talent) hivyo niliamua kwenda mkoa ambao nitaweza kupata hospital yakufanya kazi ilihali naweza kujenga network yangu ya Sana'a ya hip hop na uandishi wa vitabu nashukuru MUNGU kwambali naona nuru Naombea kufika nitakapo. Hapa utaona mfano wa kitabu changu cha kusikiliza kimeambatana na ngoma ya hip hop ASANTE NANAUKA mwalimu wangu Naombeni atakae vutiwa aguse link hii
    th-cam.com/video/1ZO5SZJ6cG4/w-d-xo.html

  • @jeremiahzacharia7655
    @jeremiahzacharia7655 4 ปีที่แล้ว

    Fanya hii KAZI Kwa kipato, lakini KAZI yako unayotakiwa kuifanya na taranta yako ni Mchungaji yena kanisa ni la wasabato hvyo Anza kufanya utafiti juu yako peke yako kisha KAZI hiyo niliyokuambia utaona majibu

  • @issakigezi4709
    @issakigezi4709 4 ปีที่แล้ว +1

    +260770717875 kaka Joel nisaidie mm ni mdhaifu Sana katika mahusiano na napenda niwe na moyo wa ujasiri Nini nifanyej hii Hali inanitesa Sana naitwa issa kigezi naishi zambia

  • @melkiadeskalisto8918
    @melkiadeskalisto8918 3 ปีที่แล้ว

    Sduh

  • @jomeejooo3717
    @jomeejooo3717 4 ปีที่แล้ว

    0719928858 naomba kuugwa tena kwenye group la joel nauka ilinga plz nimemiss CHAMPION

  • @macarayussuf3352
    @macarayussuf3352 3 ปีที่แล้ว

    Ddg

  • @nathanieljonasi6385
    @nathanieljonasi6385 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana, kaka Joel

  • @njautv5225
    @njautv5225 4 ปีที่แล้ว

    Kaka kweli umenigusa wakati nafanya maamuzi binafsi marafiki zangu waliniona nitafeli but until now nipo na furaha,naishi ktk ndoto zangu ingawa bado sijafanikiwa ila naamini oneday yes

  • @njautv5225
    @njautv5225 4 ปีที่แล้ว

    Kaka kweli umenigusa wakati nafanya maamuzi binafsi marafiki zangu waliniona nitafeli but until now nipo na furaha,naishi ktk ndoto zangu ingawa bado sijafanikiwa ila naamini oneday yes