Mi SIJAMUELEWA NA NI VIZURI WAZEE WA AINA HII WANGEPUMZIKA TU KULA MAFAO YAKE ASITAFUTE UMAARUFU MUDA UMEISHA MTUPA MKONO WANAOJITOKEZA WOOTE NI WALEEEE WA KANNDA YA ZIWA
@@adamlubawa1281Ni mzee akili yake na fikra ni Mtu Kijana. Wewe Kimwili ni Kijana, kwa mchango huu wako wewe ni kikongwe. Rejea 5 laws of human stupidity. Stupid people are dangerous. Na Mwandishi Ziphora. Zipo kwenye mtandao. Unaweza Kuangalia Season inaitwa Porus. Ni mchezo unaohusu Mfalme Alexander the Great. Na maono yake kutawala Dunia. Maono yake ya Zimwa na Mfalme Porus huko India ya Sasa Season inahasiki Tawala nyingi za Africa.
Changamoto ni moja tu Mzee wangu: Mauaji yasiyeleweka. Pia ni kama unakuwa neutral sana.Ukisema serikali unaitofautisha vipi na CCM make unasema CCM haihusiki bali ni Serikali inayohusika😅
Mzee unasema kweli lakini hiyo ni kwa bara tu zanzibar ni hilo jeshi unalolisema hua linapiga mizinga kwenye uchaguzi vifaru barabarani ,sasa labda bara jeshi ni jengine tafauti na jeshi lililopo zanzibar
😭😭😭😭😭 Taifa langu Jamani, Tanzania yangu nchi ya Wakarimu ila wanasiasa wanataka kutubadili nafsi zetu na kutufanya tuwe magaidi. Mzee umenilizaaaaaa😭😭😭
CCM wanadhani wakitukomoa ssis kupitia majeshi ndio maisha yao. Nakumbuka Tundulisu aliwahi kuwaambia kwamba pindi mtakapo wamaliza wao mtaanza kumalizana wenyewe, lkn tunaanza kuyaona Sasa, wanamalizana wao, na bado mtaendelea kumalizana, na kwa sababu mmeamua kuyaingiza majeshi, mtakuja kukichapa tu. Sie yetu macho. Mungu atupe maisha marefu. Nyie si mnaona mnatukomoa!! Na kwa uzoefu mchache tutaacha kuja kwenye chaguzi ili muendelee kupeana Ila kwenye utekelezaji hapo ndipo itakapo kuja kuwa shida huku mtaano
Tunashukuru sana Mzee wetu!Kila Mtanzania mwenye kufikiri vizuri amekusikia uliyosema;pia kila Mtanzania mwenye kuwaza vizuri anajiuliza kwa nini haukuzungumza maneno haya kipindi cha uongozi wa Awamu ya tano? Mwenye kuwaza vizuri anajua ni zile 4R za Mh. Raid ndiyo zimekufanya uweze Kutoa hayo Maoni. Mungu Ibariki Tanzania
Wewe ni mgeni kwenye vyombo vya habari?...mbona aliongea sana hata habari za udiktrta na kuongeza muda wa utawala wa Rais.....huyu Mzee ni hazina kwa Taifa letu.....SI mnafiki Wala haogopi mtawala yeyote katika jambo lenye maslahi ya Taifa.....kama humjui Warioba amekuwa Waziri Mkuu, jaji Mkuu, mwanasheria Mkuu....n.k...ni mpenda haki na muwazi kwa awamu zote.....ameaminika Hadi kusimamia mchakato wa katiba Tz..... Usimfikirie poa....huyu ni 🔥 the big brain
Babu ulipotoka na tulipo leo mambo yamebadilika sana. Unazungumzia uongozi wa chama kimoja ambao wengi wetu tulikuwa wa itikadi moja. Sasa sio hivyo tupo kwenye mfumo wa vyama vingi tunatofautiana kiitikadi na misimamo uhuru wa kujieleza usio na mipaka ndio sababu kubwa ya yanayoonekana sasa hadi kiongozi mkuu wa nchi anatukanwa. Kuna maneno na vitendo vya waziwazi vinavyoashiria uvunjifu wa amani halafu uachie mambo hayo na kusubiri ushahidi wa wale watani wangu ndipo uanze kuchukua hatua. Babu hilo haliwezekani akiwa ngangari wewe kuwa ngunguri. Ushauri wako wa kizee tumeusikia lkn hautekelezeki.
KWANINI WATU WA CHADEMA WANAPOTOA MATAMSHI MABAYA WEWE UKO KIMYA ?JESHI HALIWEZE KUKAA TU MAADUI WAPO WANDANI NA WA NJE MZEE WEWE HUJUI SHIDA MAASKOFU WAMETOA WARAKA HUJASEMA CHOCHOTE MBONA MAGUFULI ALIPOFANYA UKATILI UMEKAA KIMYAA HII TUNAPATA MASHAKA
Mzee Warioba ww ni mtu mwema sn kosa wakati ukiwa madarakani hamkuweka sawa katiba yetu mlichokua mnaangalia nyinyi ni matumbo yenu hata hawa waliopo kuna siku wataanza kulalamika wakati hawapo madarakani msiangalie leo nyinyi viongozi wenu nyinyi hamukuiumba Tanzania tamaa zenu hizo za kutokubali kushindwa mtajuta siku moja
Tanzania moja Taifa moja umoja wetu ndio urithi wetu, nchi ya vyama vingi yanini kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa kuna faida ipi ya kuchochea hisia za chuki na mifarakano baina yetu kisa maslahi binafsi ya wanasiasa, hapana hio sio vision ya Watanzania.
Hawa wanasiasa wasituingize kwenye vita za kipuuzi kwa ajili ya matumbo Yao Watanzania tuamkeeeee jaman😭😭😭😭😭 naumia na taifa langu nalipenda tuamkee tuwakatae Hawa wanasiasa
Huyu mzee anachokonoa viongozi walioko madarakani kwa sasa,lakini enzi zao walitufanya watanzania tutembee bila viatu,sukari ilikuwa shida kuipata, nguo,sabuni,na mahitaji mengine mengi, hakuna aliye thubutu kuwachokonoa kama anavyo fanya sasa,huyu kampuuze kwani umri wake unaelekea magharibi hana hoja hata kidogo!
Hawa ndo watu wenye akili nyingi washaona mbele, sio hawa viongozi wetu wasasaivi vijana wadogo wanajali Mitumbo yao tuu. Nalipenda Taifa langu sana maana ni taifa la ukarimu sana ila wanasiasa na do watatuingiza kwenye machafukooo
Tatizo linaanzia hapa askali fulani anapopata uteuzi mfano kuwa mkuu wa mkoa na mwingine lazima awe na kujipendekeza kisiasa ili apate uteuzi, walipaswa ccm waache kuwateua maaskali kwenye nafasi za kisiasa
Wacha unafiki Jeshi la TZ limetumika chaguzi zote kuua wananchi kisiwani Pemba mbona hatukusikia ukisema lolote? Ukataka usitake Samia ndio raisi kwa kupindi hichi. Wacheni udini.
Wewe mzee walioba unasema nini? Hii ndo mbegu mliacha mmeipanda , sasa unalalama nini?? Ulitaka kuleta serikali 3, tukakataa, tunakujua unasumbuliwa na dini. Usituletee kaaa chini ulimaluza muda wako , tunakujua kundi lako wewe na Maria Sarungi na wapambe wenu mnampiga vita Raisi Samia . Kaa kimya uendelee kula pesa zetu za pension. Ulaaniwe wewe na familia yako
Huyu mzee anatumiwa na watu wajinga et aseme vitu ambavyo ni vya kijinga sana kaa utulie nyinyi ndy mliotufikisha hapa tulipo mliua viwanda vyote ungekuwa unajadili jinsi ya kubadili elimu tuliyonayo ambavyo Haina faida kwa jamii yetu
Hawa wazee inawauma sana kuona Samia anaenda kuwa raisi Leo huyu mzee anaonyeaha zahirri kua ana CHUKI msiwe hivo mwacheni huyo mama akawe rais amalizie
Wazee maarufu na mashuhuri nchini (. Tanzania bara na visiwana)waitane kwa kutumia busara na hekima zao ili wamshauri rais nini kifanyike kuliokoa taifa katika hali hili inayoendelea hivi sasa.
wewe mzee umezeeka ulistaafu ukapumzike!!kama unataka siasa fungua chama chako cha siasa,acha kuchochea uvunjifu wa Amani!uchaguzi ulikuwa wazi na wa haki,hata wenye vyama vyao vya siasa wamelikiri hilo!!
Wewe nawe hebu pumzika huko wewe Kila rais kwako ni hafai Sasa unataka nani awe rais Bora kwako kikwete hafai akaja magufuli hafai hata Samia hafai hebu tulia ule pesheni muacheni mama Samia apige kazi
We mzee usisahau makonda bado yupo ndio anaekuweza,nchi yoyote kama kuna watu wanohisi nchi ni kama majumbani mwao au kulea familia zao ilo halipo sawa,kauli za viongozi wengine lazima uzifanyie kazi usisubiri mpaka uvunjifu wa amani itokee ndio utafute mchawi ni nani,inatakiwa usome alama za nyakati wapinzani wanajaribu kujitekenya wenyewe kisha wanacheka wenyewe
Mwenye kuwaza vizuri anajua ni zile 4R za Mh. Rais ndiyo zimekufanya uweze Kutoa hayo Maoni. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Kazi Iendelee!! Mungu Ibariki Tanzania
Sasa unda tume ya kuunda vyama imara vya siasa kwanza. Hivi vyama vya upinzani ni vidhaifu, huo ndio ukweli. Lowasa aliwapa umaarufu Chadema wakajisahau wakafikiri ni umaarufu wa chama. CCM isaidie kuunda chama imara Cha upinzani. Ukweli ni kwamba Wananchi hawaiwezi kukabidhi nchi inayoenda vizuri kwa watu wasiowafahamu. Ni muhimu kuwa na upinzani unaoweza kuwa imara na wenye sera mbadala za kuaminika. Hata nyie wazee mnaweza kujiunga na upinzani kuuimarisha kama mnaupenda. Ila kwa nchi zetu hizi changa Chinese model ndio inatufaa. So far tunakwenda vizuri kiuchumi na tukiweza ku-maintain mwelekeo huu tutazizidi nchi zote zinazotuzunguka. Pana mambo ambayo tukiyaendekeza tutarudi nyuma. Tutumie akili zaidi kuliko hisia.
We naye siupumzike au.unafanya kazi ya nani,mbona mawazir wakuu wa staff hawa hangaiki na siasa,hatumsikii,malechela,sumaye hata pinda yupo kimya,mbona wewe haupumziki?,mimi si kuelewi nia yako halafu awamu ya 5 ulikuaga kimya,mheshimiwa kwa xx ungepumzika,kama mimi wakati nasoma miaka ya 1980 huko nakusikia mpa leo,hii ni shida kabisa
Tumebakiza Wazee Wachache wenye Uchungu ..Mungu Akupe Maisha Marefu..Warioba
Mungu akupe maisha maref nayenye furaha
Ndio maana wenye akili tunakuheshimu sana mzee Mh! Warioba
Mzee warioba uko sahihi na Mungu akubariki sana.
Siku za maamdamano ya wapinzani....jeshi huwa Lina taratibu ya kufanya usafi kwnye maeneo hayo wakiwa wamevaa sare😂
pia tusiwaingize viongozi wa dini kwenye siasa
Mzee huwa anaongea point sana ila wahusika hawazingatii
God bless you mzee warioba always Facts remain
Sahihi Sana mheshimiwa jeshiii ni nidhamu utiiii uhodari uhaminifu
Ni sauti ya Mungu anayekataa nguvu za Mungu zitamuandama
Mzee anasema ukweli 😅😅😅
CCM mbelekwambele❤❤❤
Jamani wangapi wamemwelewa huyu mzee wa fact
Mi SIJAMUELEWA NA NI VIZURI WAZEE WA AINA HII WANGEPUMZIKA TU KULA MAFAO YAKE ASITAFUTE UMAARUFU MUDA UMEISHA MTUPA MKONO WANAOJITOKEZA WOOTE NI WALEEEE WA KANNDA YA ZIWA
@@adamlubawa1281Ni mzee akili yake na fikra ni Mtu Kijana. Wewe Kimwili ni Kijana, kwa mchango huu wako wewe ni kikongwe. Rejea 5 laws of human stupidity. Stupid people are dangerous. Na Mwandishi Ziphora. Zipo kwenye mtandao. Unaweza Kuangalia Season inaitwa Porus. Ni mchezo unaohusu Mfalme Alexander the Great. Na maono yake kutawala Dunia. Maono yake ya Zimwa na Mfalme Porus huko India ya Sasa Season inahasiki Tawala nyingi za Africa.
@@adamlubawa1281Nahisi umeguswa panapouma
@@adamlubawa1281wewe ni mjinga Mungu akurehemu
Mungu aku bariki mzee warioba kwa kutusemea wananch wako
JWTZ HATUNA HAYO
Mzee ni adhina ya taifa
Changamoto ni moja tu Mzee wangu: Mauaji yasiyeleweka. Pia ni kama unakuwa neutral sana.Ukisema serikali unaitofautisha vipi na CCM make unasema CCM haihusiki bali ni Serikali inayohusika😅
Iliyoonekana kuvuruga uchaguzi si CCM bali Serikali. CCM ulijificha mgongoni mwa Serikali.
Mungu aendelee kulibariki na kulitunza jeshi letu
Baba warioba mungu akupe maisha marefu wewe ni hazina ya taifa letu na msema ukweli
Dah mzee mungu akupe uwai tuna wachache kama wew
Mzee unasema kweli lakini hiyo ni kwa bara tu zanzibar ni hilo jeshi unalolisema hua linapiga mizinga kwenye uchaguzi vifaru barabarani ,sasa labda bara jeshi ni jengine tafauti na jeshi lililopo zanzibar
😭😭😭😭😭 Taifa langu Jamani, Tanzania yangu nchi ya Wakarimu ila wanasiasa wanataka kutubadili nafsi zetu na kutufanya tuwe magaidi. Mzee umenilizaaaaaa😭😭😭
CCM wanadhani wakitukomoa ssis kupitia majeshi ndio maisha yao.
Nakumbuka Tundulisu aliwahi kuwaambia kwamba pindi mtakapo wamaliza wao mtaanza kumalizana wenyewe, lkn tunaanza kuyaona Sasa, wanamalizana wao, na bado mtaendelea kumalizana, na kwa sababu mmeamua kuyaingiza majeshi, mtakuja kukichapa tu. Sie yetu macho. Mungu atupe maisha marefu.
Nyie si mnaona mnatukomoa!!
Na kwa uzoefu mchache tutaacha kuja kwenye chaguzi ili muendelee kupeana Ila kwenye utekelezaji hapo ndipo itakapo kuja kuwa shida huku mtaano
Kabisa mzee iyokauli arihitoa mwanamke nahao ndiowalikua wakisimamia wizi
Wazee wa busara na wazalendo walibakia nchi hii MUNGU Wazidishie umri wakuishi bila hawa cjui.Ila Mungu tutetee tushike mkono usituache.
Babu umesema kweli mwenye masikio nasikie nenoili alilolisema uyubabu nimemuelewa sana
Wanasema Mzee Joseph Warioba bado ni hazina kwa Taifa la Tanzania tujuane hapa
Tunashukuru sana Mzee wetu!Kila Mtanzania mwenye kufikiri vizuri amekusikia uliyosema;pia kila Mtanzania mwenye kuwaza vizuri anajiuliza kwa nini haukuzungumza maneno haya kipindi cha uongozi wa Awamu ya tano?
Mwenye kuwaza vizuri anajua ni zile 4R za Mh. Raid ndiyo zimekufanya uweze Kutoa hayo Maoni.
Mungu Ibariki Tanzania
Ata awamu ya tano mbona kaongea mkuuuu
Acha uchawa....awamu ya tano huyu mzee hakuongea??!!
Wewe ni mgeni kwenye vyombo vya habari?...mbona aliongea sana hata habari za udiktrta na kuongeza muda wa utawala wa Rais.....huyu Mzee ni hazina kwa Taifa letu.....SI mnafiki Wala haogopi mtawala yeyote katika jambo lenye maslahi ya Taifa.....kama humjui Warioba amekuwa Waziri Mkuu, jaji Mkuu, mwanasheria Mkuu....n.k...ni mpenda haki na muwazi kwa awamu zote.....ameaminika Hadi kusimamia mchakato wa katiba Tz..... Usimfikirie poa....huyu ni 🔥 the big brain
Uzee wako unajenga uchumi, unasema vema. Mumgu akupe maisha marefu tukupate zaidi
🙌🙌🙌🙌
Kutakuwa nadalili kuingiza jeshi kwenye uchaguzi hadi mzee huyu anatoka ujue tayariii
Hivi tofauti ya CCM Na serikali hii ya awamu ya tano ni ipi, au ni mavazi?
Babu ulipotoka na tulipo leo mambo yamebadilika sana.
Unazungumzia uongozi wa chama kimoja ambao wengi wetu tulikuwa wa itikadi moja.
Sasa sio hivyo tupo kwenye mfumo wa vyama vingi tunatofautiana kiitikadi na misimamo uhuru wa kujieleza usio na mipaka ndio sababu kubwa ya yanayoonekana sasa hadi kiongozi mkuu wa nchi anatukanwa.
Kuna maneno na vitendo vya waziwazi vinavyoashiria uvunjifu wa amani halafu uachie mambo hayo na kusubiri ushahidi wa wale watani wangu ndipo uanze kuchukua hatua.
Babu hilo haliwezekani akiwa ngangari wewe kuwa ngunguri.
Ushauri wako wa kizee tumeusikia lkn hautekelezeki.
huyu mzee amechoka kimwili na akili pia, apumzike kwa kweli
KWANINI WATU WA CHADEMA WANAPOTOA MATAMSHI MABAYA WEWE UKO KIMYA ?JESHI HALIWEZE KUKAA TU MAADUI WAPO WANDANI NA WA NJE MZEE WEWE HUJUI SHIDA MAASKOFU WAMETOA WARAKA HUJASEMA CHOCHOTE MBONA MAGUFULI ALIPOFANYA UKATILI UMEKAA KIMYAA HII TUNAPATA MASHAKA
Katika utatu ( trinity) vigumu kugundua nani anamtuma nani. Teuzi ndio zinazaa hayo yote. Bila vyeo kutokana na katiba sio matakwa ya mtu mmoja tu.
Mimi naambia Kila siku huyu Mama haeleweki
Tuone njia za kumpata CDF zinafanana na mchakato wa kumpata IGP?tuanzie hapo ili tujue tatizo linaanzia wapi
Mzee Warioba ww ni mtu mwema sn kosa wakati ukiwa madarakani hamkuweka sawa katiba yetu mlichokua mnaangalia nyinyi ni matumbo yenu hata hawa waliopo kuna siku wataanza kulalamika wakati hawapo madarakani msiangalie leo nyinyi viongozi wenu nyinyi hamukuiumba Tanzania tamaa zenu hizo za kutokubali kushindwa mtajuta siku moja
Tanzania moja Taifa moja umoja wetu ndio urithi wetu, nchi ya vyama vingi yanini kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa kuna faida ipi ya kuchochea hisia za chuki na mifarakano baina yetu kisa maslahi binafsi ya wanasiasa, hapana hio sio vision ya Watanzania.
Brother unaakili sanaaa
Hawa wanasiasa wasituingize kwenye vita za kipuuzi kwa ajili ya matumbo Yao Watanzania tuamkeeeee jaman😭😭😭😭😭 naumia na taifa langu nalipenda tuamkee tuwakatae Hawa wanasiasa
Ndiyo maana magufuli aliwaambia msiwashwe washwe
Acha ujinga wew wanajeshi wanahusikaje kwenye uchaguzi?
Kabisa na hakuthubutu kuzungumza huyu mzee
Bora anayewashwa kuàkisha wajukuu zake na Nchi yao iko salama. Kuliko waoga watendao uovu Kwa Gizani.
@@GodfreyOsward nchi iko salama mzee hata sasa
@2000-j3i Amina, tunaiombea kila roho ya Mtanzania hutashi wa kutimiza Tumaini hilo, kizazi hata kizazi.
Huu ndiyo wokovu, mzee kama huyu siku akifa mwili unabaki tu pasipo kuoza
Huyu mzee anachokonoa viongozi walioko madarakani kwa sasa,lakini enzi zao walitufanya watanzania tutembee bila viatu,sukari ilikuwa shida kuipata, nguo,sabuni,na mahitaji mengine mengi, hakuna aliye thubutu kuwachokonoa kama anavyo fanya sasa,huyu kampuuze kwani umri wake unaelekea magharibi hana hoja hata kidogo!
Wewe usimpangie amili jeshi mkuu jinsi ya kuyatumia majeshi yake.
Kuonya na Kufundisha sio kuingilia. Vifo vya ovyo sio Utanzania. Raia hatupendi watu kufa ovyo. Raia kuawa ni sifa inayomfaidisha nani?.
Weee ni mjinga
Hawa ndo watu wenye akili nyingi washaona mbele, sio hawa viongozi wetu wasasaivi vijana wadogo wanajali Mitumbo yao tuu. Nalipenda Taifa langu sana maana ni taifa la ukarimu sana ila wanasiasa na do watatuingiza kwenye machafukooo
Tatizo linaanzia hapa askali fulani anapopata uteuzi mfano kuwa mkuu wa mkoa na mwingine lazima awe na kujipendekeza kisiasa ili apate uteuzi, walipaswa ccm waache kuwateua maaskali kwenye nafasi za kisiasa
Mbona usemi tusiingize wachungaji kwenye siasa?
Huyu mzee hakuthubutu kuzungumza kwa mjomba
Siasa hata kwenye biblia ipo sema hufuatilii biblia
Ayo sema wewe
Ile ilikua mashine inayojitambua coz wanao haribu nchii hii ni hao wasenge wasenge wa juu
@tinejuxfrancis729 wanao jitambua unawajuwa wewe au unapenda uonekane ume coment tu kwenye media.
MUNGU tunakuomba endelea kumpa uhai na afya njema mzee wetu Warioba ili tuendelee kupata USIA wake.
Wacha unafiki Jeshi la TZ limetumika chaguzi zote kuua wananchi kisiwani Pemba mbona hatukusikia ukisema lolote? Ukataka usitake Samia ndio raisi kwa kupindi hichi.
Wacheni udini.
Hao polisi sio jwtz
Udini unao wewe kikwete alikuwa mkiristo na mwinyi udini uje kwa samia tu lione.baya
Tanzania itabaki ILA Samia atapika Tu , yupo wapi magufuli ??? Kaa Kwa kutulia
Tuipende nchi yetu,Hawa wanasiasa hupota tu ,Tanzania imekuwa yakutekwa ,uchaguzi mpaka uende na roho za watu,
Usiwe kuma wewe
Enforcement of Martial Law
Ni kweli mzee wetu huku kula kwa kamba huku
Ata we utakavchei maana uko benchi one day kitaeleweka
Eti hawana wele kura kwa urefu wa kamba yako😂😂😂🎉🎉🎉
Mzee Umebakisha Seemu 1 Yavyombo Vya Habali Ambovyo Vimesahau Wajibu Wake Vimebaki Kuwa vyombo Vyakichawa Va Ccm
Kasema kweli polisi na siasa ni viwili tofauti
Jwtz wanaume wa kazi ndio vitu viwili tofauti na siasa na siyo polisi watoto wa mama
Mzee kwanini hakuwahi kuwa Rais jamani
kila nikiuangalia uso wako na nikisikiliza maneno yako nauona moyo wako
Huna lolote ni udini tuu umekujaa kichwani huwezi muelewa Mzee wa busara kama huyu😊
Watanzania tuamkee Hawa wanasiasa wasituingize kwenye vita za kipuuzi kwa ajili ya matumbo Yao, tulipende taifa letu
Wewe mzee walioba unasema nini? Hii ndo mbegu mliacha mmeipanda , sasa unalalama nini?? Ulitaka kuleta serikali 3, tukakataa, tunakujua unasumbuliwa na dini. Usituletee kaaa chini ulimaluza muda wako , tunakujua kundi lako wewe na Maria Sarungi na wapambe wenu mnampiga vita Raisi Samia . Kaa kimya uendelee kula pesa zetu za pension. Ulaaniwe wewe na familia yako
Rais bashiru WA sudan aliamini jeshi lakini mwishowe aliangushwa
Warioba
Tahadhar kabla athar ni bora mzee
🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu mzee anatumiwa na watu wajinga et aseme vitu ambavyo ni vya kijinga sana kaa utulie nyinyi ndy mliotufikisha hapa tulipo mliua viwanda vyote ungekuwa unajadili jinsi ya kubadili elimu tuliyonayo ambavyo Haina faida kwa jamii yetu
Tumewashitukiza wana wapa uniform za police linauwa watu
Sasa mzee ulitaka mpaka watu wauwane ndo jeshi litaftane nafikiri serikali iko sahihi kuwa stand by
Wewe kinachokusumbua ni udini tuu huna lolote
Jeshi sio kazi yake .. kazi hio ni ya polisi na hawaruhusiki kupiga au kuuwa mwananchi kwasababu ya uchaguzi . 😢
Siku zote wale watu wa kristo uwa tuna neema kubwa sana
Huyo mwenye cm inonguruma anatukera azime cm yake
Hawa wazee inawauma sana kuona Samia anaenda kuwa raisi Leo huyu mzee anaonyeaha zahirri kua ana CHUKI msiwe hivo mwacheni huyo mama akawe rais amalizie
Wewe usiye na chuki unataka huyo mama yako awe mara ngapi na una masirahi gani huko akiwa raisi twambie.
Wapi wew , huyu Mzee ANAONA siku zake sio nyingi tatizo na MATAHIRA kama wew ndio mtaseka sanA , mwache Mzee awape kidogo hekima MATAHIRA
Ukwel Usisemwe?
Hana hekima yeyote sasa na MALECERA AJE ASEME
MKUUU WA JESHI NAE AJE ASEME YEYE AKUBALI TU KILA ZAMA NA KITABU CHAKE
@@adamlubawa1281kweli wew ni msenge
kwani nani kaliingiza kwenye siasa jamani hilo jeshi la wananchi
Je,uko nchi gani Kwa sasa
Mzee huyu anaumia sana na udini sana akimuona rais anafanya kazi
Huyu na Tibaijuka UDINI UPO MBELE KULIKO MASLAHI YA NCHI
Tatizo ni ufaham wako. Hopeless.
Je, kipindi cha walioba akiwa waziri alitumia vyombo kivipi?
Usiumize kichwa ndio wale wale
Ni kila mtu na mda wake
Kuna wakati yule bondia alikupomo mangumi ya kutosha!!!
Tunataka jeshi limpindue Samia Bibi tozo muimba taarabu
Laisi kama ameshindwa kaziii aondoke asialibu tz yetuu
Msiposema, mawe yatasema. Sikio la kufa halisikii dawa. Ni sauti ya hekima. Na watawala walio vimbewa madaraka hawawezi kusikia.
Wazee maarufu na mashuhuri nchini (. Tanzania bara na visiwana)waitane kwa kutumia busara na hekima zao ili wamshauri rais nini kifanyike kuliokoa taifa katika hali hili inayoendelea hivi sasa.
wewe mzee umezeeka ulistaafu ukapumzike!!kama unataka siasa fungua chama chako cha siasa,acha kuchochea uvunjifu wa Amani!uchaguzi ulikuwa wazi na wa haki,hata wenye vyama vyao vya siasa wamelikiri hilo!!
Wewe nawe hebu pumzika huko wewe Kila rais kwako ni hafai Sasa unataka nani awe rais Bora kwako kikwete hafai akaja magufuli hafai hata Samia hafai hebu tulia ule pesheni muacheni mama Samia apige kazi
Mjomba wa taifa, apewe maua yake mapema.
Tatizo Bibi alishasema amekuwa CHURA
We mzee usisahau makonda bado yupo ndio anaekuweza,nchi yoyote kama kuna watu wanohisi nchi ni kama majumbani mwao au kulea familia zao ilo halipo sawa,kauli za viongozi wengine lazima uzifanyie kazi usisubiri mpaka uvunjifu wa amani itokee ndio utafute mchawi ni nani,inatakiwa usome alama za nyakati wapinzani wanajaribu kujitekenya wenyewe kisha wanacheka wenyewe
Tutawaliwe tu na jeshi maana Tanzania siasa zimekua za maji taka
Umejenga hoja gani hapa? Je nikuulize swali Mzee Yuko sahihi au amekosea?
We usiwe kumawe laisii atufah
Uyuu jamaa sijui kaongea nn awa ndio wasenge tuliojaliwa Tanzania wasenge wengii adii ichiii unaenda kua masikini
Mwenye kuwaza vizuri anajua ni zile 4R za Mh. Rais ndiyo zimekufanya uweze Kutoa hayo Maoni.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Kazi Iendelee!!
Mungu Ibariki Tanzania
Mzee upo sahihhi ila swali kwako mbona wakati wa magu ukusema wakati mambo hayo yalikuwepo?
😂😂😂
pia viongozi wa dini kazi yao sio za kisiasa
Nchi ya Malawi ni Askofu. Gwajima je ni mchungaji.
Sad truth
Kila kitu Kiko Sawa mzee Warioba, kula pension yako Sasa, tuko salama Saaana
Sasa unda tume ya kuunda vyama imara vya siasa kwanza. Hivi vyama vya upinzani ni vidhaifu, huo ndio ukweli. Lowasa aliwapa umaarufu Chadema wakajisahau wakafikiri ni umaarufu wa chama. CCM isaidie kuunda chama imara Cha upinzani. Ukweli ni kwamba Wananchi hawaiwezi kukabidhi nchi inayoenda vizuri kwa watu wasiowafahamu. Ni muhimu kuwa na upinzani unaoweza kuwa imara na wenye sera mbadala za kuaminika. Hata nyie wazee mnaweza kujiunga na upinzani kuuimarisha kama mnaupenda. Ila kwa nchi zetu hizi changa Chinese model ndio inatufaa. So far tunakwenda vizuri kiuchumi na tukiweza ku-maintain mwelekeo huu tutazizidi nchi zote zinazotuzunguka. Pana mambo ambayo tukiyaendekeza tutarudi nyuma. Tutumie akili zaidi kuliko hisia.
We matako tu, unawaza kwa makalio, jitathimini
Hivi wewe matako unaingia hata nusu Kwa mzee huyu? Uchaguzi gani mpaka uondoke na roho za watu, Mzee anasema hoja za maana halafu unaleta usenge hapa
We una taka uimala gani wakatii awaja shika dola wenye dola wauni we vp
Sasa uzaifuu wa vyaama nn au we una tak wafanyaje wakatii wana engua wagombea Sasa we una taka uimala gani
Fanya utafiti binafsi vijijini utagundua kwamba suala si kuenguliwa, sehemu kubwa hawapo wapinzani au wamezuka tu kugombea kwa kuombwa. @@RomanMwinyi
nihatarisana