JAMAA AMEPIGIWA SIMU NA RC HAPI ''SINA PESA, SIMU YENYEWE NI YA MKE WANGU''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2020

ความคิดเห็น • 160

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว +24

    Hongera mkuu wangu wa mkoa wa iringa ,kwa kuwa karibu na wananchi wako ,uzuri ulionao unaendana na roho yako mungunakupe afya ya kutosha.

  • @directorinyangeadriano5031
    @directorinyangeadriano5031 4 ปีที่แล้ว +14

    Hadi raha...Mkuu wa Mkoa kasimama kama kiongoz kwel..Mungu azidi kukupa hakili yakuzungumza na wananchi wako

  • @oliviamasao2891
    @oliviamasao2891 4 ปีที่แล้ว +2

    Mkuu wa mkoa handsome ndani na nje .. Mungu akubariki

  • @mparemusa9787
    @mparemusa9787 4 ปีที่แล้ว +12

    Piga kazi ,maombi ya wanyonge ndiyo yanayokufanya uendelee kuishi miaka mingi ,unachokifanya unatangaza Vita kwa wale wanyonyaji kwaiyo mungu ni mwaminifu atakulinda kwa yote unayoyafanya kwa wananchi wanyonge kwa kutenda haki

  • @veronicamchilo8552
    @veronicamchilo8552 4 ปีที่แล้ว +16

    😂😂😂mkuu wa mkoa wewe ni mwanangu pia nikiongozi wangu sina pesa ivi kunamwananchi kaninyang'anya cm😭😭

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 ปีที่แล้ว +15

    Kuwa karibu na wananchi ni jambo zuri na ndo maana ya uongozi, Ila itoke Moyoni na iwe endelevu na wengine waige mfano huu waache kukaa maofini wanachat.

  • @neemamahusho6193
    @neemamahusho6193 4 ปีที่แล้ว +21

    mkuu wa mkoa jaman anajitaidi Mungu azidi kumlinda

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว +1

    JAMANI KAKA MUNGU YUPO ATAKULIPA. TUMEIONA TOKA MWANZO KAZI YAKO NI NZURI SANA. KUMBUKA MTENDA WEMA DAIMA UPIGWA VITA. KHAAA WATU NI WABAYA SANA. UTALIPWA BROO. MWACHIE MUNGU ATAJIBU KWA YOTE ULIO WATETEA WANYONGE . INSHALLA

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +5

    👏👏👏👏👏👏 Hongera Muheshimiwa.

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole Mkuu Wangu. Changamoto ni nyingi sana.Mtangulize Mungu kwa kila Jambo Naye Atakuongoza.Akupe Afya tele wewe na familia yako na viongozi Unaowaongoza. In sha Allah Allah Atufanyie wepesi sote.(Tuseme- Amin Rab Amin In sha Allah)

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa allah . Mwenyez Mungu akupe kher , akupe nguvu zaid

    • @peterpaul591
      @peterpaul591 4 ปีที่แล้ว +1

      Magufuri hongera kwa chaguo la Hapi

  • @mohamedsiadi8144
    @mohamedsiadi8144 4 ปีที่แล้ว +16

    Leo wa kwanza kuangalia video hiii nipeni likes zangu 😅😁

    • @uswegemwakajila4980
      @uswegemwakajila4980 4 ปีที่แล้ว +1

      Endelea kuwa kujisifu kuwa kwanza kuangalia video wakati wenzako wanajifu wakwanza kurusha rocket

    • @mohamedsiadi8144
      @mohamedsiadi8144 4 ปีที่แล้ว +1

      uswege mwakajila kwani mie nina shida ya kurusha rocket 🤣

  • @deboradaniel7929
    @deboradaniel7929 4 ปีที่แล้ว +10

    pole baba angu mkuu atashughulika

  • @axa29
    @axa29 4 ปีที่แล้ว +11

    Kadege yeye analipa watu inakuwaje hajalipwa tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว +16

    Watu wana hali ngumu jaman harafu tunawadhulumu haki zao

    • @muhanilamlwale7046
      @muhanilamlwale7046 4 ปีที่แล้ว

      MH ALI HAPI MUNGU AKUTUNZE SAANA NA UTAPAA SANA MUNGU ATAKUPIGANIA SANA WEWE ,

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 ปีที่แล้ว +9

    Hadi kwenye vikao vyakawaida kunapicha ya mh. P

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 4 ปีที่แล้ว +5

    Kuna mijitu haina aibu,unalipwa mshahara bado unadhulumu Sh. 39,000/-

  • @jonathanstephen6616
    @jonathanstephen6616 4 ปีที่แล้ว +10

    MKUU WA MKOA, NAKUPONGEZA KWA DHATI. THIS IS LEADERSHIP...MUNGU AKUINUE ZAIDI

    • @songascreenprint8712
      @songascreenprint8712 3 ปีที่แล้ว

      Katika watu ninao wakubali uyuu jamaha uwa namkubali Sana Yani kiukweli uyuu alistahiki kuwa wazili wamambo ya ndani

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว +1

    kama hawapo shukanao moja kwa moja hadi chini halafu sukuma ndani mungu akubariki RC hapi

  • @hafidhabdallah6292
    @hafidhabdallah6292 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mh pigania haki za wananchi wako wewe kiongozi mwema by mpemba

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyo wanamuita RC Hapiness .!

  • @kimmenelus7835
    @kimmenelus7835 4 ปีที่แล้ว +7

    RC HAPPY
    nilivyo Mimi tunafanana kabisaaaa

  • @radhiaoman2454
    @radhiaoman2454 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah ni safi Sana maana watu wa hali ya chini wanapata nafasi ya kutoa duku duku zao mh hongera sana

  • @noelamilambo9595
    @noelamilambo9595 4 ปีที่แล้ว +7

    God bless u more hapi

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 ปีที่แล้ว +9

    Mkuu Mungu akupe umri mrefu na afya njema

  • @richardmanjira6800
    @richardmanjira6800 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuongezee Maisha mkuuu

  • @dickensimlwafu3106
    @dickensimlwafu3106 4 ปีที่แล้ว +3

    kazi nzuri Hapi,keep on doing it

  • @cecygeorge4443
    @cecygeorge4443 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mkuu wa mkoa wa iringa Mungu akubariki

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว +3

    Wallah allah atakulipa kwahii kazi unayo ifanya kuwatetea watu wanyonge wallah wema hauozagi

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 4 ปีที่แล้ว +7

    Mnakera sana mjue, yaani mpaka mkuu wa mkoa aje ndio watu walipwe haki yao, watu wanapewa miradi halafu kazi utapeli tu. Mkichezea mapanga mnalaumu.

    • @twahasaidi7578
      @twahasaidi7578 ปีที่แล้ว +2

      Huyo ni mtetezi wa nyonge wtz hampendi kizuri

  • @DrMbonea
    @DrMbonea 4 ปีที่แล้ว +11

    Kwa Sasa tuna wakuu wa mkoa watatu Makonda,Mwanri na Ali Happy
    These guys wanafanya kazi hata kama muwaseme vibaya

  • @f.a6043
    @f.a6043 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh. RC HAPI 👍🏽👍🏽👍🏽🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 4 ปีที่แล้ว +8

    Mungu atakulipa mueshimiwa

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 4 ปีที่แล้ว +8

    Jamaniii huyu kiongozi tunamtaka mbeyaaaaaa

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana kiongoz

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez mungu azidi kukupa imani na wananchi wako viongoz km hawa ndio tunaowataka sisi wanyonge wanajali shida na kero za wabanchi mungu akupe mwisho mwema

  • @farisjuma90
    @farisjuma90 4 ปีที่แล้ว +5

    Nice and wonderful leader

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera kwa kazi mkuu

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 4 ปีที่แล้ว +8

    Dah huyu ndio mkuu wa mkoa kwa kweli iringa ringeni tu

  • @twahasaidi7578
    @twahasaidi7578 ปีที่แล้ว +2

    Ho ng era Sana mkuu wasaidie wanyonge ww ni mgufuli wa oili mwamba

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani Mh,mkuu wa mkoa Kama unaweza kudili na wahehe kwa kiwango hiki baada ya hapo mzee JPM akupeleke rorya kwa akina MURA naamini ukiwaweza hao Basi miaka 20 ijayo run for president na Mimi nitakupa kura yangu bila kipingamizi.

  • @happyangelmac7670
    @happyangelmac7670 4 ปีที่แล้ว +6

    Good leader

  • @glenjoewa1797
    @glenjoewa1797 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania iko sawa, open courts inaleta haki kwa wanyongi
    WE SUPPORT YOU MKUU WA MKOA

  • @cutebaby3247
    @cutebaby3247 4 ปีที่แล้ว +10

    R.C mdhuri👌😂

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 4 ปีที่แล้ว +8

    Kadenge anajua kujieleza aisee

  • @momepeter9161
    @momepeter9161 4 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣sina hela.sina uwezo wa kufika hapo😆😆😆

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 4 ปีที่แล้ว +8

    To e ni pe sa! Siyo mbwembwe.

  • @yangoshatv5327
    @yangoshatv5327 4 ปีที่แล้ว +2

    tena naongeza hongera sana mza apa ina shda tena matatizo kama ya zaman yapo ya rushwa rushwa

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +1

    Asante mkuu wasaidie wanyonge

  • @jacksonrabson6439
    @jacksonrabson6439 4 ปีที่แล้ว +8

    Hakyamungu awam hii viongozi kazi mnayo😂😂😂😂 mzee amesema anadai sh ngapi tena!!!

  • @AlexisAjwantos
    @AlexisAjwantos 2 หลายเดือนก่อน +1

    Fanya kazi bb

  • @mitrione8970
    @mitrione8970 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe uko Number1 tu

  • @estermpagama9664
    @estermpagama9664 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu wa mkoa Iringa kweli unafanya kazi ni raha na furaha kusaidia shida za watu mmepata kiongozi mwema Mungu akutangulie

  • @christinamahondomimihapa7162
    @christinamahondomimihapa7162 4 ปีที่แล้ว +10

    Hahahah mkuu wetu wa mkoa tunashukuru

    • @mussamatinde8813
      @mussamatinde8813 4 ปีที่แล้ว

      rc hapi ww ni mix huna taji wara maskini unaskiriza watu wote na Rais ajipongeze kwa uteuzi wake kwako,

  • @zairiabakari4155
    @zairiabakari4155 4 ปีที่แล้ว +2

    Natamani ungekua mbunge wangu kibaha mjini

  • @veronicamchilo8552
    @veronicamchilo8552 4 ปีที่แล้ว +14

    😇😇 wahehe twendelee na moyo huhu ingekuwa mkulya kashapita na shingo ya mtu mkulya hata buku anakuuwa

    • @bockernyarusahi3655
      @bockernyarusahi3655 4 ปีที่แล้ว +2

      veronica mchilo mkurya atakuwa alishakupiga kaz akakuacha siyo kwa kumchukia huko

    • @taslimanyange2850
      @taslimanyange2850 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahahhahahahhahahha na wakurya kwa kuacha mademu wako vizurii kipigo unapata na kuachwaa unaachwaa

    • @magesamatiku7364
      @magesamatiku7364 4 ปีที่แล้ว

      Mimi kwa usumbufu huo nishamnyonyo macho mapema

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว

      @@taslimanyange2850 😂😂😂😂😂ntajaribu kumpend mkurya ili nipigwe nione

    • @dmtv6448
      @dmtv6448 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijakhadija6212 😅😅😅😅😅

  • @jessicarasigu2220
    @jessicarasigu2220 3 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa mkoa wa iringa,hongera sana kwakuchapa kazi bora,ubarikiwe baba

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukran muheshimiwa

  • @mlimawamajibutv
    @mlimawamajibutv 4 ปีที่แล้ว +3

    NAKUOMBEA UBALIKIWE ADUI ZAKO WAABISHWE MUNGU AKULINDE AKUOKOE NA MITEGO YA WATU WABAYA HAKIKA SIJUITII KUMTUMIKIA MUNGU KATIKA MKOA WAKO BALI NAJIVUNIA SANA

  • @brightonbenjamin1541
    @brightonbenjamin1541 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana mh.hapi

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 4 ปีที่แล้ว +1

    Mdogo wangu mh Hapi nakuona kuwa hazina kwenye uongozi wa Taifa langu la Tanzania
    Mungu akubariki saba bro endelea na moyo huo huo

  • @daudimwidimakihanda5386
    @daudimwidimakihanda5386 4 ปีที่แล้ว +12

    Maisha haya we unakaa bar unatumia elfu 50 Kuna mwingine anaitaji elfu 39, akale na familia yake tufike mahali binadamu tuoneane huruma

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapi

  • @carolinjohn3189
    @carolinjohn3189 4 ปีที่แล้ว +4

    Hapi juu

  • @veronikahau2935
    @veronikahau2935 4 ปีที่แล้ว +3

    Nmemuonea huruma huyo baba maskini daah

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Rc ni Noumaaaaaaaaaaaaa

  • @user-zq2ql5yn7g
    @user-zq2ql5yn7g 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera kamanda kwa juhud zako mungu akupandishe atua zaid

  • @tabuboone934
    @tabuboone934 3 ปีที่แล้ว +1

    Inqbidi uelewehe watu kuwa km amefanyakazi ya kulipwa hiyo ni haki yke lazima alipwe

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 ปีที่แล้ว

    HONGERA SANA.
    WEWE NI MTU WA Mungu .
    .

  • @sintamtati8554
    @sintamtati8554 2 ปีที่แล้ว

    Big up sana mkuu wangu wa mkoa wa Iringa kwa kuwa karibu na Wananchi na kutatua kero zao, Mungu akusimamie ktk uongozi wako.

  • @rashidfentu5542
    @rashidfentu5542 4 ปีที่แล้ว +2

    Mkuu rud jimbon kwako kondoa kura zipo waz

  • @isayakilangi5888
    @isayakilangi5888 4 ปีที่แล้ว +22

    Iringa magufuli alitupa kiongozi abalikiwe Sana hatuna haja ya mbunge sisi hapy anatutosha ww ndo mbunge na wewe ndo mkuu wa mkoa

  • @JumaNdingo
    @JumaNdingo 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio viongozi tunao wataka kwenye nchi yetu hongera mkuu wa mkoa iringa iwe mfano wakuigwa kwa viongozi wengine

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nyie uyu kijana mnataka afanyeje?? Mna mizambi na mtaungua kidogo kidogo mpaka MFE KWA UZUSHI WENU. AIBU SANA KWA KUMWANGUSHA KIJANA MCHAPA KAZIIIII KAMA HUYUU LOOOOO AYAA TUPU

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 4 ปีที่แล้ว +2

    Hali ngumu mpka mtu akizurumiwa elf 39 anashitki?

  • @jeuritv156
    @jeuritv156 3 ปีที่แล้ว

    I realy like this guy... Rc Hapi long live my brother

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 ปีที่แล้ว +9

    Hizi ni zama za magufuli, kila kitu kitanyooka

  • @MctMct-tt4rq
    @MctMct-tt4rq 4 ปีที่แล้ว +1

    SIJAWAHI KUMUKTA HUYU MKU WA MKOWA KWENYE KAZI ZAKE MUNGU AMBARIKI HUYU MKUU WA MKOW

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Iringa..
    Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu ili uzidi kupigania wanyonge...

  • @dominickshija5908
    @dominickshija5908 ปีที่แล้ว +1

    Happy I like you

  • @sarahlydia2635
    @sarahlydia2635 4 ปีที่แล้ว +3

    😘😘😘

  • @neemamahusho6193
    @neemamahusho6193 4 ปีที่แล้ว +11

    😀😀😀😀😀😀😀😀🖐️noma jamn mkuu wamkoa hatariii

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Asant kwa kunipa vijirizki hivi,kuna watanzania wanategemea 39 kula na family eeeh mungu Asante

  • @jamilakizya7792
    @jamilakizya7792 3 ปีที่แล้ว

    Mungu msimamiye mkuu wa mkoa huyo anafanya kazi nzuri sana na wengine waingi inchi itasonga mbele sana kulikoni wangeni wemekaa tu ofisini

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 4 ปีที่แล้ว +2

    mbona mzee anafanana na mkuu wa mkoa

  • @daudisalum9574
    @daudisalum9574 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu alikua mchapa kazi sana apewe kitengo ali happy

  • @mdedeanna7630
    @mdedeanna7630 4 ปีที่แล้ว +2

    Njooo na huku mafinga maana wanatunyanyasa sana huku mafinga njooo

  • @festohingi7879
    @festohingi7879 4 ปีที่แล้ว

    Safi Sana mkuu wetu wa mkoa kwa kusikiliza kero za watu wako hongera Sana kiongozi

  • @rashidsalim7078
    @rashidsalim7078 ปีที่แล้ว +1

    naanza kumuelewa huyu mkuu wa mkoa happy

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 4 ปีที่แล้ว +2

    ukandarasi kimeo

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mzee nimempenda kuzungusha mtu tabia mbaya mno

  • @pasquallungwa3517
    @pasquallungwa3517 4 ปีที่แล้ว +4

    Duuh mchepuko wangu kanipora sim sasa nifike ofisin kwako mkuu nipate pesa yakununulia sim nyingine aisee vuvuzela ni shiiiiigdah

  • @Mwakasyuka1803
    @Mwakasyuka1803 4 ปีที่แล้ว +3

    Anazingua huyo mkandaras

  • @vumiliabakari6050
    @vumiliabakari6050 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapa

  • @teclamahenge4425
    @teclamahenge4425 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtetezi wa wanyonge

  • @Michael_Msanzya
    @Michael_Msanzya 4 ปีที่แล้ว +3

    Kadege mbishi
    Sana Baba Mkwe Wangu😁😁😁😁

  • @rajabsalim8920
    @rajabsalim8920 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu msanii wa mkoni haha😂😂

  • @jumasongoro2766
    @jumasongoro2766 4 ปีที่แล้ว

    Yaan mh ally hapi nikiongozi bora xnaaaaaaa Yaan nataman angekuja kigoma kutuongoza Mamboo yangekuwa shwari pongezi xnaaaaaaa kwa MH mkuu wa mkao wa iringa unajituma kaka mungu akubariki

  • @assleeali2302
    @assleeali2302 4 ปีที่แล้ว +8

    Mbn hawa jamaa n waongo sana hiv kweli wanashindwa kuwa na elfu 30 mfukoni

    • @klystry1234
      @klystry1234 4 ปีที่แล้ว +3

      Asslee Ali ni 40 hiyo chenchi buku

  • @mako331
    @mako331 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndo kazi ya Kiongozi kusikiliza kero za wananchi hata ziwe ndogo kiasi gani, wakuu wa mikoa mingine sijui wanakuwaga wapi? Huwezi kusikia hata mkutano mmoja na Wananchi