"RAIS SAMIA WATU WANAKUFA BILA HATIA" OBASANJO AKIONGEA IKULU ATOA POLE KIFO HAYATI MAGUFULI, MKAPA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ค. 2021
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo May 3, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo.
    Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma ambapo Rais Mstaafu Obasanjo ametoa salamu zake za rambirambi kwa Rais Samia kufuatia vifo vya waliokuwa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Hayati Benjamin William Mkapa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli waliofariki dunia tarehe 23 Julai, 2020 na tarehe 17 Machi, 2021 mtawalia.

ความคิดเห็น • 57

  • @mao9622
    @mao9622 3 ปีที่แล้ว +9

    Tumerudi kwenye blah blah,diplomasia blah blah..

    • @emanuelleopod3949
      @emanuelleopod3949 3 ปีที่แล้ว +6

      Niliyategemea haya toka Kifo cha mwamba

    • @hatibhatib5760
      @hatibhatib5760 3 ปีที่แล้ว

      acheni uboya

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Uhusiano mzuri na mataifa mengine ni kosa? Wewe unafurahia uhasama na ugomvi?

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 3 ปีที่แล้ว +2

    Kina mama wako vizuri

  • @leninphilip999
    @leninphilip999 3 ปีที่แล้ว

    KARIBU SANA NA TUNASHUKURU SANA KWA UPENDO WAKO MZEE OBASANJO🤝

  • @sylivanussyliacus5064
    @sylivanussyliacus5064 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama kama mama!

  • @joycemarko3037
    @joycemarko3037 3 ปีที่แล้ว +3

    Jpm ww nimwamba sijaona mwingine bora Hussein kule znzbr jpm ww ulikuwa mwamba tutakukumbuka daima

    • @tsagytz6755
      @tsagytz6755 3 ปีที่แล้ว

      Jpm wa mkundu , peleka nyama yako uko ukiona mgen tu useme jpm unataka kutuambia wakat wa jpm hakuleta wagen

    • @joycemarko3037
      @joycemarko3037 3 ปีที่แล้ว

      Usizani ww2 ndo unajua matusi mbwa ww

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 ปีที่แล้ว

    Chief obasanjo, 9th and 12th Presdent of nigeria

  • @hadasaisraeli2971
    @hadasaisraeli2971 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi mama hajavaa barakoa, Safi huo si utamaduni wetu

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 ปีที่แล้ว

      Nina wasiwasi kuhusu afya ya Mama yetu Samia. Ilibidi ajikinge kwa sababu hatujui ikiwa hawa Wanigeria hawaambukizi,,,

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 3 ปีที่แล้ว

      Unaongea upuu. Diyo lacima uongee. Hskuna Ikulu Chato. Airport huko Vhayo kuna utalii. Endelea kulala usingizi. Utaamka ukiwa kaburini

  • @judithwirth344
    @judithwirth344 3 ปีที่แล้ว

    This happens Today, but no musks on there faces!! Very hard to understand!!!!! No Comments.

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 3 ปีที่แล้ว

    unalitaja vibaya hilo OBASANJO

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 ปีที่แล้ว

    Tumuombee dua mama yetu ayepukane namabaa Rollins kapigwa nae baada yakukutana na wazalendo wa.malia washenzi wapo sehemu zote hawataki kuona afrika yipate maendeleo nakujitegemea

  • @kulwamwakagali24
    @kulwamwakagali24 3 ปีที่แล้ว

    General Obasanjo amechoka kabisani yaani...😭

  • @kyandopatrobanighanile274
    @kyandopatrobanighanile274 3 ปีที่แล้ว

    Kiafrika zaidi msiba hauishi

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama mbona kazi haziendelei.miradi haizinduliwi vipi?

    • @selemanmtauka2925
      @selemanmtauka2925 3 ปีที่แล้ว +1

      nawe fatilia inatakiwa kamilika lini acha mambo yako

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 3 ปีที่แล้ว

      Miladi gani unataka izinduluwe

    • @dotytido547
      @dotytido547 3 ปีที่แล้ว +3

      miradi na maendeleo ziko kaburini na mwenyewe Magu
      mama kashatia box na wafarasa

    • @junioryasin5306
      @junioryasin5306 3 ปีที่แล้ว

      Emmanuel mlowa mbona ww bado hujalipa ada ya mwanao toka January

    • @rashdiyange7758
      @rashdiyange7758 3 ปีที่แล้ว

      Zindua wewe

  • @dicksonhealthcare3016
    @dicksonhealthcare3016 3 ปีที่แล้ว

    UKWELI KUHUSU CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME
    Kumekuwa na mjadala mkali kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa changamoto ya nguvu za kiume.Wanaume wengi wanabisha kuwa hakuna tatizo hilo.
    Lakini ukweli Upoje..?
    Sisi tunawasaidia wanaume wenye changamoto hizo ndugu zangu na tunajuwa tatizo hilo ni kubwa mno kuliko watu wanavyo willing kuadmit.Wanaume wengi mitandaoni ni wajuwaji wa kila kitu but tatizo hili ni shida kubwa.
    Na linawaingiza watu katika msongo wa mawazo na kuyumba kwa MAHUSIANO.Fikiria unafatwa ba mke wa mtu ANAKWAMBIA "mume wangu hawezi kabisa anamwaga dakika mbili nyingi"mke anasema" kaka napatashida na sitaki kabisa kumchiti mme wangu naumia maan kabla yake nilikuwa na mtu kwa kweli alikuwa vizuri"
    Sometimes mke wa mtu ANAKWAMBIA kwa kweli uvumilivu unakaribia kunishinda kwasababu na mimi ni binti na nina hisia nikimwambia mume wangu anasema hajuwi shida ni nini"
    Wengi huwa tunawasaidia kama MUME AKIWA TAYARI na tatizo linakwisha
    Lakini wanaume wengi ni wabishi na wanaona kusema hawako vizuri.So msibeze huyu Mbunge It's serious issue.N ndo maana tumeanzisha ukurasa huu kuelimisha wanaume(siyo wavulana ni WANAUME )kuhusu utatuzi wa jambo hili maana humu wengi wavulana tu kiakili.Mwili wa mwanaume akili za kivulana cha form 2
    Kama unachangamoto ya nguvu za kiume usikae kimya tuma neno#AFYAMWANAUME kwenda whatsp 0678496912 au pitukusaidie

  • @paschalmahindu5626
    @paschalmahindu5626 3 ปีที่แล้ว

    Mnakera sana waandishi mnaongea kama mnatangaza radio,post video tuache tusikilize video si wewe unatutangazia

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 ปีที่แล้ว

    Kwani ni rais wa wapi tena Nigeria au?