GUMZO: BIDEN AMTAMBULISHA ZELENSKY KAMA 'PUTIN' WASI WASI WATANDA JUU YA UWEZO WAKE KUWANIA URAIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 23 วันที่ผ่านมา +9

    Kichapo Putin anachowapa USA unaachaje kumchanganya na watu

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 23 วันที่ผ่านมา +6

    Hapo hakuna kazi,kwa sasa wamerekani wanaongozwa na taahira anaevaa suti,kwa kila mwenye akili timamu hawezi kumchagua tena kuongozi nchi labda na yeye awe taahira.

  • @Itskeyzmusic
    @Itskeyzmusic 23 วันที่ผ่านมา +4

    ISTOSHE JAMAA KAMA ROBORT

  • @ianbryse1417
    @ianbryse1417 23 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mzee ni kama Hayati Edward Lowassa angekuwaga Rais wa Tanzania hivi vituko tungeviona sana 😂😂😂😂

  • @kayajaexpress8313
    @kayajaexpress8313 23 วันที่ผ่านมา +3

    Siyo kosa lake kwamaana robot awezi kuwa kamili kama mwanadam

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 23 วันที่ผ่านมา +4

    Chezea putini ww, watu wanaweweseka

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 23 วันที่ผ่านมา +2

    Putin kawa matatizo kwelikweli kwa hao wamarekani😂😂😂😂😂

  • @salehemsumi615
    @salehemsumi615 23 วันที่ผ่านมา +2

    Laana ya ubaguzi wa rangi inamtafuna!!

  • @AmriMzeru
    @AmriMzeru 22 วันที่ผ่านมา +2

    😂uzee sio kitu chema

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 23 วันที่ผ่านมา +3

    Kammis tu putin

  • @shabanimbululo
    @shabanimbululo 23 วันที่ผ่านมา +4

    Lowasa wa Marekani 😂

    • @ianbryse1417
      @ianbryse1417 23 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 22 วันที่ผ่านมา

    hahahahha hatar sana

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 23 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo la network

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 23 วันที่ผ่านมา

    Duh inachekesha sana hii

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 22 วันที่ผ่านมา

    Fyuzi zimekata 😂😂😂

  • @ianbryse1417
    @ianbryse1417 23 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 23 วันที่ผ่านมา

    Anaweweseka na Putin....

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 22 วันที่ผ่านมา

    Umeshindwa kuachia sauti ya Bideni akimwita Zelensky "Putin" na Kamala akimwita "Trump"?

  • @mchinatz9335
    @mchinatz9335 23 วันที่ผ่านมา

    Bidenica

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 23 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂