MHE. RAIS SAMIA AKIFUNGUA MIRADI YA MAENDELEO KIZIMKAZI, KUSINI UNGUJA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ย. 2022
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua akifungua Miradi ya Maendeleo leo tarehe 02 Septemba, 2022 Kusini Unguja kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day)
- บันเทิง
Hongera Mama Samia.
Asante kwa usimamiz mzur ili kazi ziendelee vzr
Kijambo kilitaradadiii. Hongera mama wa damu yangu ktk milele cha cku yako
Safi sana mama
..... Kazi iendelee
MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI SANA RAIS WETU MPENDWA SAMIA SULUHU HASAN
2030 wa Zanzibari pamoja na wa Tanganyika tupo pamoja Insha Allah.
Tunakuomba raisi hiyo barabara ya kusini utuwekee lami maana mashimo ndo yamejaa