DINNER IKULU: RAIS SAMIA AANGUA KICHEKO KWA MANENO YA RAIS WA BURUNDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2021
  • Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku chache ikiwemo kuboresha uhusiano wa Nchi mbili za Tanzania na Burundi ambapo usiku wa October 22 ameshiriki dhifa ya kitaifa kwenye Ikulu ya Chamwino na kula chakula cha jioni pamoja na Rais Samia.

ความคิดเห็น • 48

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful Swahili wow is impressing!!!

  • @luganomwakyusa7697
    @luganomwakyusa7697 2 ปีที่แล้ว +9

    Mwigulu rais wa burundi amekuja kutuchukua

  • @aminamkumba3549
    @aminamkumba3549 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mama yetu kipenzi SAMIA SULUHU Mungu akupe nguvu na akulinde na mahasidi wasio na sababi

  • @boldedits5187
    @boldedits5187 2 ปีที่แล้ว +4

    What a Speech 🙌🏾

  • @balozimchomvu7779
    @balozimchomvu7779 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama la mama chapa kazi

  • @gidionmanwingi9039
    @gidionmanwingi9039 2 ปีที่แล้ว +1

    Speech nzr jiran

  • @Filmz639
    @Filmz639 2 ปีที่แล้ว +3

    Speech nzuri saana

  • @fatiyananzeyima
    @fatiyananzeyima ปีที่แล้ว +1

    👏

  • @mariammariam1812
    @mariammariam1812 2 ปีที่แล้ว

    Président de la République du Burundi j'aime mon pays😍😍😍

  • @jumamghwai5403
    @jumamghwai5403 2 ปีที่แล้ว +7

    Wenye tabia za kutukana viongozi wao washazoea kutukana wazazi wao. Tusiipe midomo kazi ya ile sehemu ya kutolea taka. Midomo ipo kwa kutoa maneno mazuri.

  • @code_rapper6317
    @code_rapper6317 2 ปีที่แล้ว +3

    NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUDA WAKO
    HILI KUTAZAMA NYIMBO YANGU YA WEKA HILI KUIPATA BOFYA PICHA YANGU KUSHOTO NAAMINI MTAUPENDA
    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Kwa nini umecopy tangazo la Emma Music ? Tayari umejishushia heshima, hatutakuamini, na wimbo wako hatutautazama... Andika tangazo lako mwenyewe, vinginevyo, tutakushambulia 👈👈👈👈

    • @code_rapper6317
      @code_rapper6317 2 ปีที่แล้ว

      @@j.c.maxima816 Mwanang soma vizur

    • @code_rapper6317
      @code_rapper6317 2 ปีที่แล้ว

      @@j.c.maxima816 soma vzur man

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      @@code_rapper6317 Nimesoma vizuri! Umecopy tangazo la kijana mwingine ! Na hii haikubaliki... Kama ww sio tapeli, andika la kwako... Achana na publicity ya Emma Music 😎😎😎

    • @rastafare878
      @rastafare878 2 ปีที่แล้ว +1

      Hawa waimbaji washakua wengi Sasa hivi kuliko raia wa kawaida

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila mama samia mamaangu kwakuvaa tu shikamoo mama mpka nakuonea laaa mamaamguu🤗🤗🤗🤗🤗

  • @sharonjoseph9382
    @sharonjoseph9382 2 ปีที่แล้ว +1

    Zamu ya wanawake ndiyo sasa mh Raisi samia pokea pongezi mama tunajivuna kuwa na Raisi samia suluhisho kwa tanzania yetu,karibu raisi wa burundi mama amejaa kama pishi la biriani anasongesha maendeleo

  • @Agnes-qq4np
    @Agnes-qq4np 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiswaili anajitaidi siyo luga yetu

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 2 ปีที่แล้ว +1

    Kodi za watanzania!

  • @esayaesaya4983
    @esayaesaya4983 2 ปีที่แล้ว

    Kiswahili kigumu lugha ya Africa hii wakati Marais wa nchi wenyewe hawaijui.

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa mwigulu unajisikiaje leo!!!
    Unapokuwa kiongozi wa serikali ni kutathimini maneno yako kabla hujayasema.

  • @nurumokiwa1082
    @nurumokiwa1082 2 ปีที่แล้ว +1

    Anajitahidi kiswahili

  • @azizanizigiyimana3168
    @azizanizigiyimana3168 2 ปีที่แล้ว +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona sehem YA UKUMBI inaonekana ni ndogoJMN mbona bado tunarudia makosa yale yale ya Dar Es Salaam HIV Tatizo inakuaga ni pesa au kitu gani. makorona ndo kama yoote kwann tujibanebane wakati mtonyo upo mwing 64 bilion dollar economy kwann tujibanebane ,jmn ufisadi tuijenge NCHI yetu VIZUUURIII KABISA Hakuna wa kutujengea kwa kiwango hiko

  • @amospambala9413
    @amospambala9413 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe haya mwambie Tunataka Katiba mpya

  • @keshabdullah3562
    @keshabdullah3562 2 ปีที่แล้ว

    🇧🇮

  • @michaelgwimbugwa1535
    @michaelgwimbugwa1535 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/HntQeYmtuz0/w-d-xo.html kaangalie machinga wa mwanza walivyosema baada kutolewa kwenye eneo lao

  • @humoudmohammad3125
    @humoudmohammad3125 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @fadhilarashidi6120
    @fadhilarashidi6120 2 ปีที่แล้ว

    Baloz midia

  • @jonathankibwengo1240
    @jonathankibwengo1240 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimwendo wa kutumbua kodi za wanyonge sasa.

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 2 ปีที่แล้ว +1

    Waludituu

  • @overplantv21
    @overplantv21 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijui hiz taarifa za huyu mnafik mnatuletea za nn....???

    • @rastafare878
      @rastafare878 2 ปีที่แล้ว +3

      Huwezi usiangalie hujalazimishwa ,usichokipenda wewe wenzio wanakipenda , Na kapata habari ni muhimu hata hao wapinzani wanaangalia habari za serikali ili waone wapi wamekosea wapi wamepatia ,Bila ya kupata habari ni sawa Na maisha ya miaka 100 yaliyopita

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .