MATONYA ANAFUNGUKA SAKATA LA KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA CHINA |'MIMI SIO FALA' | 'WATU WALIJAA'
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#MATONYA #HAROUNTAMBWE #SNR
Tonya umefanya interview nzuri sana. Unaongea vizuri unasikika vizuri. Congract🎉🎉
Safi sana Matonya. Umetulia, very wise responses na unamjua Mungu.
Brother una utulivu sana kwenye kuunda swali na rafudhi including matamshi...hata anaeojiwa hua huru kujibu...I wish one day to have face to face
Tonya Time the LEGEND...Daah baada ya interview hii imenifanyia ni ka search ngoma zote za tonya kuanzia "Namtafuta mremboooo"..
One of my favourite artist
Anita wangu vaireti❤❤❤
Big up brother matonya
Nilikuwa naishi nae bahari beach kwa mwenye nyumba mmoja. Tonyaaaaa
He is a legend ila kwa ushaur angewek hiyo nyimbo siamini aloimba hapo live kwan nzur mnoo nimeipend aisee
MATONYA... LEGEND
Interview ya nguvu sana .Hongera
Bonge la kipindi big up kwa tambwe T 2
Jamaa anajuwa kujieleza vizuri Sana.
Wacha umbeaaa, Sasa age yake inakuhusu nini?
Anasema pasport yake haina muhuri wa china mara kasema nilipita china
Tonya ni tester wa dorimeeee, ila sahv ameacha, na alikuwa anafanyia hiyo shughuli hotel flan bahari beach
❤❤❤❤
Hahaha tonya time!! Umetudaganya huo mchongo wa whatsap .
Amezeeka
Kidogo niseme anahojiwa na Millard ayo😂
Huyo ni Mila
Sounds like China Black QGC ALIVYO TOKA NDUKI, mashindano y KIM & THE BOYZ
Anaejua umri wa matonya plz mii nimesearch nimeshindwa kupata ana miaka mingap huyu jamaa asa hvi?
54
Tamaa mbele mauti nyuma !!!! Binadamu atosheke na jasho lake, dunia mapito tu !
Tonya mbili
Tonya
Nimepata kitu cha kujifunza Tonya umeongea point Sana kwel baba umri ushaenda unajielewa Sana bro
Mzee wa spair tair
I'm going to tell you about mAnya
Lakini ma boss zako aswa chief kiumbe ni drug dealer mkubwa ata serekali ina mtambua
Mbona yuko huru kama serikali inamtambua, acha upuuzi na skendo zisizo na uthibitisho.
Hakuna Kitu Kama Hicho!!
Tonya katudanganya hapo kwenye wasap wasap nijuzituu hapa wakatiule ilikua wasap bongohakuna katupiga huyu
WhatsApp Ilikua Launched 2013 October
Mda huo ata fb aikuwepo
Shaloboy Duuh
@@badifundi6089 nihatari kaka ogopa story za wasanii waongo waongosana
@@shaloboy3861Facebook ilianzishwa February 2004. WhatsApp ilianza 2009