Wafriaka sisi huona majuu au Ulaya kama heaven lakini kusema kweli Afrika Kuna mazuri ambayo tunakuja kuyaona ukiwa inje ya inchi. Africa can be the best place to be if government make it fir the people.
Wanapaita Richard bye bye au Beach kidosho. Mwandishi na kuja kukupa story ngoja winter ipite nikija huko tupige story maana bahari wengi wapo huku juu.
Sns hizi video za mabaharia nazipenda sana Bila shaka siko pekeangu, tuko wengi tunaopenda hivi video za mahojiano na mabaharia. Ombi langu naomba muwe munatuletea video za aina hii nyingi zaidi @ sns
Jamani uongo mbali shule muhimu sana tujitahidi sana kufahamisha watoto wetu nduguzetu hatakama mtoto siwako jaribu kumsemesha sasa hivi tunajuta tusiosoma unaambiwa nenda shule tunaona kama tunaonewa kumbe nikwafaida yetu leo unabaki kujilaumu yaret ningesoma wapi tumeshachelewa
Nimeskia kulia uchungu ulivosema mwenzako amefarik it's hurting 😢 ,yan kam ndo hivo maji yamekula wengi aiseee daaah sasa mwenzio nyumban kwao hajui mtu alipotelewa wapi kumbe alizikwa Somalia, au alimpa habari kabla ya kufa uwii
WALIKUA WANAJIENDEA TU BORA LIENDE KAMA ULIVYOSIKIA NCHI WANAZONASA, MARA SOMALI, THAILAND, VIETNAM, PAKISTAN,MOZAMBIQUE, SOUTH AFRIKA,ANGOLA INDIA NCHI AMBAZO KIUKWELI KAMA WANGEKUA WANAJUA WASINGEKUBALI MAANA NCHI ZOTE HIZO WENYEJI WAO WAMECHOKA SASA WEWE MGENI UTAYATOA VIPI. WACHACHE SANA WALIONASA NCHI ZENYE MAISHA.
Wewe acha chuki zakijinga tafuta pesa acha makasiriko fara wewe. Jamaa anahoji vizur Sana wewe ukitaka ahoji swali kama lipi?? Isco yuko poa na hiki kipindi wewe ndokwanza ucheki Leo sisi kila cku tunaangalia mahojiano yake acha kuwa na roho mbaya wewe pasipo hitajika.
@@husseinibnuhassan1272 Sawa sio tatizo kuwa baba lakini je unajitambua? Kama wewe mtu WA media huwezi andika comment mbovu ambayo haina uweredi. Unakosoa kitu hukijui brother usiwe na roho kama hiyo. Isco anafanya vizur Sana na ndokazi yake kumbuka ameajiliwa so usiandike comment ambayo inaweza kumtia rawama officen kwake.
th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO ..,.*#*#*# th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html
@@farikkaqueen2367 it's about him and police bro and all of us when that issue happens we feeling so bad & sad ,and we're with hamza side an till now bro Tanzanian police are fucking bullshit as hell!!
@@fredybundala2336 you called those 4 polices?? lmfaooo more likely waizi wakubwa took his stuff that’s why. what kind of police officers getting killed it by they’re own weapons❓⁉️❔😂😂😂
th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO ..,.*#*#*# th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html
Mimi nimezamia miaka ya 80 hadi leo nipo UK , Allah awape wepesi mabaharia wotr
Adventure umezamia 80 kupitia wapi?ume cross au umetoka na boti? sorry km ntakuwa Nime kukwaxa?
@@rasjamal9854 nilitoka na meli Ras
Nakukubali baharia uliepasi mitihani ya usafiri lakini naomba connection ya namba yako ya what's up broh
@@Josh_1194 ok beach gani?Miimi mwenyewe michezo yangu hiyo ilikuwa hila nipo beach ulikuwa
Ulikwenda UK kwa meli?
Napenda hizi stori sana
Wafriaka sisi huona majuu au Ulaya kama heaven lakini kusema kweli Afrika Kuna mazuri ambayo tunakuja kuyaona ukiwa inje ya inchi. Africa can be the best place to be if government make it fir the people.
Hayo mazuri labda baada ya miaka 1000 maisha magumu kama jiwe unasema kuna mazuri rudi basi tuishi wote tule mazuri pamoja huku
@@eyabdimaha3698 hah
😂😂😂
@@eyabdimaha3698 swa swa 😂😂😂😂
Hipo hivyo ata Mimi natamani kurudi nyumbani lakini naogopa nikiwaza waya nilioupitia
Daah jamaa sio mtam sana kwenye story big up sana mabaharia wenzangu
Huyu hajui kusimulia vizuri kama Kinyogoli.
Esco tunajifuza vitu vingi Sana kutoka kwa mahabaria kwakweli
Lakini hakuna hasara saana amepata faida ya kujuwa Lugha mbili si mbaya
Huyu jamaa hajui kuoji wasimuliaji , mtu anaachiwa nafasi kwanza ajieleze
Big thanks for the best story in your life
Wanapaita Richard bye bye au Beach kidosho. Mwandishi na kuja kukupa story ngoja winter ipite nikija huko tupige story maana bahari wengi wapo huku juu.
Naomba no yako
Sns hizi video za mabaharia nazipenda sana
Bila shaka siko pekeangu, tuko wengi tunaopenda hivi video za mahojiano na mabaharia.
Ombi langu naomba muwe munatuletea video za aina hii nyingi zaidi @ sns
Tuko wote. 😂
Naenjoy sana kuwasiklza mabaharia...
Jamani uongo mbali shule muhimu sana tujitahidi sana kufahamisha watoto wetu nduguzetu hatakama mtoto siwako jaribu kumsemesha sasa hivi tunajuta tusiosoma unaambiwa nenda shule tunaona kama tunaonewa kumbe nikwafaida yetu leo unabaki kujilaumu yaret ningesoma wapi tumeshachelewa
Yeah new chata 🔥🔥🔥🔥
Maskin pole sn kaka Allah akufanyie wepes ufanikiwe ktk maisha yako👏🤲
Mzee anazungusha kamba
Daaahh huruma sana
Esko mm napenda sana story hizi na unajua kutangaza
Napenda sana hii
sasa huyu jamaa mbona anachezea kikambaa au ndo kumiss utotoni
Jamaa ako standi sio
Hamuna akkili wengi niwawona .mayiti karibu 30 bahari ya somaliya
mzee nae, atulii
Ktk maisha watu 2napitia changamoto mbalimbali,duh.
Nimeskia kulia uchungu ulivosema mwenzako amefarik it's hurting 😢 ,yan kam ndo hivo maji yamekula wengi aiseee daaah sasa mwenzio nyumban kwao hajui mtu alipotelewa wapi kumbe alizikwa Somalia, au alimpa habari kabla ya kufa uwii
yaan ndio nyumban wanakua wanasemaga tu alisha potea daaa😢😭😭
Weeeeh Rosemary achana na huyo Muha pale dukani!!!! Ana ukimwi yule!!!
Iko wapi serikali
Duh! Inasikitisha sana, maisha haya🥲
One love Eeeesco
Amezamia taree 9 amekaa siku tano ndio akatoka taree 11😂😂😂😂😂 hapa ame tupamba😂😂😂
Uliza maswali ya msingi mzeeee unazunguka sana....muulize swali jamaa aflow mwenyewe
Waindi wanashida sana
Story izi za mabaharia zinavutia sana
Baharia haagi kwao na unapondoka kichwani pako unasema wana nitawakuta huko huko juu kwa juu hivyo ndivyo ilivyo home boy mtangazaji
Capeti pekee ya dunia NI bahari ndiyo kitu pekee Kiko level...
Balozi alichelewa sana kuwajibika
So katoka nyumban anamiak mingap na amerud anamiaka mingap vipi changamoto za rugha nchi za watu ubaguzi huko gelezana ya life inakuwaj
Mbona hulizi miaka ilikua mwaka gn
Sasa wakati huo walikuwa wadogo walielewaje kwa haraka izo nchi ama walikuwa wana tumia map
WALIKUA WANAJIENDEA TU BORA LIENDE KAMA ULIVYOSIKIA NCHI WANAZONASA, MARA SOMALI, THAILAND, VIETNAM, PAKISTAN,MOZAMBIQUE, SOUTH AFRIKA,ANGOLA INDIA NCHI AMBAZO KIUKWELI KAMA WANGEKUA WANAJUA WASINGEKUBALI MAANA NCHI ZOTE HIZO WENYEJI WAO WAMECHOKA SASA WEWE MGENI UTAYATOA VIPI. WACHACHE SANA WALIONASA NCHI ZENYE MAISHA.
Kipindi kizuri sana
Nakubali wakwanza kucomment
Hongera mwaya
Mzeee jmbee sanaaa
Nawapata kutoka 🇧🇷🇧🇷🇧🇷 🙏
Sao au rio
Kassim naomba no yako
São Paulo
Naielewa Sana hiyo nchi ipoje ndugu nijuze
Daaah Darasa la tatu miaka kumi na tano …! Baharia tuache kidogo
Zamani walikua wanaanza shule wazee
Miaka ya zamani mbona kawaida sana
Way back umri wakuanza Shule ulikuwa mkubwa
Hiyo enzi izo bro we mwenyewe saivi unaona watoto walivyo wadogo mashuleni
Yan la 3 ilikuwa kama upo fom five au six hahah 😆 sio kam sisi tunasoma mbk kusomboloka
Vp
Yemen alikua kijiji au mji gani atupe history kidogo ya hizo nchi somalia na yemen
Yemen.itakuwa muqala .and Somalia .itakuwa beach magalada bossaso,, sailor Roja,, salute
Hawa watu mabahatia wana ni chekesha sana heti ameishia darasa la tatu
We hata kuandika hujui, uliishia la ngap?
@@yonicdontah6392 la kwanza 😂😂😂😂
@@yonicdontah6392 Noma labda ana form six kichwani 🤣
Unapata watu sahihi na story zao ila hujui kuuliza maswali ya msingi na hauendi na flow ya story
Wee mjinga kweli ivi unadhani hii KAZI ni rahisi kama unavodhani😏😏😏😏😏 waulize wewe kama unaona simple nyooooo😏😏😏
Nenda kaulize wewe watz sijui mna shida gan yan kila kitu kukosoa tu
Wewe acha chuki zakijinga tafuta pesa acha makasiriko fara wewe. Jamaa anahoji vizur Sana wewe ukitaka ahoji swali kama lipi?? Isco yuko poa na hiki kipindi wewe ndokwanza ucheki Leo sisi kila cku tunaangalia mahojiano yake acha kuwa na roho mbaya wewe pasipo hitajika.
@@yusufally5168 media ni kazi yangu inanipa kula nauwezo wakulisha familia yako nikawa hata baba yako
@@husseinibnuhassan1272 Sawa sio tatizo kuwa baba lakini je unajitambua? Kama wewe mtu WA media huwezi andika comment mbovu ambayo haina uweredi. Unakosoa kitu hukijui brother usiwe na roho kama hiyo. Isco anafanya vizur Sana na ndokazi yake kumbuka ameajiliwa so usiandike comment ambayo inaweza kumtia rawama officen kwake.
6
th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html
KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO ..,.*#*#*#
th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html
🇹🇿👍
Somalians we're not racist like y'all tanzanian ppl.
Tanzanian we're not racist too yr welcome my friend
@@amiriramadhan7753 remember what happened to hamza?
@@farikkaqueen2367 it's about him and police bro and all of us when that issue happens we feeling so bad & sad ,and we're with hamza side an till now bro Tanzanian police are fucking bullshit as hell!!
Hamza was shooting police without any clear reasons
@@fredybundala2336 you called those 4 polices?? lmfaooo more likely waizi wakubwa took his stuff that’s why. what kind of police officers getting killed it by they’re own weapons❓⁉️❔😂😂😂
Qz
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️
th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html
KISOMO KIKUBWA CHA AYA ZA RUQYAH HUANGAMIZA NGUVU ZA UCHAWI NA USHETWANI NA MIKOSI NA VIFUNGO ..,.*#*#*#
th-cam.com/video/pJaEMzAh9gs/w-d-xo.html