INAOGOFYA! - KIUMBE CHA AJABU BAHARINI/ KINATISHA SANA/ SAFARI YA MSUMBIJI-MTWARA/ USIKU MNENE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #msumbiji #mkasa #baharia

ความคิดเห็น • 19

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 ปีที่แล้ว +5

    Much love from Finland 🇫🇮 Nawafuatilia sana,mpe Hi sana Erico anachambuaga vitu vizito sana🤝💪

  • @TradingPHD
    @TradingPHD ปีที่แล้ว +1

    Porojo nyingi saana.. yani Mbwembwe za kutosha

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 ปีที่แล้ว +1

    Sema yerico muongomuongo kama Steve Nyerere,😀😀

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 7 หลายเดือนก่อน

    Kuabudu mizimu ni shirki

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 ปีที่แล้ว +1

    Sio muda mrefu Erico atadai u-Atheist.......Twendeni nalo !

  • @sebajseba719
    @sebajseba719 ปีที่แล้ว +1

    Yeriko upo vizuri naomba utue hstoriya ya ndenge ya tz iliyo tekea

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 ปีที่แล้ว

    tuskilize stor tuu ila.jamaa ninyongo sana vamiz gani mpk mfagiaji.mzungu kkk abibo.hp toka msumbiji

  • @yesutuatosha1460
    @yesutuatosha1460 ปีที่แล้ว +1

    Kati ya aliyoongea, amealibu kuwa amebatiza katika kanisa Ila anaanimi mizimu hapo panatia shaka. Anyway kila mwanadamu anauhuru wa kuchagua nini Cha kuamini na kuabudu. Siku hile kila mmoja atatoa hesabu yake.
    Waliowengi wakisha Soma Nostic philosophy huwa ndiyo mwanzo wa kuicha njia ya Imani ya kweli.

    • @mackjr5291
      @mackjr5291 ปีที่แล้ว +1

      Usisahau kuwa dini tumeletewa, na waliotuletea walitulazimisha tena kwa viboko na ndiyo waliotuuza utumwani.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว

    Philippines sio huwa kila mahara wapo wakimuona mtu.mweusi huwa wanaona sifa kuhalibia watu

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว

    Mapapalazi shughuli zao nyingine kupiga uwongo mwingi 🤣

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk ปีที่แล้ว

    Yeriko Nyerere huyu, kijana machachari wa chadema

  • @jwisetv4833
    @jwisetv4833 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ananena fact sana

  • @rajabumbendenga5480
    @rajabumbendenga5480 ปีที่แล้ว

    Hicho kitabu anauza bei gani Chief....?

  • @JohnsonKungo
    @JohnsonKungo ปีที่แล้ว

    Huyu huwa muongo muongo😂

  • @mwalimugideonmahano8341
    @mwalimugideonmahano8341 ปีที่แล้ว

    Ffyife

  • @mtoobebe5778
    @mtoobebe5778 ปีที่แล้ว

    Mbona siyerewe iyo

    • @marrypius576
      @marrypius576 ปีที่แล้ว

      Kwa jinsi ulivyoandika lazima usielewe kabisaass😂😂😂😂😂😅😅😅