MAGOLI YOTE: YANGA SC 3-2 KAGERA SUGAR (TPL - 11/04/2019)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) Yanga SC wameendeleza rekodi yao ya ushindi kwenye uwanja wao wa nyumbani wa CCM Kirumba Jijini Mwanza baada ya leo kuwachapa Kagera Sugar mabao 3-2.
    Licha ya kutanguliwa, Yanga walitoka nyuma na kusawazisha kwa bao la kujifunga la Kassim Khamis dakika ya 35, kisha kufunga la pili dakika ya 48 kupitia kwa Heritier Makambo na la tatu likifungwa kwa ‘free-kick’ na Thaban Kamusoko dakika ya 72.
    Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa na Paul Ngalyoma dakika ya 31 na Kassim Khamis dakika ya 58.
    Matokeo hayo yameifanya Yanga ifikishe pointi 74 kileleni mwa msimamo wa ligi huku Kagera Sugar wakisalia na pointi zao 36 katika nafasi ya 17.
    Haya hapa magoli yote kwenye mchezo huu.

ความคิดเห็น • 132

  • @cholobolivia1989
    @cholobolivia1989 5 ปีที่แล้ว +1

    Yanga oyeeeeeeee

  • @jumakapesa726
    @jumakapesa726 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji utia raha sana. Waijua kazi yako kaka

  • @kcwearfashion5394
    @kcwearfashion5394 5 ปีที่แล้ว +3

    Oyooooooooooooooo likeeee yang dahhh

  • @evagervac3620
    @evagervac3620 5 ปีที่แล้ว +81

    wanachiiiiiii tujumuike hapa kwa like za kutosha😘😘😘😘

  • @japhetmasunga9980
    @japhetmasunga9980 5 ปีที่แล้ว +13

    daima mbele nyuma mwiko 😗😗😗

  • @msabahamalonda2249
    @msabahamalonda2249 5 ปีที่แล้ว +26

    Yes Hii ndiyo timu ya Wananchi daima mbele

  • @aminattamohammedy7238
    @aminattamohammedy7238 5 ปีที่แล้ว +73

    kama unaipenda yanga gonga like

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 5 ปีที่แล้ว +22

    Really Yondan is my true Love! Big up Bro. Yaan cross Tamu

    • @wolframchikomo8873
      @wolframchikomo8873 5 ปีที่แล้ว

      What will happen to you if he joins to Simba Company limited as we can see our players are just life seekers as we ever witnessed more others most loved by Yanga fans?

    • @bentleyrowen79
      @bentleyrowen79 3 ปีที่แล้ว

      i know Im pretty randomly asking but do anyone know of a good site to stream new tv shows online ?

  • @eddygonza891
    @eddygonza891 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbele kwa mbele nyuma mwiko..
    Hongera timu ya wananchi

  • @moreenmichael7482
    @moreenmichael7482 5 ปีที่แล้ว +8

    Jaman jaman Hiv Ile kad aliyopewa Yondan n halali au maana daaaaa!marefalii wetu hawa daaaa Mungu tusaidie Yanga🙏🙏

    • @sabinajames6539
      @sabinajames6539 5 ปีที่แล้ว

      Nimeumia bc tu

    • @moreenmichael7482
      @moreenmichael7482 5 ปีที่แล้ว

      @@sabinajames6539 me ndo usiseme my dear mwamuz alikuwa nalake Jambo syo bure

  • @romwardyrevokatus6955
    @romwardyrevokatus6955 5 ปีที่แล้ว +4

    Daima mbeelee nyuma mwiko🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @elesiaelia3740
    @elesiaelia3740 5 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana Yondani

    • @nadirharoub5630
      @nadirharoub5630 5 ปีที่แล้ว

      Kwan mo banca ana tatzo gan jaman mbona atuelew

  • @emanuelyiosca749
    @emanuelyiosca749 5 ปีที่แล้ว +25

    Yanga naipenda sana Ina nipa fulaha ya moyo jamani

  • @hazzlechazzle1786
    @hazzlechazzle1786 5 ปีที่แล้ว

    nakupenda yanga yangu daima sitakuacha

  • @alifitina4547
    @alifitina4547 5 ปีที่แล้ว +10

    Jermia Kisubi kawaua Kagera Sugar Magoli mawili ya mwisho kazingua

  • @edsonkayumba5905
    @edsonkayumba5905 5 ปีที่แล้ว

    Naipenda yanga yangu

  • @leahpalangwa2061
    @leahpalangwa2061 5 ปีที่แล้ว +18

    sawa sawa tupeni matumaini yanga nawakubali

  • @dismaschaz2019
    @dismaschaz2019 5 ปีที่แล้ว +1

    Makamboooo

  • @salimhussain8382
    @salimhussain8382 5 ปีที่แล้ว +2

    Yaani Yanga raha sana unajitekenya mwenyewe alafu unacheka

  • @mwiganemwakajinga5368
    @mwiganemwakajinga5368 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kuendelea kutufurahisha

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 ปีที่แล้ว +1

    Young Africans. You are me!

  • @mosimahanga3445
    @mosimahanga3445 5 ปีที่แล้ว

    love you Yanga 😍

  • @bakarijohn4648
    @bakarijohn4648 5 ปีที่แล้ว

    Movie

  • @user-tx3bq7fo5j
    @user-tx3bq7fo5j 5 ปีที่แล้ว

    Mashabiki wachache sana kamavile game ya mchangani

  • @malayamtamu6899
    @malayamtamu6899 5 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni wanaume

  • @mohdabasi7505
    @mohdabasi7505 5 ปีที่แล้ว +8

    daima mbele nyuma mwiko

    • @wityjohn3634
      @wityjohn3634 5 ปีที่แล้ว +1

      iyo ndo yang amanene

  • @mishaelmisana1973
    @mishaelmisana1973 5 ปีที่แล้ว +8

    Daima mbele nyuma mwiko

    • @khamissaluum5616
      @khamissaluum5616 5 ปีที่แล้ว

      Hii yanga ni tamu sana nnaipenda sana

  • @anthonymwandu2615
    @anthonymwandu2615 5 ปีที่แล้ว +6

    duh mo banka tulipofungwa goli la pili ameshika kichwa kidogo akimbie goli la kagera lilikuwa zuri sana ila mbele kwa mbele point 3 muhimu

  • @thehuntervevothehuntervevo7703
    @thehuntervevothehuntervevo7703 5 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana

  • @allec2905
    @allec2905 5 ปีที่แล้ว +10

    Kuhusu kasi nyekundu ya Kelvin Yondani....Vita hii ya (TFF, Bodi ya Ligi na Waamuzi) dhidi ya Yanga itashindwa tu....Mungu yuko upande wa Yanga

    • @bensonndimbo3179
      @bensonndimbo3179 5 ปีที่แล้ว

      huna akiki

    • @allec2905
      @allec2905 5 ปีที่แล้ว

      @@bensonndimbo3179 hebu onekana mstaarabu jibu "hoja kwa hoja"...sasa sina akili kwa mantiki ipi? Tatizo lenu nyinyi baadhi ya wapenzi wa soka mnashabikia timu kwa mihemko!

  • @pascalshiwa8876
    @pascalshiwa8876 5 ปีที่แล้ว

    yanga mbele daimaaaaa

  • @danielelnestngimba5516
    @danielelnestngimba5516 5 ปีที่แล้ว +2

    DAIMA MBELE NYUMA MWIKO, YANGA MBELE KWA MBELE💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛NAIPENDA YANGA WE ACHA TU

  • @ibrahimkasubiri9580
    @ibrahimkasubiri9580 5 ปีที่แล้ว

    Safii

  • @jeviounipers
    @jeviounipers 5 ปีที่แล้ว +1

    5:49. jamaa wamekubali

  • @alimuhamad8267
    @alimuhamad8267 5 ปีที่แล้ว +2

    Naam hiyo ndio timu ya wana nchi. hatujali zengwe lao tuna pambana tuna fanya yetu.

  • @moreenmichael7482
    @moreenmichael7482 5 ปีที่แล้ว +4

    Jaman mwamuz ameamwua kutufanyia kitu kibaya Yondan akustahili kupewa kad nyekundu lakin mhh yote kher Mungu yupo nas

  • @swaumgrevaz2567
    @swaumgrevaz2567 3 ปีที่แล้ว

    👍

  • @bishobokatv476
    @bishobokatv476 5 ปีที่แล้ว +2

    Daima mbele

  • @mirtonsamson42
    @mirtonsamson42 5 ปีที่แล้ว +10

    Bado wana yanga tunamatumaini makubwa yakubeba ubingwa TPL

  • @shangoraphael7227
    @shangoraphael7227 5 ปีที่แล้ว +1

    kagera wanajua

  • @mishaelmisana7674
    @mishaelmisana7674 4 ปีที่แล้ว

    Wananchi tupo

  • @allykilemileallyallykilemi7308
    @allykilemileallyallykilemi7308 5 ปีที่แล้ว

    Good

  • @mullahmillanzi1050
    @mullahmillanzi1050 5 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hizi ndo highlights,fupi tuu imebeba full content ya mechi sio zile ndefu mnazotuwekeaga😁😁😁

  • @jiranibui.8232
    @jiranibui.8232 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwaka huu yanga kombe letu yanga hoyeeeeeeeeee

  • @davidchalambo4268
    @davidchalambo4268 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @mbwelwatumpejulius5156
    @mbwelwatumpejulius5156 5 ปีที่แล้ว +1

    yanga damu .....mbele daima

  • @hashirwazirsalehe1790
    @hashirwazirsalehe1790 5 ปีที่แล้ว

    huyu makombooo vich nomaaaa

  • @paulhermani8314
    @paulhermani8314 4 ปีที่แล้ว

    mama

  • @mwashinga-zg3nq
    @mwashinga-zg3nq 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaaani yanga inawakera sana

  • @sabinajames6539
    @sabinajames6539 5 ปีที่แล้ว +2

    Yanga itabaki kuwa ju

  • @tolumnyama3935
    @tolumnyama3935 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila tuache unafiki jamani hilo goli la pili la kagera ni hatari nyie nipeni like bila hiyana..

  • @rehemalucas5853
    @rehemalucas5853 5 ปีที่แล้ว +2

    yanga chama la wanajangwani Penda sana japo unafiki mwingi lakini mungu hatatutega kisogo atakuwa pamoja nasi

  • @germinikimario5339
    @germinikimario5339 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji noma sana eti kijiko kimoja cha limao huaribu ndoo ya maxiwa hatarr sana

  • @ahmadmkukila1562
    @ahmadmkukila1562 5 ปีที่แล้ว +1

    @yanga#Never gv up#forever🔥wale_wa_#nusubei karibuni #jangwani#KONKfire 🍺🍺🍺🍺

  • @nyawallyambroce6335
    @nyawallyambroce6335 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndiyo yakwetu nitaipenda Tim yang hata iwe haina hela niyakwetu

  • @morlovzeboy4926
    @morlovzeboy4926 5 ปีที่แล้ว +1

    Bao la mateso Nani kasikia ilo neno jmn

  • @alphoncealinani4713
    @alphoncealinani4713 5 ปีที่แล้ว +1

    Daah nyekundu ya yondan itatucost

    • @johanesmkombozi8587
      @johanesmkombozi8587 5 ปีที่แล้ว +1

      Alphonce Alinani usihofu juu ya hili LA yondani. Tumeonewa.nawe umeona . tutatusua tu kwa mtibwa

  • @festonkandonga85
    @festonkandonga85 5 ปีที่แล้ว

    Kipa anatuzingua sana

  • @athumanfuko199
    @athumanfuko199 5 ปีที่แล้ว

    Yanga mnanunua magoli kwa mabeki

  • @hamdunimgalapo2967
    @hamdunimgalapo2967 5 ปีที่แล้ว +5

    yani timu ya wananchi ni kama kirusi ajaye mbele yetu tunamwambukiza

  • @richyangatzyangatz2819
    @richyangatzyangatz2819 5 ปีที่แล้ว +1

    #DaimaMbeleNyumaMwiko

  • @ahmadshinan4640
    @ahmadshinan4640 5 ปีที่แล้ว +1

    Itakua poa

  • @daudidarabe7357
    @daudidarabe7357 5 ปีที่แล้ว

    yanga mpak mwisho naipenda ila angalieni wachezaji wa simba chukueni mfano kwao

  • @robertlukama5576
    @robertlukama5576 5 ปีที่แล้ว

    kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji hujui kutangaza, eti kindoki anatapatapa sasa anatapatapa nini? Pia umepooza sana

  • @robertlukama5576
    @robertlukama5576 5 ปีที่แล้ว

    unataka nn tena ufundi akr maarifa

  • @jobemjema1661
    @jobemjema1661 5 ปีที่แล้ว

    Mpaka msaidiwe

  • @robertmaginga6132
    @robertmaginga6132 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni 2:2 yanga hoi

  • @barakanasoro2278
    @barakanasoro2278 5 ปีที่แล้ว

    Bulaza kei

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 5 ปีที่แล้ว

    Kindoki bana

  • @nyawallyambroce6335
    @nyawallyambroce6335 5 ปีที่แล้ว

    Fitina dhidi ya timu ya wananchi inakuwa cku had ck ila hatutojali tutapamban mpak tone la mwish

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 5 ปีที่แล้ว

    Mbeleko FC

  • @saidsuleiman6483
    @saidsuleiman6483 5 ปีที่แล้ว

    Difariii wa Tz pumba kweli... Hakuna faulu yeyote alioifany Goakeper wa Kagera

  • @rehemamallya6274
    @rehemamallya6274 5 ปีที่แล้ว +2

    hyo red card inakua inauma sana jmn kocha kwnn lkn

  • @aminattamohammedy7238
    @aminattamohammedy7238 5 ปีที่แล้ว +4

    mechi inayofuata no yanga na mtibwa tar 17

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 5 ปีที่แล้ว +1

    kuruka ruka huko vp mmeambulia kupigwa

  • @simbabenny7648
    @simbabenny7648 5 ปีที่แล้ว

    Mmh

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 5 ปีที่แล้ว

    Hivi nimeona vibaya au la? Kipa kadakia nje kweli?

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 5 ปีที่แล้ว

    Haha haha nacheka kwasauti sana kumbe mfamaji hakosi kutapatapa kindoki bana akisifiwa tu bas

  • @josephatdimo8109
    @josephatdimo8109 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kubebwa huku yanga bingwa

    • @salumadam2060
      @salumadam2060 5 ปีที่แล้ว

      Utabaki tuu na pointi zako za maneno

    • @josephatdimo8109
      @josephatdimo8109 5 ปีที่แล้ว

      @@salumadam2060 jipe moyo broo

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 5 ปีที่แล้ว

    Huyu Makambo atakwenda Simba one day.

  • @DaudPetrohongerasimba
    @DaudPetrohongerasimba 5 ปีที่แล้ว

    Pw

  • @angelludgery7016
    @angelludgery7016 5 ปีที่แล้ว +2

    Kuna watu wanateseka?

    • @elizabethjohn4549
      @elizabethjohn4549 5 ปีที่แล้ว +1

      Nyinyi ndo mnateseka na viporo vya mnyama haahaa yanga bwana

    • @user-lb9qd4ro6y
      @user-lb9qd4ro6y 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂yanga bwana ubingwa muusahau

    • @delabossreizer9471
      @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว

      Sasa ivi ww unaakili kwl kati ya simba na ww wakuteseka nani apo maake unajipa nguvu tu kumbe ila unajuaa

  • @aslamrasheed5961
    @aslamrasheed5961 5 ปีที่แล้ว

    Kindoki bhn ushafumgwa kubali wajirusha nn sas

  • @thehuntervevothehuntervevo7703
    @thehuntervevothehuntervevo7703 5 ปีที่แล้ว +1

    Tembelea TheHunterVEVO pia usisahau kusubscribe

  • @yohanakibusi357
    @yohanakibusi357 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni nguvu ya soda tu! mwenye ubingwa wake katulia tuli! akirudi mtapata tabu sana wamchangani.

    • @ephordtz9140
      @ephordtz9140 5 ปีที่แล้ว

      kaka angu kamusoko katumia akili nyingi sana kupiga freekiki ukubwa sometime ukubwa dawa

    • @beatricezacharia4313
      @beatricezacharia4313 5 ปีที่แล้ว

      Wasingejifunga matokei yangekuwaje

    • @florandilisha5955
      @florandilisha5955 5 ปีที่แล้ว

      Nampend xan kelvin

  • @egbertleonce8382
    @egbertleonce8382 5 ปีที่แล้ว

    tutakumix xana makambo

  • @elesiaelia3740
    @elesiaelia3740 5 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda yanga mnooooo

  • @mirtonsamson42
    @mirtonsamson42 5 ปีที่แล้ว +3

    Bado wana yanga tunamatumaini makubwa yakubeba ubingwa TPL