Magoli yote | Yanga SC 6-0 Vtal'o FC | CAF CL 24/08/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Clatous Chama amefunga goli moja na kutoa assist nne, Yanga SC ikiwanyoosha Vital'O ya Burundi kwa kichapo kizito cha magoli 6-0 katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi....
    Waliofunga magoli hayo ni Pacome Zouzoua kwa penati dakika ya 14, Clement Mzize dakika ya 49, Clatous Chama dakika 51, Prince Dube dakika 71, Stephane Aziz Ki dakika ya 78 na Mudathir Yahya dakika ya 86.
    Haya hapa magoli yote......

ความคิดเห็น • 409

  • @mansourjuma3731
    @mansourjuma3731 19 วันที่ผ่านมา +61

    Ili ukisahau kizuri chako lazima upate kizuri zaidi ya ulicho nacho. Sisi Simba chama bado tunakukumbuka, good performance today, Goli 1 assist 4 Goli 5 umehusika Chama Baba what a player. Mungu azidi kukumurikia Taa ya mafanikio yako Brother Tunakukubali sana Sisi WanaSimba❤🎉

    • @SüddyThíägø
      @SüddyThíägø 19 วันที่ผ่านมา +1

      @@mansourjuma3731 kabisaaaa

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 19 วันที่ผ่านมา +2

      Goli zote kahusiki😅😅😅

    • @salumkabady2842
      @salumkabady2842 19 วันที่ผ่านมา +1

      Sio manne niyot

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 19 วันที่ผ่านมา

      @@salumkabady2842 noma sana na siku zinavyoenda anazidi kuwa mzur

    • @RashidMuhunzi-pr5xj
      @RashidMuhunzi-pr5xj 19 วันที่ผ่านมา

      Sawa, amekuskia

  • @LatifaKapange-cs8qm
    @LatifaKapange-cs8qm 19 วันที่ผ่านมา +7

    Chama kahusika kwenye magoli matano,,,assist 4 na goal 1,,, that is magician 💚💛

    • @abelpaul5235
      @abelpaul5235 19 วันที่ผ่านมา

      Chama na pacome nani bora ?

  • @baruaninombo291
    @baruaninombo291 19 วันที่ผ่านมา +10

    Goli 6, chama goli 1 na assist 4 total 5 yani amehusika kwenye goli 5. Kweli chama ni master wa kuassist.

  • @robathalbertonamunda9762
    @robathalbertonamunda9762 19 วันที่ผ่านมา +5

    CHAMA JR....MAN OF MATCH

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 19 วันที่ผ่านมา +4

    Chama ni mtu mmoja hatari kwelikweli. Anaweza kusababisha timu ipate goli bila kutarajia. Hongera Young Africans.

  • @ZakayoMayunga
    @ZakayoMayunga 19 วันที่ผ่านมา +4

    Chama chama chama chamaaaaaaaaa duuuuuuh kalibu sana jangwani

  • @Bennie_tv
    @Bennie_tv 19 วันที่ผ่านมา +50

    Tujuane kwa like Wananchi ⚽⚽⚽⚽⚽⚽

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana Wachezaji wetu, Jeshi letu!!!!!

  • @chollejr_
    @chollejr_ 19 วันที่ผ่านมา +6

    Wangapi tunasubiri 😂😂 interview ya mzee saidi

  • @chollejr_
    @chollejr_ 19 วันที่ผ่านมา +6

    Ivi azamFC kwann isifutweee

  • @dhabihu
    @dhabihu 19 วันที่ผ่านมา +3

    Sema yanga wanaupendo mkubwa sana kutoka uongoz had wachezaj💚💚💚

  • @UmmyMsafiri
    @UmmyMsafiri 19 วันที่ผ่านมา +2

    💚 yanga tamuuuu na enjoy tu hapa stress za warabu zinaisha enh

  • @SharifRwema
    @SharifRwema 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa Yanga mbna wazuri sana ❤❤❤

  • @Ngobeicaptain
    @Ngobeicaptain 19 วันที่ผ่านมา +3

    Wengi tulimkubali kiaina chama toka akiwa na makolo
    Ila sasa hatumkubali kiaina tunampenda sasa vilivyo
    Chama Triple C Mwamba wa lusaka .. Big up! 🎉🎉🎉🎉
    Yanga Juuu

  • @katolekiki368
    @katolekiki368 19 วันที่ผ่านมา +5

    Chama 😂😂😂😂duuh siyo mtu mzuri ata kidogo yani bila uruma

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 19 วันที่ผ่านมา +3

    Wa kwanza leo hongereni sana watani mnaupiga mwingi

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 19 วันที่ผ่านมา +2

    Man of the Match; TRIPLE CCC 💚💛💚💛

    • @Emanueli-vz6fd
      @Emanueli-vz6fd 19 วันที่ผ่านมา

      Umeweza🎉🎉🎉

  • @MerryDaud-b1m
    @MerryDaud-b1m 19 วันที่ผ่านมา +3

    Umeonaeeee. Tuna enjoy sana. Yanga

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 19 วันที่ผ่านมา +5

    Leo Mwamba wa Lusaka Tripple C gemu imemkubali almost goli zote Assist katoa yeye

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 19 วันที่ผ่านมา +2

    Yanga wanakula vizur ndo maan tunafunga na tuna fanya zohezi nyie amuogopi🎉🎉🎉💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 19 วันที่ผ่านมา +3

    Yanga yangu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @IzackMakole-ul5tt
    @IzackMakole-ul5tt 19 วันที่ผ่านมา +3

    MAN OF THE MATCH, Nyota was mchezo kwa leo ni..

  • @jimmymwasonya1221
    @jimmymwasonya1221 19 วันที่ผ่านมา +2

    HONGERA SANA Young African

  • @chachabonface7788
    @chachabonface7788 19 วันที่ผ่านมา +1

    Chama Clatous is from another planet....what a player!

  • @erickluhanga2886
    @erickluhanga2886 19 วันที่ผ่านมา +7

    Chama fundiii zote katoa yeye ni fundiiiiiiiiiiiiiii usajili wa chama a2jala asaraaaa

  • @JosephKivu
    @JosephKivu 19 วันที่ผ่านมา +5

    Chama

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 19 วันที่ผ่านมา +6

    Chama baba, why simba sell Chama, Chama kaingia kwenye mfumo kakutana na wachezaji wanaoweza kuzitumia nafasi anazo tengeneza.

  • @mbaroukaljahdhamy3964
    @mbaroukaljahdhamy3964 19 วันที่ผ่านมา +6

    Katika jambo ambalo Simba wamefeli ni kuruhusu chama aondoke

  • @marympemba6378
    @marympemba6378 18 วันที่ผ่านมา +2

    Chama gori zuri hilo 👍🏽

  • @Ufunuo97
    @Ufunuo97 19 วันที่ผ่านมา +4

    Chama ana waheshimisha wenzake mamae

  • @kalumbakalumba8794
    @kalumbakalumba8794 18 วันที่ผ่านมา +1

    Simba must be regretting this bad dream. They don't wanna wake up to it. Bad bad dream. What a player CCC. One Zambia. Bola sana.

  • @eliudinyangura3921
    @eliudinyangura3921 19 วันที่ผ่านมา +4

    Chama kahusika kwenye goli 5

  • @olafuyohana9557
    @olafuyohana9557 19 วันที่ผ่านมา +2

    Good game for chama💚💚

  • @SalumuSelema
    @SalumuSelema 19 วันที่ผ่านมา +3

    Naipenda sanayanga

  • @rehemanyenzi2165
    @rehemanyenzi2165 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wananchi oyoooooooo 💛💚

  • @dhabihu
    @dhabihu 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nyie wenyew c mnaona yanga❤❤

  • @omarindondai5549
    @omarindondai5549 19 วันที่ผ่านมา +1

    Chama ni genius wa hii kitu

  • @jeanpaulluanga6780
    @jeanpaulluanga6780 19 วันที่ผ่านมา +3

    😭😭🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Yani Yanga hata sisi majirani yenu Burundi 🇧🇮 mnatupiga kama waharabu kweli😳😳goals 10 so painful 😣 hamna undugu kabisa

  • @deoluma1706
    @deoluma1706 19 วันที่ผ่านมา +3

    Chamaz kahusika kwenye mgoli 5.ni hatar sana. Assist 4 kafunga 1

  • @BtvOnline-cj1ms
    @BtvOnline-cj1ms 19 วันที่ผ่านมา +3

    Chama chama chamaaa

  • @Sophia-y6f
    @Sophia-y6f 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mnaosema vital'o ni vibonde ninyi shilikisho mnatafuta nini ?💛💚💛💚💛💚💛

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 19 วันที่ผ่านมา +1

    Maaninaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤yangaaaaaaa❤

  • @NassoroMohamed-o9g
    @NassoroMohamed-o9g 19 วันที่ผ่านมา

    Chama ni mzee wa kazi😂😂😂 siomzee👏👏👏hongerasana kaka pigakaz mungu akuepushe na fitina za makolo👏👏

  • @CatherineSeleman-v5v
    @CatherineSeleman-v5v 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yangaaa💚💚💚💛💛💛

  • @jonathanjeremia5960
    @jonathanjeremia5960 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yanga bingwaaaaaaa❤❤❤❤

  • @FilbertKakiko
    @FilbertKakiko 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni yanga lakini mwenyewe naiogopa hii tim yangu 😢😢

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 19 วันที่ผ่านมา +3

    Young Afrricans wako kwenyesafari ya kulileta kombe la CAF Tanzania. Simba inabidi wajifunze kutoka kwa watani wao. It has taken Young Africans miaka mitano kufikia walipo hii ni kwa sababu wameiinvest kwenye timu.

  • @MtazameKristoTv
    @MtazameKristoTv 19 วันที่ผ่านมา +2

    Duuuh chama ❤😂

  • @TammyTashy1991
    @TammyTashy1991 19 วันที่ผ่านมา +4

    Made in Zambia Used in Tanzania...ni hatariii sana

  • @marympemba6378
    @marympemba6378 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yanga on fire 🔥

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa ww huogopi 😂😂😂 humu tu 💚💚💚💛💛💛💪💪💪

  • @WardaBakari-z6o
    @WardaBakari-z6o 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeipenda iyo iyo apo ni kwamba
    Nimafuliko tosha
    Ya MAGOLI

  • @AstericoJamesYusuph
    @AstericoJamesYusuph 19 วันที่ผ่านมา +2

    Lazima kombe tuchukue ❤❤❤

  • @SIKUDHANISHIRINITZ
    @SIKUDHANISHIRINITZ 19 วันที่ผ่านมา +7

    Nani kamuona mchome?🤣🤣

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 19 วันที่ผ่านมา +2

      Nimecheka kinoma nilivomuona😂😂😂😂

    • @user-cj6bm3lh3j
      @user-cj6bm3lh3j 19 วันที่ผ่านมา

      Kashangilia kweli na mbet yake ya kizibao😂

  • @SamweliAbdallah-w4g
    @SamweliAbdallah-w4g 19 วันที่ผ่านมา +1

    Wana yanga oee❤❤❤❤❤

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 19 วันที่ผ่านมา

    Hii ndo sababu ya Yanga kumsajili TRIPLE C, CAFCL! He is the master!

  • @johnrevocatus9955
    @johnrevocatus9955 19 วันที่ผ่านมา

    Bonge la chezaji goli 1 assist 4 hakika simba tutakukumbuka big up young Africans..kazi tumeiona

  • @MberwaAudax
    @MberwaAudax 19 วันที่ผ่านมา +7

    Hawa ndo wazee Sasa kumbe utu uzima dawa kweri

  • @user-vo8lt6ti7f
    @user-vo8lt6ti7f 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mim nliwai kusema ata fainal ya usm Alger na yanga angekuwepo chama tungechukua,Mr assist

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 19 วันที่ผ่านมา +3

    Yanga gujitu gukubwa Afrika

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 19 วันที่ผ่านมา +3

    *inabidi yanga niipende tuuuu hata kama mimi ni simba*

  • @HAGENIMANAJeandeDieu-h8u
    @HAGENIMANAJeandeDieu-h8u 19 วันที่ผ่านมา +1

    God's hand from Vital's player

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 19 วันที่ผ่านมา +3

    Sio nyie tu sisi wenyewe mashabaki tunaiogopa yanga

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 19 วันที่ผ่านมา +1

    Chama anajua mpaka anakera daaah

  • @Mugishamagic
    @Mugishamagic 18 วันที่ผ่านมา

    Unyesha sasa Magic media tv 🔥🔥

  • @daralislamswahili1212
    @daralislamswahili1212 19 วันที่ผ่านมา +3

    Duh
    Chama kahusika bao zote sita.

  • @MberwaAudax
    @MberwaAudax 19 วันที่ผ่านมา

    Haaa!! Yanga kwa mahaba haya mh sibanduki ng,oo ❤❤

  • @JASTINMTEWA-vn9pl
    @JASTINMTEWA-vn9pl 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yanga bingwa 🔰🔰

  • @SaraphinaFundi-rl2hx
    @SaraphinaFundi-rl2hx 18 วันที่ผ่านมา

    Yanga Tishio I love you young Africans

  • @CharlesSylvester-r3r
    @CharlesSylvester-r3r 19 วันที่ผ่านมา +3

    Wananchiiiii angalieni mchome anavofrahiii na yanga

    • @rahimmarions5712
      @rahimmarions5712 19 วันที่ผ่านมา

      Sasa si utopolo huyo kwanini asifurahie

    • @CharlesSylvester-r3r
      @CharlesSylvester-r3r 19 วันที่ผ่านมา

      @@rahimmarions5712 hahahahah usishangae akahama

  • @BarakaRamadhan-x1u
    @BarakaRamadhan-x1u 19 วันที่ผ่านมา +3

    Mwanangu chama ndio nilikuwaga nataka aje Jangwani uwaga ana tumia azabu kulingana mgonjwa

  • @Rajabu.dobeye-qw7fq
    @Rajabu.dobeye-qw7fq 19 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana chama langu la younga africansssssss mmeiheshimisha inch yetu,tuaendelea kukusanya pesa ya mama mpaka sasa tuna 50 ml.

  • @Mbavunene-7
    @Mbavunene-7 19 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂huyu jamaa si Bora wangemuweka awe golikipa yeye😂😂😂

  • @mohammedyjshemweta1390
    @mohammedyjshemweta1390 19 วันที่ผ่านมา +3

    hivi chama yeye anatakaga tushinde ngapi😀😀😀

  • @omarybubelwa324
    @omarybubelwa324 19 วันที่ผ่านมา +2

    chama assist 4+1

  • @Brown-hs1gv
    @Brown-hs1gv 18 วันที่ผ่านมา +1

    god bless yanga

  • @shedrackjoshua834
    @shedrackjoshua834 19 วันที่ผ่านมา +1

    Chama magician

  • @user-eg9ri8ph1f
    @user-eg9ri8ph1f 19 วันที่ผ่านมา +2

    Itafikia hatua hata sisi simba tutaomba yanga icheze tufurah😢😢

  • @Priscusimunishi
    @Priscusimunishi 19 วันที่ผ่านมา

    💚💛💛💚
    Yanga ya moto Ii 🔥🔥🔥

  • @chrissmichaelmashouda1726
    @chrissmichaelmashouda1726 19 วันที่ผ่านมา +1

    Ila chama 👌

  • @Danniedanny-nn4xi
    @Danniedanny-nn4xi 19 วันที่ผ่านมา

    Yanga inafungwaje sasa 💛💛💛💚💚💚

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 19 วันที่ผ่านมา +2

    Chama fundi

    • @ahmedsdk6736
      @ahmedsdk6736 19 วันที่ผ่านมา

      Afu sio Mchoyo

  • @ChiiTransfer-yl8po
    @ChiiTransfer-yl8po 19 วันที่ผ่านมา +2

    Chamaa duh

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 19 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂dar!? Ila Chama hatarii

  • @semany-c2v
    @semany-c2v 19 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤yanga❤❤APR fc❤❤❤❤ my night now is bae🥰🥰🥰🥰🥰

  • @CatherineGreyson-pl1od
    @CatherineGreyson-pl1od 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yanga rahaaaaa

  • @ashatupa6076
    @ashatupa6076 19 วันที่ผ่านมา +1

    Kumeanza kuchangamka 💚💚💚💛💚💛💚

  • @user-kq6zy9sl1y
    @user-kq6zy9sl1y 19 วันที่ผ่านมา +1

    huyu jamaa aliye daka mpira kaleta futuhi ukuu😂😂😂🙌🏻

  • @user-nl3vl4kn9g
    @user-nl3vl4kn9g 19 วันที่ผ่านมา +2

    Aliyepewa red card ni zaidi ya kipa🥳🥰

  • @eliasmaguru9632
    @eliasmaguru9632 18 วันที่ผ่านมา +1

    mzize huwa anafunga magoli ktk angle ngumu sana,hakika kwa mchezaji mzawa tanzania,huyu n lulu.

  • @isamony58
    @isamony58 19 วันที่ผ่านมา +1

    Warundiii mkomeeee kuja yangaaa hiiii ndio tanzaniya bna 😅😅😅😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ALEXLOTAN
    @ALEXLOTAN 19 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉 safi sana Mimi kama mtanzania mwanasimba

  • @DANMORATA
    @DANMORATA 19 วันที่ผ่านมา +1

    Chama🔥🔥🔥

  • @PROPHETPCANTENA
    @PROPHETPCANTENA 19 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo la Simba viongoz wetu wakurupukaji na hawacheza Mpira wootee

  • @user-mx9bv6tp6o
    @user-mx9bv6tp6o 19 วันที่ผ่านมา +1

    Chamaz noma san

  • @MunezeroDieudonne
    @MunezeroDieudonne 19 วันที่ผ่านมา +2

    Burundi waachane na mpira haajui kicheza

  • @ChamaChalu-qw1jz
    @ChamaChalu-qw1jz 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikuw nasubir hii😊❤

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 19 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu chama ni sifa sasa kwa assist zake yanga wamembeba huyu si kwa bahati mbaya

  • @user-hp5zf2fw4o
    @user-hp5zf2fw4o 19 วันที่ผ่านมา +8

    Kama ubovu wa timu ni kufungwa goli tano basi hizi ni miongoni mwa timu mbovu, SIMBA,ASAS,KMC,IHEFU,HOUSING,JKT,VITAL 'O, nk

    • @FatumaKitambuu
      @FatumaKitambuu 19 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @sebestiano-un8zj
      @sebestiano-un8zj 19 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @Rodgers_01
    @Rodgers_01 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mchome atakua ni shabiki wa yanga sio kwa kushangilia kule.😂