Sasa wanachama na mashabiki wa chadema ,Tundu Lisu akipanda jukwaani mshangilieni kwa kumwita simba simba simba ilipwe tishio zaidi katika majukwaa ya kisiasa
Mamma Samia ametoajina nzuri sana kwa Mh Tundulisu kweli Mh Tundulisu ni Simba simba la nguvu mamma hujakosea ,mh Tundulisu pokea jina la Simba wewe ni Simba kweli kweli
Hayo unasema wewe ila rais hakumaanisha kumshusha kwasababu tumezoea siku zote mtu jasiri huitwa simba, na wapo watu ndio majina yao ya kuzaliwa haswaa
Enzi za awamu ya kwanza, rais mwalimu Nyerere, mhe na baba yetu Kawawa aliitwa Simba wa Yuda. Sasa sina uhakika kama rais Samia alimuita Lissu hilo jina akiwa na hisia za kizalendo za watangulizi wetu au lilimporochoka tu kutokana na kuchoka mchakamchaka hakuna kulala kila muda anakosolewa na akina Lissu na wana harakati wengine!
Hamuoni kwamba huyu simba anateseka sana kufungiwa kizimba kidogo huku wanadamu wakimpigia kelele? Kwa hiyo Lisu ksanyimwa uhuru kiasi hicho? Dawa ya mtu asiyetulia ni kizuizi? Fasihi hiyo😂😅
Miaka mitano Tena Tanganyika itakuwa hoi bini taabani, CCM wasipokuwa makini huyu Mama ataigalagaza Tanganyika, inabidi Raisi atoke Tanganyika kama CCM itataka Tanganyika ipate maendeleo.
Kwann kauli kama izo mbona rais anambo yakijinga sana uyu nchi imearibika watu wanabakwa kutekwa kuuwawa lakin rais unaongea ujinga tu bwege sana ww unaejiita rais
Zanzibar inameza Budget ya Tanzania bara, ndo maana miradi mingi na malipo kwa wakandarasi sector mbalimbali yamekwama kabisa pesa zote zinaenda Zanzibar na nyingine kwenye account za mawaziri na wakurugenzi kwenye taasisi kubwa.
Acha chuki wewe, ukifuatilia mambo ya muungano utaona Zanzibar inadhulumiwa sana. Hata kipindi cha Ndungai alipokuwa spika aliwahi kusema maneno haya: we are bullying Zanzibar.
Watu Msijofanye Amjui Tundu Lisu Kila Siku Kwenye Mikutano Anamuita Raisi Mama Amduli Inamana Tundu Lisu Na Samia Kama Simba Na Yanga2 Kasolo Mmoja Ni Raisi
Lisu Zaid ya Simba ❤❤❤
Ongera saaana mweshimiwa Tundu Lissu.
Hatukutegemea kama utajibu vizuri hivyoo ubarikiwe saaana
Lissu na Samia wanajuana...wewe ulidhani Samia kazungumza vile kiholela....
Lisu jina zuri sana
Na si simba tu
Bali wewe ni simba yuda
Hongera sana mweshiniwa
🎉🎉🎉🎉🎉hakika tundulisu ni simba
Ni kweli Lissu ni machachari ni mtetezi wa Wanyonge na msema kweli hajapinda pinda na mtu anaependa haki Mahakaman na nje ya Mahakama
Ni kweli huyo ni simba,big up mama umesema kweli...
King of the Jungle 🎉🎉🎉🎉
Sasa wanachama na mashabiki wa chadema ,Tundu Lisu akipanda jukwaani mshangilieni kwa kumwita simba simba simba ilipwe tishio zaidi katika majukwaa ya kisiasa
Kwani Zanzibar Kuna Simba ? Ni wa baharini au mbugani,je nao ni wawindaji kama WA kwetu au wanapekejewa msosi
Hongera Tundulisu simba wa Tanzania
Mamma Samia ametoajina nzuri sana kwa Mh Tundulisu kweli Mh Tundulisu ni Simba simba la nguvu mamma hujakosea ,mh Tundulisu pokea jina la Simba wewe ni Simba kweli kweli
Simba wa yuda
Hongeraaa lissu😂
Nampenda mama wa wote Mungu ambariki sana
Huna akili
Lissu nisimba kweli
Alijua kuwa anamchafua ansmpandicha juu
Hayo unasema wewe ila rais hakumaanisha kumshusha kwasababu tumezoea siku zote mtu jasiri huitwa simba, na wapo watu ndio majina yao ya kuzaliwa haswaa
Tundulisu ni jasiri kama simba sasa kwenye uchaguzi je mama atawezana na simba?
Hapo sasa😂😂
Ukimpiga chura teke unamuongezea mwendo lisu jina la simba linamtosha kabisa mfalme wa wa wanyama wote
Mama acha maneno makali na kejil
Tumwite yanga yanga yanga
Lissu ni simba kweli,mama anajua fika kukiwa na uchaguzi huru na wa haki ,kwa lissu mama hatoboi
Ni kweli, wewe unajua kuyapima mambo, Tundu Lisu Yuko juu Sana 2025 ni wa Tundu Lisu.Wanaoishi kwa kukariri hawaamini ila ukweli ni hui.
😂❤
Enzi za awamu ya kwanza, rais mwalimu Nyerere, mhe na baba yetu Kawawa aliitwa Simba wa Yuda. Sasa sina uhakika kama rais Samia alimuita Lissu hilo jina akiwa na hisia za kizalendo za watangulizi wetu au lilimporochoka tu kutokana na kuchoka mchakamchaka hakuna kulala kila muda anakosolewa na akina Lissu na wana harakati wengine!
Hamuoni kwamba huyu simba anateseka sana kufungiwa kizimba kidogo huku wanadamu wakimpigia kelele? Kwa hiyo Lisu ksanyimwa uhuru kiasi hicho? Dawa ya mtu asiyetulia ni kizuizi? Fasihi hiyo😂😅
Miaka mitano Tena Tanganyika itakuwa hoi bini taabani, CCM wasipokuwa makini huyu Mama ataigalagaza Tanganyika, inabidi Raisi atoke Tanganyika kama CCM itataka Tanganyika ipate maendeleo.
Mshamba wee!!! Unaonekena elimu yako ni ya darasa la saba, unajua maana ya muungano wewe!!??.
Udinibaya sana ndionunaewatesa baadhi yenu sio wote
Cku hiz LA 7 ni werefu huyu adui
@@KhamisAli-r1wSiyo mshamba ni mtazamo wake kwani darasa la saba hana uwezo wa kuonyesha mtazamo wake na Mimi nawaza Kama yeye hakuna shida
Tatizo si elim mana lasaba tupo wengi tatizo lake ni ubaguzi na ujinga@@KhamisAli-r1w
Wengine angalieni kauli zenu hizo kama huwezi kuchangia hoja muache
Mama tupunguzwa namajangili
Lisu mwehu ni utaila
Mbona wewe mama ako taila kakuzaa chinzi hopeless af hatukujaj
Wewe unae sema ataliwa nani angalia kauli zako hujui hoja za kisiasa na ubora wa Simba ,,Dogo tunza kauli waaache wenye kujua lugha
😂😂😂😂😂👏👏👏🔥
66
Anajipendekeza kwa lissu ataliwa
Mama anapenda kusifiwa huyu 😂😂😂
na ww msifie mama yako ata Kama ni Mama nitilie. Wivu hata kwa wanawake. Uwe unazaa bc
Hacha wivu mlaamu mama yako kwa nn alikimbia shule
@@BarakaSagambaumejuaje Alikimbia shule.
@@wiliamkatala6688labda kwa sababu sio rais.
Ujumbe umefika
Kwann kauli kama izo mbona rais anambo yakijinga sana uyu nchi imearibika watu wanabakwa kutekwa kuuwawa lakin rais unaongea ujinga tu bwege sana ww unaejiita rais
Ole wako
Mdomo umeisha KUPONZA
Duniani tunapita kufakupo
Hayo matusi unafikiri yanaishia chumbani kwako eti?naona wataka kuongeza idadi ya waliopotea,jichunge na hicho kisimu chako
Hongera CCM
Rais aliongea kama matani tu
Mhh
Zanzibar inameza Budget ya Tanzania bara, ndo maana miradi mingi na malipo kwa wakandarasi sector mbalimbali yamekwama kabisa pesa zote zinaenda Zanzibar na nyingine kwenye account za mawaziri na wakurugenzi kwenye taasisi kubwa.
Wewe ni waziri was fedha au wa tamisemi!!!???..
@@KhamisAli-r1w Vp? Mshono umeguswa?
Acha chuki wewe, ukifuatilia mambo ya muungano utaona Zanzibar inadhulumiwa sana.
Hata kipindi cha Ndungai alipokuwa spika aliwahi kusema maneno haya: we are bullying Zanzibar.
@@mohdkhatib223mnadhulumiwa nn,tueleze
Watu Msijofanye Amjui Tundu Lisu Kila Siku Kwenye Mikutano Anamuita Raisi Mama Amduli Inamana Tundu Lisu Na Samia Kama Simba Na Yanga2 Kasolo Mmoja Ni Raisi
Kila Raisi akiingia madarakani anatengeneza himaya ya ikulu nyumbani kwake siyo sawa kabisa.
Sasa uliitaka atengeneze kwenu? Chagua ndg yako awe raisi ili ajenge kwenu muache kujibanza kwa ndg zenu
@@MohammedAwadh-gq9siDuuuh, kipindi hiki mnanyooodo za kutosha 😂.
Watoto wa mwisho
Mh. Dr Samia Suluhu Hassan, ni Mwanasiasa makini. Lissu kwishnehi
Lisu kipenzi cha wanainchi
Wee MAPENZI pumbavu SANA samia amshinde ,Lisu mavi yako na wajinga wenzi0
Mhomi !
Siasanimchezomchafusana
Katikakilaporimnyamasimbaanaogopekawewendiokinaraunayosumbuaccmwanakupakamafutaurudiccm