🛑FRIJI BOVU AMVULIA KOFIA AHOUA , SIKU SI NYINGI WATU WATAMSAHAU CHAMA MSIMBAZI, SIMBA HII TEMA MATE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 72

  • @JamesSweetbart
    @JamesSweetbart 2 หลายเดือนก่อน +7

    Safi kabisa mzee kazi hukosei kwenye kufafanua

  • @OmbeniMkumbwa-yg1vg
    @OmbeniMkumbwa-yg1vg 2 หลายเดือนก่อน +3

    Unaakili sanaaa❤❤❤❤❤🌺🌺🌺🌺🌺🌺

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwamba mi sina mashaka nae namkubali sana 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @sulejmandj7582
    @sulejmandj7582 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kak unajua sana ✌🏽

  • @AletasMbawala-si5kj
    @AletasMbawala-si5kj 2 หลายเดือนก่อน

    Point brother kam mm tu naixh leo bro 🙏🙏🙏

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 2 หลายเดือนก่อน

    Tanzania tunge pata wachambunzi kama kumi tu kama hawa mpila wetu unge fika mbali Big up sana bro 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @SarahKisepe
    @SarahKisepe 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @KasioClassic
    @KasioClassic 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii simba yangu ipeni mudaaaaa tuu natusubi muda ndounaongeaa

  • @onesphorymgedzi995
    @onesphorymgedzi995 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kwenye kulinda wachezaji kaka umeongea sana maana mmmh kunamijitu inafanya mambo ya jabu sana

  • @dismasmusoma9478
    @dismasmusoma9478 2 หลายเดือนก่อน +5

    Uko vizuri sana bro. Ushauri wangu siku moja moja uchambue kwa English brother kwa faida ya hawa wachezaji wa kigeni pamoja na kocha. Nina imani kuna faida kubwa sana kwenye uchambuzi wako.

    • @mfalmewasoka949
      @mfalmewasoka949  2 หลายเดือนก่อน

      Limeisha hilo Kaka Ung'eng'e

  • @HalimaAlly-j3t
    @HalimaAlly-j3t 2 หลายเดือนก่อน

    tena na tena

  • @SifaKayaya-z3b
    @SifaKayaya-z3b 2 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana kakaa

  • @gerowadamwandika669
    @gerowadamwandika669 2 หลายเดือนก่อน

    Friji bovu uko vizuri sana, Chama akikutana na timu mbovu ndipo anaonekana, akikutana na wanaojua boli na kasi ya SGR haonekani anapotea kabisa.

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 2 หลายเดือนก่อน

    FRIJI BOVU upo vzr

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bila kukusikiliza MWAMBA Huwa naona sija enjoy uchambuzi uko vzur sana broo

  • @RevocatusKambimbaya
    @RevocatusKambimbaya 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vizur isipokua uchambuz wako wakati mwingine unaegemea upande mmoja

  • @henelckneatunga2720
    @henelckneatunga2720 2 หลายเดือนก่อน

    HUYO MVP WENU HILO GOLI ALILOFUNGA MABEKI NDIO WAMEZINGUA WANAMKABA KWA MACHO.KHS CHAMA WEWE TULIA, CHAMA ANAUWEZO WA KUCHEZA MATCH YOYOTE BILA SHAKA.

  • @EliyaOnnesphory
    @EliyaOnnesphory 2 หลายเดือนก่อน

    Friji bovu bhana hauna unafiki, palipo ukweli unasema! Alafu haijalishi ni timu gani unaipa maua yake🎉🎉🎉.

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani tumepata furaha sana simba wameshaanza kupata moto, naamini yale tuliosema kuwa washabiki tutulie hata yerusalem haikujengwa siku moja.Tuwatie moyo watafanya makubwa.

  • @stanleyngonyani204
    @stanleyngonyani204 หลายเดือนก่อน

    Hla chamou ipo sku atakuja itajka hamza ajakutana na heavy so sidhan moja kwa moja ni bora

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 หลายเดือนก่อน

    Awesu yupo safi sana ila aache urembo mwingi anapoteza muda

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx 2 หลายเดือนก่อน

    Awesu asicheze mpira wa urembo kwasasa tunataka matokeo awe anatoa mpira haraka kwenye njia, barua nae nimchoyo hatoi pasi wengene wafunge

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 2 หลายเดือนก่อน +1

    Balua ana uchura chura

  • @MohamedHango-r5k
    @MohamedHango-r5k 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kiukweli kaka unachambua mpila ila kuna wengine wanachambua matembele

  • @DadeSaide-qr7ti
    @DadeSaide-qr7ti 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naitua Dade nipo nsumbiji kuanza niwachukuru azam kua kutpatia buludani mechi yaleoo speni wapenzani wajipange Simba nguvu moja Mozambique🇲🇿 🇲🇿 🇹🇿 🇹🇿 🎉🎉🎉😂

  • @MasudiNambole
    @MasudiNambole 2 หลายเดือนก่อน

    Ukiacha Hans na ambangile huyu jamaa namuelewa sana

  • @sulemanmagesa2181
    @sulemanmagesa2181 2 หลายเดือนก่อน

    Mnarekodi ndefu Sana. Fupisheni.

  • @DaudiMsukuma
    @DaudiMsukuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa huyu mwandishi anauyanga ndani huyu Kila wakati anataka kuongelea yanga

  • @ChristopherMisungwi
    @ChristopherMisungwi 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka wape bwana maaana duuu jezi kidogo tuogope kutembea nazo msimu uliopita kaka duuu maumivu sasa wengi watahama sana msim huuu

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 2 หลายเดือนก่อน

    Kamsifia Kwakua ni mtanzania mbona juzi pia kamsifia fei kasema fei ni mtanzania kwaio kama alikua anajua atamhonga pesa kama Chama na manula viongozi wako makini

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 2 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka maneno Yako broo Abdurazack ulimtaja mwanzo

  • @promiseann4836
    @promiseann4836 2 หลายเดือนก่อน

    Jembe liko sawa

  • @Bishopdavidndaki7184
    @Bishopdavidndaki7184 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana firiji bovu siku zote wewe huwa haupindishi

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 2 หลายเดือนก่อน

    Biringita sarakasi na jezi Yako ya heshima kaka JVC ! Nimeipenda hiyo friji

  • @GloryPallangyo-o4g
    @GloryPallangyo-o4g 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka wambie

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 หลายเดือนก่อน

    6:18 6:35 6:36

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 2 หลายเดือนก่อน

    HAWEZI KUENDA UJERUMANI KWA NAMNA YOYOTE ILE WEWEKENI KUMBUKUMBU YANGU

  • @ABDULKARLMMWANGELA
    @ABDULKARLMMWANGELA 2 หลายเดือนก่อน

    🎉gud-gud wamba uchambuzi wa ovyo Sana kwakuwa ndio Ameajiriwa huyu kaka

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 หลายเดือนก่อน

    Mzamiru anazingua, na kwanini okejepha anaazia bench

  • @theonasmkoba6121
    @theonasmkoba6121 2 หลายเดือนก่อน

    Usijaribu Sarakasi Friji Bovu, tunakupenda na kukuhitaji😅

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry 2 หลายเดือนก่อน

    Ndomana tunasema matapishi ya Simba chakula kwa wengine

  • @jofreymwampamba1236
    @jofreymwampamba1236 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 หลายเดือนก่อน

    Chama team ngumu hana uwezo wowote huo ndo ukwel,,yaan team red card mbili bas anasifiwa mtu jmn nchi ngumu hii😂😂😂😂

  • @JustinJames-zx4zh
    @JustinJames-zx4zh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona tumekaa kinyonge mjengoni wakuu

  • @buberwamujungu6987
    @buberwamujungu6987 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vzr man nakukubali uchambuzi murwaa kabisa

  • @AshirunaNdali-mh7cp
    @AshirunaNdali-mh7cp 2 หลายเดือนก่อน

    hongela bwana friji bovu ukovizuli 😂😂😂

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo kamera man nampa🎉🎉🎉 yake broo , anajua kutega

  • @official_mr_bery
    @official_mr_bery 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu 𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗷𝘂𝗮

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 หลายเดือนก่อน

    NA WEWE.MWANDISHI UNAMBISHIA FRIJI BOVU. YUPO SAHIHI SANA NA MUNGU NI MWEMA HAYO YATATIMIA KWA UWEZO WA.MOLA

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 2 หลายเดือนก่อน

    Utopolo akuna kitu kabsa Yan mwaka wetu huu

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela

  • @JustinJames-zx4zh
    @JustinJames-zx4zh 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka hivi ni ukweli kwamba Simba tuna maingizo mapya upande wa safu ya ushambuliaji au ni tetesi tu 😢

    • @mfalmewasoka949
      @mfalmewasoka949  2 หลายเดือนก่อน

      Ni tetesi tu Kaka

    • @JuliasOnai
      @JuliasOnai 2 หลายเดือนก่อน +1

      ateba yupo

  • @neemaraphael8732
    @neemaraphael8732 2 หลายเดือนก่อน

    Mukwala gari limewaka usipowe tena

  • @TwahiliJabu
    @TwahiliJabu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Oya akuna unyonge apa wakologwa apa fraha tu

  • @YusuphAlly-y9o
    @YusuphAlly-y9o 2 หลายเดือนก่อน

    Hiii nisimba ww achauwiga

  • @PharmacistGoodluckMdugi
    @PharmacistGoodluckMdugi 2 หลายเดือนก่อน

    Waongo sana maana walisema wamealikwa kwenye ufunguzi wa caf champions league kitu ambacho hakipo ha ha ha haaaaa