Ili lijamaa liko vizurii yan umeniacha hoii, aya bhana acha nicheke ili niongeze siku za kuishi duu, ni nooma hii sipiech. Kama umemkubari baraka magufuli gonga like hapa√√√
Duh upo vizuri sana kimwonekano vitendo bado kidogo saana sauti kidogo sana hongera nadhani unaweza ukawa bora kuliko waliotangulia huna haraka,hongera sana Linda kipaji chako.
Huyu Dogo anahitaji mtu wa kumpa mentorship, atakua mzuri sana. Anahitajika kumsikiliza vizuri sana mheshimiwa ili ajue miinuko na mianguko yake katika speech, unless otherwise yuko poa
Ili lijamaa liko vizurii yan umeniacha hoii, aya bhana acha nicheke ili niongeze siku za kuishi duu, ni nooma hii sipiech. Kama umemkubari baraka magufuli gonga like hapa√√√
Efeli Mwambije mmmmm
Kama umeona tai ya rais alivyoifunga gonga like
Nimeiona
Nimeiona
😄😄😄
Safi sana nakumbuka kwenye harusi yangu ulinogesha BWANA akubaliki zaidi
Aliyeona mwanya wa rais agonge like twende sawa
Daaaaah na mm nimeona
Watching from USA i love Tanzania
Love you too!!!
Eva are you Tanzanian?
daahhh jamaa katisha kapangilia vizur sana maneno yake
Duh upo vizuri sana kimwonekano vitendo bado kidogo saana sauti kidogo sana hongera nadhani unaweza ukawa bora kuliko waliotangulia huna haraka,hongera sana Linda kipaji chako.
.kipaji anacho
Huyu Dogo anahitaji mtu wa kumpa mentorship, atakua mzuri sana. Anahitajika kumsikiliza vizuri sana mheshimiwa ili ajue miinuko na mianguko yake katika speech, unless otherwise yuko poa
kaka upo vizuri Sana unajitahidi hongera sna ndugu yangu Kamwene mnyarukolo
Kama umemuona Rais aki adjust tai vzr gonga like tuwe tumeona wote
Kama umemuona bodygurd wa raisi kavaa mzura like apa 😂
Tumemuonaa baba,,
😁😁😁
Hahaha
Huyo alovaa mzura siyo bodyguard ni mpambe wa rais.
Bodgad ni huyo alovaa suti nyeusi
linaondoa uhalia ilo jamaa
Chapa kazi kaka maana kila mbuzi hula kulingana na ulefu wa kamba yake
Kbsa ndugu
10:1-10nani amemuona bodyguard akitaka kucheka
Umeweza kweli
Waliokwenda Zimbabwe wamekuta mwajuma kaolewa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
comedian and soo bright !
Anaesema haez ana wivu akakojoe akalale puuuumbaaaaavuuu
Uyu jama ni fireeeeee magufuli part two
Kama umemuona bodyguard Justin piga like
Mchiz anajua sema anahitaji support sana afike pakubwa ila ana kipaji
Uko vzr sanaa aisee,usiwasikilize hao wanaosema kuhusu sauti binadamu ndivyo walivyo hawaridhikagiii
Wanamjenga. Kwa vijini ni sawa, ila akija mjini lazime sauti ifanane.
Nise jamn anaweza jamn mpenden sapoti yenu
Ni nzuri sana, ila jitahidi kukaza sauti
daaah!!! your wonderful unaweza keep moving
Uko vizuri sana ila umeniangusha kwenye mavazi na pia sauti ni soft kuna saa unajisahau sauti ya rahis kidogo ni kubwa blessed
hakika umetisha bwana ka2 hongera sana
Kama unamuona hyo ndugu wasut anarembua like
😂😂
ngai katisha sauti kama mangufu😍😍
hongera sanaaa
Nani kaona pua ya bodyguard sio ya kawaida..gonga like tujuane...
deograsias steven imeonesha alama ya kopa jaman
hahahaha
hahahaha
Hahahaaa
😂😂😂😂😂
Ebanea umetisha yan kama yy iko njema sana
huyo jamaa anacheka kama magu Jaman, mabega yanavopanada wakati Wa kucheka
wandere nyeura
Kazi uzuri hii...Mimi ni mkenya nakutazama nikiwa marekani
Akilazimisha sauti zaidi ya hapo ataharibu kajitahidi
watanzania tunakuelewa sana JPM piga kazi
Safi sana sina shida na wew, tunacheka kihalali sio kujifosi
Umejitahidi ila zingatia ushauri kuhusu SAUTI. Zaidi ya yote VAA UHUSIKA WA JPM mwenyewe. Usijitoe na kumtaja tena JPM
Aiseeeed umetisha Mbabaaaaaaaa....... Magufuli hoyeeeeeeee
#Hongera, uko vzr sana.
Good
safi sana
Safi sana
Hongera sana Dogo unajitahidi
bado sana jitahidi kumfuatilia vizuri rais huwa anaongea kwa kukazia sana
Hongera sana unatembea mumo mumo 🤔🤔
good
uko vizuri sn ila tu kagilass kamaji sijakaona hapo
Kwa kweli uko vuzuri sana
Hats mpangilio was hotuba
Hongera ila jitahidi kukandamiza kiswahili km wasukuma
Hahahahahahahahaha very fun, very Good
Tanzania imebarikiwa Sana tuna marais wawil mungu mwema
Nice ideas Mr comedian
Uko vzuri mapungufu kwa binadam yapo ila kaza buti.
Watz kuiga tunaweza,inaonyesha kuwa watu hawatafuti nafasi au hawapewi nafasi.
respect
Jmn congrats penda mm
ok ok magufur
Hiiii noma hongera
walinzi umefeli Sana tena ssna
Anajua sana kuigiza
Safiiiiiiiii
Umepatia mkuu
uko sawa piga kazi
Unafanana na magufuli maneno umeyapangilia lakin sauti bado sanaaa
yaniwew makufuli mmezaliwa baba mmja namama mmoja hadi mwanya sawa koo wenoma
Ndio nimeona hidunia kweliniyawawili haaaa
Huyu jamaa dah! Nacheka tu
yuko vzuri
Hatar sana uko vzr
Umetisha mkubwaaaa
jamaaa yupo vizuri sana.anajua kupangilia hoja zake. keeep it up umetokaaaa
unajua... Duuuuu.....poa Mzee Baba
Wewe camera man mbona umebezi kwa upande mmj kama nawe umeniona hii gonga like hapa
Bora umetuongezea siku za.kuishi. siyo MAKELELE Yotube ya TUNDU.LISU. asante Baraka.Magufuli
Hongera sana unamaono ya kweli
Saaaaana
Rahima Aaaa umeonaeee
Hatar we ndugu
😂😂😂 safi sana rais
UMEJITAHIDI SANA TENA SANA
Kiboko kabisa jitahidi tu kwa sauti
Unamuigiza huyu Rais mjinga anaeua watu. Kesi za ICC zinamhusu.
@@rinovatkazimili7362 acha ushamba. Kaiga kwa mema sio mabaya.
Jamaaa ninoma sanaa
Umetisha mwana kama yeye
Mussa Kasela
umenena kweli
Kamwene muyangu
Nice tequnic
Huyo boadgard amenuna kama anataka kufa
😁😁
😂😂😂😂
bod gad acha uhuni😂😂😂😂
Aaaahh aaaah
Jamani hadi rahaaa😀😀😀
Wee Noma saaana unanifurahisha kabisa.
Daah, jamaa umetisha sana
Mpaka kichwa kinavo hang ni kama mjomba tuh
Jamani dah yuko vizuri
Ncheka daa
Kipaji kikubwa sana... ajitahidi tu kupangilia maneno nakuombea Mungu ufike mbali...
Nimekubali
hongera, but rekebisha saut kidgo otherwise uko vizr mno
Bado sauti kidogo but nice
Nomaaaaaa
Kipaji cha kipekee barikiwa sana
Off course unaweza kwel kwel
hahahahaha,jamaa noma
Mungu fundi
Bdgd 😀😀😀😀😀 mbavu zangu
The look umejaribu dogo sasa jitahidi sauti kidogo
Ange vaa smart comedy sio kuvaa rough
Bodgad kabanwa na kicheko ad pua inapanuka yenyewe
uko vizur fanyia mazoezi zaidi sauti
Unatisha sana sijaona aliyekufikia hadi sasa.
Tisha sana