🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ค. 2023
  • 🔴#Live KARIAKOO: WAZIRI MKUU ATINGA KUTULIZA MGOMO, AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA...
    MEI 15, 2023 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika kwenye soko la Kariakoo Jijini Dar es saalam kuzungumza na wafanyabiashara walioanzisha mgomo ambapo ametoa maelekezo kadhaa...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 22

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

    • @jumaabdalla3374
      @jumaabdalla3374 ปีที่แล้ว

      Waziri ww ulikuwa uchukue hatua tu kama alivyokua hayati JPM

    • @jumaabdalla3374
      @jumaabdalla3374 ปีที่แล้ว

      Waziri kwa nn hutumbui majibu

  • @mohamedelmi7435
    @mohamedelmi7435 ปีที่แล้ว +3

    I'm a small investor in Tanzania na najuwa kiswahili kidogo, shida ya biyashara kubwa ni TRA, serekari ya mama inatakiwa awafute wote TRA anze mapya, huwezi ona mambo kama hayo in Kenya or Zambia or Rwanda.
    Yani kufanya kazi krkoo ni pressure kubwa sana ukienda 2 TRA pressure ina anza rushwa ju ya rushwa hamna mtu Ana fanya kazi kwa uzalendo ni kwa tumbo Lao 2.
    Mm na imani na serekali ita fanya kazi kuhusu hi mambo na Leo namini TRA wame kosesha serekali hela kubwa sana sababu tume funga biyashara Leo.
    GOD BLESS THIS BEAUTIFUL COUNTRY OF Tanzania 🇹🇿.

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika ปีที่แล้ว +1

    Amen amen Mkuu. Wawekeni mazingira mema ya kufanya biashara.

  • @luciasiwingwa3866
    @luciasiwingwa3866 ปีที่แล้ว +4

    Si wafanyabiashara wa kaliakoo tu wanaoteseka na manyanyaso ya tra Bali ni nchi nzimaa, na tra ndiyo inaongoza kwa rushwa nchi hii, kila mfanyabiashara wa nchi hii ukimpima lazma anaugonjwa wa presha, ukinunua mzigo kaliakoo na ukaufikisha cago salama unakuwa umeomba maombi ya kila aina kwa MUNGU ufike salama.

  • @SALIMUmshaharaMshahara-zb1qd
    @SALIMUmshaharaMshahara-zb1qd ปีที่แล้ว +2

    Kwenye sheria za RUSHWA ashuhulikiwe mpokeaji na sio mtoaji

  • @charesslutandula2459
    @charesslutandula2459 ปีที่แล้ว

    Baba hongera sana viongozi wajifunze kusikiliza matatizo ya wafanyabishara nakutatua matatizo yao wasikae maofisini

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kidogo kimeeleweke TRA wanakomoa kwa rushwa sana sana

  • @charesslutandula2459
    @charesslutandula2459 ปีที่แล้ว

    Baba hongera sana huo ndio maana ya uongozi kusikiliza

  • @mwailubikamongo9774
    @mwailubikamongo9774 ปีที่แล้ว

    Wezi tu hawa

  • @noahtweve3991
    @noahtweve3991 ปีที่แล้ว +1

    Siyo mpaka kariakoo ifungwe.ndo muwasikilize wafanya biashara.wasikilize kabla ya kufunga kariakoo.

  • @obedijamelameen5172
    @obedijamelameen5172 ปีที่แล้ว +1

    tra kipata ni jehanamu ya rushwa puuu.

  • @SALIMUmshaharaMshahara-zb1qd
    @SALIMUmshaharaMshahara-zb1qd ปีที่แล้ว +2

    OFICE ZA T.R.A KIPATA NI RUSHWA TUPU

  • @abdulazizkilume8641
    @abdulazizkilume8641 ปีที่แล้ว

    Wapuuz sna dhuluma tu imebaki watu wafanyabiashara wananyanyasika na hao TRA

  • @abdulazizkilume8641
    @abdulazizkilume8641 ปีที่แล้ว

    Sio kariakoo tu kote shida tu tra wametapakaa kila kona wanaboa sna ukiwapa pesa Leo kesho wamo tena wafikir sio watanzania

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 ปีที่แล้ว +1

    Kuna muda uyo kamishina ajui kitu kwanza kwenda kuona nikama kwa rais ngumu kumuona kamishina.

  • @williamkipondamali1936
    @williamkipondamali1936 ปีที่แล้ว +1

    Lingine chunguzeni faini 4500,000 mpaka 3000,000 hiyo mlipanga kwa hasira sana lakini TRA wananufaika kwa uchache sana zaidi rushwa ndio imeboreshwa sizani kama kuna mtu anakubari kulipa faini ya 4500,000 mpaka 3000,000 zaidi yakutoa rushwa tu ambayo mnabageni laki 500,000 mpaka 1000,000 kama niwewe ndio mtoaji utekeleza lipi hapo, ifike mahara faini iwekwe ya kadri ambayo haimfanyi mtumishi kupokea rushwa

  • @exsaverykomba7936
    @exsaverykomba7936 ปีที่แล้ว

    Rais mtalajiwap

  • @alimau7939
    @alimau7939 ปีที่แล้ว +1

    Tumekubaliana tusikubaliane na udhalilishaji unaoendelea

  • @samirysahiry5109
    @samirysahiry5109 ปีที่แล้ว

    R. I. P MAGUFULI BABA

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 ปีที่แล้ว

      Huyo jpm ndo aliasisi kazi ya kupora fedha za wafanyabiashara kwa kivuli cha tra.