''TUKADANGE?'' - MAMA AMUULIZA WAZIRI MKUU AKIELEZA SHIDA WANAZOZIPATA KARIAKOO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2023
  • ''TUKADANGE?'' - MAMA AMUULIZA WAZIRI MKUU AKIELEZA SHIDA WANAZOZIPATA KARIAKOO...
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tayari amefika katika viwanja vya Mnazimmoja Jijini Dar es salaam kwenye mkutano wake na Wafanyabiashara wa Kariakoo leo Mei 17, 2023.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 20

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 ปีที่แล้ว +3

    Du! Sasa waziri mkuu kuongea na wafanyabiashara.Aise! Mama yuko vizuri

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 ปีที่แล้ว +5

    Mama Jamila hongera kwa ujasiri

  • @injilinjeyakutazakanisa
    @injilinjeyakutazakanisa 27 วันที่ผ่านมา

    We Mama usidange Mama, Usidangeeeee kabisa we mama

  • @Official83640
    @Official83640 ปีที่แล้ว +4

    Asha Boko ana wenzie kumbe😅😅😅

  • @gloryysiafu7152
    @gloryysiafu7152 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂aibu naskia mimi

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mama

  • @user-kw6zo8tt5g
    @user-kw6zo8tt5g 27 วันที่ผ่านมา

    Ha ha ha😅😅😅 usidange mama pambana tu utashinda

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 ปีที่แล้ว +1

    Ahahaah 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 ปีที่แล้ว +1

    kazi unayo waziri mkuu namba ya cm ukimpa huyo mama kuwa makini anawenza kukupigia hata saa 8 uck angalia asikuaribie familia yako ila akuambiayo ni kweli akili kichwani kwako

  • @rebekamutta3033
    @rebekamutta3033 ปีที่แล้ว

    Kazi iendelee

  • @Hahaha-yf4ug
    @Hahaha-yf4ug ปีที่แล้ว

    Naomba ppetimpeti😂😂😂

  • @punnamalaba4445
    @punnamalaba4445 10 หลายเดือนก่อน

    Mmmh huyu mama mmh hana lolote ataka umaarufu tu aibuuu😂

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 ปีที่แล้ว

    Uyu mama jana alinifany nichek

  • @fatmakhalfan4127
    @fatmakhalfan4127 ปีที่แล้ว +1

    😂😂apewe appointment

  • @AwadAbedalla
    @AwadAbedalla 3 หลายเดือนก่อน

    🇪🇸👍❤️❤️❤️🤲🤲🤲🤲

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว

    Aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mama kajua kutrend huyu.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว

    Kazi ipo qatu mln 60 kuwaongpza