lazima Mungu wetu alete watu wenye akiri Tanzania na Africa yote sisi tunaakili sema tyuu wakati ulikuwa bado huja fika sasa niwakati umefika siyo tyuu mataifa ya mbali ndiyo wana akiri ata sisi tuna akiri saanaa.tz and JPM.
Hawa vijana ili walete mantiki kwenye mataifa yetu lazima tuwatumie vizur,mfano huyu kwa uwezo wake inabidi aongeze maarifa yanayohusu kipaji chake,alafu atunzwe na serikali,na watafutwe watu wa Kariba yake wasome hata miaka mingi tu kisha wakiwa vizuri wakija nchini watengenezewe miundo mbinu yote,kisha wao ndio wawe wakufunzi ili kuleta mapinduzi ya viwanda la sivyo tutazikwa masikini na utajiri tunao mfukoni
You prolly dont give a shit but does someone know of a trick to get back into an Instagram account? I stupidly lost my login password. I would appreciate any assistance you can give me
Viongoz wa Waafrica badala wawapeleke hawa watu wakapatr taaluma za juu zaid kuja kubadili nchi zetu lakin wanawapotezea. Watu kama akina castro walipoona watu wanaweza kufanya maajabu ya hivi wakawapeleka ulaya kujifua zaid na kurud nchini mwao na kufanya mambo makubwa ata kwa china ilikuwa ivyo
Mimi kwa maoni yangu serekali yetu yatanzania ingefanya namna watu wenye uwezo kama hawa ingewasomesha badae wafanye kazi za serikali serikali siingeingiza hela hapa hapa kwa wananchi wake kuliko kusubiri wataalam nnje
@@hajilipotha9658 watu wenye mawazo kama yako ndo nilikua siwataki kwenye comment yangu, hiyo kitu ni inafanyika sana na kitu alicho Fanya kwenye solar power hua tunafunga inverter kutokana na ghalama , then hizo transformer chocheo na pozo kwa Tz ni Mali ya shilika la TAnesco huruhusiwi kumiliki hiyo kitu, badilika acha kugandisha akili yako
Kwa level yake kajitahid sana ila syo ety apelekwe china kusoma aje asaidie nchi hapo si sawa ,dogo asome afaulu vizur akajiunge na vyuo vy ufundi kwa level zingine then ata gundua mengi zaid kwa utindu wake
Bora wewe ndugu ulie gundua kwa level yake, hivi vitu vipo vyote kwenye physics na sio uvumbuzi , wahandisi waje hapa hivi ni vipo na sioaajabu labda kwa level yake , huezi sema huyo ni wakusaidia nchi serkali iliyo waajiri kusimamia miradi ya umeme ni ma Dr. Wahandisi kwenye electronics na hako aliko Fanya huyo ni ka part kadogo sana hata ukisoma introduction to electronics unakafanya
Nipeni like jaman wanao kubali kigoma mkoa wa vipaji
Hiyo inaitwa inverter. Anaconvert dc kuwa AC
lazima Mungu wetu alete watu wenye akiri Tanzania na Africa yote sisi tunaakili sema tyuu wakati ulikuwa bado huja fika sasa niwakati umefika siyo tyuu mataifa ya mbali ndiyo wana akiri ata sisi tuna akiri saanaa.tz and JPM.
Hawa vijana ili walete mantiki kwenye mataifa yetu lazima tuwatumie vizur,mfano huyu kwa uwezo wake inabidi aongeze maarifa yanayohusu kipaji chake,alafu atunzwe na serikali,na watafutwe watu wa Kariba yake wasome hata miaka mingi tu kisha wakiwa vizuri wakija nchini watengenezewe miundo mbinu yote,kisha wao ndio wawe wakufunzi ili kuleta mapinduzi ya viwanda la sivyo tutazikwa masikini na utajiri tunao mfukoni
Hilo halitatokea.kwan waafrika hawatakiwi kumiliki kiwanda.na viongoz wetu wanatumika kulifanikisha hilo🤣
Big up 👊👊
Eeeh bwanaee Kigoma noumah
Mungu awainue wengi na Vipaji hivi viendelezwe.
Huyu dogo ni mjanja sana,anajua jins ya kuwavutia watu.saf sana
Important man , to the industry
Irf inafanya kazi gani
Katengeneza inveter ya kawaida tu ila kaleta mbwembwe hionekane kama kitu cha tofauti
Tengeneza na wewe
great
MashaAllah!
You prolly dont give a shit but does someone know of a trick to get back into an Instagram account?
I stupidly lost my login password. I would appreciate any assistance you can give me
Talent
Sasa hiyo c ni Inveta
Una akili sana dogo !? Tanesco wakakusomeshe nje ya nchi
Osama fodi_danielu
Hiyo ni inverter acha ushamba ww
daaaah
Viongoz wa Waafrica badala wawapeleke hawa watu wakapatr taaluma za juu zaid kuja kubadili nchi zetu lakin wanawapotezea.
Watu kama akina castro walipoona watu wanaweza kufanya maajabu ya hivi wakawapeleka ulaya kujifua zaid na kurud nchini mwao na kufanya mambo makubwa ata kwa china ilikuwa ivyo
Sawwa engineering
SAFIII. TENGENEZA ULETEE WATOTO WETU WACHEZEE
Hiyo ni inverter broo! Hakuna ubunifu hapo,
Kweli kaka
Jamaa kawawez ni inverter..hii..ndomana alivyoulizwa umetengenezea nini transformer akaliruka swali.
Bob na wew yuo tube uta toboa baba
Bongo bahati mbaya
Mimi kwa maoni yangu serekali yetu yatanzania ingefanya namna watu wenye uwezo kama hawa ingewasomesha badae wafanye kazi za serikali serikali siingeingiza hela hapa hapa kwa wananchi wake kuliko kusubiri wataalam nnje
Vitu vya kawaida kwenye umeme, walio soma physics na electronic mtanisaidia hapa , wa Tz wasije sema nini wivu
Hebu fanya ww tuone na physics yako
@@hajilipotha9658 watu wenye mawazo kama yako ndo nilikua siwataki kwenye comment yangu, hiyo kitu ni inafanyika sana na kitu alicho Fanya kwenye solar power hua tunafunga inverter kutokana na ghalama , then hizo transformer chocheo na pozo kwa Tz ni Mali ya shilika la TAnesco huruhusiwi kumiliki hiyo kitu, badilika acha kugandisha akili yako
Fanya na wewe tuone Kama ni kawaida
Wivu tuu.
Kawaida sana hapo hakuna maajabu
Saketi gani umebuni huo ni mfumo wa iveta bhana acheni ujinga
ww mwenye akili umetengeneza nn,?
Anaye piga uyu dogo anitengenezee baskeli tu basi ata ubunifu ndogo naho nishida kuunga mpe sapoti yake alafu tuhone mafanikiyo
Yani wewe nae unahoji vilaza sasa hapo ubunifu ni nini!!?
Unapoteza muda bhna kawe kunamtu anatengeneza umeme wa sumaku afu wewe unatuletea maswala ya sola
Ndogo san hainatofauti inveter hyo
Kwa level yake kajitahid sana ila syo ety apelekwe china kusoma aje asaidie nchi hapo si sawa ,dogo asome afaulu vizur akajiunge na vyuo vy ufundi kwa level zingine then ata gundua mengi zaid kwa utindu wake
Bora wewe ndugu ulie gundua kwa level yake, hivi vitu vipo vyote kwenye physics na sio uvumbuzi , wahandisi waje hapa hivi ni vipo na sioaajabu labda kwa level yake , huezi sema huyo ni wakusaidia nchi serkali iliyo waajiri kusimamia miradi ya umeme ni ma Dr. Wahandisi kwenye electronics na hako aliko Fanya huyo ni ka part kadogo sana hata ukisoma introduction to electronics unakafanya
th-cam.com/video/8Y1799da_1U/w-d-xo.html hili balaa tazama
Millard Ayo Mimi huwa na shida na huyu mzee
th-cam.com/video/93NXHr3fxpo/w-d-xo.html
Atakae dislike kwel sômtanzania