USIYOYAJUA kuhusu LOS PEPES: Genge la Mafia lililomuuza PABLO ESCOBAR kwa CIA na kufanya aangamizwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 58

  • @ibrahimsamson4193
    @ibrahimsamson4193 ปีที่แล้ว +36

    Wote mnaomkubali sky Fredrick bundala gonga like hapa

  • @jonsjones2580
    @jonsjones2580 ปีที่แล้ว +4

    Baada ya kifo cha pablo cartel zilichukiua mali zote,mke na mtoto walihamiah Mozambique na baadae walihamia Argentina kwa kuhofia usalama wao,pia ilimbidi mtoto wake Sebastián Marroquín kuacha kutumia jina lake la Juan Pablo escobar...Mwamba namkubali sanaa

  • @billskeez92
    @billskeez92 ปีที่แล้ว +5

    Bro sky tuandalie 360 kuhusu vita vya Congo

  • @Collie19
    @Collie19 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana @Fredrick Bundala

  • @isaacmbuna8898
    @isaacmbuna8898 ปีที่แล้ว +5

    Bro Sky
    1. Galiano na moncada walikuwa wanafanya kazi chini ya Escobar lakini aliwatoza kodi kubwa ili kulipa ilibidi wamuibie ndo maana akawaua
    2. Aliyeongoza kikosi hadi kumuua Pablo alikuwa Kanali Martinez na sio Carrillo, huyu alianza lakini aliuliwa na Pablo mwenyewe

    • @rivermtus
      @rivermtus ปีที่แล้ว +1

      Iyo Ndo kweli

  • @mkatavitv1014
    @mkatavitv1014 ปีที่แล้ว +7

    Sky natamani Kama ungemaliza kwakutujuza mpka Sasa familia yake iko wapi na wanaishi VIP/na wanaendelea na biashara hii?

    • @I-S-L-Y
      @I-S-L-Y ปีที่แล้ว +4

      Pablo aliacha Mke na watoto wawili.Kwa sasa wanaishi nchini Argentina baada ya kupata hifadhi ila walibadili majina,Kuhusu biashara hawahusiki tena na wanaishi maisha ya kawaida mno licha ya utajiri uliwaikuwazunguka.

    • @mancholotrasco8350
      @mancholotrasco8350 ปีที่แล้ว +5

      Wanaishi Argentina na hawakupata hata cent ya Pablo mwanawe wakiume ni mwalimu na mwanawe wakike anaishi Kwa kijificha mpaka Sasa hataki watu wamjue ... Serikali ya marekani Ili taifisha pesa zote za pabro na kuwaacha maskin hawakuwa hata na pakulala

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +4

      Wapo Argentina inasemakana aliza watoto wengi ila hawatambuliki ila watoto 2 Wapo official isipokuwa walibadili majina wanaishi maisha Ya kawaida sana.
      Ila mtoto wake mkubwa anajuwa siri nyingi za Baba haswa anapingana na maelezo yalio tolewa na police kuhusu Baba yake alivyo kufa. Mtoto wake anadai Baba yake alijiuwa na sio kuuwawa

    • @missp1814
      @missp1814 ปีที่แล้ว +1

      @@mancholotrasco8350 nilisoma sehemu kulikuwa na mjadala watu wakawa wanasema biashara yake kuna watu wanaiendesha ni hao hao walimuua sijui kuna ukweli? Ila familia yake inatia huruma sana

    • @owenmutale8686
      @owenmutale8686 ปีที่แล้ว

      @@mancholotrasco8350 😂😂acha uongo

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว +3

    Yani Maisha ya Muda mfupi lakini daah tunapitia mengi alafu kilakitu tunakiacha

  • @ConfusedArchaeology-bi8ho
    @ConfusedArchaeology-bi8ho 2 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana yan 😊

  • @strong8534
    @strong8534 ปีที่แล้ว +4

    Escobar (soma : s'kobar, "e" is not pronounced)
    👏🏾👏🏾Thank u Sky

    • @treyvissy9854
      @treyvissy9854 ปีที่แล้ว

      Yeah ni s’kobar

    • @oldtv6981
      @oldtv6981 ปีที่แล้ว

      pronounced s'kobhar kama co s'kovar na waColombia sema wamarekani wana pronounce Escobar kama ilivo !

    • @strong8534
      @strong8534 ปีที่แล้ว +1

      @@oldtv6981 jina ni Spanish, "e" is muted ni kama "escola", estar, escova,....

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 ปีที่แล้ว +2

    Noma sana 🔥👌

  • @starjay3052
    @starjay3052 ปีที่แล้ว +3

    pablo mtu kazi

  • @kafitiwilliam8358
    @kafitiwilliam8358 ปีที่แล้ว

    Safi san

  • @shadowmatingo5072
    @shadowmatingo5072 ปีที่แล้ว +1

    💪

  • @husseinchai1133
    @husseinchai1133 ปีที่แล้ว +2

    Fredrick bundala saut yako inikumbusha kitambo sana Rfa mwanza kipindi nipo chuoni

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 2 หลายเดือนก่อน

    ALIAPA KUTOKUFUNGWA MAREKANI NA NI BORA AWE KABURIBI COLOMBIA😢 ALISAIDIA MASIKINI SANA NAFIKIRI TUSISHANGAE KUMKUTA HUKO KWA MUNGU😊

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli tume enjoy story ya uyu Mwamba, ni balaa.

  • @shukurumbuba5123
    @shukurumbuba5123 ปีที่แล้ว +1

    number one

    • @herbertygeofrey2724
      @herbertygeofrey2724 ปีที่แล้ว +1

      Acha habari za number one umesha support channel hata kwa mchango wa buku

    • @shukurumbuba5123
      @shukurumbuba5123 ปีที่แล้ว

      kwamba miamala yangu unaijuaaa mpkaa unaulizaa hivyooo

  • @massoudsultan8484
    @massoudsultan8484 3 หลายเดือนก่อน

    Canal hurrasio caliro alikuwa tayari amesha uwawa kipindi Pablo anafariki

  • @hasyno9805
    @hasyno9805 ปีที่แล้ว +3

    Tupe story ya family yake iko wapi inaendeleaje

    • @jonsjones2580
      @jonsjones2580 6 หลายเดือนก่อน

      Baada ya kifo cha pablo cartel zilichukiua mali zote,mke na watoto walihamia Mozambique na baadae walihamia Argentina kwa kuhofia usalama wao,pia ilimbidi mtoto wake Sebastián Marroquín kuacha kutumia jina lake la Juan Pablo escobar...Mwamba namkubali sanaa

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@jonsjones2580Ila baadhi ya Mali nyingine zinasemekana familia ya Pablo Bado wanazo hususani ndugu zake Pablo ila hata mke inasemekana pia Kuna kiasi hakuwapa hao magenge wapinzani wa Pablo.

  • @Bbwaoy
    @Bbwaoy ปีที่แล้ว

    Licha ya matukio yote yaki gaidi, uhasama,Mali na utajiri wote alio kua Nao Pablo. Aisee jamaa alikua ana ipenda familia yake hasa mke wake wa ndoa kupita maelezo….. mpaka mwisho jamaa alikua na wife wa ndoa wana pambana. Family first always take care of your family. Mke na Watoto. Hata utakapo kua kwenye matatizo hawa watu wata kuombea.

  • @kidahancy5690
    @kidahancy5690 ปีที่แล้ว +1

    Bado family yake ipo

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 ปีที่แล้ว +2

    Sns mko wapi

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 ปีที่แล้ว +1

    Gereza alilijenga yeye mwenyew pablo wala sio kujengwa na serikali ..

    • @Hassan-ot1mc
      @Hassan-ot1mc ปีที่แล้ว

      Unajua zaidi ya sky au upuuzi umekuzidi

  • @chibudenga8977
    @chibudenga8977 ปีที่แล้ว

    Hana mpinzani uyoo the drugs deal

  • @fredymushy9674
    @fredymushy9674 ปีที่แล้ว +1

    Bonge la story

  • @oldtv6981
    @oldtv6981 ปีที่แล้ว +1

    dah what a coincidence niko narcos s3 saivi

    • @lamecknoel9076
      @lamecknoel9076 7 หลายเดือนก่อน

      Check pablo pia ni kali sana

  • @mukusinisaidijanja9773
    @mukusinisaidijanja9773 ปีที่แล้ว

    Escoba

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 ปีที่แล้ว +1

    Mwishoo wa ubaya nini???? Pablo sio mtuu mzuli

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe ปีที่แล้ว

      Nani anapanga uzuri au ubaya wa watu?

    • @its_khalidy_46
      @its_khalidy_46 ปีที่แล้ว

      Survive for your fittest bro,,,,,

  • @ashuuu282
    @ashuuu282 ปีที่แล้ว +1

    tunaomba mtupe na nalakala ya dr sebii

  • @rajahamy9700
    @rajahamy9700 ปีที่แล้ว

    Escobar

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 ปีที่แล้ว

    Lospepe hao walikuwa niksi bala

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว

    MUHALIFU YOYOTE,,ANATAKIWA KUFA HAPO HAPO,,,WATU WANAFANYA KAZI KUJIKOMOA KIMAISHA MNALETA UMBWIGA,,STUPID ❌

    • @angeldejoice3202
      @angeldejoice3202 ปีที่แล้ว

      Inavyoonekana wewe hujawahi kufanya uhalifu toka uzaliwe Mr perfect