Polisi wa Dubai walivyomnasa HUSHPUPPI, Mnaija TAJIRI wa Instagram ALIYETAPELI Trilioni 1 mtandaoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 501

  • @ejelanta7829
    @ejelanta7829 4 ปีที่แล้ว +79

    Hii ndo story za kuangalia,sio unaangalia udaku na umbea tuuu

    • @neemaremus4924
      @neemaremus4924 4 ปีที่แล้ว +2

      Umeona eeee

    • @marympemba8843
      @marympemba8843 4 ปีที่แล้ว +3

      Watu wana right to choose which story wanawatch, kitumuhimu kutokuwa mbea na kuwasema watu kwa umbeya wote. It good to mind person business and stop repeat what things has said in past decay. Grow people this is not time and place

    • @queenslandemile2536
      @queenslandemile2536 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @kelvinkonga6969
      @kelvinkonga6969 4 ปีที่แล้ว

      Aaaah!

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว +1

      Hz ndio story sio umbea wa bongo kila kukicha jpya

  • @Cherriechina
    @Cherriechina 4 ปีที่แล้ว +50

    SNS you guys are doing great🤗🤗🥰yani mtu unatamani story isiishe uendelee kusikiliza.Very systematic🙌

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 4 ปีที่แล้ว +18

    kutomjua mungu huu ndio mwisho wake🙏🙏🙌

    • @shakilarasti
      @shakilarasti 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 4 ปีที่แล้ว +1

      Wanaijeria balaaa waarabu watawauwa

    • @selestinsongola2787
      @selestinsongola2787 2 ปีที่แล้ว

      Hawa jawamaliza hawajamaa wapo wengi inaonekana

  • @marympemba8843
    @marympemba8843 4 ปีที่แล้ว +6

    SNS mnafanya kazi vizuri sana, mtangazaji unafanya reseach ya kutosha kwenye matangazo yako, asante kwa kazi nzuri

  • @hellenelias2668
    @hellenelias2668 4 ปีที่แล้ว +10

    Itakuwa ndiyo hawa waliomtapeli boss wangu hawa billion 1 🙌🏻🙌🏻

    • @khadijamalifedha4786
      @khadijamalifedha4786 4 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀😀jmn muwe makini wanaija wamesomea wizi hata wawe makapuku ila wanawatapeli wadada wawatu jmn😀😀

    • @danielkiroka6331
      @danielkiroka6331 4 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe e

    • @danielkiroka6331
      @danielkiroka6331 4 ปีที่แล้ว

      Uyu namtafuta na mim anifundisha il niwage umasikin

    • @danielkiroka6331
      @danielkiroka6331 4 ปีที่แล้ว

      Gisele fernandes npe location bg bossss

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 ปีที่แล้ว +37

    Natamani habari iendelee
    Kwakweli wa Nigeria wezi na matapeli wa kutupa
    Kweli za mwizi 40 asante SnS

  • @saidmatola8015
    @saidmatola8015 4 ปีที่แล้ว +2

    Hush Puppy ni noma, kabugi kidogo tuu, alitakiwa. Awekeze home, au nchi nyingine Africa inchi ambazo interpool hawapo.......

  • @abrahamrhymoskinabo6214
    @abrahamrhymoskinabo6214 4 ปีที่แล้ว +9

    Sasa najua kwanini matapeli wengi wanapapenda Dubai, adhabu zake ndogo sana

  • @williamkhaemba2782
    @williamkhaemba2782 4 ปีที่แล้ว +42

    Welcome to UAE where you cannot escape easily

  • @leprofesseri3505
    @leprofesseri3505 4 ปีที่แล้ว +21

    E bana eeh unasimulia poa sana kaka sky🔥🔥

  • @KA-yz2ld
    @KA-yz2ld 4 ปีที่แล้ว +20

    Mwenyezi Mungu tuepushie na tamaa kama za fisi

  • @jocyjocy3050
    @jocyjocy3050 4 ปีที่แล้ว +28

    I repeat again !! Za mwizi never change , it’s 40 guys!!!!

  • @justinekamugisha8983
    @justinekamugisha8983 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa ni genius wamtumie vizuri.

  • @chibudonscott5807
    @chibudonscott5807 4 ปีที่แล้ว +8

    Wasenge sana hawa jamaa,, 2017 sitasahau walinipiga Million 9. Nilidata kabsa.. Ila namshukuru Mungu now michongo inaenda poa🙏🙏🙏🙏

    • @shakiraabbas7538
      @shakiraabbas7538 4 ปีที่แล้ว

      Duuu pole sana hata mimi walishanitapeli ilikia milion 8 hadi akili iliniruka kwakweli ile email ilifatiliwa jamaa mnaigeria hatari sana hawa jamaa

    • @jaklinifaustini4259
      @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

      Polen😳

    • @edithayouma1528
      @edithayouma1528 4 ปีที่แล้ว

      Poleni sana ndugu zanguni, siku 40 zimewafikia

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 2 ปีที่แล้ว

      @@shakiraabbas7538 duh jaman seriously?! 🥺🥺 Poleni sana mwee

  • @itNeza
    @itNeza 4 ปีที่แล้ว +42

    Jamani Mimi Nabaki na haya Maisha yangu Yachini, Ntayatengeneza pole pole Kihalali.

    • @marympemba8843
      @marympemba8843 4 ปีที่แล้ว +2

      Umesema vizuri mungu ubariki kazi za mikono yetu, hakuna haja ya kupata utajiri wa kuiba kama hivyo. Walitumia majina feke pia wakajulikana, shida tupu

    • @omanimujsa9756
      @omanimujsa9756 4 ปีที่แล้ว

      Duuuuuuh

    • @dannymusictz9442
      @dannymusictz9442 4 ปีที่แล้ว

      Nice

    • @jacksonnyange5334
      @jacksonnyange5334 4 ปีที่แล้ว

      Huna akili wewe

    • @itNeza
      @itNeza 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jacksonnyange5334 Wewe mwenye akili sasa. 🙄

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 4 ปีที่แล้ว +5

    Good job police for Dubai 🙏🙏❤❤❤🇦🇪🇦🇪

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว +29

    Duhh watu wataalamu sjui wanaiba vp mtandaoni mhm maisha aya

    • @semenitheclassic
      @semenitheclassic 4 ปีที่แล้ว +2

      😆😆😆

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +2

      😆😆😆😆

    • @venstonvedasto
      @venstonvedasto 4 ปีที่แล้ว +2

      Ushasikia neno HACK?

    • @emmanuelzao
      @emmanuelzao 4 ปีที่แล้ว +1

      Haha 😆 wewe tumia insta kuuza sura wenzio wana make mawe marefu sana 😂😂

    • @juliussanane1860
      @juliussanane1860 4 ปีที่แล้ว +2

      Wanajeria Achana nao wako vizuri kwenye IT

  • @shebywamilazo5142
    @shebywamilazo5142 4 ปีที่แล้ว +2

    Yan kaka unajua kuelezea xana broo big up blessed

  • @Okwirisam254
    @Okwirisam254 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀this guy really enjoyed his life kwani iko nini....

  • @khamismasaai5307
    @khamismasaai5307 4 ปีที่แล้ว +7

    Wanaijeria huku UAE wanachafua nakuharibu sifa za wa Africa

  • @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
    @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 4 ปีที่แล้ว +5

    Sema wanaija wanabebana sana akipata mchongo mmoja anabeba wenzie wanatoboa pamoja...... Kwenye swala la wizi wa mitandao jamaaa wapo vizuri sana sema wanakosea kuishi maisha ya hanasa .... Waizi wa mitandaoni USA na Ulaya wao wanakua wanaishi maisha ya kawaida sana japo wanamkwanja mlefu sana

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +7

    Mmmmh! Mashallah, ila maisha ya dhulma cyo ishu kabisa.

  • @episawaki1281
    @episawaki1281 4 ปีที่แล้ว +27

    Wanaume wa kinigeria sishtukiii.....vanesa clock is ticking jamni wanaume wakinigeria siyo watu wakuwaamini kbsaaaa

    • @mylasadick5189
      @mylasadick5189 4 ปีที่แล้ว

      Y Vanessa clock Is ticking?

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 4 ปีที่แล้ว

      Mungu Amshike ili ikitokea kaingizwa mkenge Depression isi mmalize, aweze kui handle na kukubali na kuweza KUANZA UPYA

    • @rosemarymathew3022
      @rosemarymathew3022 4 ปีที่แล้ว

      Ok 1

  • @12322879
    @12322879 4 ปีที่แล้ว +8

    Hizi ndo story sio umbea 💪🏿

  • @desekepi
    @desekepi 4 ปีที่แล้ว +5

    Hii channel nailewa sana 💥💥

  • @ashabakari8313
    @ashabakari8313 3 ปีที่แล้ว +1

    Awa Nigeria wanaitwa "Yahoo boys" nishidaaah!

  • @fauahamisi1097
    @fauahamisi1097 4 ปีที่แล้ว +8

    Hatareee Sana Hawa watu

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว +1

      Hão ndio wapigaji sio wale wanaopiga pesa za visima vya maji vya kijiji kkkkkk

  • @emilymula645
    @emilymula645 4 ปีที่แล้ว +14

    Ati " thank God for...Keep shaming those who don't wish me well"
    Its said "Do not mock God..."

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +3

    Your perfect kwa kutuelezea story luv you big sns😚😍

  • @latifajanja2375
    @latifajanja2375 4 ปีที่แล้ว +13

    Mungu analipa hapa hap duniani na zamwizi ni 40 karibu U A E ashpapi😃

  • @ashaally6662
    @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว +18

    Huwa Nasikia sana Wanigeria ni tishio nchi za kiarabu kwa wizi kumbe kweli 😂😂😂huwa nasikia mara kwa mara sana na India pia nasikia Wanaigeria wapo wezi wengi

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +5

      Sio Uarabuni tu ata Marekani wazungu wanalia.... Wanaijeria wameshindikana kwa wizi

    • @abubakarymsuluzya2195
      @abubakarymsuluzya2195 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndo hivo

    • @aishachambo3293
      @aishachambo3293 4 ปีที่แล้ว +2

      Wezi sana wanigeria

    • @khadijaomar2723
      @khadijaomar2723 4 ปีที่แล้ว

      Ndio watajua ajui

    • @benhorta5121
      @benhorta5121 4 ปีที่แล้ว

      Indian na Nigeria hawa ni scammer balaaa sana

  • @zeddysale217
    @zeddysale217 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa police wa Dubai

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah umebobea kwenye habari utangazaji wako mtu hachoki kukusikiliza , Congratulations

  • @wm9669
    @wm9669 4 ปีที่แล้ว +1

    Good information. Asante

  • @sarajames9067
    @sarajames9067 4 ปีที่แล้ว +1

    Asantee sky huchelewiii good good work

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu ameisha!! Na marekani wanamtafuta!! Kwisha kazi!! Ila Kuna watu ni shida aisee!! Daaah! Na story yake naziona movies kabisa!! Ni movie kabisa!! Inasisimua Sana!!

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว +10

    Wanaharibu sifa za waafrica daah 😵😵😵

    • @ashaally6662
      @ashaally6662 4 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli washahribu watasema waafrica ni wezi

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 4 ปีที่แล้ว +1

      Saaaana aise wanaijeria wana tamaa sana na wakishaingia kwenye nchi nyingine lazma waiharibu na wenzao ni wacameroon huku Europe waceroon wamedakwa juzi wanatengeneza euro fake walikuwa wanahonga mpaka €2000 kwa usiku tu mmoja kulala na mwanamke

    • @imanuelsimon9739
      @imanuelsimon9739 4 ปีที่แล้ว +2

      Lakini wanarudisha hela zetu walichukuaga kipindi cha ukoloni

    • @geoffreymwandwani4490
      @geoffreymwandwani4490 4 ปีที่แล้ว

      @@imanuelsimon9739 😂😂lol

    • @ndegejr4218
      @ndegejr4218 4 ปีที่แล้ว

      @@imanuelsimon9739 😆😆😆😆

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 ปีที่แล้ว

    Bravo kwa story mzuri 👏🇹🇿🇬🇷

  • @Kazubassyathyvry89
    @Kazubassyathyvry89 4 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee ana hakili sanaaaa,apewe kaziii tu huyu.

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 4 ปีที่แล้ว +21

    Yani wanaijeria sijuwi wanashida gani wizi ,kuuza madawa ya kulevya tabia mbaya mbaya Yani kwao nikawaida

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanawake wenzangu hata ukipata bwana wa naigeria usikubar akukatie pasport ukifuka huko unambiwa kuuza dawa,za kulevya

  • @yasiniyamamoto8174
    @yasiniyamamoto8174 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni genius kuliko wote Duniani.

  • @jacksonnyange5334
    @jacksonnyange5334 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama umemkabal Jamaa gongalike mwanaume nikujiongeza Bana

  • @safanss9729
    @safanss9729 4 ปีที่แล้ว +2

    😁😁😁😁😁😁Maana mbavu hadizinauma kwakucheka jamaa hadikatoka kitambi kwamali za zulma'duuuu sio p

  • @tamaralyza3280
    @tamaralyza3280 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzungu anaona mwafrica ni Mtu hatari sana.

  • @actionscene4753
    @actionscene4753 4 ปีที่แล้ว +7

    dah jamaa alibugi kujionyesha mitandaoni laiti Kama angelifungua hata kampuni dubai nakuuza petrol na huku anafanya utapeli kimya kimya asingekundulika kirahisi

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndo Maana n'a Sema sns for life
    Juu mm huyu jamaa nimemufahamia tu hapa sns
    Nanakumbua ni baada ya Hamisa kumu wish birthday naye kumujimbu thanks love.
    N'a Chris alitueleza kwamba ni money changer wa hela za abroad n'a kupitia hiyo kazi yake basi amefanikiwa munooo kumbe ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hakika siku za mwizi ni 40 days 2🙌🙌🙌

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 4 ปีที่แล้ว +3

    Niliona hii jana Twitter wanageria wanaongelea hii ishu ..

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 ปีที่แล้ว +25

    Namuonaga uko ista anakubl bata kumbe tapeli🤣🙌🙌 kweli usitamn mali ya mtu mwingine 🙌🙌 yaani utaman mali na maisha ya watu wa insta utakufa maskin 🙌🙌🙌🤣apo kuna watu wanasema ni roll model wake 🤣🤣🤣

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +8

    Pesa uliyoitolea jasho huwezi kuichezea hivi

  • @emillykigira2556
    @emillykigira2556 4 ปีที่แล้ว +9

    Thank you so much for the info. You have explained really well. Keep doing this good work

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว +1

    Bei yake imechangamka 😁😁 sky unajua sana kuandika simulizi bro

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 ปีที่แล้ว +20

    That how nigeria works is in the blood

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +3

    Jasho la mtu halipotea utatapeli ipo siku mungu atakuumbua tu na utaabika vibaya sana aibu tamaa mbaya sana nwisho wake ndo huo

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 4 ปีที่แล้ว +4

    Si ndiyo kazi anayoifanya Nicole wa amonize anajifanya et anauza mpunga na Michele tapeli mkubwa mfatilien mtapata kitu hishu zake a azifanyia maysia na wanaijeria uko wamejaa kibao wanatapeli matilion Ya watu this is true story bro nimekudokeza chukua hiyo

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 4 ปีที่แล้ว +15

    Huyu ana akili nyingi wamtumie kuzuia utapeli wa mitandaoni sio kufungia jela akili kubwa kama hizi..nje unabaki na mazoba 😅

    • @jecohyudah3623
      @jecohyudah3623 4 ปีที่แล้ว

      bonge la point👍

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 4 ปีที่แล้ว

      @@jecohyudah3623 majinga mawili yamekutana yaani na ww unasupport eti bonge la point hivi unaweza kumtumia shetani kufika mbinguni?! Au unafikiri ni yeye pekee yake duniani ndo anajua kutumia computer?!

    • @andrewyusuph987
      @andrewyusuph987 4 ปีที่แล้ว

      Akili gan?ujinga huo...kua mwizi ni akili...na waliomkamata vp?hawana akili au?

  • @moudrickyrashid5295
    @moudrickyrashid5295 4 ปีที่แล้ว

    unahadithia fresh sana yan mpk unataman str isiishe..
    kazi nzuri broo

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 ปีที่แล้ว +2

    Hyu hawatamfunga watampoteza pasipo julikana kafilisi watu sana hyu watamuuwa

  • @kenallday1115
    @kenallday1115 4 ปีที่แล้ว +8

    Hushpuppi...Alikuwa akiishi ndoto za vijana wengi..kumbe alikuwa mwizi..kweli vitu vya ubatili hazikai

    • @mohamedwarsame2354
      @mohamedwarsame2354 4 ปีที่แล้ว

      Na vijana wengi enzi JK walikuwa wana ndoto za uwizi na walikuwa na ndoto za kuibia serikali na wananchi kila kukicha na alipokuja JPM kukataa mirija ya uwizi wakawa wanamtukana Katika mitandao na kigogo2014 ni miongoni waliokatiwa mrija wa uwizi huo asee

    • @exaveryapplerbroker2501
      @exaveryapplerbroker2501 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/channels/hontPobEVBh7hxiACIVP_g.html

  • @josephstephen2047
    @josephstephen2047 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanaijeria wamesoma sana tena sana na ajira ni tatizo kubwa kwao hivyo wengi huishia kuwa matapeli konki

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 4 ปีที่แล้ว +2

    Mpaka habari zako na shea na watu wengi hapa UK

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 4 ปีที่แล้ว +4

    Hushpupii kiukwel nimemfuatilia sana nikijua ni mfanyabiashara mkubwa namm nikataman sana kuwa mfanyabiashara kama yy mkubwa lkn kumbe alikuwa akini Inspire kitofauti tu acha maisha yaendelee nilimuomba mungu sana kwakusema mbona mamb yngu hayaend kama wengne like hushpuppi kumbe ni mwizi daaa usitaman maisha ya mtu kiukwel

  • @tutakusaidiakupatagari8831
    @tutakusaidiakupatagari8831 4 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwaga wa kwanza ku-comment kwenye page yake akanitumia laptop aina ya macbook Air, kumbe ni pesa halamu!!!?

  • @pendooscar9322
    @pendooscar9322 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanaija wanapenda utajili yaan ata kufa wako tayari

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 4 ปีที่แล้ว +5

    Akitoka jela tumchukue aje afundishe kile chuo cha kishimba alichoshauri

  • @kingkiwango1435
    @kingkiwango1435 4 ปีที่แล้ว +2

    Afu unakuta eti ile mijitu ya huku ya tuma hela kwe namba hii nayo inajiona miamba!! Huu ndo utapel sasa

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 4 ปีที่แล้ว +3

    Dahhh duniani kuna watu wanna akili za kipekee kabisa. Ila sijui Kama uyu jamaaa watamuacha hai

  • @ordotempliorientis8211
    @ordotempliorientis8211 4 ปีที่แล้ว

    Nice presentation....thanks

  • @delphinefleurmanirambona8651
    @delphinefleurmanirambona8651 4 ปีที่แล้ว +10

    I ' respect this Country Congrats 🎊 Emirat

  • @siwemasaid2619
    @siwemasaid2619 3 ปีที่แล้ว +1

    Natamaniiiii wangekuja na Tnia kutufichulia matapelii wapo wengi na makundi yao 👊🏻

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 4 ปีที่แล้ว +2

    Hela kama hizi...na matumizi yake yanakuwa yaajabu.Wapambe wake nawapa pole.

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 4 ปีที่แล้ว +5

    Machozi yawatu waliokuwa wanaibiwa kila siku Mungu amewalipia

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamani wanaigeria dubai ni wengi sana kumbe wengine ni matapeli wanaichafua afrika hawa wanaigeria

    • @maryamahmedkhamis1713
      @maryamahmedkhamis1713 4 ปีที่แล้ว

      Watasababisha wa Africa warudishwe makwao kwa mambo yao ya wizi

  • @salumubakari4709
    @salumubakari4709 4 ปีที่แล้ว +3

    yaani wanaijeria na sisi wametuibia vanesa mdee wetu

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 4 ปีที่แล้ว

    Nimewakubali Sns hi Ni muhimu Sana Ahsante

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninavuoihrshimu hii nchi🇦🇪🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Na Hawa wa Nigeria sitakagi mazoea nayo.Atapata adhabu na akitolewa watampiga burn hatoingia tena

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 4 ปีที่แล้ว +1

    Matapeli wanaumiza San nakumbukaa 2016...bci.tu nilpo day haki Askari wananiambia apo ndo nmemuad ety...dah nkmuombaa mungu...hakunitupa...na tupate kipato halali hicho kinatoxhaa....maish mema wanaokula Chao halali...

  • @godfreymahavile4688
    @godfreymahavile4688 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah alafu ndo unaachiwa unaanza upya na umeshazoea
    Kula bata dah! Kweliiii sio pouw jamaa mandinga makaliii duh 😫😫😫😫😫

  • @francisrichard5033
    @francisrichard5033 4 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanaokamatwa kwa makosa kama haya hua wanapewa ajira serikalini especially marekani maana ujuzi wao ni wa hali ya juu, kwaio instead ya kufungwa unaenda kutumikia serikali for lifetime

  • @mocomoja4229
    @mocomoja4229 4 ปีที่แล้ว

    Safi kwa taarifa nzuri

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 ปีที่แล้ว +12

    DUBAI we rukaruka tu’ wanakunyatia kimyakimya ‘ mwisho wa siku WANAKUNYAMATA ndani ya nyumba yako tena wana FULU EVIDENCE....!....huruki...!
    ....KAIKANYAGA HUYO NDIGWA...!

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +1

      Western countries bzote maana Wana data na details za computer kwa kila mtu

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 4 ปีที่แล้ว +1

      #IloveJesus ....Mjomba U.A.E noma’ Kwa sababu hawapuuzi sheria walizojiwekea ‘ afadhali hata huko western Countries kuna uhuru fulani wa kwenye mitandao..!
      U.A.E kuna baadhi ya Sites huangalii ‘ukiingia tu unakuta automatically ‘BLOCKED’ wakati mwingine hata ukiwa na hizi Application za kufungulia mitandao Michafu utahangaika kukonekti hazisomi....!....ukija kwenye usalama wa matukio Ndio kabisaaa ‘ hutoki...!
      Yaani hawa jamaa kuhusu usalama wanataka Sifa’ ...!

    • @ckuugudeh6821
      @ckuugudeh6821 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ismailyusuph740 nchi za waarab Dubai N Qatar wanaongoza Huku Qatar pia sites nyengne huwezi ingia

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani kuna watu hawapendi kufanya kazi ili wachoke😢😢😢😢daaahhh alafu wengine wetu ambao tunaamua kufanya kazi more hrs unapta unaibiwa 😢😢😢😢😢

  • @leahmwakongolo4432
    @leahmwakongolo4432 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow nice to

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 ปีที่แล้ว +2

    SnS mpo vzuri sana jmn😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa nimepata kujuwa kwanini watu Wesi wanauliwa ktk nchi za kigeni. Endeleeni2 kuwauwa.

  • @buluush9741
    @buluush9741 4 ปีที่แล้ว +10

    Nashangaa kuna wapumbavu wana dislike taarifa kama hizi
    😨mahashpapi😨

  • @KEVOSHIZO
    @KEVOSHIZO 4 ปีที่แล้ว +2

    Ningependa kua na akili zake

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 4 ปีที่แล้ว

    Weldon dubai police I like this country

  • @allutacontinua5900
    @allutacontinua5900 2 ปีที่แล้ว

    Unaonyesha vitu mitandaoni na unajua ni vya wizi mungu nifundishe kunyamanza

  • @minyekobondo9307
    @minyekobondo9307 4 ปีที่แล้ว +1

    Marekani itawachukua itumike nao

  • @getmad9908
    @getmad9908 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwanza Mali zote zina chukuliwa na serikali alizo tapeli , no Kwanza Ndo umasikini unanza hapo 😂😂

    • @cesarinebahati1832
      @cesarinebahati1832 4 ปีที่แล้ว +1

      Kila kazi inalipa hayo ndio malipo yake nshahara wa Zambia mauti kilasiku Alie zowe Kula cakula ça moto huwa anafkiria cakula baridi hua sio kitamu hela Ya laana hiyo isio saidia yatima na maskini kaziyao kuonesha Versace na Gucci ubatili ntupu tulikuja bure tutarudi bure heri kuwa na Woga wa Mungu ndio utajiri wa milele

  • @hassanisadiki824
    @hassanisadiki824 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila ktk hizi nchi za kiarabu wanaigeria, waCameron na wapakistani wanaiba sana pesa kwa njia ya mitandao

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 4 ปีที่แล้ว +1

    Madada zetu munaopenda maisha ya hawa watu nanyi mutajipata gerezani

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 4 ปีที่แล้ว +2

    Miaka sita mbona midogo wanautani dubai embu msogezeni bongo afungwe maisha huku ukitembea tu student miaka 30 halaf utapeli mkubwa hiv ety miaka mitatu au sita

  • @maryamkhatau9445
    @maryamkhatau9445 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka uliposema ni TAPELI Tena kwa herufi kubwa😝😝😝 dah maisha ya insta siyo ya kuyatamani Wala kuyaiga Bora tuu uisha maisha ambayo umengiwa khaaa

    • @lipymuscat4779
      @lipymuscat4779 4 ปีที่แล้ว

      mjinga kweli huyu anatapeli. ikisha anatumia pesa kuji brand

    • @mcdanford5389
      @mcdanford5389 4 ปีที่แล้ว

      Asee yaani hawa watu ...wezi sana Kuna mtu katutapeli pesa mtandaoni na bado anatoa vitisho katika group alikuwa kalianzisha .....Hii media TUSAIDIENI watu wametapeliwa pesa za Ada na wengi wao wakiwa ni Wanavyuo .....naomba media hii Initafute

  • @itsjonahfather7941
    @itsjonahfather7941 4 ปีที่แล้ว +3

    Alichokoseaa huyu hushpupi mpaka siku ya 40 amekwenda kuibaa, angetuliaa tu nyumbani aibee kesho yake inaanza tenaa mojaa ikifika 40 unanyutiii huwez kukamatwa🤣🤣🤣

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 4 ปีที่แล้ว +1

    Waarab nao viherehere tu kudadeq tulishapat Scofield wa Africa

  • @fredialfredi202
    @fredialfredi202 4 ปีที่แล้ว +1

    Waafrika tumeendelea kweli du

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +3

    Daah! Sky unaelezea vyema! Wasema magari bei mbaya 😂😂😂😂😂😂

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 ปีที่แล้ว

      Ni kiswahili cha kawaida apa tz

    • @juliaayieta2578
      @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +1

      Veila Onesmo 🤣🤣🤣🤣 nimejifunza kitu leo. Shukran 😘

    • @azizisaidy8553
      @azizisaidy8553 4 ปีที่แล้ว

      @@juliaayieta2578 bei mbaya kwa TZ ni bei kubwa

  • @SefrozaMafuru
    @SefrozaMafuru 4 ปีที่แล้ว

    Nigeria bhana🙄...sijui wana shida gani,sasa huyo ni kwishney babujiiii🙌🙆‍♀️

    • @hildageofrey4816
      @hildageofrey4816 4 ปีที่แล้ว

      Sijui kwa sababu wapo wengi kazi akuna