Hatari! Ukikiuka sheria hizi 18 nchini Korea Kaskazini ni adhabu ya kifo au Maisha Jela

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Makala 360 inakuletea mambo ya kustajabisha kuhusu baadhi ya sheria kali na za ajabu ambazo zipo nchini Korea Kaskazini, sheria hizi pengine hukuzijua na ungetamani kuzifahamu. Tega sikio lako mpaka mwisho, ukizisikia sheria hizi hakika hutatamani kukanyaga korea kaskazini, na pengine unaweza kushukuru kabisa kwamba hukuzaliwa na kuwa raia wa nchi hiyo.
    Ndani ya mipaka ya Korea Kaskazini

ความคิดเห็น • 196

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 ปีที่แล้ว +10

    Insha'Allah ipo siku Mungu atawauliza unyama huyo kuua watu bila hatia

  • @LigandukaOfficia
    @LigandukaOfficia ปีที่แล้ว +6

    TANZANIA tuna amani hata kama Maisha yanatubana ❤️Jah bless brother sky

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว +6

    Dah Allahmdhulilah nashkuru kuwa mkenya

  • @bashirumkopi2638
    @bashirumkopi2638 ปีที่แล้ว +7

    NAKUPENDA NCHI yangu 🇹🇿🇹🇿

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 ปีที่แล้ว +3

    Unasimulia vizuri hongera bro sky unatufanya tuskilize

  • @MONIKAKAVULUGA
    @MONIKAKAVULUGA 9 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaah iyo mzuri iyo Sheria ya Korea kaskazini ingekuwepo na apo nchini kwetu Tanzania Yani nchi ingekuwa na adabu sana

    • @user-ui1qs9yl1n
      @user-ui1qs9yl1n 2 หลายเดือนก่อน

      wewe akili zako hazifanyi kazi

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious ปีที่แล้ว +16

    Mungu Ibariki Tanzania 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน

    Kutoka nairobi nilichelewa kuingalia ihii video . Karibu crown media Fredrick budala❤

  • @tatuhongeranurushaus485
    @tatuhongeranurushaus485 ปีที่แล้ว +3

    Yaaan kwa sheria ya kucheka mi nisingevumilia nahisi ningeuwawa mchana kweupeeee kwa jinsi ninavyopenda kucheka

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz ปีที่แล้ว +7

    Namshukuru sana Mungu kwa kunifanya nizaliwe Tanzania 🇹🇿 🙏 😢

  • @dieudonneniyotwizeye5955
    @dieudonneniyotwizeye5955 ปีที่แล้ว +8

    La!!! Sio inchi hii ni gereza tayari, tuna bahati sisi wenye tulizaliwa inje adhabu mpaka vizazi vitatu jamani...

  • @edwinikhanje5153
    @edwinikhanje5153 ปีที่แล้ว +3

    N sawa tu maana bnadamu tukipewa uhuru sana tunajisahau

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu ปีที่แล้ว +2

    Wangeruhusu Raia kusafiri huyo kiduku angebaki peke yake wallahi maana kumbe huko ni sawa na kuzimu tu

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 ปีที่แล้ว +2

    Hilo Ni gereza sio nchi!

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 ปีที่แล้ว +3

    Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania na nchi ambazo zitakuwarafiki ni 1. Russia,Cuba, Korea kaskazini, Iran na china. Lakini china kunakitu nitaongea nao kama tutakubaliana wakija africa wasitufanye sisi watumwa.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +1

    Dah acha nibaki kwetu😅😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว

    Mbona Wana atar Sana duu uyu Kim mbona anawanyima Uhuru sana

  • @VellonicaClement-lb8fq
    @VellonicaClement-lb8fq ปีที่แล้ว +2

    Nilitamani kuwa mwingizaji wa kolea ila mh nimeghaili😂😂😂😂😂😂

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 ปีที่แล้ว +1

    Hii inchi naipenda sana

  • @jesusezra3678
    @jesusezra3678 ปีที่แล้ว +9

    Hii nchi nilitamani sana kwenda nashukuru kwa hii tarifa

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 ปีที่แล้ว +7

    God bless sns 🙏

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 ปีที่แล้ว +3

    Wallah mimi natakani nikaishikuko nitakuwa naamani ya ubongo wow very good life 🤲🏻🤲🏻💃🏼💃🏼 insha'Allah itakujakwenda huko milele

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 ปีที่แล้ว +4

    Uyu atafrauni anaafadhali mungu saidia

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 ปีที่แล้ว +2

    Izi sheria ni nzuri kuzidi ushoga. Ila wazungu watulewesha upumbafu. Kim ni mwanaume.

  • @labankarani6973
    @labankarani6973 ปีที่แล้ว +1

    Hii nchi aina uhuru wowote

  • @francisjackson6524
    @francisjackson6524 ปีที่แล้ว +4

    Siokilakitu unachoambiwa kuhusu Korea kaskazi nichakweli, vingine vinachochewa na inchi za maghalibi

    • @albert-kkitwenga4889
      @albert-kkitwenga4889 ปีที่แล้ว

      Sio vyote. Jaribu kutafuta hadithi za wazawa wa North Korea waliokimbia nchi yao, utagundua Wana hadithi za kutisha na kuvunja moyo.

    • @Football-cl2hj
      @Football-cl2hj ปีที่แล้ว

      @@albert-kkitwenga4889 ndo ivyo ww CIA ndo wana fanya ivyo soma historian ya North Korea na south korea

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +1

    Kheee apo kwenye adhabu adi kizazi cha 3 jamani mweee ,,, Duh Nyie kwaiyo nisicheke kisa maombolezo mwee ningekua nishakufa 😂😂😂😂🙌🏻

  • @mansourabdul3902
    @mansourabdul3902 ปีที่แล้ว +8

    Ubalozi wao uko wapi ni ka apply visa ya kwenda kwenye hii nchi, nchi imenyooka sana unaweza usiawelewe ila kwa upande wangu nimewaelewa

    • @davidmarik4633
      @davidmarik4633 ปีที่แล้ว +1

      Ukienda na hiyo Ngozi yako utajuwa ujuwi

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 ปีที่แล้ว +1

    Mi na urafi wangu wa Movies za Mbele. Sasa hivi ningekuwa Marehem🤣🤣🤣

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +10

    Hizi Sheria zao Ni nzuli Tena Uwon Watu Wakiandamana Wananchii wake Wapo Pamoja na serkali Yao
    hii Yote hawataki Nchii Yao Kuingililiwa na Mataifa Ya Magharibi

    • @panadomadola3064
      @panadomadola3064 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unaongea usichokijua ata kama ni kuzuiwa wasingiliwe na nchi za magharibi lakini ubanwe hata usicheke !! Unamaana sheria hizo zingewekwa hapa nchni ungezifurahia?!

  • @sudeismohamed716
    @sudeismohamed716 ปีที่แล้ว +1

    Thank god for living in tanzania

  • @sandraechiveraya8570
    @sandraechiveraya8570 ปีที่แล้ว +2

    No freedom of speech, no freedom of movement, no freedom of communication when it comes to foreign countries,,,, weh religion be it Muslim or christian u are not allowed weh,, I choose my country 💯

  • @AnwarySaid-lj2ve
    @AnwarySaid-lj2ve 9 หลายเดือนก่อน +1

    Safi kabisa

  • @habari254
    @habari254 ปีที่แล้ว +3

    Kazi Safi Sana The Sky

  • @highskills5883
    @highskills5883 ปีที่แล้ว

    Hyo inaitwa tii sheria bila shuruti

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 ปีที่แล้ว +2

    Hiyu rais aje Tanzania ataware hata mwaka mmoja watu wanyoke inchi imekuwa ya watu wa hovyo sana

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 ปีที่แล้ว

    Duuuu hapo kwenye kucheka jmniiiiiiiiii ningepewa adhabu dk 0 tu mana ile mtu anatangaza kuanzia leo hamna kucheka mie sasa 👉🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashamsusa7617
    @ashamsusa7617 ปีที่แล้ว +3

    naipenda sana iyo nchi iko vizur sana ya kibabe

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +1

    Hizo sheria nyengine km kunyoa kwa kweli mtihani

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ila dunia hii ina baadhi ya nchi ina sheria zenye masharti ya ajabu ni kichaa tu ndo aweza kuyafanya

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 ปีที่แล้ว +4

    Hao wananchi wanaishi au wanaishiwa

  • @Sadi_Tv
    @Sadi_Tv ปีที่แล้ว +2

    sio kweli,sio sheria zote zlizotajwa ni za kweli.zingine ni propaganda za nchi za magharibi

    • @albert-kkitwenga4889
      @albert-kkitwenga4889 ปีที่แล้ว

      Hapana. Kwa North Korea, yaliyosemwa humu ni kweli kabisa. Tena hapa Kuna baadhi ya taarifa chungu mno za nchi hiyo hazijasimuliwa. Jaribu kutafuta hadithi za wazawa wa North Korea waliokimbia nchi yao. Hadithi zao zinavunja moyo na kusikitisha mno.

    • @kautharsalat6449
      @kautharsalat6449 ปีที่แล้ว +1

      Shukuru mungu amezaliwa nchi ya amani

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 ปีที่แล้ว +1

    Hajafanya vibaya kujuwa kulilinda taifa lake lisipokonyeke yeye ni mzalendo wa kweli mno mungu amsaidie sana

    • @NeemaMwita-g1j
      @NeemaMwita-g1j หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo Wewe unafurahi uwe kama mfugwa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว +1

    Hizi sheria kiduku akifa zitaendelea au...!watafik mbingun hoi Korean kaskzin

  • @ramadhanidaudihaji2174
    @ramadhanidaudihaji2174 ปีที่แล้ว +4

    Hatari Sana daah 🙌🙌🙌

  • @JohnKichiba-yw6eq
    @JohnKichiba-yw6eq ปีที่แล้ว +1

    hiyo nimeipenda sheria ya korea

  • @amehassanrehanirehani7906
    @amehassanrehanirehani7906 ปีที่แล้ว +1

    Yani iyo nchi so ya kuishi inawanyima haki zao wananchi wananchi wanaishi kam bado wapo kweny utumwa wapo kweny ukoloni bado maan hawan uhuru kweny nchi yao na yote anafany hayo kw kumuogopa mmarekani inachekesha

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +2

    Aaaah hawa jamaa nawakubali sana

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +3

    Mimi naona hizo taarifa za kupikwa na vyombo vya magharibi ni za uongo kabisa mwenyewe nimeona walivyotuzushia tanzania kwamba rais alikua gaidi na wakati sisi hatujaona gaidi

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 7 หลายเดือนก่อน

      Toka lini ukamsikia mtu yeyote kajipost anaenda north Korea ,lini wasanii wakubwa dunian ukawasikia wameenda kutumbuiza north Korea , wap kuna baloz za north Korea ,Vip unajua hta wimbo mmoja wa north Korea ,tuoneshe raia wa north Korea kwenye jamii yako, hta walii Tu, tuambie Imani yao ya kuabudu,kila mnorth Korea anaejitokeza hadharan husema mabaya ya nchi yake na sio wanaikingia kifua nchi yao, kabla ya kujua ni propaganda jiulize hya

    • @panadomadola3064
      @panadomadola3064 3 หลายเดือนก่อน

      Kuhusu Korea kz hili ni kweli kabisa,sababu kuna mtanzania aliye wahi kuishi huko anasema kule hakufai hata kidogo, hakuna uhuru kabisa

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 ปีที่แล้ว +1

    Nahisi hizi habari umezipata kwenye vyombo vya wamagharibi watu ambao wana bifu na kim kiduku mimi siwezi kuamini sheria hizo zote zipo

  • @MikeMwaibanje-nw6oq
    @MikeMwaibanje-nw6oq ปีที่แล้ว

    Hilo gereza la sobibo

  • @JosephMroki-gg9nc
    @JosephMroki-gg9nc 3 หลายเดือนก่อน

    Mesheria yote hiyo migumu ya kutesa raia wake ni kuiepuka marekani dah!

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 ปีที่แล้ว +5

    Korea wako sawa nimependa msimamo wao
    Binafsi

    • @ambroceharouna1612
      @ambroceharouna1612 7 หลายเดือนก่อน

      Jina lako death utakua timamu kweli

  • @jaymbawal249
    @jaymbawal249 ปีที่แล้ว

    Iyo amna kuchek ndo nime ipenda 😂🤣🤣

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 5 วันที่ผ่านมา

    Napenda ivo kilamtu atambue wajibu wake

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh,,🤔,, nchi ngumu hataree

  • @user-mq6iy4nh6l
    @user-mq6iy4nh6l หลายเดือนก่อน

    Lakini kwa hili la kupiga marufuku Biblia takatifu kwa wananchi wake ni kukimyima raia wake sio sawa.

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 ปีที่แล้ว

    Apo kwenye bangi lipuka na mibangi yako alafu kifo kikuiteee😂😂😂😂😂😂😂sns kwenye bangi nimecheka sana

  • @JosephMroki-gg9nc
    @JosephMroki-gg9nc 3 หลายเดือนก่อน

    Gereza lanye eneo kubwa kushinda yote duniani ni gereza la korea kaskazini😅😅😅

  • @aishaafricanas7519
    @aishaafricanas7519 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wangu 😪😪😪😪

  • @ellywillisgotora1473
    @ellywillisgotora1473 ปีที่แล้ว

    Ubabe umezidi huko sasa hiyo cio haki kabisa

  • @trillionthamani
    @trillionthamani ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye bangi wamatisha.hivi hatuna ubalozi wao

  • @officialnalapa1527
    @officialnalapa1527 ปีที่แล้ว

    Ahsante mungu kuzaliwa tz 😁😁

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n 2 หลายเดือนก่อน

    alafu kuna washenzi wa likuwawanasema magufuli alikuwa dikteta come on man

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว

    Hahahahaha Hahahahaha serikali iweke sheria kupanga watu wa kuishi Dar

  • @mwalimunaftalirotich6696
    @mwalimunaftalirotich6696 4 หลายเดือนก่อน

    daah! maajabu haya

  • @johnymathew5697
    @johnymathew5697 ปีที่แล้ว

    Kuishi huko ni sawa na utumwa

  • @JosephMroki-gg9nc
    @JosephMroki-gg9nc 3 หลายเดือนก่อน

    Wasira angeshaauliwa mana alisinzia bungeni 😅😅😅

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 3 วันที่ผ่านมา

    Uwongo bhan 😃

  • @fimboezekiel9654
    @fimboezekiel9654 ปีที่แล้ว +1

    Ningekuw nimeshakufa

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe ปีที่แล้ว +1

    Alafu CHADEMA wanasema Tanzania ina ma dictators

  • @sharifunchimbi785
    @sharifunchimbi785 ปีที่แล้ว +2

    nitakua rais siku moja Kim atakuwa rafiki yangu 🤗🤗🤗

    • @suleimankidiavai1889
      @suleimankidiavai1889 ปีที่แล้ว

      🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😉😉😉😉🤔🤔🤔😂😂😂

  • @candy9969
    @candy9969 ปีที่แล้ว

    Bora ni Baki Tanzania

  • @strong8534
    @strong8534 ปีที่แล้ว +6

    I love yo narration bro, Sky. Keep it up

  • @geofreymahally7115
    @geofreymahally7115 ปีที่แล้ว

    Hy Kim anajiona mungu mtu yn nmestabisha ht biblia jmn

  • @azamazam3279
    @azamazam3279 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo raila wetu akekua korea angekua ashauliwa nakusinzia kwake

  • @louangesid
    @louangesid ปีที่แล้ว

    Iyo sheria yakuto kucheka dah😂😂

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 ปีที่แล้ว +2

    Lakin Brother Sky hiki unachokiongea na wewe umekichunguza ama umekicopy sehem nyingine tu unatusimulia kama ulivocopy!?? Maana unaweza kuongea kitu ambacho sio sahihi endapo hujachunguza. Kwann usiende huko Korea kujua ukwel wa mambo.

    • @albert-kkitwenga4889
      @albert-kkitwenga4889 ปีที่แล้ว +1

      It is absolutely true. The situation there is a lot more grim than narrated here. Try commiting to a Google-check about North Korea, it will leave you jaw-gaping with a heavy heart.

    • @worldhappiness1181
      @worldhappiness1181 ปีที่แล้ว

      @@albert-kkitwenga4889 absolutely may be is true, but every country has its own principles to defend its community against western propaganda, North Korea and other countries as Asia, Iran etc become the eye spot from western watchdog, so a single mistake is a chance to dethrone their culture and merely a war victims. Actual you are aware that the main weapon nowdays is media, none were able to escape from western media propaganda. I have witnessed strong leaders been killed due to media propaganda, being named dictators and so forth. For N.Korea its absolutel setted some principles, but its all for sake of defend its own citizen and countr, though I have seen some documentary peoples wore jeans and etc.

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว

      aahh au sio aende ili akaulize waseme jasusi au akacheke sky wetu afe ?

    • @Football-cl2hj
      @Football-cl2hj ปีที่แล้ว

      @@albert-kkitwenga4889 Google ni wagaribi na Google iko against North Korea

  • @kempanjucharles5786
    @kempanjucharles5786 5 หลายเดือนก่อน +1

    niatali kabis

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 ปีที่แล้ว

    sasa hii ni nchi au jehanamu?

  • @premier47
    @premier47 ปีที่แล้ว

    Ndoto yangu ilikuwa ni kwenda kusoma IT lakni sasa duuu

  • @NeemaMwita-g1j
    @NeemaMwita-g1j หลายเดือนก่อน

    Yani nisicheke kwakweli acha niedelee kubaki Tanzania 😂😂😂😂

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว

    Huyu aje atawale Tanzania,,,wala rushwa warushwe kwa simba waliwe

  • @salehegiza3305
    @salehegiza3305 ปีที่แล้ว

    Mbwa wote hao mm ningevunja tu maana najijua nipo vip

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 ปีที่แล้ว +1

    Sky walker

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว +1

    Hii Nchii Ni Zuli Sana Yni Kwa Sheria hii uko Korea Kazikazini Hakuna Mateja Wala Majambazi hakuna Uko Maana Sheria zao Ni very tight

  • @abdallahkwekwete1148
    @abdallahkwekwete1148 ปีที่แล้ว +1

    hiyo ya usingizi ni haki kabisa

  • @dizodi_vituko
    @dizodi_vituko ปีที่แล้ว +2

    hii ndyo nchi ya kuigwa duniani ni mfano wa nchi zetu za kiafrica

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

    Yaan hata MUNGU mwenye anagawa pumz kwa Kla mja wake na haban kufkia huko watalpa kwa hayo kuuwana bla 7bu Za mcng MUNGU NLINDIE NCHI YANGU 2WE NA STARA ILA 2CFKIE HUKO.

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 ปีที่แล้ว

    Apo18pakuvaa jinsi nilikuwa china kuna mtaa nilikuwa wanauza nguo frani nikajiuliza wanavaa laia wawapi🤣

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 ปีที่แล้ว +1

    Kaka sky umesahau sheria moja...raia yoyoye haruhusiwi kunenepa,ukiwa na kitambi unapigwa shaba...kwa hiyo nchi ina fat boy mmoja tu ...na ni mzee wa kiduku...hahahaaaaa

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duh

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว

      Kheee haki uko wabongo wengi tungekua wafu 😂😂😂

    • @catherinekiwelo826
      @catherinekiwelo826 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahhhaahha

  • @Qqambaa
    @Qqambaa ปีที่แล้ว

    Apo kw bangi sawa izo sheria zingine tutavumilia 2 ama aje wazimbiting

  • @constancekarisa1605
    @constancekarisa1605 ปีที่แล้ว +1

    Najivunia kua mkenya huko kenya tunatengeneza hata account fake za naibu waraisi kulagai watu watume pesa tunatukana hata raisi

  • @harleyarvanitis7652
    @harleyarvanitis7652 ปีที่แล้ว

    Jeans 👖. Wacha nihame huko

  • @moshingobo2430
    @moshingobo2430 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa bongo hahhahaa cjui ningebakia na nani aiseee

  • @user-mz4ry1sl8l
    @user-mz4ry1sl8l ปีที่แล้ว

    Hili toto kama mbwa tu.

  • @zanabuhassan4879
    @zanabuhassan4879 ปีที่แล้ว

    Hiyo Si country Iyo ninhell

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 ปีที่แล้ว

    Basi uko wote ni watakatifu mbinguni wataingia kama tu wakimpokea kristo

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu ปีที่แล้ว

    Kunasheria za kipuuzi sana hasa hii ya kunyoa,na kusinzia

    • @JosephMroki-gg9nc
      @JosephMroki-gg9nc 3 หลายเดือนก่อน

      ya kucheka je 😅😅😅 watanzania kibao Sasa hivi tungekuwa marehemu

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 ปีที่แล้ว

    Atr sna.