KIFO cha MAUMIVU cha OTTO WARMBIER Mmarekani aliyeponzwa na WIZI, alichofanyiwa utaiogopa KOREA (N)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

ความคิดเห็น • 142

  • @abdornephotidas3848
    @abdornephotidas3848 ปีที่แล้ว +22

    Ninachojifunza hapa, nchini kama marekani inajali watu wake haijalishii popote walipo duniani...

  • @victorvancharlz9125
    @victorvancharlz9125 ปีที่แล้ว +8

    Unapoenda nchi za watu fuata mashart ya nchi husika. Acha kuleta uhuni na mzaha kwenye nchi za watu kwa kuhisi nchi yako ni bora sana kuliko nchi ulipo

  • @deusraphael2954
    @deusraphael2954 ปีที่แล้ว +13

    Yaan habari inavosimuliwa unalazmika kuisikiliza hata kama haina impact ya moja kwa moja na maisha binafsi. Keep it skywalker

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +6

    Subhannallah, walimpa sumu ya kumuua Pole pole au walimtesa.

  • @shaibumkullu4478
    @shaibumkullu4478 ปีที่แล้ว +16

    Hizi makala nazielewaga sana dadeq🤝

  • @mariamjoseph3530
    @mariamjoseph3530 ปีที่แล้ว +4

    Nipo kwenye basi nainjoy kusikiliza hii sauti ya Mume wa mama Cameroon,,,i love this voice sichoki kuisikiliza

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 ปีที่แล้ว +8

    Napendaga sana simulizi zako.

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +10

    Oooh Jamaaanii he was very young wangemsamee tu😢 Inalilahi Wainailahi Rajeehun. Sky asante 360🔥

    • @erastongussa2334
      @erastongussa2334 ปีที่แล้ว

      young and stupid , hayo ndio matokeo yake. ujuaji mwingi.

  • @cicihammy6976
    @cicihammy6976 ปีที่แล้ว +9

    Hawa wazungu wanapenda sana kuvunja sheria hata nchini mwao! Kwa nchi kama Korea Kaskazini lazima wakupe kibano maana wanakuona kama spy

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 ปีที่แล้ว +6

    Tatizo alilofanya ni kutoa bango kwenye nchi yenye sheria kali la sivyo hayo yote yasingetokea

  • @K25795
    @K25795 ปีที่แล้ว +8

    MAKALA 360 NA SKY NI KIPINDI NUMBER MOJA KWA SASA BONGO BORA SANA YA SIMULIZI ANAONGEA KIIIUFAZWAHA SIO KMA SIMULIZI ZAWENGINE SINAZOJAWA NA UZUSHII BIG UP SANA MWAMBA NAPENDA SNA KWA KAZI UNAYO IFANYA 🔥👏

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 ปีที่แล้ว +7

    360 ni 🔥🔥🔥

  • @petertino-rp4ks
    @petertino-rp4ks ปีที่แล้ว +7

    On top🎉

  • @cleartzboy
    @cleartzboy ปีที่แล้ว +4

    Yaan bundala nataman uwe unatoa hadith kila sekunde na sisi tutasapot brooo

  • @zachariamwita3926
    @zachariamwita3926 ปีที่แล้ว +2

    Alifanya Kama Wanavyo Jichukulia Vitu Hapa AFRICA Otherwise Pole sana Dunia Chungu Sana

  • @Mina.15
    @Mina.15 ปีที่แล้ว +1

    I will never forget this I seen on the NBC 😢😢😢 I were pregnant with my first child.

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 ปีที่แล้ว +5

    Sad indeed; young and curious...alitaka memento au souvenir from North Korea, big miscalculation. Alikua mdogo sana and brilliant, hivyo inakua ngumu kujadiliana na vijana wa umri huo! Atakua ameteswa huko jela na bila hata ya viongozi wa juu kujua.
    Kama meno yalikua yamelegea, basi atakua amepata kipigo cha kuharibu ubongo...very sad indeed, and nothing can be done to NK as it's a nuclear time bomb by itself... 💣
    Dunia inaiogopa sana hiyo nchi sababu hawajali and have nothing to loose. What untimely death 😔 😠 😡

  • @sandromiyad8855
    @sandromiyad8855 ปีที่แล้ว +3

    Nakufwata ana kwa ana kutoka komoro 🇰🇲🇰🇲 big up sn sky

  • @veraisaria
    @veraisaria ปีที่แล้ว +8

    Simulizi na sky ni fire!!

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 ปีที่แล้ว +2

    Asnte kwa makala hii. Post-mortem report, najua 🇺🇸 USA wapo number one, lakini itabidi tuheshim Dr 👨‍⚕️ alifanya post-mortem. ?? Botulinum not discussed!

  • @CollinMixon
    @CollinMixon ปีที่แล้ว +5

    Very Sad😢

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 ปีที่แล้ว +5

    Duh 😢😢😢😢😢 tutulie tu kwenye nchi zetu.

  • @cleartzboy
    @cleartzboy ปีที่แล้ว +2

    Bundala napenda sana ukiwa unahadisia

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo wala sio nchii ya kuisogelea wallahi

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว +6

    Ile nchi inavyotisha kwa masimulizi tu,watu wanapata wapi ujasiri wa kwenda NK????

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +2

    Msimamo wao ni mzuri ndo maana hawapelekewi ujinga na wazungu

  • @peaceking7241
    @peaceking7241 ปีที่แล้ว +3

    iyo nchi mfanowakuigwa

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 ปีที่แล้ว +4

    Daah bango tu limemtoa uhai

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official ปีที่แล้ว +4

    Nchi mbaya sana jamani hii stay inaumiza sana,kama urusi wanavofanya watu ukienda kusoma huko naukawa nahakiri sana lazima wakufanyia mambo mabaya

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna nchi mbaya unachotakiwa ni ufate sheria za nchi husika

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh usichezee Wala chura hawaelewi kitu duh hatar

  • @fatmadamasi6880
    @fatmadamasi6880 ปีที่แล้ว +7

    Nimejifunza kuwa lazima tuwe watu wazuri tuache tamaa asingeiba yasingemkuta pole Yao wazazi inasikitisha

    • @Mina.15
      @Mina.15 ปีที่แล้ว

      Especially inchi za watu

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 ปีที่แล้ว +2

    Kerea Ni nomaa

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +4

    Raia wa Marekani na Korea Kusini ni kama moto kwa nchi Korea Kaskazini

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 ปีที่แล้ว +2

    Ina Uma Sana kama mzazi kweli

  • @johnjulius6619
    @johnjulius6619 ปีที่แล้ว +5

    Korea Kaskazini sio nchi ya kibabe, bali ni nchi inayofuata utaratibu wa sheria waliojiwekea.
    Hatujazoea utaratibu kama huu ndio maana tunashangaa.

    • @sayshabani6350
      @sayshabani6350 ปีที่แล้ว

      Kabisa nchi zote tulitakiw kuishi kw mishingi na sheria za nchi ze2

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd ปีที่แล้ว +3

    North korea forever yeyote yule atakaye vunja sharia lazima ahadhibiwe

  • @martingeorgenzali5614
    @martingeorgenzali5614 ปีที่แล้ว +4

    Naipenda Xana 3600

  • @edithajohn9600
    @edithajohn9600 ปีที่แล้ว +3

    Ila wakorea wanaroho mbaya

    • @ayk20
      @ayk20 2 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana husikii itikadi za kishoga,ndoa za jinsia moja na madawa ya kulevya

  • @ndrwdotts4347
    @ndrwdotts4347 ปีที่แล้ว +1

    Kama umekaa kaa kuvunja sheria usiende north korea

  • @prospermbwambo2265
    @prospermbwambo2265 ปีที่แล้ว +3

    Simuliz nawakubali sana kama navomkubali diamond plutnimz

  • @LevinaMichael-oy8cu
    @LevinaMichael-oy8cu ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh Bora nibaki nyumbani niwe naona magorofa kwenye tv

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 ปีที่แล้ว

      😅😅Kwan unaishi nchi gani? Isiyokuwa na maghorofa,
      Ikienda nchi za watu ni kuwa tu mpole na kushika kilichokupeleka
      Zaidi ya hapo yatakukuta tu

  • @Trys6254
    @Trys6254 ปีที่แล้ว +2

    noma sana aseeee ni fire

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 ปีที่แล้ว

    Nawakubari makala yanu🙏🇹🇿🇬🇷

  • @nibogorabella5804
    @nibogorabella5804 ปีที่แล้ว +1

    Niatari

  • @blackhunter161
    @blackhunter161 ปีที่แล้ว +1

    vp marekani hakurespond kwa lolote lile

    • @jacklinemolleli5238
      @jacklinemolleli5238 ปีที่แล้ว

      Walizuia meli ya korea kaskazin wakaiuza dolla m500. Wakaipeleka kwa wazazi wa otto kama compensation

  • @yusterjohn3296
    @yusterjohn3296 ปีที่แล้ว +2

    Wachina watakuwa walimwekea kitu mwilini ili afe

  • @gseventz4663
    @gseventz4663 ปีที่แล้ว +3

    Wapili leo

  • @simonitolya8029
    @simonitolya8029 5 หลายเดือนก่อน

    No,alifanya kitu kisichotakiwa sabab sio kitu kilichompeleka,alikosea pia

  • @alainkubwimana5061
    @alainkubwimana5061 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana makala haya napenda yawe muda kwamuda

  • @susankitila2898
    @susankitila2898 ปีที่แล้ว +2

    7:09

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว +2

    Aiseee walimnyoosha vibaya mno nilikuepo

  • @missp1814
    @missp1814 ปีที่แล้ว +2

    Duh inasikitisha mno...ila marekani ndo wajifunze kuwa na adabu..pengine alifanya kama mzaha tu ila upande mwingine wanaona kama dharau ukizingatia history za hizo nchi lazima wakushikishe adabu

    • @israelmwasenga9288
      @israelmwasenga9288 ปีที่แล้ว +1

      Itakua alijisahau akahisi north korea kama marekani ambako wana uhuru kupitiliza

  • @aishamatangamatangamatanga1344
    @aishamatangamatangamatanga1344 ปีที่แล้ว +2

    Daaah 😢😢😢

  • @ayshaamour9950
    @ayshaamour9950 ปีที่แล้ว +3

    Huzuni tu😢

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay ปีที่แล้ว +1

    walimpiga sindano huyo ili hasiende simulia kilichomkuta ndani! Husicheze na hawa jamaa wasiokuwa na dini!

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 ปีที่แล้ว +2

    Daah inasikitsha

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 ปีที่แล้ว +8

    Bro unaelezea vizuri mno yaani hata kama unatuongopea basi uongo umesimama wima kama nyeti za tumbili yaani tunakuelewa vizuri sana na tunapata utulivu mno kwenye kukusikiliza…😂

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 ปีที่แล้ว +3

    😢

  • @abdullymajid5073
    @abdullymajid5073 ปีที่แล้ว +3

    Nime penda kwa message yako cyo saw kwa ukatili kama uwi dah

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 ปีที่แล้ว +1

    Fifth comments 🔥🔥🔥

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +2

    Dah😢

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nini watu wanaenda korea kaskazini kwenye sheria kali nchi zenye sheria kali mimi siwezi kwenda wala siwezi kuishi huko

    • @jacquilinenoah949
      @jacquilinenoah949 ปีที่แล้ว +1

      wewee🤣🤣🤣🤣🤣

    • @swalehemusa4546
      @swalehemusa4546 ปีที่แล้ว

      Hutaweza cos waafrica ni watu wa mzaa mzaa kila mahali hadi kwenye mapenz

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 7 หลายเดือนก่อน

    Korea hamuamini mtu hasa mgeni mmarekani ukifanya kosa lazima wakuuwe

  • @modycadabra8721
    @modycadabra8721 ปีที่แล้ว +2

    The sky walker on duty

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 17 วันที่ผ่านมา

    Oto alikoseya kwababu korea watu wanaihogopa yeye kwa nn kachukuwa iyo pictures 🖼️? Na serekali ya Korea walikoseya ju Oto alikiri kosalake !

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +3

    💔💔💔

  • @nadhifahassan3791
    @nadhifahassan3791 ปีที่แล้ว +3

    😢😢😢😢

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 ปีที่แล้ว +2

    Mkuki kwa Nguruwe police wa Kizungu wanawauwa Blacks American kila kukicha na hakuna hatua yeyote zinazochukuliwa

  • @soundmale
    @soundmale 5 หลายเดือนก่อน

    Alijikuta jeuri sana 🧐😁

  • @victormneney1307
    @victormneney1307 ปีที่แล้ว +1

    Hao askari wa NK wamechoka huenda hawali rushwa wala posho
    Ningekuwa NK hapo nikosa kukosoa Afya ya Askari
    Hii nchi inaongozwa na Belzebull
    Kwenye Bible kuna Nebukadrzza sishangai ila ufalme kama huo hau dumu
    cheki Julias kaiser
    mfalme Gogu wa bashan
    Mfalme Nimrod
    Nirou
    Farao nk

  • @luckyhardson18
    @luckyhardson18 ปีที่แล้ว

    Korea usikanyage hata sisismizi......... Huko ndo kwenyewe ndo maana wazungu hawapawezi wanakuja kutuonea sisi huku afrika.

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu ปีที่แล้ว

    Sinto muito nem para ir la nao quero.

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว +1

    duuh😢mung wang

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita ปีที่แล้ว +2

    Nina swali, @sky wewe unaweza kupeleka familia yako kutalii kwenye hiyo nchi? 😂
    Mtazamo wangu ni kwamba demokrasia idumu milele - uwazi na uhuru ndo maisha ❤ na pia muwe mnasikiliza ushauri waswahili wanasema asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Ni huzuni kwakweli ila pengine yote yasingetokea labda angesikiliza ushauri wa US dept state.

  • @LuuKulaya-wi7uj
    @LuuKulaya-wi7uj ปีที่แล้ว

    Nimelia San

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️🙏

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 ปีที่แล้ว +2

    Dogo ujuaji ulimponza kudadadek vijana punguzeni majasho

  • @hamisimlonga6127
    @hamisimlonga6127 11 หลายเดือนก่อน

    kwetu mwizi tunamchoma moto hao walimuhurumia sanaaa

  • @suleimanmselemsuleiman935
    @suleimanmselemsuleiman935 4 หลายเดือนก่อน

    Mwana kulitafuta mwana kulipata.

  • @sulexseif1531
    @sulexseif1531 25 วันที่ผ่านมา

    Wee jamaaa nowma sana wee mtu na nusu

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 6 หลายเดือนก่อน

    Walimchekecha🙄🙄

  • @kelvincharles2247
    @kelvincharles2247 ปีที่แล้ว

    NI US STATES OF DEPARTMENT SYO US STATES DEPARTMENT COME ON MAN

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว

    Sasa Kumbe Alifanya Makosa Akiwa Anajua Shelia Za Nchi Iyo Tena Anatokea Taifa Kubwa Duniani Alistahili Jambo Ilo

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official ปีที่แล้ว +2

    Please sky tunaomba maelezo kidogo ya kifo cha Muigizaji wa Nigeria 🇳🇬 kimetokana nanini make tikitok ndo story lakini mimi huwa nakuamini wewe pekee kuanzia hasubuhi nachungulia kama umetuwekea nakuta bado Please musahada

    • @chainbre275
      @chainbre275 ปีที่แล้ว +1

      Ni mtoto wa muigizaji aliye agaa

  • @mylasadick5189
    @mylasadick5189 ปีที่แล้ว

    Kwaio wafanyakazi wa iyo hotel ni Ma Spy

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd ปีที่แล้ว +2

    Kikawaida ukivunja sharia lazima uhadhibiwe kwahilo nina wapongeza north korea

    • @samirajohn6938
      @samirajohn6938 ปีที่แล้ว

      Acha kupongeza ujinga wewe walichofanya Korea niukiukaji wa haki za binadamu wanatakiwa walipe walicho kifanya

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Alilitafuta mwenyewe

  • @LuuKulaya-wi7uj
    @LuuKulaya-wi7uj ปีที่แล้ว

    Ata nipate pesa mpak nibinuke sitokaa nikanyage iyo nchi aki ,rais wao mwenyew anatisha

  • @issamnada8210
    @issamnada8210 ปีที่แล้ว

    Hao hawataki utan na mmarekani kivyovyote

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤲🏻🤲🏻🤲🏻🙏🏻🙏🏻😔😔

  • @user-gbbentertainment
    @user-gbbentertainment 6 หลายเดือนก่อน

    Mtoto akililia wembe mpatie

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa cio wabaya hawataki nchi yao idharauliwe

  • @zaujatnoah-ro6uj
    @zaujatnoah-ro6uj ปีที่แล้ว

    Mbona sauti yako inakata kata

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 ปีที่แล้ว

    hawa jamaa wana adhabu za kijasusi wanakutesa na vipimo vinashindwa kuthibitisha

  • @dj26number2
    @dj26number2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka bundala msiwe mnakandamiza upande mmojatu kwenye habari !!!!!
    Funzo apo nikueshimu tamaduni na sheria za watu au nchii zawengine....mbona wenzake walirudi salama?
    Yeye uyo oto alizingua akazinguliwa📌🤣🤣
    F**k 🇺🇸

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Hao jamaa sijui wamerogwa nini yaani mtu mmoja tu anawaburuza atakavyo

    • @khadijazungu8627
      @khadijazungu8627 ปีที่แล้ว

      HIVYO USHAONA MAREKANI INAVYOBURUZA RAIA WAKE NA HIO BASI NDIO NCHI SALAMA KWA SASA KWENDA KUISHI MAANA HATA MAMBO YA USHOGA HUTOYAKUTA 😊😊😊 FUNUWA UBONGO

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว

    Propaganda za wazungu kuitangaza vibaya korea kaskazini mbona wapo wengi wazungu wanatembelea ukikiuka sheria utaazibiwa kimujibu wa sheria

  • @johnhanga-dp9ck
    @johnhanga-dp9ck ปีที่แล้ว +2

    Tena akakiri makosa kvp?alizingua sana

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 ปีที่แล้ว +5

    Really? ndo maana hawa watu wanatuona Africa kama choo, hivi hatuna habari kama hizi africa kweli? Msinitukane, Tuna mabilioni Yamepotea kutoka kwenye taarifa ya CAG, Kweli channels zina muda wa Kupoteza kujadili wengine zaidi ya kujadili taarifa ya CAG? KWELI PUMBA SANA WAANDISHI WETU

    • @rahmaidd1246
      @rahmaidd1246 ปีที่แล้ว +2

      Andaa Chanel yako uongelee maswala hayo usiwapangie watu cha kuzungumza ktk chanel yao kama huwez unsubscribe

    • @mikemutabuzi3665
      @mikemutabuzi3665 ปีที่แล้ว

      @@rahmaidd1246 Ndo maana mnabakia kufuata mkumbo tu, khaaa kweli kazi tunayo kwa mijitu kama nyie

    • @nawandafamito500
      @nawandafamito500 ปีที่แล้ว

      Nenda CHANEL TEN, au ITV, hizo ndio Chanel za hayo mambo ya selikali na siasa hapa sio pahali Pake hayo mambo yako, alafu pia jifunze kua na utu heshima na hekima, hizo coments zako, zinavunja heshima kwa, watu wenye umri mkubwa zaidi ya wazee wako na, wenye hadhi ya ubinaadamu kuliko, huko kwenye UKOO wako, ndugu yetu heshima na hekima haviuzwi dukani, ni bure kabisaa, ila ÁFRICA wengi wetu hivi vitu kwenye família yani wazazi, hisia zangu zinaniambia , kwenye família yako mmekosa hivi vitu, acha ujinga hii, SNS ya, MTU binafsi, sio ya selikali na sio ya siasa, tumia 🧠 kufikiri.

    • @bakarinangulukuta1507
      @bakarinangulukuta1507 ปีที่แล้ว

      Brother, tunajua una uchungu na yaliyotajwa kwenye ripot ya CAG lakin hilo halitengui umuhimu wa kujifunza mambo mengine yanayoendelea ulimwenguni. Masimulizi haya ni funzo kubwa kwetu kwa sb kuna nyakati ambazo askari wetu wanapelekwa Korea kupata mafunzo hivyo itawasaidia sana namna ya kuishi huko

    • @erycah
      @erycah ปีที่แล้ว

      Wataongelea mambo ya CAG Kila siku? Kila mwandishi TH-cam ana uhuru wakupost anachotaka yeye. Wacha tunaopenda content za sky tumsikilize sky wewe katafute mwandishi anaongelea mambo unayoyataka na sio kuwatukana wenzako. Au la fungua wewe Chanel yako uongelee hayo mambo hakuna anayokuzua

  • @geraldmbiyu6059
    @geraldmbiyu6059 ปีที่แล้ว +1

    Sio utawala wa kibabe