VITU VYA KUOKOTA MAREKANI (USA) UNAWEZA UZA MTUMBNA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ส.ค. 2023
  • #diaspora #hukuyues #marekani #congo #congolesewedding #mbosso #funny
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 39

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duh! Huko Mbona Kamseleleko Kaka 😅😅😅😅 Tatizo Visa Tu! Ningekuja Kuokota Maisha Yangu Yote Na Kuleta Bongo 😂😂😂😂

  • @Wanaharakati
    @Wanaharakati 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duhhhhh mpya kabixa anga zetu huku aisee
    @ACTOR BONGO MOVIE TZ @

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza mie leo jmn naomben like ❤ kutoka UAE

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 11 หลายเดือนก่อน

    Thx so much bro unatupa material mzr sn na mungu Akubariki

  • @user-bz4ci3pp8p
    @user-bz4ci3pp8p 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona hawatupi magari

  • @streetgenious4511
    @streetgenious4511 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huko ni kutafuta hela ya kulipia kodi ya chumba na hela ya chakulatuu maana Matandiko kama yote mafriji

  • @seifkulwa3346
    @seifkulwa3346 9 หลายเดือนก่อน +1

    Maisha Ni nguvu(energy), hivyo Basi wazungu wanaamini kitu kikitumika maanake kimejaa nguvu(energy) mbaya, ambayo inazuia flowing ya nguvu mpya na mafanikio ndo maana hivyo vilivyochakaa wanatoa ili kuleta neema nyingine ndani ya nyumba!

  • @Happy-rm7gs
    @Happy-rm7gs 7 หลายเดือนก่อน

    Nakuamini.❤

  • @Jerryatz
    @Jerryatz 11 หลายเดือนก่อน

    unyama sana

  • @RehemaMwinyi-xs9bx
    @RehemaMwinyi-xs9bx หลายเดือนก่อน

    Naomba mawasiliano yako naomba please

  • @GabrielSoromon
    @GabrielSoromon 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali sana kaka

  • @chidy3067
    @chidy3067 10 หลายเดือนก่อน

    Kwann hamtaki kutupa connection za kuja huko mambele

  • @chatandaagain5526
    @chatandaagain5526 11 หลายเดือนก่อน

    Noma

  • @dinotelevision_tz
    @dinotelevision_tz 11 หลายเดือนก่อน +1

    @juniortalent unaupiga mwingi🙌

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa swali la kujiuliza wale wanosafirisha mizigo ya used,inakuwaje kwenye kusafirisha

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 4 หลายเดือนก่อน

    Simchezo YAANI hadi raha

  • @jacksonpetro495
    @jacksonpetro495 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo ni jimbo gani au sehemu gani

  • @kennedymaster2000
    @kennedymaster2000 3 หลายเดือนก่อน

    Navichukua nikavidoneti, acha usenge peleka gheto fala

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 5 หลายเดือนก่อน

    Bro upo jimbo gani na mji gani?

  • @OfficialMsauzi
    @OfficialMsauzi 9 หลายเดือนก่อน

    Connection kaka nipo tiari

  • @bishootv2986
    @bishootv2986 11 หลายเดือนก่อน +1

    Blood ❤😊

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  11 หลายเดือนก่อน +2

      Shukrani

    • @bishootv2986
      @bishootv2986 11 หลายเดือนก่อน

      Me na wew tena brouh♥️

  • @BlaiseNdayongeje-wk6uj
    @BlaiseNdayongeje-wk6uj 8 หลายเดือนก่อน

    Ni mutaa gani huyo????

    • @MwajumaOmar-sg1ob
      @MwajumaOmar-sg1ob 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa rafikiangu unaniangusha kwenye kuandika mrundi mwenzangu sema mtaa gani huo nawala si huyo😅 mtaa sio mutaa😢

  • @sylvesterfrancis6826
    @sylvesterfrancis6826 3 หลายเดือนก่อน

    Hawatupi magari? yaliyotumika

  • @chopstarkonga5250
    @chopstarkonga5250 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mali sana

  • @EmanuelNicholaus-vn9gl
    @EmanuelNicholaus-vn9gl 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka upo State gani?