Kazi ya dollar $250 kila siku masaa 8 kwa siku kwa wiki Dollar $1500 kwa mwezi Dollar $6000

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 302

  • @Summerbtz
    @Summerbtz ปีที่แล้ว +47

    Kuna baadhi ya wabongo ambao wapi USA wanatupotosha na kututisha kuwa USA hakuna fursa za kutosha mpaka uwe umesoma sana lakini kaka nakuona upo tofauti sana na wengine Mungu azidi kukubariki sana

    • @Formula_Tz
      @Formula_Tz ปีที่แล้ว +3

      Kweli kbsa wabongo tuna gubu san yaaan huwa wanatutish sana mpaka huwe n mavyet lkn kwa huyo bro nimeKubar hana rohosafi

    • @mohswlh5087
      @mohswlh5087 ปีที่แล้ว +3

      Safi sana mzee baba nimefurah sana Allah akuongoze inakuwa vp kwa mtu anaetaka kuja U.S unaeza nipatia support kwa hii

    • @celifpower4993
      @celifpower4993 ปีที่แล้ว +2

      @@Formula_Tz hakuna kitu uko ww tulia zako bongo

    • @lydiajohn6865
      @lydiajohn6865 ปีที่แล้ว

      Kaka naomba e Mali yako. Mungu akutunze sana

    • @emmanuelmsemo3545
      @emmanuelmsemo3545 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Formula_Tz.salute man

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 ปีที่แล้ว +3

    Bro wewe mtanzania watofaut sn tofauti nawengine wakija huko hawataki wenzao waje huko kujitafutia. Bro God bless you

  • @nurdinblesh3115
    @nurdinblesh3115 ปีที่แล้ว +7

    Nakubali sn bro unatupa madini ambayo wengine wanatuvunja moyo mwenyez mungu akusimamie kwenye arakat zako na uzidi kutupambania na sisi wenye kutamani kusafili🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 หลายเดือนก่อน

    Dula nakukubali Sana ndugu,,Kila la her katika upambanaji wako,,unaonekana unaupendo Sana na huna roho mbaya kabisa na unatamani Kila mtu afanikiwe,,safi kaka nitapambna namimi nataka nije huko inshallah

  • @lytwilliam7050
    @lytwilliam7050 ปีที่แล้ว +6

    keep up a good work dula!
    tupo pamoja!

  • @user-zb5be9kc9b
    @user-zb5be9kc9b 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana uko direct saana nooo konakona barikiwa saana

  • @Summerbtz
    @Summerbtz ปีที่แล้ว +3

    Thanks very much for the explanation bro God bless you

  • @kasaba7
    @kasaba7 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki uzid kufanikiwa broo..tunazid pambana

  • @tonytony329
    @tonytony329 ปีที่แล้ว +2

    Kaka D✨ wewe ni mtu na nusu aisee kwa maombi yangu Mungu akulinde sana

  • @mskJr1993.
    @mskJr1993. ปีที่แล้ว +2

    Keep it up Bro

  • @mcbclaxccode005
    @mcbclaxccode005 ปีที่แล้ว +3

    Kaka tuzidi kukuombea uweze kutusaidia na sisis tusiokua na uwezao wakupata pesa ya visa kwa haraka tusaidie kuweza kupata njia rahis ya kutusaidia watuwengi tuna hasira na maisha ila kazi nikupata pesa yakuweza kufika huko mana kibongo bongo nazani unaelewa daha comment imekua kubwa samahani 2ko p1 Kaka mpaka tufike malengo allah akufanyie wepes upate njia bora tufike marengo

  • @farajanyaliswacki9754
    @farajanyaliswacki9754 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni mtu wa Mungu ndugu, endelea hivyo Mungu atakuinua zaidi.

  • @augustineswai5174
    @augustineswai5174 ปีที่แล้ว +3

    good job kk we shall be there....

  • @kbdesgners
    @kbdesgners ปีที่แล้ว +1

    Yea yea bro keep push it bro nakubal San see u to the top kak
    Nakubl San Nam niponjian kak bless up bro

  • @davidmachange2056
    @davidmachange2056 10 หลายเดือนก่อน +1

    Appreciate you so much brother, so much to learn from you mkuu, God Almighty blesses you abundantly.

  • @CarolineMushi-e3s
    @CarolineMushi-e3s 16 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kaka je na mm mwenye miaka 44naweza kuja kufanya huko kazi na pia kwa mm sina mtaji wwt unanisaidiaje

  • @williamelias7328
    @williamelias7328 ปีที่แล้ว +1

    Bro ur Good at all,hongera kwa mapambano

  • @jackmalipo4774
    @jackmalipo4774 ปีที่แล้ว +1

    Kazi kazi

  • @husseinhashimu1590
    @husseinhashimu1590 ปีที่แล้ว

    Big up

  • @patrickfumbo9372
    @patrickfumbo9372 10 หลายเดือนก่อน

    Inspired 🎉

  • @samsont.albini5998
    @samsont.albini5998 ปีที่แล้ว

    Nice bro stay blessed

  • @Rahma94Oman-cn5qo
    @Rahma94Oman-cn5qo 22 วันที่ผ่านมา

    Hongera kaka kwa kupambana ivi ukitaka kuja lazima uwe sh ngap hadi kufika huko

  • @nurupaje9041
    @nurupaje9041 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana ❤❤

  • @hassanignoretemba2999
    @hassanignoretemba2999 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali bro...am on my way soon 🏃🙏

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 ปีที่แล้ว +1

    I appreciate brother

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 ปีที่แล้ว +1

    Tupo pamoja kaka piga kaz mzee D

  • @peterdominic8527
    @peterdominic8527 ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka Kwa unachokifanya

  • @marcelpaulbiste5268
    @marcelpaulbiste5268 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde brother

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 ปีที่แล้ว +2

    Powa kaka unaroho nzuri kunengini vitu kama hivyo hawasemi mungu akubariki

    • @user-ep8bh9kq7b
      @user-ep8bh9kq7b 11 หลายเดือนก่อน

      Vip uko umeme aukati kati,?

  • @harriethkalindili7980
    @harriethkalindili7980 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @delphinnkoma5757
    @delphinnkoma5757 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro

  • @ndihokubwayoherman2473
    @ndihokubwayoherman2473 7 หลายเดือนก่อน

    Big up boss

  • @omamomanhelena9433
    @omamomanhelena9433 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aku bariki Sana kaka tupe njia na sisi jinsi ya kufika paspot ipo

  • @yusufumwakyambiki8062
    @yusufumwakyambiki8062 ปีที่แล้ว

    Nakubari bloo

  • @omarmohd4683
    @omarmohd4683 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki broo

  • @ndihokubwayoherman2473
    @ndihokubwayoherman2473 7 หลายเดือนก่อน

    Watching from Burundi 🇧🇮 boss kazi ni kazi boss

  • @frankub8107
    @frankub8107 ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka

  • @zakariauzia2293
    @zakariauzia2293 ปีที่แล้ว

    Asant sanaa mwanetu daa

  • @kilutu
    @kilutu ปีที่แล้ว

    Nakubli broo

  • @user-vk6qx3px8w
    @user-vk6qx3px8w 8 หลายเดือนก่อน

    Nakubali kaka

  • @elidaimaboniphace-im9xt
    @elidaimaboniphace-im9xt ปีที่แล้ว

    Nimependa Dnyota...toka juzi natazama hizi Video kwa kweli ni Shule kubwa nzuri na adhimu sana.

  • @obedshadrack896
    @obedshadrack896 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa mwana kwetu, tunashukuru bro,

  • @morogoromedia
    @morogoromedia ปีที่แล้ว

    Sanaaa

  • @amadiyamadiy475
    @amadiyamadiy475 ปีที่แล้ว

    Thx kk kwailo na vp kuusu sisi huk tuliop burundi fursa kam hiy twaweza kuipat maan napaitaj san kk

  • @duncanlochukudi8111
    @duncanlochukudi8111 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka ,mimi ni mkenya nina visa ya miaka mitano ya kutalii, napanga jinsi vile nitakuja.

  • @IsmailSabu-lb9tq
    @IsmailSabu-lb9tq ปีที่แล้ว

    Naipenda iyo

  • @user-mp8rd5gm9o
    @user-mp8rd5gm9o 11 หลายเดือนก่อน

    Hakika kaka nakukubali sana one nitakuona najipanga tu

  • @mihamboissa8195
    @mihamboissa8195 ปีที่แล้ว +7

    Namependa ushauri wako actually upo tofauti sana na wabongo wengine huwa wanasema maisha ya ulaya in magumu sana bora ubaki bongo kwan ulaya maisha ni tabu bro be blessed.. Unaelimisha

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  ปีที่แล้ว +5

      Sawa pamoja

    • @idrisshija6263
      @idrisshija6263 ปีที่แล้ว +1

      VIP broo

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  ปีที่แล้ว

      @@alphanabdalha3147 +15167783253 WhatsApp

    • @alphanabdalha3147
      @alphanabdalha3147 ปีที่แล้ว

      @@dnyotausa6154 mbona aingii whasp au kina namba zimebak

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  ปีที่แล้ว +2

      @@alphanabdalha3147 +15167783253 save kwenye whatsapp app

  • @barakaemmanuel8871
    @barakaemmanuel8871 7 หลายเดือนก่อน

    Dullah Mimi ni mengi sana najifunza kutoka kwako. Ila naamini soon tutaona live ❤big up mwamba

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 ปีที่แล้ว +2

    My self....I appreciate so much...pamoja Sana

  • @user-fn5zt6tm1h
    @user-fn5zt6tm1h 5 หลายเดือนก่อน

    Safi mkuu

  • @edrianarichard6610
    @edrianarichard6610 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwamaelezo nimefurai nikija ntakutafuta❤

  • @BakariFarijala-bd3jc
    @BakariFarijala-bd3jc ปีที่แล้ว

    dah umeni ni inspire sana mzee Dullah natamani sana fika huko mzee

    • @zakenbrothers
      @zakenbrothers 7 หลายเดือนก่อน

      Unaweza ukapata visa ukiapply

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja sana mnyama tuko pamoja tupe link yako tuongee nitakusapoti sana

  • @eliakitungo8642
    @eliakitungo8642 ปีที่แล้ว +1

    Natamani tuongee brother! Sijui muda gani unaweza kunipendelea nikapata mawili matatu kutoka kwako.

    • @abcccc2665
      @abcccc2665 ปีที่แล้ว

      Naomba namba kaka

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 ปีที่แล้ว +3

    Bro imechukua muda gani kufikia level zako hizo?

  • @suleimanhassan1413
    @suleimanhassan1413 ปีที่แล้ว

    @Dnyota usa hiyo kazi unayoifanya nikazi gani?

  • @ramadhaniamora7493
    @ramadhaniamora7493 ปีที่แล้ว +1

    tuko pamoja

  • @johnsilomba902
    @johnsilomba902 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo Bike Inatumia Umeme ?

  • @user-xb7hq6cb2r
    @user-xb7hq6cb2r ปีที่แล้ว

    Kiongozi salute

  • @muhamedsaid9545
    @muhamedsaid9545 ปีที่แล้ว

    Hi tupo pamoja

  • @suleimanhassan1413
    @suleimanhassan1413 ปีที่แล้ว

    @Dnyotausa hiyo kazi unayoifanya nikazi gani?

  • @hamisianafi-hc5gd
    @hamisianafi-hc5gd ปีที่แล้ว +2

    Broo napenda unachokifanya nataman kua kamaww nataman kufikahapo ilauwezonimdogo nikotayar htamshahara wamwezi uwewako broo

  • @danvincentotieno1
    @danvincentotieno1 ปีที่แล้ว

    Nionyeshe njia

  • @saidizuber8831
    @saidizuber8831 ปีที่แล้ว +3

    pambana kaka natamani sana nami nije Ku pambana ttzo pesa ndio Najitahidi kujichanga

    • @zakenbrothers
      @zakenbrothers 7 หลายเดือนก่อน

      Unaweza ukafanikisha hilo Ila ukiwa unaendelea kutafuta hela jaribu kuapply na visa

  • @siasia5469
    @siasia5469 ปีที่แล้ว +2

    💪Nimekukubali D.Star❤️👌
    "Kazi Kazi"

  • @allybulushi624
    @allybulushi624 ปีที่แล้ว

    Tutakutowa dullah

  • @kitalambobabloja8742
    @kitalambobabloja8742 ปีที่แล้ว

    Wa mwewe da!!!one day

  • @leksonsanza5184
    @leksonsanza5184 ปีที่แล้ว +3

    Nipatie njia nzuri yakuja USA

    • @zakenbrothers
      @zakenbrothers 7 หลายเดือนก่อน

      Unaweza kutafuta visa wanayotoa kila mwaka kwa mtu yeyote

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@zakenbrotherswee hio utakesha Kam unapesa wpo watu

  • @user-zd8bf5me7s
    @user-zd8bf5me7s 2 หลายเดือนก่อน

    Saf sana jamaa

  • @wazirjuma7149
    @wazirjuma7149 ปีที่แล้ว +1

    Ndungu kibongi tunasena mpaka huku ni shilingi ngapi

  • @irtshisekedikhamis5648
    @irtshisekedikhamis5648 ปีที่แล้ว

    Thx

  • @onesmoaugustino2765
    @onesmoaugustino2765 ปีที่แล้ว

    Kabisa mkali one day yes mky

  • @jacksonwaTanzania
    @jacksonwaTanzania ปีที่แล้ว

    kweri broo dinyota i hope i one day nifike huko mkuu nin passport tayri

  • @edrianarichard6610
    @edrianarichard6610 3 หลายเดือนก่อน

    Je kama ujui kuendesha bisicle😂

  • @user-yf7fq7gg7q
    @user-yf7fq7gg7q 9 หลายเดือนก่อน

    Hi rafiki

  • @JeniferJunior-qi3le
    @JeniferJunior-qi3le 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hello am jenifer,jaman nisaidie na mm nipate kaz ata ya kuchuma maepo

    • @zakenbrothers
      @zakenbrothers 7 หลายเดือนก่อน

      Apply visa upate chances utafanya kaz yoyote utakayo

  • @michaelipius2660
    @michaelipius2660 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @enelykamela4524
    @enelykamela4524 ปีที่แล้ว

    I'm in my way to come soon I will be in USA

  • @user-lp3kw2vn8f
    @user-lp3kw2vn8f 29 วันที่ผ่านมา

    dula ninapo angalia video zako kweli zinanitia moyo na me naimani nitapambana nitafika

  • @sethadam614
    @sethadam614 11 หลายเดือนก่อน

    Tupe connection mkuu

  • @kassimkhalid1185
    @kassimkhalid1185 ปีที่แล้ว +1

    KAKA NIMEISHI MAREKANI USIFANANISHE NA MAISHA YA CANADA HAPA CANADA MAISHA MAZURI SANA SEREKALI YA CANADA INAWATHAMINI SANA RAIYA WAO..CANADA CANADA MATIBABU BURE DAWA BURE...MAREKANI HAMNA CHA BURE .
    CANADA KAZI KIBAO KULIKO MAREKANI.

    • @hanswan1
      @hanswan1 2 หลายเดือนก่อน

      Na mimi nimeishi kote Canada wanalipaje kwa kazi???

  • @abdullahmhina2207
    @abdullahmhina2207 6 หลายเดือนก่อน

    M.mungu akubariki sn ktk kz zako na tunakushukuru kwa kutufungua km vp tupe number yako

  • @user-zw6er4zk4w
    @user-zw6er4zk4w ปีที่แล้ว

    Namm nataka kazi

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya delivery bro inaezachange visit visa to work permit au kunaendaje ebu nipe idea kidogo

  • @matsonbitabo6930
    @matsonbitabo6930 ปีที่แล้ว

    Hello,,kwa kweli nimekukubari na una tu inspire sana,,,nataka bint yangu akimaliza form six apate chuo uko sjuhi tunafanyaje bro?

  • @erigoals3323
    @erigoals3323 ปีที่แล้ว

    mkuu upo vzur....tushikane mkono binafsi najiweza kwa nauli na hela ya kula wiki mbili tatu huku nikipambania mchongo...mahitaji maongez zaid toka kwako

    • @zakenbrothers
      @zakenbrothers 7 หลายเดือนก่อน

      Apply visa unaweza pata chance uende pia hata na familia yako

  • @MasolaFarm
    @MasolaFarm ปีที่แล้ว

    Kweri kaka vip Furusa yakujaza uko

  • @aliyahmedahmed590
    @aliyahmedahmed590 ปีที่แล้ว

    Wewe unajisifu unaingiza dollar 250 kwa siku halafu unataka watu wakuchangie ....wacha Utapeli watu wapo wanaishi Pia na maisha wanayajua vizuri...

  • @user-vx7cg8vt9o
    @user-vx7cg8vt9o 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka dula tuko pamoja mm nipo Dubai nazichanga nije huko naitwa Denis abias

  • @user-gm2yn7ib1t
    @user-gm2yn7ib1t 10 หลายเดือนก่อน

    Sisi tupo tayari kuja ila hio milioni9 ya viza bongo ni tatizo la ukoo mzima😂😂

  • @aminadomisiano122
    @aminadomisiano122 ปีที่แล้ว

    Kaka naomba uniconect aisee piah nisaidie jinsi gani ya kupata visa coz nina plan ya kuja kufanya kazi USA please help me

    • @zakenbrothers
      @zakenbrothers 7 หลายเดือนก่อน

      Kuna njia unaweza kupata visa

  • @allybulushi624
    @allybulushi624 ปีที่แล้ว

    Ishaala Muungu atakulipa Mm hata ningiya tu lazima ni kutowe cpo kama wengine mm

  • @justiniankyaishozy2444
    @justiniankyaishozy2444 ปีที่แล้ว

    Tunakupataje kiongozi

  • @ZainabAbdurlhaman
    @ZainabAbdurlhaman 10 หลายเดือนก่อน

    Hogera kaka kwa kupambana

  • @jomwenomkal
    @jomwenomkal ปีที่แล้ว

    Mwamba wewe ni hatari saaaanaaaa nashukuru saaaanaaaa mkuu kutufungua

  • @zengomwiru6315
    @zengomwiru6315 ปีที่แล้ว +1

    M 6 za viza ni mtaji kwa watanzania lakini pia ni ngumu SANA kuipata.

  • @NicasAsyakisye
    @NicasAsyakisye 4 หลายเดือนก่อน

    Nishanunua baiskeli yangu napiga zoezi, huku natafuta 9mill.

  • @nahimanawanjani9865
    @nahimanawanjani9865 ปีที่แล้ว

    Vipi wazima

  • @AdelaidaNyota-lz5ty
    @AdelaidaNyota-lz5ty 15 วันที่ผ่านมา

    Kaka naomba unitafutie kazi ya dani pia mimi ni fundi cherehani tafathali naomba namba yako nisaidie mikazi ya kiwandani ,mimi nakubari kuwa mtumwa