SAFARI YANGU YA MAREKANI NI KAMA MOVIE YA KUTISHA NILISAFISHA MAVI WAZEE NA KUWATUNZA KMA WATOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @Justine_Tz1
    @Justine_Tz1 6 หลายเดือนก่อน +4

    Black mamba umetish respect bro ume ni inspire san

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  6 หลายเดือนก่อน +1

      Shukrsn sana

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sn ma broo nyote kwa kutupa update km hizii na mungu awabariki sana munatufunza mmb mengi sana kiukweli

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dar hyuu mwamba namwona sana TikTok nilijua mtu wa njombe hom boy banaa big up sana vipaji

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  6 หลายเดือนก่อน +1

      Pamoja sana

  • @hericharles3604
    @hericharles3604 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi ya meli Passport na discharge book huwa zinahifadhiwa na Captain kwenye safe malumu huo ndio utaratibu

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnachanganya story mara ulizaliwa shinyanga mara ulizaliwa dar duuuhhhhh hiii ni Tz 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 njooo marekani or nipo hapa marekani duuuuhhh story ya kutengeneza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SamwelJoseph-yk3cw
    @SamwelJoseph-yk3cw 3 หลายเดือนก่อน

    Brother tu naomba utusaidie hiyo link ya cruise ship

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 หลายเดือนก่อน

    Story ya kutengeneza sana

  • @issacalley5145
    @issacalley5145 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubar sana kaka one ❤

  • @emachrissdalah8602
    @emachrissdalah8602 3 หลายเดือนก่อน

    Bro tunaomba tusaidie link ya hizo fursa za meli, cruisership

  • @Mohammedmnyamani5
    @Mohammedmnyamani5 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nime pita Gulf nime piga kazi dubai na saud arabia na Iran nil taka anipe conection za uko u.s.a katika meli

    • @MAISHAYACROATIA
      @MAISHAYACROATIA 5 หลายเดือนก่อน

      Iyo si kama hotel Cv yake yani kama baharia flani hv

    • @silvasekamba9549
      @silvasekamba9549 3 หลายเดือนก่อน

      oya mzee, mambo vp? hapo gulf kazi za meli vp?

    • @InformationMarketer007
      @InformationMarketer007 หลายเดือนก่อน

      Je umeshafanya maombi ya marekani au bado ?

  • @sabriwayee4180
    @sabriwayee4180 5 หลายเดือนก่อน

    Aiseee interview ni tamu sana wakuuu😅🔥🔥🔥, changamoto ni mitambo tuuh Leo kidgo..ilaa fresh kinoma.. mwanangu black Singapore 😂😂, Daah ety sutii😂

  • @Ally-n2o
    @Ally-n2o 5 หลายเดือนก่อน

    Daaah nakubar sana

  • @Mohammedmnyamani5
    @Mohammedmnyamani5 5 หลายเดือนก่อน

    Oi broo nampataje uyo mwana anipe conection ya ubaharia

  • @Johnsonkayila
    @Johnsonkayila 5 หลายเดือนก่อน

    Jamaa namfahamu sana, siku nyingi simuoni kumbe yuko huku dar?

  • @allanshira7590
    @allanshira7590 4 หลายเดือนก่อน

    Black mamba blood brother

  • @Ally-n2o
    @Ally-n2o 5 หลายเดือนก่อน

    Bro sorry naomba m2 meenye jina kamili la veda aniandikie apa kwenye coment m nimeshidwa kulipata

  • @chengeson
    @chengeson 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jiataidi Sana kua unamuacha MTU aongee usiweke ujuaji Sana ila muache aongee ndomana live zako watu awazifatilii mapepe Ni mengi

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  6 หลายเดือนก่อน +2

      Duh Sawa lakn hi sio simulizi ni interview mzee

    • @gidesbalunguza7152
      @gidesbalunguza7152 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwelii aache ujuaje mtu alitaja mahali na yye ansema napajua then anaanza kuulza unpjua sehem fulan,?? Wanaacha mada husika tena😂😂wanamlza bando letu😅

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  5 หลายเดือนก่อน +2

      Sawa😂😂

    • @vipajitv1799
      @vipajitv1799  5 หลายเดือนก่อน +2

      Tatzo kitu anachoelezea kuhusu marekani nina Experian be nacho pia

    • @chengeson
      @chengeson 5 หลายเดือนก่อน

      @@gidesbalunguza7152 ya kwasababu MTU anafunguka ili watu wajifunze inaitaji kumuacha MTU afunguke akitaja bagamoyo napajua mala pale nilikula ugali mala anazoom sauti ina potea alafu ana studio nzuri ya live ambayo akilekebisha TH-cam yake ingekua kati ya moja zinazo fanya poa east Africa Kwa kuwasanua watu akiacha mapepe interview zitakua poa

  • @ramamakelo3780
    @ramamakelo3780 3 หลายเดือนก่อน

    Maswali mengi saana mpaka unakata stimu ya interview

  • @ayubuzayumba
    @ayubuzayumba 5 หลายเดือนก่อน

    Link tuombe

  • @manbo5245
    @manbo5245 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka kazi zuli sema sauti inakata kata

  • @IssaIddi-vb9yi
    @IssaIddi-vb9yi 4 หลายเดือนก่อน

    Sauti inavyo katakata inapunguza utam wa story