MAZINGE KICHANGANI, LEO KATI YA ALLAH NA YESU NANI ALIYEMUUMBA MWENZIE/ KWA NINI MTUME ALILOGWA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 515

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 2 ปีที่แล้ว +25

    Maashaallah professor Mazinge Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika kazi ya dawa unayoifanya

  • @hasankasam5576
    @hasankasam5576 2 ปีที่แล้ว +34

    Shekh mazinge ww ni zawadi kutoka kwa allah.. Niseme alhamdulillah maana unavowapasha ndugu zetu wakristo mpaka nasisimka.. Allah akupe umri mrefu wenye afya inshallah.. Ila siku ukiondoka sidhani km atatokea shekhe km ww lakini madhali allah yupo na quran yake sina waswas.. Mashallah

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 2 ปีที่แล้ว +13

    waalykum msalaam asiemuelewa sheikh mazinge sjui nani atakae muelewa mwengine kwenye hii dunia Allaha atujaalie khusnul lkhatima ameen👏

  • @seiflugendo5043
    @seiflugendo5043 2 ปีที่แล้ว +7

    Kama yahaya namkumbuka sana sheikh wangu nilikua namkubali sana kama Mazinge😭😭😭😭.

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 2 ปีที่แล้ว +14

    watching you from Lusaka zambia, professor Mazinge we agree with you 100% , we all should glorify Allah swt for the all favours bestowed upon us

    • @benjaminlijongwa3715
      @benjaminlijongwa3715 2 ปีที่แล้ว

      Glorify what? Mazinge is a primary school graduate. Pure standard seven. Not proffesor

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 2 ปีที่แล้ว

      @@benjaminlijongwa3715 he deserves a Honoris causa...that's why he is known as a Professor...

  • @donitoalberto3154
    @donitoalberto3154 2 ปีที่แล้ว +8

    Grande senhor Mazinge que Allha abençoe sempre você. Meus grande abraço! 🇲🇿

  • @alyumar4657
    @alyumar4657 2 ปีที่แล้ว +14

    Ustadh mazinge tuna kutaman ktk kisiwa cha pemba mungu akufanyie wepes kabla uujaingia kaburin ufike inshallah.

    • @user-mq6lu2po3y
      @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว

      Hawa masheik hawaji Zanzibar

    • @user-mq6lu2po3y
      @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +1

      Wakija wanakuja kimnya kimnya

    • @alyumar4657
      @alyumar4657 2 ปีที่แล้ว

      @@user-mq6lu2po3y sjuw shida nn mbona wasanii wanatembea sana japo sku za kampen ila watakuja ila masheik ndo ivo dahhhhh

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 2 ปีที่แล้ว

      @@user-mq6lu2po3y washaja sana halaf zenji waislam wengi na watu wanajua din lkn mikoan hakuna din

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akuweke shekhe ,hapo kwenye dakika 850 umpe majibu Allah umezitumiaje 😭😭pagumu ya Raby majibu sijui km turakuwa tunayo maana kuutwa wengi wako kwenye mambo ya kipuuzi

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Shk Mazinge Mola Akupe Umri Ziada Kuwaokowa Umma Mpaka Kupatikane Mwanafunxi Wako lnshaallah....yarabil Aalamin

    • @anthonylikoko1295
      @anthonylikoko1295 2 ปีที่แล้ว

      Jamani kwanini kuchambua imani za wenzenu kama yesu alikufa hakufa Mungu mwenyewe ndiye ajue dini ni njia yetu sot ya kumjua Mungu ili tumjue na kumpenda mwisho kila mtu na matendo yake ndio yatamfikisha peponi kashfa za nini hakuna mwislmu wala mkristo atajisifu dini yake ni kumpeleka peponi .Sasa kwanini kuwakufuru manabii wa Mungu ? Tunachotakiwa wanadamu tupendane tusibaguane maana kila mmoja anaomba kwa imani yake na Mungu anambariki wafundishe waamini imani yao usiingilie imani ya wengine usifikiri kusema sana kua ww uko sahihi sana heri mtu yule azuaye.ulimi wake usinene uwovu kwa jina la Yesu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kua Yesu ni bw.

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah sheikh wetu shukuran allah akuzidishie Umr mrefu na mwisho mwema tunakupenda kwa ajili ya allah sheikh wetu allah akulinde na husda za watu na shari mbalimbali za usk na mchan mungu akujaalie Umr kila la her

  • @machetetz928
    @machetetz928 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akulinde shekh mazinge na watu wabaya

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 3 หลายเดือนก่อน

    Masha ALLAH!! MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE UMRI MREFU WENYE SIHA NA AFYA NJEMA nilipata bahati ya kuhudhulia muhadhala wako 1984 ukiwa na Prof Ngaliba, Othman matata, kawemba, sheikh said Abri na wengineo

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 ปีที่แล้ว +1

    Peter yaunga subiri dakika ya mwisho hapo utasema njaa zimemshika sheikh mazinge lakini nakuombea mungu yakuongoze katika njia yaukweli

  • @faridbashuu
    @faridbashuu 2 ปีที่แล้ว +2

    Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, insha'Allah KARIBU KENYA. Sheikh Wetu Sote. Raha Sana Wallahi.

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah shekh wetu,Allah akuweke

  • @MwinyialiMtali
    @MwinyialiMtali หลายเดือนก่อน

    Professor mazinge Allah akupe umri mrefu

  • @kellugumba8172
    @kellugumba8172 2 ปีที่แล้ว +6

    Mash Allah mungu atujalie na mungu akuongoze na safari yako shekh wetu.

    • @amosomary7928
      @amosomary7928 2 ปีที่แล้ว

      Ww ustetee dini soma mandiko matakatifu upate maarifa soma biblia na korohani properly na ufundishe watu kutokana na maagizo ya MUNGU amri 10 za MUNGU sio utee uisilamu muhamadi ni muovu tu

    • @nassorhaji2637
      @nassorhaji2637 2 ปีที่แล้ว

      @@amosomary7928 Alookupa hilo jina nahic kama alikosea maana hilo jina la Omar ni jina tukufu kwa Allah SW yaani sayyidinaa Omar (As) sasa ww umepewa jina zuri la baba yako ..rudi kwa Allah SW vyenginevyo utakuja kufeli ndugu yangu

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah tabarak Rahman sheikh mazinge allah akulipe fii dunia wa akhera yarab ameen 🥰🥰🌹🇴🇲

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 ปีที่แล้ว +1

    sheikh Mazinge asalamu alaikum warahamatullah wabarakati ubarikiwe naomba masiliano mimi nawewe kwa jina la Allah. nafwatilia mihadhara Yako kwa mtandao lakini mimi sio mtz najitahidi tu kujifunza kiswahili kidogo kidogo kwa sababu napenda TZ Sana napenda kiswahili Japo misio mzaliwa lakini naipenda mungu ndo anajua kwanini nomesalitika nahio nchi mimi nimusilamu namshukuru mungu kwa kua muisilamu nenge penda niwe kati yatu ambao wanachangia kwa mihadhara Yako naomba uniletee namba ya simu Yako ishallah ili nionge nawewe

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah awarehemu ustahi Rico na wengine kafanya kazi kubwa katika uwislamu

  • @user-qh2kr2lk4u
    @user-qh2kr2lk4u 9 หลายเดือนก่อน

    Shekh mazinge Allah akihifadhi insha Allah

  • @assaneanliassane4680
    @assaneanliassane4680 11 หลายเดือนก่อน

    Sheh Mazinge Mungu akulipe pepo ya juu na sisi sote 🇲🇿

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 2 ปีที่แล้ว +1

    M/Mungu akurehemu/akulinde na Maadui wa Allah! Uendelee kuutetea uislam!!!

  • @jumajillo2348
    @jumajillo2348 2 ปีที่แล้ว +9

    MTU AKISEMA UKWELI ANACHUKIWA NA WATU WENGI SANA...ALLAH AKUHIFADHI UZIDI KUISHI MAISHA MAREFU..AMIIN

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali sana profesa lollmodowangu....

  • @munirashughuli618
    @munirashughuli618 2 ปีที่แล้ว +2

    Taqbeer Allahu Akbr

  • @drtee7533
    @drtee7533 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Mungu akuzidishie...na ulipokosea hapo kwa kusoma ayatul Qursiy pia akuwezeshe kuitamka na kuisoma vzuri in shaa Allah🤲🏼

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah Mashallah Shekhe Mazinge Allah akuweke.

  • @abdulwahidmansour5450
    @abdulwahidmansour5450 2 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh mazinge ayatu kursiyyu kaiyangalie vizuri maalim wangu

  • @marengumohamed2715
    @marengumohamed2715 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mkubwa shekhe mazinge huu jaman nampenda sana

  • @salehrama9797
    @salehrama9797 2 ปีที่แล้ว +4

    Profesor tunaomba uiweke hii kwny Tiktok tupate kudowload!

    • @kimonimbinda422
      @kimonimbinda422 2 ปีที่แล้ว

      Okoka huu ni upuzi.mohhamed was a demon possessed man.huyo atakuwa nabii wa Nani?Islam is just a scam to denie the divine power of God.it is a antichrist religion which Jesus Christ foretold will come.and any spirit that does not acknowledge that Jesus is the only son of God is not the spirit from God.jesus is God's incarnate.

  • @islamninja8306
    @islamninja8306 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah allah ajaalie wapatikane wengi kama ww Inshaallah

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว

    Mashaallah 💓❤️ mazinge Allah akuzidishie umuri

  • @tomayodi3762
    @tomayodi3762 2 ปีที่แล้ว +2

    Uongo uongo uongo uongoooo

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 ปีที่แล้ว +6

    MASHAA ALLAH

  • @avalonking1655
    @avalonking1655 ปีที่แล้ว

    Allah akueke shekh wetu

  • @binbaya923
    @binbaya923 2 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah

  • @alialimohamed1243
    @alialimohamed1243 2 ปีที่แล้ว +2

    Uislam ni dini ya haki

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 ปีที่แล้ว

    Nitaliitia jina la BWANA WETU YESU KRISTO MUNGU aliye hai My living God is Jesus Christ 🙏🙏

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว +5

    Waislamu mtakuja kulia na kusaga meno, musipo batizwa na kumkirj Yesu kuwa ni Bwana na mwokozi

    • @hilmialiomar1983
      @hilmialiomar1983 2 ปีที่แล้ว +2

      Uislamu ndo dini, soma ndugu yangu utajua ukweli.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว +1

      @@hilmialiomar1983 Acha nikutoe usingizini;
      UKRISTO siyo dini,kwanza weka hilo kichwani.
      Halafu MUNGU huyu aliyeumba mbingu na nchi yeye hana Dini!
      MUNGU anaangalia imani ya mtu,na Ukristo ni IMANI timilifu kwa MUNGU,vile jinsi YESU alivyokuwa na IMANI hata akaweza kufufua wafu,hiyo ndio IMANI ya Kikristo.

    • @hilmialiomar1983
      @hilmialiomar1983 2 ปีที่แล้ว +1

      @@editrudesmbonde9051 kufufua co imani kasome ndugu yangu,uwezo wa kukufua kwa Nabii Issa(A.S) nyinyi munamwita Yesu ni miujiza aliopea na Allah (SWT) na wakati wa nabii Issa (A.S) walikua wachawi na kila mtume alipewa miujiza yake kwa mfano Nabii Suleiman (A.S) alikua anaongea na wanyama,majini na vitu. Mungu anatutaka tuufate Uislamu na Mitume wote walikua waislamu.

    • @hilmialiomar1983
      @hilmialiomar1983 2 ปีที่แล้ว

      Nimekusudia kusema wakati au zama za Nabii Issa (A.S) watu walikua wachawi ndo maana Allah (SWT) akampa Nabii issa (A.S) uwezo wa kufufua,na kufufua sio imani ni miujiza.

    • @hilmialiomar1983
      @hilmialiomar1983 2 ปีที่แล้ว

      Nimekusudia kusema wakati au zama za Nabii Issa (A.S) watu walikua wachawi ndo maana Allah (SWT) akampa Nabii issa (A.S) uwezo wa kufufua,na kufufua sio imani ni miujiza.

  • @fatumasalumu2869
    @fatumasalumu2869 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashall

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallaah ust wangu mola azidkusaidia ktk hilo amiin yaarabaliaalaamiin

  • @saddybrezzy9777
    @saddybrezzy9777 ปีที่แล้ว

    Professor Mazinge

  • @philismusyoka637
    @philismusyoka637 2 ปีที่แล้ว +4

    Muhammad na kwan nn ako kwa wafu kama alikua na nguvu. Jesus is son of God and mlimwuua mkidhani mumemmaliza lkn instead akaenda akastahimili kwa maana ilikua n utabiri na lazima ungetimia amefufuka yuko hai we pray to God through Him, and through Him we will see the kingdom of God. To you Muhammad died and akufuka na hatawahi kufufuka yupo kwa wafu asubiri kuhukumiwa na huyu Yesu na ww pia

    • @shariffidriss1846
      @shariffidriss1846 2 ปีที่แล้ว

      Inshallah we will see,jesus is my prophet

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว +1

      💪💪🙏Thanks and God Bless you much🙏

    • @philismusyoka637
      @philismusyoka637 2 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 Amen

    • @hilmialiomar1983
      @hilmialiomar1983 2 ปีที่แล้ว

      Mungu hazai, iweje yesu awe mtoto wa Mungu

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

      @@hilmialiomar1983 Hiyo ni miujiza na maajabu ya MUNGU,na ndio maana akaitwa MUNGU na si Allah wala Mohammad😂😎😀

  • @mikatejunior1362
    @mikatejunior1362 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +4

    safi saaana Allah ni mjinga Mazinge anaakili kuliko Allah.. Allah anasema YESU hakuwa msarabani mazinge anasema YESU alikufa asante YESU... hukusoma je?? imeandikwa je? kunaneno gumu lolote lile..asiloliweza?? jamani 440 utakuta wako 2 tu

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaha ani wewe ni ndezi cha kwanza hujui kiswahili hujui kuandika hujui kutafakari rudi shule ani we hata huelewi inaonekana ulimpa sn mwalimu wako shida kwenye uelewa 🤣🤣 umenifurahisha ani comment ako inaonesha hamna kitu umeelewa kilichoongelewa ! Rudi kasome mkuu unajiabisha ndo mana tunaambiwa kama hujui bora ukae kimya 🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      KWANA WEWE MWEHU SANA YESU SIO MUNGU BADILISHA PROFILE YAKO MSHIRIKINA WEWE.

    • @seifserenge3340
      @seifserenge3340 2 ปีที่แล้ว

      Mitego ya Mazinge hakuna mkristo YEYOTE anayeweza kuitegua. Nyinyi mfuateni ndacha awapoteze mukapate kisago katika moto wa jahannam

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 ปีที่แล้ว

      @@seifserenge3340 mitego ya wapumbavu ni kuipuuza ndivyo Bible imetuelekeza ivyo

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

      @@salimmalaka256 aliekwambia YESU sio MUNGU..Yy alimuona YESU..?? aliwaona majini...sio YESU..sawa?? waliomuona kwa macho na kumshika na YESU mwemyewe..alithibitisha kuwa ni MUNGU..wewe unaefuta mfu ambae hakumuona..unafuta dhana isiyo na ushahidi wa kuona wala kumsikia

  • @medwho959
    @medwho959 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi!!

  • @djhank2547
    @djhank2547 ปีที่แล้ว

    Dini ya kufuata ni kulingana na pale umezaliwa na Imani ya kwanza hutoka Kwa mama mlezi

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh Mazing nashukur san uko vizur sana
    Lakin nakuomb kwaheshim
    nenda kadom Quruan
    Unavurug sana yan san
    it is not good ur Quruan shekh pls
    Angaliy ulivyozisom izo AYA mbil

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallaah mola akuhifadh na akupe elimu uweze kutangaza uislam na uwaelimishe makafir amiin

  • @user-lh1ye4qe8j
    @user-lh1ye4qe8j ปีที่แล้ว

    Asalam Allaikum waramatullah wabarakatuh jmn naomba maoni yenu ktk nyinyi mliojaliwa na elimu, vp jmn Allah ni Nani km tunavyojua hafananishwi lkn Tukizungumza Allah tumtafakari km Nani naomba ndugu zng cz tumelizungumza lkn badhi wanasema ni spirit ya Iman je ni kweli?

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว +3

    Njaa inakusumbua,kila cku hujaga jipya,YesuYesu,ulidandia Dini kwa mbele,Walozaliwa kwenye Uislam wametulia manake wanajua Dini,Chakubimbi njaa

    • @jumajillo2348
      @jumajillo2348 2 ปีที่แล้ว

      KUWA MUISLAMU KAKA UTAJUA KUSOMA NA UTAJUA UKWELI WOTE KUHUSU UISLAMU

    • @machetetz928
      @machetetz928 2 ปีที่แล้ว

      Daaa mungu Wang ..... Omba msamaha kwa mungu ww.. anakufundsha unamwambia Ana NJAAA acha zalau ww

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

      @@machetetz928 Ndio njaa tu,Waislam wengi njaa,angalia ombaomba wengi ni waislam,sasa huyo Allah kalala?hawaoni mnavyohangaika?
      YESU ni jibu la kila kitu njooni kwa YESU sasa muda ni mchache🙏🙏

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 2 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 kwani umaskini ni laana? Kichwa chako ndio kina njaa ya Fikra na UBONGO wako umefilisika!!

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 2 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 boya Kweli wewe!!

  • @alexandermulilison5844
    @alexandermulilison5844 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa Kwa hiyo debate ....Mzee Mazinge acha uongo na ushabiki.

  • @mashaurcharles7825
    @mashaurcharles7825 2 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge msenge mpiga pesa tu huyu

    • @sleimannassor8931
      @sleimannassor8931 2 ปีที่แล้ว +1

      nabii tito je mkiristo mwenzenu vp hapo

    • @mashaurcharles7825
      @mashaurcharles7825 2 ปีที่แล้ว

      Ukristo ni matendo yanayompendeza mungu wala siyo jina

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +4

    kainukuu mathayo...kesho atasema imetiwa mikono

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 ปีที่แล้ว

      Ujinga mwingi,,,hawajui lolote zaidi ya kuhangaika,,,YESU NI BWANA

    • @jumashabani8474
      @jumashabani8474 2 ปีที่แล้ว

      @@josephwilliam5813
      Una mfahamu bwana? Mbn hata mm ni bwana

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว

      @@jumashabani8474 kuna Bwana na bwana, umeelewa?

    • @jumashabani8474
      @jumashabani8474 2 ปีที่แล้ว

      @@frankmpembu2505
      Tofauti yake hapo ni herufi kubwa na ndogo lkn ni bwana moja tu

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว

      @@jumashabani8474 🤣🤣🤣🤣umeshasema kunautofauti,🤣🤣🤣. Nenda kasome Qur'an yako vizuri, ata Qur'an yako inakubali kuna Bwana na bwana, hao ni wawili tofauti

  • @pascalmbusa8826
    @pascalmbusa8826 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe nguvu

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 2 ปีที่แล้ว +1

    mashaAllah MwenyeziMungu akulipe kheri n akuzidishie ummri n miaka mrefu 🤲

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว

    Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

      You don't have anything new just leave CHRISTIAN'S alone,will you??😎🙏

  • @mr.g7445
    @mr.g7445 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdullah

  • @tobiasantony3644
    @tobiasantony3644 2 ปีที่แล้ว +3

    Kila goti litapigwa na kukili Kristo ndiye Bwana na mwokozi wa ulimwengu. Pigeni kelele tu

  • @user-tt3jh1mq5y
    @user-tt3jh1mq5y 3 หลายเดือนก่อน

    Ukristo na Uislam vyot tulivikuta muhim is all living in Unity

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallaah jazakumullah kheir eid Mubarak Muslim

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 ปีที่แล้ว +1

    Akupe umri mrefu wa afya nakuwezeshe
    Kumikia swala

  • @babumsiha1573
    @babumsiha1573 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah

  • @abdullahiguyo7547
    @abdullahiguyo7547 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuzidishie umri sheikh wetu ,uzidi kupata khery Yaa Habib

  • @seiflugendo5043
    @seiflugendo5043 2 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge wewe ni mwalimu wa dunia kwasasa nenda kawafundishe wakristo wamjue mungu wao wanamjua yesu lakini mungu hawamjui.

    • @seiflugendo5043
      @seiflugendo5043 2 ปีที่แล้ว

      @Esin Esin Mazinge ni mwalimu wa walimu ndacha hana elimu yoyote yakumsumbua Mazinge

    • @nassorhaji2637
      @nassorhaji2637 2 ปีที่แล้ว

      @Esin Esin Huyo ndacha ni nani kwani na yuko na hadhi gani hapa duniani na kafundisha nn ili siku ya Qiama ikifika akatetewe na Allah SW

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +3

    maashaallah

  • @jumasaid6170
    @jumasaid6170 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuzidishie

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 2 ปีที่แล้ว +1

    upo vzr sn Prof. Mazinge

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 ปีที่แล้ว +2

    Leo wsislamu wamesikia kweli Yani mazinge awadhibitishia kwamba yesu alikufa musalabani akazikwa akafufuka , Glory to God

  • @timothyskama6793
    @timothyskama6793 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha yaani watu wamekata kusoma vitabu wajue sasa ona mazinge atawandagaya hadi mwisho, mbona kila mtu asijisome vitabu,

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 2 ปีที่แล้ว

      Timothy wewe ndio muongo! Mazinge yupo sawa sana nikupe andiko?

    • @timothyskama6793
      @timothyskama6793 2 ปีที่แล้ว

      @@karaoglan9444 ukifanya utafiti wa vitabu beyond what is written inside, uniambie sasa, but soma vitu kama mazing nikupidisha madiko tu, kwanza kama unajua petra unajua ulisilamu

  • @emanuelkitandu3076
    @emanuelkitandu3076 2 ปีที่แล้ว +2

    Heshim kazi ya mwenge haki

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว

      Ndiyo nini?

    • @josephdogani3419
      @josephdogani3419 2 ปีที่แล้ว

      Analazimisha kuskilizwa kwa kutisha watu huyu mwendawazimu

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว

      @@josephdogani3419 Kawatishia na nini?Mbona hana panga au Mizinga?Sheria za Mwenyezi Mungu zinatisha kuliko yote ya hapa duniani na ndiyo maana hajavuko ktk misingi ya Allah,Kifo kinatisha kuliko Mizinga na mabunduki,Kifo sio Mazinge,kama unadhani peponi watu tunaenda kwa kucheza ndomboro tu,jitafakari haraka sana.

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว

      @@josephdogani3419 Kawatishia na nini?Mbona hana panga au Mizinga?Sheria za Mwenyezi Mungu zinatisha kuliko yote ya hapa duniani na ndiyo maana hajavuko ktk misingi ya Allah,Kifo kinatisha kuliko Mizinga na mabunduki,Kifo sio Mazinge,kama unadhani peponi watu tunaenda kwa kucheza ndomboro tu,jitafakari haraka sana.

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 2 ปีที่แล้ว

      @@josephdogani3419 Kawatishia na nini?Mbona hana panga au Mizinga?Sheria za Mwenyezi Mungu zinatisha kuliko yote ya hapa duniani na ndiyo maana hajavuko ktk misingi ya Allah,Kifo kinatisha kuliko Mizinga na mabunduki,Kifo sio Mazinge,kama unadhani peponi watu tunaenda kwa kucheza ndomboro tu,jitafakari haraka sana.

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi wewe baba HiO pumzi Yako unayo tumiay unajuaa inapotoka endeleeni kuzarau pole SANA kipofu na huyo Allah wenu Mungu awasaidiye SANA

  • @tvfoa7115
    @tvfoa7115 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazzakllah

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 ปีที่แล้ว

      La jamani tumuogope mungu hata mwezi mtukufu tunasema uongo pesa hizi zitatufikisha pabaya sana

  • @dcharles4647
    @dcharles4647 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah?!dunia ina mambo.

  • @athumanzahir8316
    @athumanzahir8316 ปีที่แล้ว

    Ww maneno mengi tatizo

  • @mnyongehilali729
    @mnyongehilali729 2 ปีที่แล้ว

    Allah atakulipa kwa kile unachokipigania

  • @jumaazuberi9317
    @jumaazuberi9317 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallaah Maashaallaah Maashaallaah. Naona kuna mabwege fulani wanacomment ujinga tulieni nyinyi

  • @kisosekatere6282
    @kisosekatere6282 2 ปีที่แล้ว +1

    Weka Mada sasa unafikiria usemapo watu hawana la kutafakari usemapo
    Wewe weka mada hazarani mada hizo tumezisikia Mara nyingi na matokeo yake uli feli ktk Ku defend unacho kidai ulishinda WAISAL ACHENI USHABIKI tumieni AKILI
    Sasa Ma Pastors zaidi ya 60 ukiwa peke yako si uongo huo , usemapo unafikiria watu hawafikirii sasa hiyo debate ilichukua miaka mingapì mpak ma Pastor wote wa seme elewa yamepita na Wakati Sheik umedanganya mda mrefu

    • @seiflugendo5043
      @seiflugendo5043 2 ปีที่แล้ว

      Wewe unachekesha nani katika dini yenu wakusimama naMazinge?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว

      @@seiflugendo5043 🤣🤣🤣😂😂Huyo Mazinge amegaragazwa sana na Mapasta. Kule kenya hakufanya mdahalo na Mapasta hao aliowataja, alifanya mdahalo na pasta mmoja tu, Pasta Ndasha na aligaragazwa huyo Mazinge na Ndasha kuanzia kenya hadi Tanzania

  • @jalaryababilasi1562
    @jalaryababilasi1562 2 ปีที่แล้ว

    Mim mkiristo lkn nafurai xana kusikia neno la mungu lkn Ktka imani yng najua wote Ni wa muumba

  • @johnawinda2165
    @johnawinda2165 2 ปีที่แล้ว +1

    Hauna lolote hoja za msingi hakuna

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 ปีที่แล้ว

    Mzee mtundu huyu Allah akupe afya

  • @muhdarif4321
    @muhdarif4321 2 ปีที่แล้ว +2

    I can't understand this language but Islam zindabad love from India

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

      You have been fooled by this Religion for a long time.
      Now,open your inner eyes and see the TRUTH of Islam if you want to be safe😎🙏

    • @shariffidriss1846
      @shariffidriss1846 2 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 Alhamdullillah,inshallah one day truth will prevail over falsehood

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

      @@shariffidriss1846Ooooooh!
      You are out of this world, cause the TRUTH is already prevailed,just go and read Quran 3;55 and Bukhari 3443 you'll see yourself😂😀

    • @shariffidriss1846
      @shariffidriss1846 2 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 bukhari what🤣🤣🤣may Allah guide you

    • @shariffidriss1846
      @shariffidriss1846 2 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 if you continue denying your creator and start worshiping His creation,surely you are lost and hellfire is your eternity,Allah forbid and guide you to straight path

  • @user-oo7xd9ex7m
    @user-oo7xd9ex7m 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @Sharifarajabudebe
    @Sharifarajabudebe 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Fundisha watu wengin hicho kipaji

  • @shadyfungo6818
    @shadyfungo6818 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa atafanya nislim

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 2 ปีที่แล้ว

    Hhhh mazige kiboko

  • @athumanzahir8316
    @athumanzahir8316 ปีที่แล้ว

    Wekeni mnavobishara

  • @user-yc4ui2kn8c
    @user-yc4ui2kn8c 9 หลายเดือนก่อน

    There's no Allah in creation, the Bible doesn't recognize that kind of God. Please Mzee Mazinge, your God hajulikani. Usijaribu tena kuzungumuza unaemuita Allah katina uumbaji. I agree he's in your books but not in the Bible.

  • @kulwamussa3612
    @kulwamussa3612 2 ปีที่แล้ว

    Video hizi ziwekeni tktok tuzi downlodi. Itakua lahisi sana

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du ปีที่แล้ว

    Unatisha baba!

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 ปีที่แล้ว +2

    Unachanganya wsislamu maana wao pia na ww ukataa yesu akufa musalabani,unanijichanganya kweli

  • @sultanmsoloni8635
    @sultanmsoloni8635 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo unajigamba saana

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe halijui kusoma qurn,linaambiwa linaaibisha waislam,halijui kusoma hilooo,limedandia Dini kwa mbeleee,tunavunjika mbavu.

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 2 ปีที่แล้ว

      Vipi wewe unaweza kuisoma Qur'an?

    • @alafasyprintingservices660
      @alafasyprintingservices660 2 ปีที่แล้ว

      Duniani hakun wot wanowez kusom Qur-an ipasavy nikwa7b y lafdh y ulimi kun wat hawawez mfan mzur Wahindi wakitaj Allah sio wot wanoweza

    • @masala8099
      @masala8099 2 ปีที่แล้ว

      Peter ww ni mtu wa motoni lazima uongee kikafiri sadaka za kanisa zinakufanya utukane Dini ya Allah na utakufa mpumbavu hivyo hivyo na chuki zako

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว +2

    Waislamu mungu wenu hajulikani hana jina,,,Allah siyo jina bali ni cheo au sifa🤣🤣🤣

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว +1

      Wasaidie hawajui walisemalo ni vipofu wamefichwa ukweli😂😂

    • @bakariamour6024
      @bakariamour6024 2 ปีที่แล้ว

      Wenu anajulikana ?

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว +1

      @@bakariamour6024 Ndiyo anajulikana,na ndio maana anatuonekania kila tunapomuita, hushuka kwa nguvu na ushindi.
      Sisi ni Washindi zaidi ya Washindi Duniani😂

    • @fatmasuleiman1104
      @fatmasuleiman1104 2 ปีที่แล้ว

      @@editrudesmbonde9051 mungu wenu anaitwa nan

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

      @@fatmasuleiman1104 His name is Alfa and Omega.

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 2 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge chombo cha waislamu kumtumia kupiga hela ila elimu hana

    • @alyumar4657
      @alyumar4657 2 ปีที่แล้ว

      Acha wivu huo wiv 2 huna hoja

    • @imamushafiiforgoodislamict5420
      @imamushafiiforgoodislamict5420 2 ปีที่แล้ว +3

      Kazi anazozifanya mazinge wewe hauziwezi Wala baba yako nahakuna hatammoja ktk ukoo wenu anaeweza, mazinge anafanya kazi kubwa sana, eti mazinge hanaelimu mpiga pesa tu, wewe kweli mjinga kazi anayoifanya mazinge bila elimu angeliweza kuifanya kazi hiyo? Ndio lazima apige pesa sasa wewe ukitaka ale wapi ? Nasisi wenyewe anaotupiga pesa tunampenda na tunazitoa hizo pesa sasa wewe inakuuma Nini? Kwanza rafiki unaumia ukiwa wapi?

    • @halfanimwakalinga9894
      @halfanimwakalinga9894 2 ปีที่แล้ว +2

      Wewe unapeleka hela kanisani za nini akili huna kabisa , usitutukanie mashekh wetu bwege wewe

    • @seifserenge3340
      @seifserenge3340 2 ปีที่แล้ว

      Nyinyi wakristo hamna akili hata KIDOGO. Mungu gani anazaliwa na binadam!!

    • @kasalamrisho6702
      @kasalamrisho6702 2 ปีที่แล้ว

      We akili huna,elim hana anayo bab ako

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe umri mrefu

  • @swalehjuma3077
    @swalehjuma3077 2 ปีที่แล้ว

    Pia naomba nijue mbna ustadh Shafii Shomari akoapi mbona amepotea

    • @sheikhfirdaus9857
      @sheikhfirdaus9857 2 ปีที่แล้ว

      Hapana yupo sheikh shafi

    • @swalehjuma3077
      @swalehjuma3077 2 ปีที่แล้ว

      @@sheikhfirdaus9857 Tumemtamani sana kwenye mijadala simuoni.

  • @vijanachannel3878
    @vijanachannel3878 2 ปีที่แล้ว +6

    Chocha hizi hapana kitu hapa😹😹😹You Cannot Compare The Mighty Jesus to Inferior Muhammad.Jesus is Much Greater than you think.Utagaragazwa tu.Kenya hatutishiki na vishindo vyako.Huna hoja wewee😀😀😀 Huruma

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 ปีที่แล้ว

      Anashindana

    • @ahmadmadaai1357
      @ahmadmadaai1357 2 ปีที่แล้ว

      Angalia Google who is the best man in the world

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 ปีที่แล้ว

      @@ahmadmadaai1357 angalia maandiko nani MUNGU kamtunuku ufalme wa mbingu ardhi na hata chini ya ardhi? Kaa na google yako

    • @shariffidriss1846
      @shariffidriss1846 2 ปีที่แล้ว

      Jesus hates to be compared with Allah yet you are all ignorant denying,may Allah Guide you

    • @karaoglan9444
      @karaoglan9444 2 ปีที่แล้ว

      Tafadhali naomba unioneshe Aya inayosema Jesus himself called Mighty? Haipo!!😭

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu Allah wenu jina lake anaitwa nani?😂😂😂😂🤣🤣.

    • @msangiramadhan1911
      @msangiramadhan1911 2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka unapuyanga
      Nisawa mtu akuulize FRANK unaitwa nani.

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว

      @@msangiramadhan1911 Tatizo la Waislamu elimu hamuna, alafu someni Dini yenu katika lugha yenu mama.
      Allah ni neno la kiarabu, ukilileta kwenye kiswahili linamaana ya Mungu. Angalia, neno Mungu yaani Allah siyo jina, hilo ni sifa tu au cheo. Mungu ni Mungu lazima awe na jina, yaani Allah ni Allah lazima awe na jina. Huyu Allah wenu jina lake anaitwa nani?. Ukichukua Biblia ya kiarabu, mahali penye neno Mungu pana neno Allah, likiwa na maana ya Mungu. Sasa huyu Mungu wa kwenye Biblia yaani Allah wa kwenye Biblia jina lake anaitwa YAHU kwa kiarabu au YEHOVA kwa kiswahili. Sasa huyu Mungu wenu yaani huyu Allah wenu Waislamu jina lake anaitwa nani?

    • @frankmpembu2505
      @frankmpembu2505 2 ปีที่แล้ว

      @@msangiramadhan1911 Mtu mwenye utimamu wa akili, hawezi kuniuliza hivyo, eti Frank unaitwa nani. Kwasababu FRANK ni JINA, cheo changu ni MTU.Mimi ni MTU jina langu naitwa FRANK.

    • @aboubacarysallidy5781
      @aboubacarysallidy5781 ปีที่แล้ว

      Allah ni 1 tuh hajazaa wala Hana mtoto na wala hashikwi na usingizi