MAZINGE AELEZA MAZITO ALIO YAPATA AKIWA JELA | MWANZA NILIFUNGWA JELA MIAKA 3 | HUYU HANIJUI MIMI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2022
  • #Mazinge #Mdahalo #Debate #Zvponlinetv #Daressalaam

ความคิดเห็น • 140

  • @nayeemn9275
    @nayeemn9275 ปีที่แล้ว +25

    Kaka Mazinge Allah akulinde akuhifadhi pia akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka, Na akupe mema duniani na Akhera.

  • @shukurumsuwakollo2264
    @shukurumsuwakollo2264 ปีที่แล้ว +9

    Ustadh umefanya kazi kubwa tumeshuhudia... tunashuhudia ! Allah SW Azidi kukupa moyo huo hadi mwisho wa uhai wako. Akubariki sana.

  • @baysadam235
    @baysadam235 ปีที่แล้ว +10

    Inshalah Mungu akujalie 🇲🇿🇲🇿

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 ปีที่แล้ว +8

    Sheikh Mazinge nakupenda kwa ajili ya ALLAH nduguyangu ktk IMAN

    • @hashimhashimali
      @hashimhashimali ปีที่แล้ว +2

      Masha allah shekh mazinge allah akulinde ktk mihadhara Yako na pia akulinde ktk mizungunko Yako had mwisho wako nshallah

  • @aminaabdikadir6044
    @aminaabdikadir6044 ปีที่แล้ว +5

    #mazinge hasbunallah wa ni'mal wakiil jazakallahu kheir wazaadakallahu ilman wa ihsan wa fahman Amin

  • @khadijayassin2046
    @khadijayassin2046 ปีที่แล้ว +10

    mung amuwek mzee wetu ishallh❤️

  • @iussufoiassido8797
    @iussufoiassido8797 ปีที่แล้ว +5

    Allah akuzidishie mazuri, pia Ustaadh Mazinge tuta kukumbuka. Na waislamu tume kupenda, sio wa Tanzania tu wa nchi mbali mbali. Mwisho Asalam alaikum warahmatullahi ta'ala wabarakatuh

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 ปีที่แล้ว +4

    Wallah ukitenda wema, utalipwa wema.
    Allah akulipe Jannat Firdausi Shk Mazinge.

  • @chafimadinane1270
    @chafimadinane1270 ปีที่แล้ว +5

    Kila laheri kazi njema mungu akubaliki 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @yusuphmuya6059
    @yusuphmuya6059 3 หลายเดือนก่อน +2

    Maa Shaa Allah

  • @MiriamYassini-kt6jh
    @MiriamYassini-kt6jh ปีที่แล้ว +1

    Ustadhi mazinge nakupenda kwa Ajili ya ALLAH Allah ukuhifadhi sheikh wetu na akupe umbrii mrefuu uzidi kuutangaza uislamu

  • @user-pt9vm4vd1d
    @user-pt9vm4vd1d 7 หลายเดือนก่อน +3

    Shujaa wetu❤❤

  • @amanmyolo5359
    @amanmyolo5359 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah

  • @khadijanigogo698
    @khadijanigogo698 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabarakallh

  • @tocabocagirlomg8764
    @tocabocagirlomg8764 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah

  • @ameenamohammed4413
    @ameenamohammed4413 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @shacool9627
    @shacool9627 ปีที่แล้ว +3

    His a logical man

  • @suleim505
    @suleim505 ปีที่แล้ว +2

    Mbavuzanguuu 🤣🤣🤣 shekh mazinge taratibu

  • @dauddubow1882
    @dauddubow1882 2 หลายเดือนก่อน

    Mansha allah

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah 💓❤️❤️

  • @user-nt4qc4zg7y
    @user-nt4qc4zg7y 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda kwa ajili ya Allah ustadhi mazinge

  • @makungumzee1823
    @makungumzee1823 9 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH KHADIR

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u 8 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Allah akupe Afya uzidi kuendeleza kalima ya lailaha ila Allah

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว +1

    Subhanalha

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂, Shk Mazinge unachekesha Hadi rahaaaa 😂😂😂🤣

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuongezee siku za kuishi uko vizuri

  • @khalidjuma4443
    @khalidjuma4443 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe pepo sheikh Mazinge

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda kwaajili ya allah ❤❤❤

  • @Ashrafsultan-bh4rm
    @Ashrafsultan-bh4rm 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tumuogope mwenyezi mungu endelea hivyo hivyo

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 ปีที่แล้ว

    Mashaa-Allah Allah azidi kukuhifathi sheikh mazinge azidi kukupa nguvu na afya ya kuilinganiya dini ya haki.Nairobi ( kenya)

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu tupendane kwa li Liah♥️

  • @jumahamis-7075
    @jumahamis-7075 ปีที่แล้ว +1

    Mashalaaa

  • @anifadubai1182
    @anifadubai1182 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipeheri duniani na ahera

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +1

    Yesu ni mwana wa Mungu,co Mungu,acha cfa weye mdandia dini kwa nyuma.Toa ushuxi

  • @boneshaissa5138
    @boneshaissa5138 7 หลายเดือนก่อน +1

    AlLAh akupe maisha malefu

  • @mugisamusa404
    @mugisamusa404 ปีที่แล้ว +2

    Nakuombeya Kila la heri Mazinge

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ni Mungu pamoja na wanadamu ila tusubiri siku ya kiyama utamuona

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 8 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdullha 🙏🏽

  • @YahayaKanali-go7cd
    @YahayaKanali-go7cd 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu akuepushe na azabu ya kabri

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly ปีที่แล้ว +2

    Kanisa lina thamani kuliko Msikiti.🙏🏻

    • @user-qr7et3vl5z
      @user-qr7et3vl5z 8 หลายเดือนก่อน +1

      Yesu pia amesali kwenye msiki hajawahi kusali kanisani Sasa nyumba aliesali yesu na aliekuua hajasali kipi chenye thamani

  • @ZuwenaNassor-cv4xc
    @ZuwenaNassor-cv4xc ปีที่แล้ว +1

    Kazinzuli😮

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa unayosema profess mazinge

  • @AMZASAIDEofficialm6332
    @AMZASAIDEofficialm6332 ปีที่แล้ว +2

    She Mungu akupe Maisha malefu

    • @user-bu8nq5oo2j
      @user-bu8nq5oo2j 3 หลายเดือนก่อน

      Amekua she tena jmn🤔🤔🤔

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +1

    Moto wa Yesu usingewexa kuhimili laxima udandie

  • @ramadhanichuka3583
    @ramadhanichuka3583 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha et mm siwez kuswalisha😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @YusoufYumaini-hf1bk
    @YusoufYumaini-hf1bk 9 หลายเดือนก่อน +1

    Munguakulipekilalaheri

  • @iddhalid4677
    @iddhalid4677 ปีที่แล้ว +1

    Allah

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 ปีที่แล้ว +1

    32.54 Huyu mzee kaniacha hoi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @HassanOmary-gh3sv
    @HassanOmary-gh3sv 2 หลายเดือนก่อน

    Ww ni mwamba sana shekhe

  • @user-cp6fn7dv5w
    @user-cp6fn7dv5w 11 หลายเดือนก่อน

    Takkbiiiiiiiiiir Allahuakbar

  • @jasminabubakary5601
    @jasminabubakary5601 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 10 หลายเดือนก่อน +1

    Niko na Wachina hapa wanakusikiliza kwa makini

  • @user-eu3sg7oz5o
    @user-eu3sg7oz5o 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @peterpaul6665
    @peterpaul6665 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini huwa mnapenda kuwataja wakristu mkiwa misikitini ..

  • @HHKAHABBY
    @HHKAHABBY ปีที่แล้ว

    Mazinge alhamdoullillah

  • @mohaa243
    @mohaa243 ปีที่แล้ว

    Habib mazinge mashalah

  • @muhammadrahis5610
    @muhammadrahis5610 ปีที่แล้ว

    Baraka llahu fiykum

  • @yusurfali2513
    @yusurfali2513 ปีที่แล้ว

    professor Athuman

  • @iussufoiassido8797
    @iussufoiassido8797 ปีที่แล้ว

    Shekh Allah alikupa I'lmu, na sisi tunajivunia

  • @mkuki_tz-6664
    @mkuki_tz-6664 ปีที่แล้ว

    Mazinge na ndacha nawasalim, Hakuna uchawi wa aina yeyote ktk hii dunia🎉

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +1

    Njaa mbaya sn! Linadandia dini kwa mbele.Huna jipya

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว +1

    Hubiri tu usitaje mashehe.

  • @iussufoiassido8797
    @iussufoiassido8797 ปีที่แล้ว +2

    Tunakuombea dau'a Allah akuifadh

  • @Ukweliwaleoministry
    @Ukweliwaleoministry ปีที่แล้ว +1

    Hicho kitambaa kina nini? Mazinge anakizingusha kila muda.

  • @mutulilawrence727
    @mutulilawrence727 7 หลายเดือนก่อน

    Asalam wakhalekum, uko Sawa sheekh mazinge

  • @niyonkurusalim2186
    @niyonkurusalim2186 ปีที่แล้ว +1

    Njo burundi gitega mazinge.ulituahidi siku moja katika masjid bilali ya kwamba utarudi.mpaka ivi tunakusbiri

  • @johnsulle4679
    @johnsulle4679 ปีที่แล้ว +1

    Hii sura ya gaidi kabisa kama majamaa Fulani wanatafuta ngozi za nguruwe kipindi hicho

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 ปีที่แล้ว

    Nawapenda kwajili ya Allah kishiki na mazinge

  • @YahayaKanali-go7cd
    @YahayaKanali-go7cd 6 หลายเดือนก่อน

    Unakuja lini burund kitega ulisema unakuja hadi leo hujaja

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว +1

    kama hufati sheria utawekwa ndani tu, hapa sio swala la kuonekana labda kwamba wewe ndo mfia dini sanaaaa eti ndo utakatifu haaa unaweza ukawa unafia dini za mashetani kama ulivyo uislam

  • @user-fi7zw1ck3v
    @user-fi7zw1ck3v ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hijauwesu7661
    @hijauwesu7661 10 หลายเดือนก่อน

    Huu msikiti sasahv unajegwa gorofa

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว +1

    UISLAMU UNATAKA UTANGAZE NEEMA ZAKE.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 5 หลายเดือนก่อน

    Iwe heri kwako na kwetu

  • @HarerimanaDjuma
    @HarerimanaDjuma ปีที่แล้ว

    Mungu akulipe Pepo yake

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว +1

    SHEKHE UNAKOSEA. ACHA HASIRA.

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว +1

    Alha akbar

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 ปีที่แล้ว +6

    Thank you so much our Sheikh Mazinge!. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deception} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! Ray from Canada

    • @kirishmarash3591
      @kirishmarash3591 ปีที่แล้ว +4

      Allah akupe mwisho mwema ustath mazinge

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 ปีที่แล้ว +1

      @rbagha5280 upo Canada mji gani? Mie nipo Toronto

    • @SaidiUlaya
      @SaidiUlaya 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@kirishmarash3591gy
      V
      Vb!

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +1

    Hatuna dini tuna mimavi yako ulokunya asbh?makafiri ni huko unakotolea kinyesi.

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว +1

    UNAKOSEA WEWE!!!

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว +1

    SIKU YA KIAMA HAKUNA ANAYEIJUA.

    • @YahayaKanali-go7cd
      @YahayaKanali-go7cd 6 หลายเดือนก่อน

      Nikweli lakini tujue kiama kitakua siku ya ijumaa ingawa hatujui ni ijumaa up tujitaidi angalau kiama kitukute tuko msikitini tunasalikuliko kukutw na kiama uko gesti

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Eti dk kidogo unachanganyikiwa,pumbavu mdandia diniii

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂

  • @icepackgiffted7780
    @icepackgiffted7780 ปีที่แล้ว +2

    Katolewa kakubali masharti ya dajjal 🙈

  • @josephlucas2786
    @josephlucas2786 ปีที่แล้ว

    Unapo sema wakristo makafiri utakua mpuuuzi kila mtu ana Iman yake unaukataa ukirstu Kisha unasema umesoma Bible pmbv

  • @johnsulle4679
    @johnsulle4679 ปีที่แล้ว

    Uislamu ni ugaidi bn ndomana wapo tu kueneza uongo mitandaoni kupotosha imani za watu

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว

    MUISILAMU HENDI motoni. ACHA JAZBA.

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว +2

    🤣💝💝💝

  • @SHEIKH_AHMAD.
    @SHEIKH_AHMAD. 5 หลายเดือนก่อน

    Kunuga

  • @hiarijuma2684
    @hiarijuma2684 ปีที่แล้ว

    USITAJE VYAMA

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 ปีที่แล้ว +1

    Haaaaahaaaaa

  • @kivambasalum
    @kivambasalum ปีที่แล้ว +1

    Swalie mtume

  • @samuelondieki9164
    @samuelondieki9164 ปีที่แล้ว

    Kujisifu nayo

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 10 หลายเดือนก่อน

      Imekumaa nn

  • @massoudsuleiman-xv7hy
    @massoudsuleiman-xv7hy ปีที่แล้ว +1

    Asalamu aleykumu mie nina shida na shee mazinge nampataje

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 ปีที่แล้ว

    Kafiri mamayako msenge wewe

    • @oyay2821
      @oyay2821 ปีที่แล้ว

      Umejitukana mwenyewe kafiri wewe

    • @geraldtarimo3210
      @geraldtarimo3210 ปีที่แล้ว

      Huyo ni msenge,natunakulanao kitimoto mtaani,umalaya ndio destuli,wake wa4 siumalaya? Hapo hajawa kafiri? Pumbavu

    • @hawaamohammed6687
      @hawaamohammed6687 ปีที่แล้ว

      Unamtukana kwanini

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 ปีที่แล้ว +2

      @@geraldtarimo3210 Nabii Ibrahim alikua na wake watatu, Nabii Mussa alikua na wake wawili , nabii daudi alikua na wake nane(8), Suleiman alikua na wake zaidi ya mia saba(700) na wote walikua waja wema rehema na amani juu yao wote walikua waja wema mbele ya Mwenyezi Mungu mtukufu.

    • @omarynado4201
      @omarynado4201 ปีที่แล้ว

      Mbna matusi ndugu

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว

    hizi din tukizichukulia kwa itikadi ya ugumu na kibri cha sheria na utaratibu zitatugawa sna, hao waarabu wenyewe waliowaletea hiyo dini wanajibagua wao wao mweusi mweusi angalia sudan watu wanauana waislam kwa waisla kisa huyu mweusi na yule mweupe, muwe na tahadhari sana na hizi dini za kupigania mungu

    • @bakariomari3692
      @bakariomari3692 ปีที่แล้ว

      Mwarabu nani alileta dini?? Ama unafata historia yenye ulipata kwenye vitabu vya shule??

    • @tashone7884
      @tashone7884 ปีที่แล้ว

      Sudani issue siyo dini ndiyo maana hata baada ya kujitenga huko sudani kusini bado wanapigana.neema ya mafuta na dhahabu inawamaliza kama ilivyo Congo.

    • @masumbukomaganga438
      @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว

      @@bakariomari3692 dini ya kiislamu imeenezwa na waarabu na ndio maana tamaduni zao zimo pia kwenye uislam, mfano kuongea kiarabu, kunawa mikono mpaka kwenye vitanga, kuvaa kanzu, na hijabu, hayo yote ni utamaduni wa kiarabu, ukristo ulianzia isarel na wanavaa kanzu sisi hatuvai maana kanzu ni vazi lao na nchi za mashariki ya kati si kwetu uisalm umeleta chuki na itikadi ya kupigania dini
      (jihad) uislam unafundisha kuwa mtu anaokolewa kwa matendo na sio kwa imani na hakuna fundisho la neema ndio maana ukifika mwezi wa ramadhani waisla wote mpaka na waganga na wachawi na walevi, na wasanii wa nyimbo za kidunia wanaoimba uchi nao wanafunga eti ni mwezi wa toba, dini ngumu hiii

    • @masumbukomaganga438
      @masumbukomaganga438 ปีที่แล้ว

      @@tashone7884 th-cam.com/video/N36btHXRRb8/w-d-xo.html uislamu unavyoingiliana na ukatoliki hapa na ujue jinsi dini hzi zilivyo ndugu na za kimizimu

    • @bakariomari3692
      @bakariomari3692 ปีที่แล้ว

      @@masumbukomaganga438 kwanza yesu alivaa kanzu na si mwarabu, pili usifananishe dini na utamaduni utajikoroga soma vitabu vikuongoze,,,maana katika mavazi ukileta utamaduni niambie kuvaa miniskirt ni utamaduni wa wapi??

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 ปีที่แล้ว +1

    Wewe unajipaisha,hunalolote,njaa

    • @bahatijsaha7298
      @bahatijsaha7298 ปีที่แล้ว +1

      Njaa kla mmoja anayo
      Ingekua njaa basi baada ya jela hangefanya daa'wa

    • @husnaally7964
      @husnaally7964 ปีที่แล้ว

      Wala yy hajakutukana ww Wala mzazi wako Wala dini yako.

  • @omaryteddy535
    @omaryteddy535 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +3

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @ashakumkana781
      @ashakumkana781 ปีที่แล้ว +1

      Kk Allah hakurinde kwakila mitihani..akudhidixhie nguvu na hujaxiry🙏🙏🙏

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว +1

    Subhanalha