Wallahi sheikh mm sina la ziada ila nakuombea kwa Allah akuzidishie umri na akujaalie maisha marefu uzidi kutuelimisha na uzidi kuitangaza dini ya ALLAH.Allahu bareek.
Maashallah taabaraka Allah!! Mwenyezi mungu akupe nuur!! Na mwisho mwema kwa kuutangaza dini mwenyezi mungu Mmoja!! Allah!! Subhana llah nahuu wat'aala!!
@@AA-yr7sr acha ujinga kaka, kudai kuwa hatatokea mwingine ni kuamini katika ukomo wa uwezo wa Mungu kitu ambacho sio sahihi, sasa kama unaendelea kupinga, sikukatazi,,,,ila nashuhudia kwa Allah kuwa nimekufikishia!!
MaSha Allah TabarakaLlah Mungu Akuhifadh,i Akubariki, Akupe Afya, Akulipe Kila Khatua unayoitukua. Dua twakuombea kwa wingi. Akulipe JANNATAL AL FIRDAUS
Shekhe wangu mazinge pamoja na kishki hawa ni binaadam wasiwaumize vichwa hao wanaowalaumu matusi haya hawakuyasikia au wanajitoa ufahamu kumbuka kwenye msururu wa mamba hata kenge wapo mungu atawakinga endeleen kutoa daawa mungu awaweke ihshaala,
Wallahi sheikh mm sina la ziada ila nakuombea kwa Allah akuzidishie umri na akujaalie maisha marefu uzidi kutuelimisha na uzidi kuitangaza dini ya ALLAH.Allahu bareek.
Allah Akupe Maisha Marefu Na nguvu Shekhe Wetu Mazinge.Tunakupenda Waislamu
Nakupenda kwa ajili ya Allah.Allah akupe mwisho mwema.
Sheik mazinge Allah akupe umri na kila cha kheri unachokitaka na kuelewa sana inshaa allah
Mashalaa mungu akupe maisha marefu
Hakika mungu na kumpenda kwaajili ya Allah
Mungu akupe umri mrefu akulinde na kila hasad akupe ujira usiokoma duniani na akhera
Maashallah taabaraka Allah!! Mwenyezi mungu akupe nuur!! Na mwisho mwema kwa kuutangaza dini mwenyezi mungu Mmoja!! Allah!! Subhana llah nahuu wat'aala!!
Allahu Akbar sheikh mazinge Allah akujaalie umri mrefu yaa Rabbi
Allahu akbru
Allah akupe umri mrefu furaha na amani akuondolee hasadi za waja wake
mungu akulipe kila la kheir
Nakup❤ pia
Allah akupe maisha marefu akulinde na kila baya..
Sheikh Mazinge nakupenda kwajili ya Allah 🙏
Am proud to be a Muslim
Allah azidi kumpa afya na umri mrefu sheikh wetu MAZINGE
Masha Allah penda sana sheikh mazinge jmn,Allah akuweke ww na akupe afya njema .
Mashaallah 💓❤️ mazinge Allah akuzidishie umuri
MashaAllah Allah akuifadh shekh wetu
May Allah sw bless our sheekh and grant him janaa firdows Amiin
MashaAllah Allah akupe umri uzidi kufaidisha umma sheikh wetu..
MAsha Allah tabarakaallah Allah Azid kukuifadha 🤲 Ustadh Mazing
Mazing tunakupend Kwaajil ya Allah❤🙏🙏
Sheikh mazinge Allah azidi kukulinda na akupe umri mrefu uzidi kuulingania dini ya kweli Al Islam
Thx Mazinge
Hakuna wakumuweza Sheikh wetu
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Mashaallah shekhe wetu mzinge hakika ukionoka katika hii dunia hakuna atezba pengo lako
MASHAALLAH ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ MASHAALLAH 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 AFRICA FATHER INSHAAALLAH ALLAH AKUPE MWISHO WEMA NA KAULI SABIT SHEH OTHMAN MAZINGE
amiin
Mashallah Allah akuhifadhi duniani na akhera
Amin
mashaAllah .. mawaidha ajab .... 2021 .. Alhamdhullih.. Allah akuongozeee shekh wetu
Mwenyezi mungu akuongezee umri wa kuishi
Inshaallah
amiin na afya njema pia
Wallahi sheikh mazinge waeza kumskiliza siku nzima
Mashaallah,,mungu akupe umri mrefu naomba uje mpaka Arusha kwa morombo
MashaAllah... Kipenz cha mtume Muhammad.. Mazinge Mazinge kipenz chetu umefanya kazi kubwa ktk dinn yetu ya Islamic... Allah akulipe ujira mwema..
Aamiyn
AMIIN AMIIN AMIIN
Masha Allah
Allah akupe umri mrefu
Masha allaah shekh Mazinge Allah azidi kukupa umri mrefu shkhe🙏🙏
Mashaallah sheikh wetu kipenz kabisa mungu awape umri wenye mafanikio wahadhiri wote wanaotetea dini ya Allah sw mungu akulipe shekh wetu aaaamin
Allah nijalie watoto wema wasimame kutangaza dini kama mazinge
Ameen sote
Allah akupe maisha marefu shekh mazinge inshaallah
Mashallah tabarakallah mie nilikua sijulikan kama takueko dunian
Yaa Allah mpe shekh wetu mazinge maisha marefu na afya njema ameen yaarab
Mashallah mungu akupe umri mrefu na wenye manufaa
Ameen
Balakaallha.fiqh
Mazinge ni moja tu hawezi akatokea mwengine yani ww ni kibogo kichwa chako kiliko Google mtu akiaza swali ww ushajua mjibu vipi MashaAllah
Subhanallah!!!kuamini hivyo unavyosena, maana yake ni kuamini ukomo katika uwezo wa Mungu, kitu ambacho si kweli!!
@@AA-yr7sr acha ujinga kaka, kudai kuwa hatatokea mwingine ni kuamini katika ukomo wa uwezo wa Mungu kitu ambacho sio sahihi, sasa kama unaendelea kupinga, sikukatazi,,,,ila nashuhudia kwa Allah kuwa nimekufikishia!!
Mimi ni sheik naniko Nairobi
Mimi ninataka kufaya muhadaraa
Laailaaha illa llah Muhammadur'rasuulullah
Allah akuweke mazinge asante kwa daawa 🤲🤲🙏🙏
Allah akbar mazinge Allah akuhifadhi na akukinge na hasda na husda
Mungu anaumwa subhanallah
Mungu akuweke shehe inshaalha
MashaAllah Sheikh Allah (SW) AKULINDE. AMEEN
Mashallah mungu akufanyie wepesi ktk maishayako pamoja nawaisilamu wote
Allahu Akbaru, shukrani kwa somo.
Allah aendelelee kukupa afya njema na uendelee kukupambania uislam
amiiiin
th-cam.com/video/L3ZNFLDl-f0/w-d-xo.html usisahau kusubscribe kushare pamoya ktk njia sahihi
Allah akujaalie kheri duniani na akhera!!!
Ma shaa Allah May Allah bless me with a kid to be like you Sheikh Mazinge In shaa Allah
Nipo kep ta un wee unaesema mazinge muongo nyinyi watu waagano jipya nalakale mnatab
ALLAH AKUPE SIA NJEMA NA UMRI MREFU SHEKH WETU Amiin
You are most respected sheikh in the world I respect you ustath mazinge may ALLAH bless you
Masha Allah ❤❤❤❤
MaSha Allah TabarakaLlah Mungu Akuhifadh,i Akubariki, Akupe Afya, Akulipe Kila Khatua unayoitukua. Dua twakuombea kwa wingi. Akulipe JANNATAL AL FIRDAUS
Allaah humma amina yarbby
amiin
Maa sha Allah
MaashaaAllah
Allah akuzidishie ilm yenye manufaa
Allah akupe afya kamil
Allah akupe umr tawil uzidi kuelimisha umma
Allah akujaalie husn lkhatimah
May Allah (SWT) Bless you Sheikh Mazinge. AMINA.
We loved you sheikh
Allah akuhifadh kipenzi changu Sheikh Habibu Mazinge
Barakallah othman mazinge
Allah akupe mwisho mwema sheikh wetu na umri mrefu
MashaAllah Sheikhe Mazinge Allah Akupe umri mrefu In Shaa Allah...
Masha Allah shek othman
Jazakallah kheir sheikh mazinge
Mashaallaah mola tuhifadh..nakuepush na madui na mahasidi..amiin yarab tujalie tukaigie pepon kwa rehema zako 💜❤🇹🇿🇹🇿🤲🤲🤲
Takbiiiir Allahu akbar mashaallah mungu akuengezee umri na afya njema inshaallah uzidi kupambana nao makafiri
Mazinge eeee njooo malindi basiiiii nikuone live shekh wangu
Penda wewe bure tu
Mashaa Allah... Mola akubarik Maalim..
Mungu akupe afya na umri mrefu wewe na wenzako munaotufahamisha
Alhamdullillah subhanaAllah lailaha illa Allah Muhammad Rasulu Allah
May almighty Allah protect you sheikh live long
Allah akuhifadhi Sheikh malipo yako kwa Allah yazamishe mizani kwa mema matupu..
Mungu akulide
mashaallha Allah akupe umri mrefu
mashaAllah sheikh Allah akupe umri mrefuameen insha'Allah
Maa shaa Allah
""Mashaallah Allah akueke shekh wetu mazinge"
amiiin
Allah akupe umri mrefu sheikh wetu
Mungu akueke😍😍😍😍😍😍😍
Masha Allah...
Allah akupe umri sheikh mazinge
Shekhe wangu mazinge pamoja na kishki hawa ni binaadam wasiwaumize vichwa hao wanaowalaumu matusi haya hawakuyasikia au wanajitoa ufahamu kumbuka kwenye msururu wa mamba hata kenge wapo mungu atawakinga endeleen kutoa daawa mungu awaweke ihshaala,
Mashallah mazinge
Masha Allah
Allah akulipe kher
Asante Sana shekh mazinge
Allah ibareek sheikh mazinge
Mungu nijalie kizazi chema mazinge mungu azidi kukuweka inshaa allah
Maa Shaa Allah.
Allah akulipe pepo
Amin
allah akuweke maisha malefu uzidi kuwapambania hao makafili wasio ijuaa dini ya allah
Allah akuhifadhi shekh
ALLAH AKBAR
ILLAH KARIM Akupe Umri Twawili.
Mola akupe umri mrefu
Mashaallah_Mungu_akupe_pepo_umeanza_Dini_mi_nazaliwa_wewe_umeanza_kutangaza_Dini
Sheikh we kiboko.Namuomba Allah aniwezeshe japo siku moja nikuandalie muhadhara mkubwa sana
InshaAllah
@@mahamedabdi1881 🙏
Amiin mungu akuwafikishe
@@uislamufirdawsonlinetv4297 InshaAllah
Allhaaa kariiim Allhaa akupe umrimrefuu inshallhaa
SubhaAllah
Allah akujalie afya njema she
Allah akujalie afya njema she
Masha Allah shekh mungu akuongeze na akupe maisha marefu ili tupate elimu ya manufaa
Mashallah tabaraka Allah
Inshallah n/mungu akulinde ili uutangaze uislam ulimwengu mzima" tuombeane uzima nitakutafuta sheikh nikupe zawadi yako