ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Asante Sana dada Mungu akuinue Kwa marifa Zaidi kama Danieli ktk Bibilia hongera Kwa elimu mzuri nimependa Amen 🙏🙏🙏
Nashukuru sana na Mungu atubariki sote amina
Nimelipenda SoMo asante I wataalamu wetu
Shukrani sana
Asante kwa elimu nzuri,nimevutiwa kuwa majani haya Yana protein ,
Kuku wangu wanasumbuliwa na mafua makali nifanyeje mlisema nichukue pilipili na alovera na majani ya mperawa Bado wanakoroma hivi Mmoja nimemshikilia
Tazama hii th-cam.com/video/98hkKJeTfWo/w-d-xo.html ukiwapa hiyo dawa watapona
Tumia tylodox extra, tricumycin,na aminatotal(vitamini),dozi kubwa.
Tuwa
THANKS FOR THAT GOOD STORY , GOOD FARMING, GOOD VOICE ,GOOD LADY NICE DAY.
Thank you so much
Asante sana tunawasikiliza
Hongera sanaaafam kwa somo zuri
Asante
Tunakuelewa
Kuku anayetaka kuatamia baada ya kutaga namzuiaje joto la kuatamia ?
Kiswahili fasaha
Kuku wangu awatowi mayayi,nifanye je ili watowe mayayi?
Wape lishe boraa na vitamin
Unawapa kuku wa umri na aina zote dada?
Ndio hiyo haina madhara
Unawapatia Kwa muda Gani na nikiwango Gani chakuwap?
Siku tatu Kwa wiki
Je niwapa bila ya kuyatengeneza juic nikiwapamahani mazima
Ni vizur ukatengeneza juice japo unaweza kuwapa hivihivi
Je vifaranga tiwape juic ya majani Gani??
Majani ya Maboga ni mazuri sana
Unaweka vyote kwa pamoja au kimoja wapo. Majani pamoja na mbegu
Kimoja wapo
Hiyo poda ninaipataje
Unaanika mbegu zikikauka unazitwanga
Nahitaji kitabu
Tutafute WhatsApp 0712188239
Kuku wangu wanadonoana. Nitumie nini kuzuia tatizo hili? MAANA wanashambulia hadi vifaranga
@@KingoFarm1 sawa
Kuku wako wana upungfu wa calcium, lakini wengine ni tabia yao. Wakati unasubiri dawa KATA midomo.
Je ni kuku tu au hata bata
Hata bata
2:02 @@KingoFarm1
Kuku.na.bata