FAIDA 8 ZA MKAA KWA KUKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2022
  • Maajabu ya mkaa kwa kuku wako ni mengi sana.
    #tibazakuku
    -Kuzuia kuhara kwa kuku
    -Kuzuia Kuhara damu( Coccidiosis)
    -kinga ya kideri
    -kinga ya mafua
    -Kuzuia minyoo
    -Usadia ganda la yai kua gumu
    👉Kujifunza zaidi kuhusu ufugaji wa kuku
    • MBINU 10 ZA KUPUNGUZ...
    👉Video zingine ya channel yetu.
    / @agalustv
    👉Tangaza biashara yako kwenye channel yetu. Tuwasiliane kupitia wasap pekee +255765467484
    , 🙏🙏🙏🙏

ความคิดเห็น • 576

  • @florarog548
    @florarog548 2 ปีที่แล้ว +19

    Asante sana kwa somo zuri. Kwa kweli mmekuwa watu muhimu na WA msaada sana katika ufugaji wangu.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว +8

      Barikiwa sana🙏🤝

    • @magrethchussi386
      @magrethchussi386 ปีที่แล้ว +1

      Asnt sn ubarikiwe kwa somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว +1

      Amina ✍️ 🙏🏿 ndugu nawe pia

    • @BetherinoKiduko
      @BetherinoKiduko 2 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba kuuliza kuku ili wawe wanataga sana mayai nifanyaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Lishe ya kuku wanaotaga Jifunze kupitia Channel hii UTAJIFUNZA kuandaa Chakula icho

  • @efgeniashayo8531
    @efgeniashayo8531 หลายเดือนก่อน +2

    Huu Ndiyo Uzalendo was kweli
    Watanzania...tunaweza fanikiwa sana tukishitikishana Maarifa adilia ksma haya❤
    Mungu wetu wa Mbinguni azidi kukubariko Dana Kaka yetu🎉

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako

  • @billian1914
    @billian1914 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kaka kwa hilo somo lakufuga kuku Bora kienyeji, bila kutumia madawa zamsduka zakuuza Chemie. Endelea kufundisha watu / wafugaji wakuku waache kutumia ama kula kuku zamadawa ya gmo?? Warudi kwa maisha yakienyiji. Mimi napenda, sana hii somo ssna tena nakuunga mkono 1oo PC. Saalamu sana kutoka hapa Ugeremani mungu azidi kukupatie Marifa zaidi. Amina.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia ndugu 🙏🏿 tupo pamoja. Salimia wote. Endelea kufuatilia kufuatilia tiba asili za kuku by agalus TV zitakuja video nyingi Sana nawe UTAJIFUNZA

  • @KahambuAsifiwe
    @KahambuAsifiwe 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe elimu Saidi🎉🎉😮

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 วันที่ผ่านมา

      Amina ndugu nawe pia 🙏🏿 ✍️

  • @NasibuSarumbo
    @NasibuSarumbo 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nashukuru Kwa taarifa hizi nzuri Kwa sisi wafugaji endelea KUFANYA UTAFITI uje na dawa ya kideri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  19 วันที่ผ่านมา

      Sawa ndugu 🙏🏿 Tuombeane

  • @KahambuAsifiwe
    @KahambuAsifiwe 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe elimu zaidi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 วันที่ผ่านมา

      Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako

  • @ThomasIkerra
    @ThomasIkerra 9 หลายเดือนก่อน +2

    Somo la mkaa nimelipenda,it is new to me,keep it up.👍

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Thank you and You're welcome

  • @KhadijaMnuhemba
    @KhadijaMnuhemba วันที่ผ่านมา +1

    Jeez vifaranga na kuku wa nyama unaweza kuwapa mkaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  วันที่ผ่านมา

      Sawa tu waweza

  • @rajumisomia1841
    @rajumisomia1841 ปีที่แล้ว +1

    Nitoe shukrani za shati kwenu kwa darasa nzuri mnazotuelimisha asanteni sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Barikiwa Sana ndugu

  • @ESTERMFUGALE-wp5le
    @ESTERMFUGALE-wp5le 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mhmm. Agslus TV leo nimewafaisi sana. MUNGU awabariki sana kwa upendo huo wa kushare nasi.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu barikiwa pia

  • @user-ye7wl1tb1y
    @user-ye7wl1tb1y หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante kwa somo zuri tumekuelewa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @revestinaalexander4100
    @revestinaalexander4100 หลายเดือนก่อน +1

    Mwl. Asante Sana Kwa Somo zuri kuhusiana na mkaa. Natamani kujua njia mbadala ya kuua wadudu wa kwenye mboga mboga. Kuriko kutumia dawa za viwandani.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Sawa ndugu ngoja tuandae video zake

  • @peninakilanga1407
    @peninakilanga1407 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante sana.
    Somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @RealxCraft1102
    @RealxCraft1102 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana ndugu yetu🙏🤝

  • @user-mr3fn1hc2y
    @user-mr3fn1hc2y หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana Kwa Taarifa muhimu.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @user-gc5uz7gu6h
    @user-gc5uz7gu6h 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa somo, nimejifunza

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu

  • @NAUMUMAKAWISHE
    @NAUMUMAKAWISHE หลายเดือนก่อน +2

    Asante Kwa SOMO zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @CatherineSweya-h2j
    @CatherineSweya-h2j หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo kuku wangu mafua yanasumbua kumbe mkaa utawaza nisaidia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Hakika

  • @adamkanyika5906
    @adamkanyika5906 ปีที่แล้ว +3

    Adam Kanyika nashukuru, ninakuku wa kienyeji lakini mafua na kuvimba macho umekuwa changamoto Sana naomba msada wenu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว +3

      Apo ni usafi. Kue na hewa nzuri uku uku tumia tiba mbalimbali za asili kuhimarisha afya yao

  • @DofridaPastory
    @DofridaPastory หลายเดือนก่อน +1

    Mm kuku walikufa wote kwakuhara kinyesi cheupe nakijani niritibu ikagoma waliisha wote,ira kwasomo hili uwenda ningejua mapema ingesaidia,asante sana nitaanza tena nione

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Pole sana ndugu kumbuka CHANJO pia

  • @LucyBrighton
    @LucyBrighton 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo nzuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @ElifridaMsagati-lw4no
    @ElifridaMsagati-lw4no หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kunisaidia dawa hii nimefurahi sana nitaanza kutumia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

  • @dainachima
    @dainachima 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa SoMo hili.swali;je naweza kutumia mkaa hata Kwa kuku wa kisasa au ni kienyeji TU.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Aina zote za kuku

  • @IsakaKipenda
    @IsakaKipenda 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks kwa dalasa Hilo nielimu bola sana Tena ya asilia inayomwezesha kuku kuwa na afya bora

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia ndugu 🙏🏿

  • @JescaJeremia-ef4ym
    @JescaJeremia-ef4ym หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa some zuri Mungu akubariki mimi nauliza ni chakula gani inamfanya kuku kutaga kwawakati

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ni Aina gani ya kuku

    • @JescaJeremia-ef4ym
      @JescaJeremia-ef4ym หลายเดือนก่อน

      Kuku wa kienyeji

  • @FransiscaMmari
    @FransiscaMmari หลายเดือนก่อน +1

    Naahukuru sana kwa masomo mazuri ya ufugaji mm swali langu ni hili nn kinacho sababish kuku kula mayai na nitmie nini ili wasiawe wanakula mayai

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ongeza vyakula vya protini, na madini ya chokaa na mifupa ktk mchanganyiko wa chakula. Fuatilila video sababu ya kuku kula mayai by agalus TV zitakuja

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa SoMo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @EstherKabadi-ly3nu
    @EstherKabadi-ly3nu หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri la ufugaji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @IreneAlex-ri3ty
    @IreneAlex-ri3ty 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asant kwa somo unapochanganya mkaa na chakula chake unaweza kuwalowanishia na maji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Hapana watu kikavu

  • @johnsmwandu7338
    @johnsmwandu7338 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Naomba Namba Yako mkuu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa ndugu tutakutumia

  • @user-up6xg2xq7v
    @user-up6xg2xq7v 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa kutujuza

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Karibu

  • @BovickBolombociMtaelwaMmunga
    @BovickBolombociMtaelwaMmunga 14 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana kwa mahelezo,,,,munge tiya namba zenu hewani ili tupangilie kuhusu mazungumuzo Mazuri ya ufugaji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  14 วันที่ผ่านมา

      Sawa ndugu 🙏🏿 ✍️ tunashukuru kwa ushauri wako

  • @user-xi5pf1us9h
    @user-xi5pf1us9h 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa somo nzuri la kuku mimi tatizo langu nina puppy anatoka manyoya sana Na ninampa dawa ya minyoo karibu kila mwezi Naomba kujua

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Ni kawaida tu hatua ya ukuaji. Ongeza lishe ya protini ktk chakula

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante jaman uwiii somo zurli

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Tupo PAMOJA NDUGU

  • @evaristomtweve2499
    @evaristomtweve2499 ปีที่แล้ว +1

    Asante nimekuelewa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Pamoja sana

  • @user-pi4dv3oh1u
    @user-pi4dv3oh1u หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Kwa kutufundisha

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu na tunashukuru kwa kua nasi

  • @BernadettaMlanji
    @BernadettaMlanji หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa maelekezo mazuri ila nina changamoto kuku wangu wameugua ndani ya siku k.m 6 wamekufa 50 nimetumia dawa nyingi bila mafanikio

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Dalili gani

  • @halimahamidu10
    @halimahamidu10 4 วันที่ผ่านมา

    Asante Kwa SoMo lako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 วันที่ผ่านมา

      Tupo pamoja ndugu

  • @hassanramadhan2794
    @hassanramadhan2794 9 หลายเดือนก่อน +1

    Habari nashukuru sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @PaulinaThomasi
    @PaulinaThomasi หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa somo. Nzuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana ndugu

    • @user-hw5yr5wb2s
      @user-hw5yr5wb2s หลายเดือนก่อน +1

      Safi saana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน +1

      Tupo pamoja ndugu

  • @ernestmgogo3624
    @ernestmgogo3624 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pa1🤝 ndugu

  • @MughunaKisay
    @MughunaKisay หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa SoMo nimependa kwakweli

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Karibu ktk ufugaji

  • @getrudemhozya9920
    @getrudemhozya9920 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa somo,mimi nafuga kuku wa kienyeji, Kuna kuku wawili wanaatamia, mmoja ndo anaanza mmoja mzoefu, huyu mzoefu nilichukuwa mayai mawili nikachemsha, Cha ajabu yakatoka maji na jioni tepetepe, nikadhani halijaiva vizuri leo nimechemsha nusu saa lakini nimekuta vilevile,maana Kuna ambayo sijawawekea, mwanzo nilikuwa nikichemsha yanakuwa mzuri tu Sasa nina mashaka watatoka vifaranga kweli,na sijui ni ya yupi maana walikuwa wanataga sehemu moja

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว +1

      Apo sasa ni mtihani ndugu. Ila siku nyingine uwe unaweka alama mayai. 🙏kwa pensel

    • @mngwalijuma597
      @mngwalijuma597 หลายเดือนก่อน +1

      Ahsant kwa kutupa elimu hyo jamani
      Mm nafuga kuku wa kienyeji lkn tatizo wao anapotaga kuku mmoja wotee wanataga pahala pmoja pia akitaga mmoja wakati wa kulalia wanakua wanalalia kuku wote km 3 hata ukiwatengua huwa hawkibali ikofika siku ya kutoa vifaranga wanaweza kutoa watoto 2 au 3 na hapo hawatotoi vifaranga wanaanza kugombania vfaranga viiivyoanguliwa Mayai wanayaacha hawatoi tena vifaranga nifanye nn? Mana ni hasara kubwa wananipa wanaa ha massive mengi na mm naharamika kwa kuwalisha

    • @mngwalijuma597
      @mngwalijuma597 หลายเดือนก่อน +1

      Wananipa.hasara kwakuwalisha
      Hapo nimekosea nilikusudia hyo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Fuatilia video hii apa jinsi ya kuzuia kuku kutaga kiota 1
      th-cam.com/video/tTedzAAnXRM/w-d-xo.html

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Fuatilila video hii apa
      th-cam.com/video/tTedzAAnXRM/w-d-xo.html

  • @VeronicaBayyo
    @VeronicaBayyo หลายเดือนก่อน +1

    Asante kuku wangu wanahara dam na wanatoa minyoo❤

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Pole sana wape dawa minyooo na ya UGONJWA wa coccidiosis

  • @mwitamgaya5037
    @mwitamgaya5037 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pamoja ndugu🙏🏿

  • @GraceSimtaji
    @GraceSimtaji หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @maryjackson4551
    @maryjackson4551 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Amina KUBWA ndugu 🙏🏿✍️

  • @PantaleoBundala-tl2kd
    @PantaleoBundala-tl2kd หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru kwa somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo PAMOJA

  • @user-nz6mx2vw6l
    @user-nz6mx2vw6l หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana tajalibu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Karibu sana ndugu ktk ufugaji

  • @user-de9xj6yr9l
    @user-de9xj6yr9l 21 วันที่ผ่านมา +1

    Asante, Mimi nafuga lakin vfaranga vinakufa kila siku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  21 วันที่ผ่านมา

      Pole sana ndugu jifunze uleaji wa vifaranga kupitia
      th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT.html

  • @cresensiankwera1776
    @cresensiankwera1776 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk mwaka huu

  • @shabanibakari9387
    @shabanibakari9387 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwakunitanua mawazo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Karibu🙏🏿

  • @user-uj5lr3yo9e
    @user-uj5lr3yo9e 10 หลายเดือนก่อน +1

    Je pemba ya mahindi ni nzuri kuchanganya na mkaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Ni nzuri ila ziwe kavu

  • @norahazan796
    @norahazan796 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu 🙏🏿

  • @castolina2843
    @castolina2843 หลายเดือนก่อน +1

    ahsante kwa maarifa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @faidhasaidi4436
    @faidhasaidi4436 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimeipenda sana sikujua kutofautisha kati ya vumbi na chenga chenga ss nmeelewa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      🙏🤝🤝

  • @GadiLyawene
    @GadiLyawene หลายเดือนก่อน +1

    Asante nimeelewa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +1

    Asante

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana

  • @zawadimkondo4951
    @zawadimkondo4951 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukulu Kwa somo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @alphomrosso9140
    @alphomrosso9140 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakushukuru kwa somo zuri kuhusiana na faida ya mkaa kwa kuku.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Tupo pa1 ndugu

  • @MzeeMWINUKA
    @MzeeMWINUKA 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nimepata maarifa ya matumizi ya mkaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  18 วันที่ผ่านมา

      Hakika ndugu 🙏🏿 ✍️

  • @SitiRamadhani-wg7vr
    @SitiRamadhani-wg7vr หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa ushauri wako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @eleriandeurassa7937
    @eleriandeurassa7937 27 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba unifafanulie hapo Kwa wiki mara tan au mwezi mara moja

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  27 วันที่ผ่านมา

      Kama Kinga waweza wapa kwa wiki Mara 1 AU 2 AU

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  27 วันที่ผ่านมา

      Kama Kinga waweza wapa kwa wiki Mara 1 AU 2 AU

  • @SophiaSere
    @SophiaSere หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia

  • @maryamsalim3233
    @maryamsalim3233 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru umenifunza mengi kaka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @JoyceKamna
    @JoyceKamna 9 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kwa somo zuri la kuhusu mkaa. Mimi chakula nawapa pumba mashudu mahandi mtama damu chokaa na mifupa. Je nikichanganya na mkaa nitakuwa sawa?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 วันที่ผ่านมา

      Sawa tu ndugu

  • @marthandungu5135
    @marthandungu5135 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana, unaweza kupea vivaranga wadogo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Angalau mwezi 1++

  • @JoyceNdile
    @JoyceNdile 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nimenufaika na soma lenu Leo ni mara yangu ya kwanza kusikia mafunzo haya nitajitahidi kufuatilia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  25 วันที่ผ่านมา

      Tupo pamoja ndugu

  • @evelinajailos7128
    @evelinajailos7128 2 ปีที่แล้ว +1

    Vema sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa pia✍️🙏🏿🙏🏿

  • @user-oj7dt8dh5z
    @user-oj7dt8dh5z 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru,kwasomolako,kamaumempa,dawa,yakidelianaweza,kulamkaa 2:15

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 หลายเดือนก่อน

      Baada ya wiki 1

  • @faridayona9861
    @faridayona9861 2 ปีที่แล้ว +3

    Assnte naitajivi faranga na mwslimu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Karibu sana🤝🙏

  • @ChariRita
    @ChariRita หลายเดือนก่อน +1

    Nakupata Niki Kenya pamoja bro

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu Salimia uko 🇰🇪 Kenya

  • @user-vo9ck2vv2w
    @user-vo9ck2vv2w หลายเดือนก่อน +1

    Tumi.pamoja.kwenye domi hili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      OK good

  • @biffazenobia4699
    @biffazenobia4699 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo zuri kwa dar mnapatikana wapi napenda kuwatembelea.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Karibu mbeya

  • @SalomeZabron-s7c
    @SalomeZabron-s7c 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kwakweli nimejifunza kitu kipya kabisa MUNGU akubariki mwalimu wetu, ila naomba niulize hii elimi ni kwa ajili ya kuku wa kienyeji au na wa nyama?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 วันที่ผ่านมา

      Kuku wa Aina zote. Tunashukuru Kwa Baraka izo

  • @abubakarihassan3180
    @abubakarihassan3180 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daa sikutegemea nashukuru kukutana na somo muhimu kama hili kuhusu faida za mkaa kwa kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu. Tuendelee kufuga

  • @user-qj8cg7qo9n
    @user-qj8cg7qo9n 29 วันที่ผ่านมา +1

    Je niki usaga nikachekecha nkauchanganya kwenye maji safi ya kunywa nkawapa hapo vipi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  28 วันที่ผ่านมา

      Apo Sawa Sawa ndugu

  • @farajaflorence1690
    @farajaflorence1690 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Be blessed

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa masomo mazuri,je naweza kuwapa vifaranga wangu mkaa?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Kuanzia mwez 1 unaweza wapa AU wape kwenye maji

  • @philomenandunge5787
    @philomenandunge5787 หลายเดือนก่อน +1

    Mkaa ni nii jina nyingine ama ni masudu,kwa kizungu inaitwaji kiswahili sikielawi vizuri na ni zuri kwa kuku wote hata layers

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Mkaa ni charcoal, na mashudu ni sunflower oil cake

  • @ZakiaAbdallah-nd7zq
    @ZakiaAbdallah-nd7zq 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nawapataje..nipate.Hii..Elimu.ya.ufugaji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 วันที่ผ่านมา

      Endelea kufuatilia channel hiii Ina masomo mengi Sana

  • @angelmbunda5398
    @angelmbunda5398 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukuru kwa elimu mutupayoo hasa kwa sisi wajasiliamal wadogo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Tupo pa1 ndugu 🙏🙏🤝

  • @lucymponera3578
    @lucymponera3578 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo je uomkaa unachanganya nanini

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Mkaa pekee kwenye chakula cha kuku

  • @aminamselem5669
    @aminamselem5669 25 วันที่ผ่านมา +1

    Je unaweza kuchanganya mkaa na unga wa mwembe kwa pamoja

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  25 วันที่ผ่านมา

      Apo Sawa ILa isiwe kwenye maji

  • @RuthSylvester-c8t
    @RuthSylvester-c8t 4 วันที่ผ่านมา +1

    Elimu hii inasaidia vijijini kwetu , pia hata mkaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 วันที่ผ่านมา

      Hakika

  • @RoseMremi-sn9jg
    @RoseMremi-sn9jg 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉Asante Kwa somo la utumiaji wa Mkaa Kwa kuku. Somo limejitosheleza

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu

  • @tatukarata6072
    @tatukarata6072 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali maan walikua hawali ila Sasa ukieka wanaanza kila mkaa mm kiukweli Ina siku maalm nawap maan sijui km inamazara

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Apo ndyo vizur angalau Mara moja kwa wiki kwa kila mwez

  • @pundesianakokujuna2468
    @pundesianakokujuna2468 2 ปีที่แล้ว

    Nawashukulu kwa SoMo zuri la mkaa kwa afya ya kuku nitaendelea nanyi ,Mimi nimfugaji nimeanza ufugaji was kuku was kienyi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Karibu na Asante sana🙏🏿

  • @jayharryson4913
    @jayharryson4913 2 ปีที่แล้ว +1

    Tufundishe mbinu mpya ya upandikizaji maana nimejikuta nimewaza jambo la hili Jogoo wangu naona apandi kabisa Tetea wangu namie nakosa subira kiukweli

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Ok bt kwa sasa badili tu jogoo maana nao wanatofautiana ubora kama binadam tu😀😀😀🙏🙏

    • @jayharryson4913
      @jayharryson4913 2 ปีที่แล้ว +1

      😀😀Daaah kwahy ashaishiwa nguvu za kiume alikuja kwa Mbwe mbwe nikasema huyu kidume sichinji lakini Looh
      Sema namshukuru kanipatia Vifaranga sema kwa Tetea wawili tuu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Njia nyingine mpunguzie mafuta kama unachanganya chakula.punguza mashudu

  • @user-sx8iz4dj8n
    @user-sx8iz4dj8n หลายเดือนก่อน +1

    Ahsant kk

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 9 วันที่ผ่านมา +1

    Sijasikia hiyo aina ya mkaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 วันที่ผ่านมา

      Jifunze zaid

  • @MukhutariMuhidini-ub4fp
    @MukhutariMuhidini-ub4fp หลายเดือนก่อน +1

    Ok

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @listonhangu8951
    @listonhangu8951 ปีที่แล้ว +1

    Umetsha bro bye afsa mifugo Liston hangu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Tupo pamoja mkuu ✍️👏🤝

  • @DottoLiguluka
    @DottoLiguluka หลายเดือนก่อน +1

    Naomba ushauri kuku anaacha mayai mengi yaani hatotoi yote nifanyeje naomba mwongozo wako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Fuatilia video hii.sababu za KUKU kuacha MAYAI
      th-cam.com/video/wgm_6tAEcLw/w-d-xo.html

  • @VeronicaBayyo
    @VeronicaBayyo หลายเดือนก่อน +1

    Naomba ushaur

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Upi ndugu

  • @tatusaid
    @tatusaid หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Kwa somo zuri swali ni kila aina ya kuku wanapewa mkaa?, pia ni kuanzia umri gani unaostahili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ndio wanapewa. Angalau wiki 2/3

  • @ErickNdunguru-i8f
    @ErickNdunguru-i8f 17 วันที่ผ่านมา +1

    Axante kwaelimu kukukwa mwaka anataga malangapi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  17 วันที่ผ่านมา

      Kuku wa Aina gani

  • @christermlewa8471
    @christermlewa8471 หลายเดือนก่อน +1

    Je naweza kuitumia kwenye maji ya kuku?au mpaka nichanganye kwenye chakula?msaada tafadhali

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ata kwenye maji japo isiwe kila cku. Itumike angalau kwa wiki Mara 1

  • @timotisanga9919
    @timotisanga9919 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wangu nimechanganya na Bata mzinga mkaa hazulu kwa Bata mzinga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Haina shida

  • @neemanyasary1072
    @neemanyasary1072 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa solo hili
    Je naweza weka mkaa ktk maji Yao ya kunywa?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Yaaah unaweza pia