USINUNUE TENA DAWA ZA MAFUA YA KUKU tumia Panadol na Amoxicillin

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 101

  • @RosweMichael-me4fg
    @RosweMichael-me4fg วันที่ผ่านมา +2

    Sasa mimi niko na kuku mia nne nitanywesha hivyo kwa mda gani

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  วันที่ผ่านมา

      Utaweka amoxicillin vidonge vinne na Panadol mbili kwenye kila Lita tatu za maji

  • @rehemanassoro7563
    @rehemanassoro7563 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hicho kinyesi ni coccidiosis, na ugonjwa huo husababishwa na kuku kula au kunywa maji yakiochanganyika na kinyesi

  • @JayMtawa-zl8gk
    @JayMtawa-zl8gk 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sawa bro shukran

  • @rehemanassoro7563
    @rehemanassoro7563 5 วันที่ผ่านมา +2

    Dawa ni Aprolium, au anticox

  • @joshuanjau3429
    @joshuanjau3429 2 หลายเดือนก่อน +2

    Picha haionyeshi vizuri

  • @JuliusLoishiye
    @JuliusLoishiye หลายเดือนก่อน +2

    Na mbn mm nilikuwa batumia amoxlim lkn wanapona na hyo hali kurudia lkn baada ya kutumia dawa za kienyej wakawa vzr

  • @selinamwangwale1958
    @selinamwangwale1958 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi sijajua hicho kinyesi ni ugonjwa gani

  • @BenedictorMatemla
    @BenedictorMatemla หลายเดือนก่อน +3

    Unatumia mda gani

  • @jairosgreyson3268
    @jairosgreyson3268 หลายเดือนก่อน +1

    Ugonjwa wa kuhara damu. Amprolium

  • @shedrackmsuya9767
    @shedrackmsuya9767 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa kama ndo ivo siumnyweshe tu ivo vidonge kwapamoja ya nn kukata nakuikoroga kama dozi nd iyo shika kuku nywesha kama vilivo inaokoa muda

  • @rolfstamoses3790
    @rolfstamoses3790 หลายเดือนก่อน +1

    Jibu la swali lako hicho kinyesi ni ugonjwa wa Coccidiosis unasababiswa na protozoan tiba yake ni antibiotics mfano Esb3.

  • @JuliusLoishiye
    @JuliusLoishiye หลายเดือนก่อน +2

    Na mbn mm nilikuwa natumia amoxlim lkn baada ya mda kdgo hyo hal inarud lkn baada ya kutumia dawa za kienyej wakaw vzr mpak sa

    • @AllySengao
      @AllySengao 22 วันที่ผ่านมา

      Dawa gan ya kienyej ultumia ndg

  • @user-qi8zk4fy3d
    @user-qi8zk4fy3d 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuku wako mmoja anakula gm ngapi kwa siku

  • @AZAM_MEDIA
    @AZAM_MEDIA หลายเดือนก่อน

    Mafua na antibiotics?

  • @MinjaRose
    @MinjaRose หลายเดือนก่อน

    Ugonjwa wa kuhara damu

  • @hildakajange4179
    @hildakajange4179 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni coccidiosis

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri kaka kwenye kufuga lakin unakosea kwenye kumshika kuku ama kumbeba kuku hashikwi mbawa zake unapo mbeba unamuumiza unamshika miguu na bata usimshike miguu unamuumiza bata unamshika miguu watu wengi wanawatesa kuku kwa kuashika mbawa wanapo wabeba ni makosa

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      🙏 Kwa ushauri

  • @user-vp8yi1xe7l
    @user-vp8yi1xe7l 2 หลายเดือนก่อน +5

    Daw yake ni aprolliam au vita xosti

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 หลายเดือนก่อน

      Unampa kiasi gani?

  • @AZAM_MEDIA
    @AZAM_MEDIA หลายเดือนก่อน

    Amoxicillin ina mg 250 anatumia binafamu hadi kilo 30 ww una mpa kuku wa kilo tatu?

  • @LEONARDMwakamwelo
    @LEONARDMwakamwelo 17 วันที่ผ่านมา

    Ugonjwa wa coccidiosis tiba yake ni amprolium au coxb3

  • @sijaonajoseph9157
    @sijaonajoseph9157 หลายเดือนก่อน

    Maijiganui yenye vitameni

  • @WilleKasisi-mn6dc
    @WilleKasisi-mn6dc 2 หลายเดือนก่อน

    Nakwa Bata kama Wana mafuta je

  • @rashadally6871
    @rashadally6871 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hayo mafua ndio mdondo?

  • @user-nz6mx2vw6l
    @user-nz6mx2vw6l หลายเดือนก่อน

    Kuku ambae imelalia utaipea

  • @SalapionEmmanuel
    @SalapionEmmanuel หลายเดือนก่อน +1

    Typhoid

  • @Lizygerald
    @Lizygerald หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wangu wana mafua sugu kabisa hayasikii dawa..

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Tutafute WhatsApp 0712188239

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuambie vipimo vya dawa kuanzia hatua ya mwanzo ya ukuaji wa kuku

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน

      Karibu kwenye kundi la WhatsApp tunatoa hayo maelekezo

  • @RichardShillah-mm4wv
    @RichardShillah-mm4wv หลายเดือนก่อน +1

    Doz ya siku ngap

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Mpe siku 3

  • @geraldmanoti1716
    @geraldmanoti1716 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tusaidie bado tuko gizani,

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน

      Karibuni sana pia tuna makundi ya WhatsApp Utapata vitu vizur sana

  • @LEONARDMwakamwelo
    @LEONARDMwakamwelo 17 วันที่ผ่านมา +1

    Je ni ugonjwa ugani unaosababisha kuku kuvimba maini hatimaye kufa?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  17 วันที่ผ่านมา

      Homa ya matumbo na kideri

  • @TheclaMakandege
    @TheclaMakandege 6 วันที่ผ่านมา

    Kuku wangu anaharisha nimpe dawa gani

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 วันที่ผ่านมา

      Mpe aloevera na kitunguu saumu kimoja

  • @SemeniTayala
    @SemeniTayala หลายเดือนก่อน

    L

  • @orthanceNsombo
    @orthanceNsombo หลายเดือนก่อน

    Sasa kama kuku amba bado ana umri wa juma mona ama mbili nae ni je kumtibu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Hapana

  • @JacksonDanielson-tp1us
    @JacksonDanielson-tp1us 12 วันที่ผ่านมา +1

    Na chotara wanataga baada ya miezi 4 ?

  • @hildakajange4179
    @hildakajange4179 หลายเดือนก่อน

    Je hiyo dose ya mafua utampa mara ngapi hadi apone?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Mara mbili

  • @suzanamhagala
    @suzanamhagala 2 หลายเดือนก่อน

    Coccidiosis dawa amprolium

  • @PetroChalinda-rh8of
    @PetroChalinda-rh8of หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      0712188239

  • @fatumangomuo1291
    @fatumangomuo1291 หลายเดือนก่อน

    Coccidiosis tiba yake ni anticoccidioss

  • @DhahabuSafi
    @DhahabuSafi 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo panadol na Amoxlin anapewa kwa siku moja tu?

  • @ummufatma3796
    @ummufatma3796 2 หลายเดือนก่อน

    Je BATA bukini aeza kunywa

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน

      Unawapatia itatibu

    • @ummufatma3796
      @ummufatma3796 2 หลายเดือนก่อน

      @@KingoFarm1 ooh, asante sana

  • @user-sh7id8of5m
    @user-sh7id8of5m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Habari ndugu naomba kukuuliza je kama kuku wachanga unatumia vipi mana kuku miezi 4 kipimo ndoicho

  • @dcdennis
    @dcdennis 22 วันที่ผ่านมา

    Ni single dose ama unampa kwa siku ngapi?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  22 วันที่ผ่านมา

      Mara Moja tuu

  • @abasibogga4798
    @abasibogga4798 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jibu la swali, huo ugonjwa ni occidiosisi, sababu ni kuku kula kinyesi, dawa sijui ....

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน

      Dawa AGROCOX.

  • @user-pb9pz1yl9h
    @user-pb9pz1yl9h 20 วันที่ผ่านมา

    Cocid

  • @niindaelymalugu7629
    @niindaelymalugu7629 หลายเดือนก่อน +5

    Mm nilichukuwa vifaranga 300 vya kroilla kwenye farm ya ACHI ILIYOPO MOROGORO tarehe 8feb 2024 leo nina kuku 30 tu kuku wanazungusha shingo wanakufa ukipasua ndani wananuka na wanarangi ya kijani na njano maeneo mengine kama damu imevilia yaani nimepata hasara na sijui huo ni ugonjwa gani??? Ningetumia dawa gani???

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Duh pole njoo WhatsApp ujiunge na kundi letu hutajutia na utapenda ufugaji tutafute 0712188239

    • @kuntakinte7339
      @kuntakinte7339 หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo ndio dawa???

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      @@kuntakinte7339ndio

    • @neemajeremia9760
      @neemajeremia9760 หลายเดือนก่อน +1

      Iko wapi hiyo kampuni nami nahitaji vifaranga

    • @elizabethmabala6937
      @elizabethmabala6937 หลายเดือนก่อน

      Naomba namba yako ya What's app tafadhali

  • @AZAM_MEDIA
    @AZAM_MEDIA หลายเดือนก่อน

    As a pharmacist si washauri kufanya hivyo.
    Inaweza ikawa sababu ya microbial resistance kea kuku na kwa mtumiaji.
    Na dosage yake in terms of weights ipoje?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Unafuga kuku??

    • @AZAM_MEDIA
      @AZAM_MEDIA หลายเดือนก่อน

      @@KingoFarm1 yeah

    • @RenaldaMunishi509
      @RenaldaMunishi509 หลายเดือนก่อน

      Tuambie wewe sasa, tutumie nini kama hiyo unaona siyo sawa.@Azam

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      @@RenaldaMunishi509 ninachokijua Mimi na kinachofanya kazi hapa shambani ndio ninawaelekeza kwangu imetoa matokea mazuri na kuku wanapona,

  • @innocentmushi7100
    @innocentmushi7100 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi karibuni ulipost dawa ya mafua ikiwa na mchanganyiko wa pilipili kitunguu swaumu na tangawizi. Je.hiyo dawa aikufanya vizuri? Au unamaanisha kuwa zote ni dawa nzuri za mafua?....

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน +1

      Zote zipo vzr, tunatoa mbadala kama utaikosa basi unatumia ingine

  • @rosemtingele4716
    @rosemtingele4716 2 หลายเดือนก่อน

    Coccidiosis nitawapa trimafarm

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน

      Wape AGROCOX

    • @witneyjerry2587
      @witneyjerry2587 หลายเดือนก่อน

      Hata trimafam n nzuri kwa Cox,tyfod,n mafua

  • @JuliusLoishiye
    @JuliusLoishiye หลายเดือนก่อน +1

    Na mbn mm nilikuwa natumia amoxlim lkn baada ya mda kdgo hyo hal inarud lkn baada ya kutumia dawa za kienyej wakaw vzr mpak

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Zote zipo vizuri

  • @user-jz1km2nt1z
    @user-jz1km2nt1z หลายเดือนก่อน +1

    Mimi sifahamu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Njoo what's up 0712188239

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  หลายเดือนก่อน

      Njoo what's up 0712188239

  • @joachim4167
    @joachim4167 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kuku 100 unawapa kiasi gani.?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน

      Unaandaa kwenye maji Lita 20

    • @MbarakaChaka
      @MbarakaChaka 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa dozi ya kiasi gani Cha limoxlin na Panadol​@@KingoFarm1

    • @MbarakaChaka
      @MbarakaChaka 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@KingoFarm1kwa kuiu Mia ?

    • @JONASKAHAMBA-sc9rt
      @JONASKAHAMBA-sc9rt หลายเดือนก่อน

      Nafikiri swali ni kama una kuku wengi, Kwa Lita Moja ya maji unaweka amoxy ngapi na panado ngapi?

  • @innocentmushi7100
    @innocentmushi7100 2 หลายเดือนก่อน

    Navip sasa kuhusu dozi ya hii dawa! Je.kuku anapaswa kunyweshwa mara ngapi kwa siku na kwasiku ngapi?....

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 หลายเดือนก่อน

      Dawa nyingi za kuku ni siku nne, mpe tuu mara Moja

    • @BenedictorMatemla
      @BenedictorMatemla หลายเดือนก่อน

      Ni mara moja tu