Wewe ndio mwalimu wangu mahali umenitoa mpaka sai najisimamia kiroho ni MUNGU tu anajua,nilisema sio lazima niongee na wewe one on one nikatilia maanani mafundisho sai walai mch. Sikufichi wewe ni mbaraka kwangu,kiafya,kiuchimi,kifamilia zaidi sana kiroho,yule Mungu umeeka ndani yangu akiiiiii,asante YAHWEH kwa kunitimia mtu sahihi kwa maisha yangu nimekuona kupitia yeye sifa na utukufu ni zako maana unastahili kwa jina la Yesu, AMINAAA
Kabisa,SI uongo nakuunga mkono Mimi ni mmoja wao,kwanza Mimi naeza kaa macho ila nikifungua downloads namsikiza kwa mfupi najipata nimelala kugutuka iliisha kitambo nalala kwa amani, Mungu amulinde kabisa na familia
Dr nimekusikiliza vizuri mm vyote hivyo sikuwa navyo lakini ndoa ilishindikana kwahio amini kuna wanaume hata uwe na sifa zote ndoa itavunjika tu basi wangu alikua na viboksi vya kike kuongea sana bado wangu anaongea kuliko mtu mwingine hata kama jambo halina faida yaani pointless ukimuitikia ataongea weee nilichokigundua wangu mm nilikua mkweli na muwazi sana kwake kumbe anapenda uongo na maficho yaani anapenda kudanganywa
Mafundisho tunayapata vema na tunaomba muendelee kutuelimisha, Pia tunashukuru kwakua Sasa ndoa nyingi na mahusiano yatadumu. Mungu akubariki mchungaji
AMEN 🙏🙏🙏, nimembalikiwa nikiwa Saudi Arabia, mchango wangu ni wenye tuko hapa ndani tutaji commit sababu tumefundishwa ,..je ? MUCHUNGANJI mara mingi Muna sahau wa mitaani Kuna wengine ni BABA tu sababu ya watoto,tutawafikiaje maana hapo Kuna shida kubwa mbaka wengine wameamua kujiua help please,hii mafundizo hiwafikie . thanks 😢😢
Vile Mnaongea umbea Ilee sitokuambia et una kifua una sema et hata Yale ulio sema sintosema baada ya yy kukisikilizaa tuu unasema yoteee baadae et mkigombanaa unayasikia mtaani🤣😀😀
Ila wakati wakitongoza wanajua sn kujielezea na wanaume wengi niwaongo mno na kwakuwa imeandikwa kuwa atamtawala mwanamke basi kuna uonevu mkubwa sn kwan ule utawala alopewa kuwa amtawale mke ndio uonevu na baadhi ya wanaume hata umfanyie nidham yote yakibiblia bado tuu ni msiba kwake hao nao tuwaweke kwenye kundi gani?
Umeuliza swali zuri na lenye kina sana kuhusu changamoto zinazowakumba wanawake katika mahusiano, hasa kutokana na nafasi ya mamlaka ya wanaume kama ilivyoandikwa katika maandiko fulani. Ni kweli kwamba baadhi ya wanaume, kwa bahati mbaya, wanatumia vibaya nafasi hiyo na wanakuwa wanyonyaji au waonevu kwa wake zao, wakikosa upendo wa kweli na heshima inayotakiwa. Kumweka mwanaume kwenye kundi fulani inategemea na tabia zake na jinsi anavyotekeleza jukumu lake kama mume. Wale wanaoongoza kwa upendo, huruma, na uadilifu wa kibiblia wanahitaji kupongezwa, kwani wanatekeleza majukumu yao vizuri. Lakini wale wanaotumia mamlaka kwa mabavu, kupuuza haki za wake zao, au kudharau upendo wa kweli-hawafai. Wako katika kundi la wale ambao wanaweza kukosa mahusiano yenye afya na mafanikio kwa sababu ya hulka na tabia zao. Kwa mwanamke anayekutana na hali kama hiyo, inabidi awe na hekima, avumilie pale inapowezekana, na atafute msaada wa kiroho, wa kijamii, na wa kihisia ili kukabiliana na changamoto hizo. Pia, majadiliano na kupeana ushauri ndani ya familia na kwa viongozi wa kiroho inaweza kusaidia kuweka mambo sawa, ikiwa wote wawili wako tayari kubadilika na kujifunza.
Wewe ndio mwalimu wangu mahali umenitoa mpaka sai najisimamia kiroho ni MUNGU tu anajua,nilisema sio lazima niongee na wewe one on one nikatilia maanani mafundisho sai walai mch. Sikufichi wewe ni mbaraka kwangu,kiafya,kiuchimi,kifamilia zaidi sana kiroho,yule Mungu umeeka ndani yangu akiiiiii,asante YAHWEH kwa kunitimia mtu sahihi kwa maisha yangu nimekuona kupitia yeye sifa na utukufu ni zako maana unastahili kwa jina la Yesu, AMINAAA
MUNGU atuzidishie hekima na maarifa ili tuweze kuelewana katika maisha yetu;ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽.
Thank you pastor, tumeelewa na kwa jina la yesu nimebadilika🙏
Napenda sana mahubiri yako. Mungu akubariki zaidi.
Paster mmbaga,nikikusikikiza moyo wangu unafalijika sana.
Pia mimi. Nahisi vizuri sana
Hata mimi pia.
Kabisa,SI uongo nakuunga mkono Mimi ni mmoja wao,kwanza Mimi naeza kaa macho ila nikifungua downloads namsikiza kwa mfupi najipata nimelala kugutuka iliisha kitambo nalala kwa amani, Mungu amulinde kabisa na familia
Naitwa joycce kutoka Igunga kupungu upendo
Thanks for your lesson be blessed pastor
Mafundisho mazuri pastor
Mtumishi wa baba tunamuona Yesu kupitia wew
Nimefurahia mafundisho.Mungu akubariki mchungaji
Amen.Mungu azidi kukubariki Pastor unatujenga sana
Dr nimekusikiliza vizuri mm vyote hivyo sikuwa navyo lakini ndoa ilishindikana kwahio amini kuna wanaume hata uwe na sifa zote ndoa itavunjika tu basi wangu alikua na viboksi vya kike kuongea sana bado wangu anaongea kuliko mtu mwingine hata kama jambo halina faida yaani pointless ukimuitikia ataongea weee nilichokigundua wangu mm nilikua mkweli na muwazi sana kwake kumbe anapenda uongo na maficho yaani anapenda kudanganywa
Dr mbaga mafundisho yamenijenga kifkra mungu akubariki sana
Mafundisho tunayapata vema na tunaomba muendelee kutuelimisha, Pia tunashukuru kwakua Sasa ndoa nyingi na mahusiano yatadumu. Mungu akubariki mchungaji
Asante sana mtumishi. Umenibari sana
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen Amen
Ubarikiwe sana Pr.
Ubarikiwe❤
Ubarikiwe pastor
Nimekuelewa Pr barikiwa sana
Ahsante sana Mtumishi nimekuelewa.
Amen Amen
Mungu naye ni wa maajabu sana, yeye ndiye alituumba hivyo na anayuvumilia sisi watoto wake
Nice lesson❤❤❤
Mungu akubariki umeongeya yote ya kweli kabisa 😅
Amen 🙏
Pastor wewe ni mwalim mzuri sana ujawah waza kufungua huduma yako mwenyewe
Mmh ndoo Yale yale
Asante
Amen 🙏🙏
🙏🙏🙏
Be blessed
Uniombeye niwe n'a moto n'a mungu aniponye ugonja
Amen
Kuandaliwa nguo na dada wa kazi
AMEN 🙏🙏🙏, nimembalikiwa nikiwa Saudi Arabia, mchango wangu ni wenye tuko hapa ndani tutaji commit sababu tumefundishwa ,..je ? MUCHUNGANJI mara mingi Muna sahau wa mitaani Kuna wengine ni BABA tu sababu ya watoto,tutawafikiaje maana hapo Kuna shida kubwa mbaka wengine wameamua kujiua help please,hii mafundizo hiwafikie . thanks 😢😢
Najifunza mengi kupitia
Katk mahubiri tv mnatugusa mmbalikiwe nabwan
MWALIMU what happened with your starting key MBIU ! It was a nice alarm.
Mimi ndio namsikilza vizuri. ...nisije nikaharibu huko kwenye mji mkuu wa ndoa mana..naona wanandoa wanapitia mazito...
Omba tu upate mume sahihi
😅😅😅😅😅
Mwanamke akitoka nje ya ndoa ni mbaya sana
Hakika Mungu amekujalia kipawa kikubwa sana mchungaj
Pasta mbanga Karibu ckumoja kanisani kwetu mpiji beach S D A chach
Ila kuna wanaume wanaongeaaa sana kuliko hata wanawake..Wana Gubu,wakianza kuongea,alaf wana na umbeaa pia
Kweli aisee yaani mwanaume anaongea kama cherehani na mmbea balaa
Haha😅
Izo ni tabia za aina ya watu sagwini sio kila mwanaume
Pastor, mahubiri ni mazuri lakini assumption ni mwanamke tegemezi. Sisi ambao tunalazimika kujitegemea japo tupo kwenye ndoa tufanyeje?
😅😅😅😅umegonga kwenye mshono
😅😅😅😅
Vile Mnaongea umbea Ilee sitokuambia et una kifua una sema et hata Yale ulio sema sintosema baada ya yy kukisikilizaa tuu unasema yoteee baadae et mkigombanaa unayasikia mtaani🤣😀😀
❤❤
Ila wakati wakitongoza wanajua sn kujielezea na wanaume wengi niwaongo mno na kwakuwa imeandikwa kuwa atamtawala mwanamke basi kuna uonevu mkubwa sn kwan ule utawala alopewa kuwa amtawale mke ndio uonevu na baadhi ya wanaume hata umfanyie nidham yote yakibiblia bado tuu ni msiba kwake hao nao tuwaweke kwenye kundi gani?
Umeuliza swali zuri na lenye kina sana kuhusu changamoto zinazowakumba wanawake katika mahusiano, hasa kutokana na nafasi ya mamlaka ya wanaume kama ilivyoandikwa katika maandiko fulani. Ni kweli kwamba baadhi ya wanaume, kwa bahati mbaya, wanatumia vibaya nafasi hiyo na wanakuwa wanyonyaji au waonevu kwa wake zao, wakikosa upendo wa kweli na heshima inayotakiwa.
Kumweka mwanaume kwenye kundi fulani inategemea na tabia zake na jinsi anavyotekeleza jukumu lake kama mume. Wale wanaoongoza kwa upendo, huruma, na uadilifu wa kibiblia wanahitaji kupongezwa, kwani wanatekeleza majukumu yao vizuri. Lakini wale wanaotumia mamlaka kwa mabavu, kupuuza haki za wake zao, au kudharau upendo wa kweli-hawafai. Wako katika kundi la wale ambao wanaweza kukosa mahusiano yenye afya na mafanikio kwa sababu ya hulka na tabia zao.
Kwa mwanamke anayekutana na hali kama hiyo, inabidi awe na hekima, avumilie pale inapowezekana, na atafute msaada wa kiroho, wa kijamii, na wa kihisia ili kukabiliana na changamoto hizo. Pia, majadiliano na kupeana ushauri ndani ya familia na kwa viongozi wa kiroho inaweza kusaidia kuweka mambo sawa, ikiwa wote wawili wako tayari kubadilika na kujifunza.
Mwana mke kuwa mchafu
Hilo ni tatizo kabisa
Nalo nikosa
lipi sasa
Hatu skiyii ongezeni sauti
Ahsante mtumishi Kwa mafundisho mazuri unatubariki Sana.
Amen
❤❤❤