SHEIK YUSUF DIWANI ATOA SIRI ZA UTAJIRI WA PETE NA MVUTO KATIKA BIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • TUMEONGEA NA SHEIKH YUSUF DIWANI KUHUSU MATUMIZI YA PETE KATIKA KULETA MVUTO NA UTAJIRI NA JINSI MADINI YANAVYOWASAIDIA WANADAMU KUFANIKIWA

ความคิดเห็น • 25

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh una sauti tamu sana....katika kufikisha da awa

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah! Mashaallah! Shukrani kwa kutoa Elimu nzuri. Jazakallah Khair ❤

  • @bakarhemed342
    @bakarhemed342 20 วันที่ผ่านมา +3

    mambo ya kuamini pete za madini kama hayo marjani ni sawa na nyota.....mnakwenda kwenye ushirikina, mtume alivaa pete kwa ajili ya kugonga muhuri, hakuwa anavaa pete tu kwa pambo, pili mtume hahitaji pete imlinde au kuleta mvuto.....Allah (sw) anamtosha

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku หลายเดือนก่อน +1

    Mnahuburi uchawi na pete huku mmeziandika majina ya Allah zueni polepole n mumuogope Allah kiasi cha kumwogopa mkiitwa wachawi wakileo mnabisha

    • @YasminaMkali
      @YasminaMkali หลายเดือนก่อน +1

      @@hassanWanjiku Ama kweli Baadhi ya Waafrica tuna kosa maarifa kwa kutokuelewa. Mwenyezi Mungu atusimamie tuwe na elimu kubwa. Amen 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽

    • @ibrahimkassim8289
      @ibrahimkassim8289 หลายเดือนก่อน

      Nashangaa,kwanini wageuze majini wawe watumwa wao ilhali ni makosa kumfanya muislamu mwenzako awe mtumwa.Allah awaonyeshe ukweli upo wapi inshaAllah.

    • @faithfultoyeshua4576
      @faithfultoyeshua4576 หลายเดือนก่อน

      Majini waislamu

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku หลายเดือนก่อน

      @@faithfultoyeshua4576 na bado Kuna waovu hatukatai ila c kusema hatufanyi mmbo yetu bila majini hapana tunamwamini Allah ndo Kila kitu

    • @selemanpaul2710
      @selemanpaul2710 หลายเดือนก่อน

      @@YasminaMkali amen amen

  • @Rooney1184
    @Rooney1184 หลายเดือนก่อน

    Acheni uchawi msinasibishe uchawi wenu na ushirikina na dini yetu nzuri

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 หลายเดือนก่อน +1

    Dr sule yupo sahihi

  • @Rooney1184
    @Rooney1184 หลายเดือนก่อน

    *لا تعبدوا الشيطان *

  • @khatwabhamid9398
    @khatwabhamid9398 29 วันที่ผ่านมา

    الطيب النبوي duh

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev หลายเดือนก่อน +1

    Chawi hilooo

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 หลายเดือนก่อน +1

    Muisilamu anapinga majini kutumika katika dini yao ni mnafiki

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku หลายเดือนก่อน +1

      Unafiki unajua wewe cc mambo n majini kwenye dini tunaamini n viumbe kama mm n wewe ,,,,,na mtu akasema Pete mtume salallahu alayhi wasalaam alivaa ndio ila atwambie alivaa kwa sababu gani Tena hadithi iwe sahihi c mchepuko tuu

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 หลายเดือนก่อน

      @@hassanWanjiku kwahyo ni ndugu zenu umekubali

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku หลายเดือนก่อน

      @@msemakweli243 ndugu zetu n waislamu kwa waislamu ila majini ni viumbe kama mimi na wewe na wameumbwa tofauti na sisi juu yy anakuona ila wewe huwezi muona na wapo waovu n wapo wachaji mungu pia nadhani umenielewa

    • @mohamedshaban5285
      @mohamedshaban5285 หลายเดือนก่อน

      ​@@msemakweli243 wey mwenyewe kwenu wa chawii acha ujinga

  • @BekhaChambaly
    @BekhaChambaly หลายเดือนก่อน

    Madini ya yakut ndo yapi hayo Shekh

  • @TheAlman
    @TheAlman หลายเดือนก่อน

    Huyu sio sheikh huyo ni mganga wa kienyeji sio dini ya kiislam haisemi hivyo hayo ni mawazo ma maoni ya kibinadamu

  • @Rooney1184
    @Rooney1184 หลายเดือนก่อน

    Mtume hajatumia majini au mna dalili pia

  • @oklahommy9838
    @oklahommy9838 หลายเดือนก่อน

    Waulizeni hawa masheikh wanaosema pete inaleta utajiri waulizeni hao wenyewe wana mali kiasi gani .....hakuna hata mmoja kati ya hawa masheikh wa pete wanafikia hata 1/8 ya utajiri wa GSM tu 😂😂😂😂 hiii ni maajabu

    • @saluidris8108
      @saluidris8108 หลายเดือนก่อน

      Very good question to ask you’re hundred percent on point