Am from Tanzania sheikh izzu dini ALLAH akuhifadhi maana umesema ukweli bila kujali ata kama mtu wa twalika mwenzetu kakosea na wew umesema ukweli tofauti ya masheikh Wetu wa Tanzania Bakwata wanafumbia macho suara la pete kwakuwa Sure ni mtu wa twarika mwenzetu
Aslm alkm wtw.... Ma sha Allah!!!? Shukran sanaaa Sheikh wetu kipenzi. Nimepata faida kubwa kutokana na kuvaa pete. Allah akuzidishie ilmu yako ili tupate kunufaika kupitia kwako Sheikh. Jazakallahu kheir.
Darsa nzuri maana kuna baadhi ya vichwa bisivyo na akili ya Dini wao kila avaae Pete humuhukumu ni mshirikina...khaaaaaa. mimi navaa kila rangi lakini ni za fedha tu maana mi mmwanamme
You probably dont give a shit but if you're stoned like me atm then you can watch pretty much all of the new movies and series on InstaFlixxer. Have been binge watching with my girlfriend lately xD
Asalamu aleykum warahamatul lwahi wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan sheikh Mola akubariki zaidi ameen 🙏 .... jee mwanamke kuvaa kidole gani ni uzuri zaidi Pete ya dhahabui?

ALHAMDULLILAH. Nimefahamu. Shukran sanaaa Sheikh. Ngoja nainze kuvaa. Hata chenii tuuu. Kama sijatolewaa ndukiiii hapaaa.
Hii Mada ya Pete nilikuwa naitaman Sana Kujua kwanini watu wakiume wavaa Pete Alhamdulilah jibu nimepata Leo Allah akupe Afya na ikhlas ustadh
Amiin yaa Rabb
Aslm alkm wtw.... Ma sha Allah!!!? Shukran sanaaa Sheikh wetu kipenzi. Nimepata faida kubwa kutokana na kuvaa pete. Allah akuzidishie ilmu yako ili tupate kunufaika kupitia kwako Sheikh. Jazakallahu kheir.
Shukran jazla sheikh izudin ALLAH akujaalie kila la kher hapa dunian na Akhera
Darsa nzuri maana kuna baadhi ya vichwa bisivyo na akili ya Dini wao kila avaae Pete humuhukumu ni mshirikina...khaaaaaa. mimi navaa kila rangi lakini ni za fedha tu maana mi mmwanamme
Subuanaaaallah nmejifunza mengi kutoka kwako sheikh Allah akulipe yaliyomema
Masha'allaah asante sana cheikh ,
Assallam Alleikum shukran kwa ukumbusho.Swali langu je mwanamume ywaruhusiwa kuvaa Pete ya shaba(brass)
Jazakallahu Khairan Mimi pia nilikuwa navivaa pete bila ya fahamu zake.. nilikuwa nimevijazaa vidole zote
Maa shaa Allah ..mm ninalo suala.
Mashallah nimejifunza
Jazakallah khayran
Mzima habibty vipi my umepotea Riyadh anakutafuta kila siku anakutaja ukipata muda njoo habibty aridhike roho yake pole kwa majukum my
Mashallah Allah akubarikie elimu uzidi kutuelimisha
Khehe naomba kuuliza je yafaa waislam kumvisha pete mkewe kama ya uchumba
A.aleykum shukran jazila
Ole wenu mnaovaa midudedude bila elimu
Mashallash penda sna mie weyeee allah akulindeee
Shukran shekh
❤
Maashaallah ila vp kuhus kuvaa pete kwa kina mama
MASHA ALLAH ALEIK
Ati yemen🤣🤣🤣🤣
Mashaa allah
Mashallah
Mada nzur shukran
Nauliza kuvaa Pete ya metallic bronze unafaa?
Mashaallah
Uliza
Inshaaalah
Penda sna mawaidha yko
You probably dont give a shit but if you're stoned like me atm then you can watch pretty much all of the new movies and series on InstaFlixxer. Have been binge watching with my girlfriend lately xD
@Ismael Noah Yup, I have been watching on InstaFlixxer for months myself :)
Na je pete imeandikwa Allah au Lailah illa Allah
Shekh nakuelw sana
Baraka Allah fiik..
From tz tupo pamoja ndugu zangu
Hata mwanamke kuvaa pete kidole cha shahada ni dalili mbaya
Maana yake nini
Asalamu aleykum warahamatul lwahi wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan sheikh Mola akubariki zaidi ameen 🙏 .... jee mwanamke kuvaa kidole gani ni uzuri zaidi Pete ya dhahabui?
Anaweza vaa kidole chochote apendacho yeye
Jazakahlaulkhairàan 🙏😊
@@IzudinAlwyDin mashaallah mashaallah shukurn ❤️ Allah akuzidishie... ❤️
Salaam.
Na silver feruzi jee mwanamke huweza Vaa?
Mwanamke unaruhusiwa shekh??
Huona za marohani 😃 mipia ntanunua pete kwajil ya sunnah
Marohani lazima uvae pete
Mashaallah somo zuri sana hili
🤭
Mimi navaa bangili ya shaba vipi hapo
Usifae mwanamme haifai kuvaa baangili ..kidan... Herin na kipin cha pua nk......
Mmkee je kuvaa pete
Ndugu yangu mwalimu amelezea vzuri kabsa na bado unaulza
Anaweza vaa kidole chochote atakacho
Mashallah